Mungu ambayo anatenda miujiza anitende hata mimi ukumalawi na yesu wa baba yetu mwamposa asinipite mimi nilazima atende kwangu katika jina la yesu kristo
Abarikiwe Yesu mtenda miujiza, na pongezi kwako Mtumishi mwamposa kwa kuwa tayari kutumiwa na Bwana Yesu kubadilisha maisha ya Wengi. God bless you sir
Buwana ntume nakusalimiya samaani nakuomba apa naogeya mozabimque Palma saamani mukiwa ijuma ya ugusiye jina langu naituwA sabina françisco naumwa Mimi yani maali Sina ata npango ela ya kufiya uko lagini nateseka Sana apa nandika uku naumiya nazingatiya maonbi laki kupitiya kwenye simo,
INALILLAH WA INA LILAAH RAJUNI...HUYU NI MTUME WA TANZANIA...SASA SIJUWI NI MTUME WA KARNE GANI...MAANA MTUME WA MWISHO NI BWAN MTUME MUHAMMED (S.A.W)...hakikaa mwisho wa dunia ume fikaah...haya yanayo fanyika yalisha tabiliwa.. .watakuja manabii wa uongo na watakuwaa na miujiza....
Mbona kuna ambao hawajapona tunao na mimi ni mkristu ila nasema ukweli waletunaowajuwa hawajapona na hamnaga maombi ya pesa pesa ndoinamfanya amtaje yesu
Ee mwenyezi mtendee muujiza mama angu kipenzi aweze kupona kwa ugonjwa unaomkabiri amen
Mchungaji naomba uniombe maisha yangu yafunguliwe pamoja nawazazi wangu mke wangu
Mungu Akuinue mutumishi Naakurinde katika jinara YESU Ameni
Mimi yohana ngobei naomba mchumba wangu heliet mashale tumbolipone lablidi lisiwe linauma na spare watoto mapacha wakike wawili AMINA
Mungu ambayo anatenda miujiza anitende hata mimi ukumalawi na yesu wa baba yetu mwamposa asinipite mimi nilazima atende kwangu katika jina la yesu kristo
Naomba nibarikie WA jina la yesu Cristo ámen
Abarikiwe Yesu mtenda miujiza, na pongezi kwako Mtumishi mwamposa kwa kuwa tayari kutumiwa na Bwana Yesu kubadilisha maisha ya Wengi. God bless you sir
Mwampossa levi
Naomba Mungu mponye mwanangu masikio yake yasije kama mwanzo na mm nipokee uponyaji wa fangas kwa jina la yesu kristo kuitia mazabao ya inuka uangaze
Mungu wangu naomba unibaliki mm nafamilia yngu
Mimi upendo sifueli mtui Napokea uponyaji wa mwili wote Amen
Nampenda sana yesu kristo mtenda miujiza kupitia watumish wake kama huyu
Asante mtumishi Mungu akulinde napokea
Mungu babá WA jina la yesu Cristo ámen 🖐️🤲💓💝♥️💟
Mungu naomba muujiza wako bishara yangu iendelehe na mazao yangu shambani ya mengii
Baba Apostle naomba uniombee wanaonidai wasinisumbue na unizidishie kipatto changu, sipati amani Baba.
Eh Mungu mtendee mdogo wangu muujiza katika ndoa yake
Mungu wa pande hizi naomba utembee na kwangu🙏🙏🙏
Naomba maombi haya yamkute mama yangu swalihia saidi apone kansa aliyonayo amen
Hujawahi kujiuliza kwanini wengi wanapenda hapo ni masikin wa kutupwa na wanawake
Ee mwenyezi Mungu niponye Namie mguu wangu na moyo wangu amen
Mungu naomba unibalikie familia yangu
naomba mungu ukaniponye kwa damu yako ewe bwana nisaidie
Naomba na mm nifunguliwe tumbo kwa jina la YESu nipone😭🙏
Mungu niponye mwali wangu
Eeeeeh mungu wangu Kama kunakifungo ndan yangu nisaidie mungu wangu
mungu nijalie madonda yatumbo nikaone
Napokea uzao wa tubo langu kwa jina la yesu no
🇹🇿🇹🇿🇹🇿Ndio Mchungaji wa Mungu Baba Jehovah sema sema Kawe hapatutoshi kwa jina la Yesu Kristu Amen 🙏🙏🙏
Jina LA yesu libarikiwe na mfalume wa uzima baba nakuheshim kws kazi njema ya bwana niko mbezi ameni
Nimefinguliwa😊nimebarikiwa
Naomba mtoto wangu Wilson afunguliwe darasani hajui chochote kwa jina la yesu
Mwamini Mungu mwema atafanikiwa
Ni naomba uniponye miguu yangu na upnyaji was mungu unisaidie
Thank you Jesus now im free
Napokea huo uponyaj na mimi kea jina la yesu
Asante baba
Amin napokea uponyaji na family yangu
Amina napokea na kaka zangu wabarikiwe
Napokea kwa jina la yesu
Nguvu za shetani zinafanya kazi sana kanisani.shetani ashindwe.
Mungu wa mwamposa naiman mda huu napokea muijiza hapo hapo
Wao mm nyota kubwa mm ibrahulimu ramadhani
Napokea na mdogo wangu apokee kwa damu ya yesu
Napokea katika jina la yesu
mimi terezia napokea uponyaji juu ya mwili wangu
Eemungu naomba na mimi km nina vifungo vilivyoko kwenye mwili wangu vitoke kwa kina la yesu
Napokea kwa jina la yesu
Mungu naomba namimi nifunguliwe kiuchumi
mungu niponye
Napokea uponyaji kwa jina La yesu Leo
Nabarkiwa nawewe nabii
Naombaa no yak mwampis
Naunganisha biashara yangu na madhabahu ya mwamposa
Naipokeya kwajina lá yesus
nipongea..amen
Naomba mapacha we mung nisaidie kuanzia Sasa kwa iman nitapata
Amen kwa jina la yesu
Mungu niponye Na mm
Nashukuro pakukua nawewe usiko kama huu
icho kizungu chenyewe ni cha ukora,eti mighty in the name of jesus
Anasema Mighting Name of Jesus,Nenda Nigeria ukajifunze Kiingereza
Wewe Hujui Almighty God ni nani??
Hahhahhahahhahah
Nimeponyw nimebarikiw amina
Ulikuwa unaumwa nin
Baba naomba balaka zako sasa
amen
Napokea uponyaji wa miguu na tumbo,vidonda vya tumbo katika jina la yesu.
Shetan kuzimu lazima atetemeke; ubarikiwe babs
Ameeeee baba
Napokea baba
Ameniiii
Nataka mchumba angu Benjamin charles yyte yule anesumbua kwa nguvu za giza kwa uchawai umuachia kwa jina la yesu
Nimeinuliwa
Nataman kuongea na mtumishi naomba namba y cm mungu akubariki
Aminaaa
Mungu.tenda
Hahahaaaaa unakula baba kiulainiiiiiii kama unanawa ila mbelen kuna adhabu kali sana
Hahhahhha
Nataka mchumba angu Benjamin charles mhare nikikutana nae umeme wake urudi kama zamani ktka jina la yesu amani
Ameen
Baba mi nilikua nashinda ya maombi
💪💪
Nice
Kuanzia sasa nimefunguliwa,,niponywe tumbo langu🙏
Naamin amina
Napokea Kwa jina la yesu na mdogo wng nae apone huu gonjwa wakujaa maji tumbon
Nataka majibu yangu ya maombi yngu muda huu
Napokea uponyaji kwa jina la yesu
Mwehu aende muhumbuli akaponye kila siku watu wako muhimbili sehemu mbalimbali wanamatatizo kibao unaleleta ukhanisi2
siuwende muimbili jamani mbona wagonjwa wengi sana
Mimi upendo sifueli mtui napokea kufunguliwa kiuchumi, wanangu wawe werevu shuleni ,, naninahitaji ndoa kujega usafiri
Buwana ntume nakusalimiya samaani nakuomba apa naogeya mozabimque Palma saamani mukiwa ijuma ya ugusiye jina langu naituwA sabina françisco naumwa Mimi yani maali Sina ata npango ela ya kufiya uko lagini nateseka Sana apa nandika uku naumiya nazingatiya maonbi laki kupitiya kwenye simo,
Napokea Amen
Naa mini kupokea biashara nzr ya kumpendeza mungu
Mh nacheka km mazuri uislamu
Naomba kujua ss wamikoan tupate hayo maji
Tunaombeni no ya nabii jamn plz
ata sioni ajabu maana tushaambuwa dakika za mwisho manabii wa uongo watatokea si ndo hawa sasa
Sema watu Wana Mateso mengi
Dah sikupingi
Nataka majibu ya maombi ynguu muda muda huu
Nataka mchumba angu Benjamin charles mhare ukupitia maombi haya umeme wake urudi kama zamana ktk jina la yesu amani
Nataka majibu ya maombi ynguu muda huu
Amen kbwaaaa
INALILLAH WA INA LILAAH RAJUNI...HUYU NI MTUME WA TANZANIA...SASA SIJUWI NI MTUME WA KARNE GANI...MAANA MTUME WA MWISHO NI BWAN MTUME MUHAMMED (S.A.W)...hakikaa mwisho wa dunia ume fikaah...haya yanayo fanyika yalisha tabiliwa.. .watakuja manabii wa uongo na watakuwaa na miujiza....
Sasa Muhamad atafufuka Tena??au ndo imetoka Mbwa alimtoa kaburini na Nguruwe wakajichana??
Anatumiya uchawi freemanson hawo
@@zalhathasaid2060 na wewe tumia freemason
naumwa...na..masikiyo
Mbona kuna ambao hawajapona tunao na mimi ni mkristu ila nasema ukweli waletunaowajuwa hawajapona na hamnaga maombi ya pesa pesa ndoinamfanya amtaje yesu
Sina zaidi ya mungu pekee
Mtumishi naomba uponye joy anaumwa sana
Mwampoza levi
Bwana yesu asifiwe mchungaji? Mi naitwa agness Daniel ni mgonjwa wa mwili mzma nime subscribe leo channel yako naomba maombi yako mchungaji
Ameni ubalikiwe mtume
Mimi upendo sifueli mtui napokea kulipa nyumba Kazi nanifungue kwa haranga nipate wateja hatari
Jamani mbona hawmtaki wokovu wa robo bali miujiza