Masuala 4 Muhimu kwa Wakulima Wadogo yaliyonenwa na Dr Bashiru Ally, Siku ya Kwanza ya Kongamano

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2018
  • Masuala Manne Muhimu kwa Wakulima Wadogo nchini yaliyotolewa na Dr Bashiru Ally, Katibu Mkuu wa CCM katika siku ya kwanza ya Kongamano la Wakulima la kuadhiimisha Miaka 25 ya MVIWATA

ความคิดเห็น • 73

  • @marijanimohamed8875
    @marijanimohamed8875 ปีที่แล้ว +10

    hiii ilikuwa miaka 4 iliyo pita ana kemea unyonyaji leo awamu ya 6 ana ongea yale yale watu wana mshambulia

  • @akidahamad142
    @akidahamad142 ปีที่แล้ว +5

    Mm nlkua ckupendi lakn daah umenikosha sana ccm ni washenz uko ok kwa ukweli huu nimekukubali tu

  • @shabaniathumani1789
    @shabaniathumani1789 ปีที่แล้ว +8

    Jamani wenzangu watanzania mnamuona rais huyo roho ya baba yet magufuli hiiihapa

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa237 ปีที่แล้ว +15

    JPM kumpa cheo cha Ukatibu Mkuu kwa wakati wake, hakukosea kabisa
    Asilimia kubwa ya mali za ccm zilikua mikonomi / milikiwa na watu binafsi.
    Bashilu kazirudisha mali zote mikonomi mwa ccm.akiwa mwenye wa kamati ya JPM.
    Hivi sasa CCM ina pesa za kutosha kwa kazi ya uadilifu aliyofanya Bashilu.
    Kweli hakutakiwa kushambuliwa vile na baadhi ya viongozi .

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 ปีที่แล้ว

      Kabisaaa

    • @robertouko5264
      @robertouko5264 ปีที่แล้ว

      Bashiru alikuwa anasifia hata matope yalokuwa kwenye kiatu cha m/kiti wake wakati huo ,kwa sasa kakosa chai akaona bora alalamike.

  • @barakajeremia
    @barakajeremia ปีที่แล้ว +8

    Kama viongozi wa nchi hii wangekua Kama Bashiru anavyoongea,kwa vitendo kweli nchi yetu ingekua Kama Dubai Ivi.

  • @onesmojeremia9713
    @onesmojeremia9713 ปีที่แล้ว +8

    Kichwa ni kichwa tu ,acha wakupige mawe ila uwezo unao ,siku zao zinakaribia watachomoka.

  • @estermathias8354
    @estermathias8354 ปีที่แล้ว +4

    YESU akulinde sana na ujasiri wako kwà kusema ukweli uongezeke

  • @geofreydulle3138
    @geofreydulle3138 ปีที่แล้ว +6

    Bashiru nimekuela sana.Hakika umewachoma wengi.

  • @robsonlotyloy5678
    @robsonlotyloy5678 3 ปีที่แล้ว +8

    Wewe kaka bado ni mwalimu. Mungu akulinde.

  • @ramadhanmgaya1775
    @ramadhanmgaya1775 ปีที่แล้ว +4

    Can you imagine Hapa Dk Bashiru alikua Katibu Mkuu wa CCM. Siku zote mtu mwema hata akiwa kwenye genge la mashetani hubaki na wema wake.

  • @solomonmasanja7111
    @solomonmasanja7111 5 ปีที่แล้ว +9

    Heshima kwako Dr Bashiru

  • @fidelisboss1853
    @fidelisboss1853 ปีที่แล้ว +3

    Uko sawa mheshimiwa bashiru

  • @martinmukude8258
    @martinmukude8258 ปีที่แล้ว +2

    Good good good....nimekuelewa

  • @bonykisute8158
    @bonykisute8158 ปีที่แล้ว +6

    Unasema kweli endelea hivyo hivyo

  • @ustadhabdulkariimpuma8953
    @ustadhabdulkariimpuma8953 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akulinde. Ujasiri wako ni tumaini kwa mustakabali wa taifa. Kupambana na adui yahitaji uzalendo, umoja na mshikamano.

  • @bishopkulwajz209
    @bishopkulwajz209 ปีที่แล้ว +9

    Hotuba kama hizi ni za muhimu sana,watu wasiojielewa waweza kuzikejeli lakini huu ndio ukweli wa watu wanataka Maendeleo ya walio wengi.

    • @salomewandya7257
      @salomewandya7257 ปีที่แล้ว +1

      Wakina Msukuma

    • @robertouko5264
      @robertouko5264 ปีที่แล้ว

      Pindi akiwa katibu wa ccm alikuwa anasifia kama baba levo anavomsifia diamond

    • @edwardmizambwa237
      @edwardmizambwa237 ปีที่แล้ว

      @@robertouko5264 hiyo ni fadhira ya punda.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 ปีที่แล้ว

      Kwa kauli hii ambayo aliitoa akiwa Katibu Mkuu wa CCM rasmi Dr. Bashiru namtoa dismissed. Alichosema hapa akiwa Katibu Mkuu wa CCM ndicho anachosema sasa.

  • @elfacechongera6648
    @elfacechongera6648 ปีที่แล้ว +5

    Tanzania kuna watu wana akili Lakini wanasiasa wasio wazalendo wanaliangamiza Taifa hili#

  • @elfacechongera6648
    @elfacechongera6648 ปีที่แล้ว +8

    Mtu na nusu Bashiru# kweli wewe ni Dr
    Siku zote Uko katika watu nawaombea sana#

  • @zuenamkombola1873
    @zuenamkombola1873 ปีที่แล้ว

    Mungu yupo pamoja

  • @ayangaotacho2057
    @ayangaotacho2057 ปีที่แล้ว +3

    Watu kama ninyi msema kweli CCM haiwataki

  • @SeekerMaulid
    @SeekerMaulid ปีที่แล้ว

    Wanakuchafua lakini, dhahabu kila ukiichafua ndio unaing'arisha. Na watu watakujua zaidi kila wakikuchafua, sababu watataka kujua nini umefanya. Nimekukubali :)

  • @elisantemrita9490
    @elisantemrita9490 ปีที่แล้ว +6

    Mbona dr ameongea point kubwa sana na nzuri sana

  • @nestor384
    @nestor384 ปีที่แล้ว

    The genius Dr Bashiru

  • @barakaisiraeli
    @barakaisiraeli ปีที่แล้ว +1

    Mbona hata hapa kipindi Cha magufuri akiwa kama katibu mkuu anazungmza kizalendo manyumbu kina lusinde hayaelewi

  • @emanueldaud2962
    @emanueldaud2962 ปีที่แล้ว

    Upo vzr ktb mkuu

  • @sodamkurasi9729
    @sodamkurasi9729 ปีที่แล้ว +2

    wanufaikaji wapo ira wanasikia Kwa hir atukubar bashiru tunakuombea maana ukwer unauma

  • @ramadhanmgaya1775
    @ramadhanmgaya1775 ปีที่แล้ว +1

    Akili nyingi inapigwa mawe na wahuni ambao wapo madarakani kwa maalahi yao. Masikini Tanzania. Hii ilikua Kali kuliko hii kauli ya juzi ambayo wahuni imewachoma.

  • @solomonkahuta5154
    @solomonkahuta5154 ปีที่แล้ว +2

    Dr. Bashiru nimekuelewa kuwa ulianza kuwapigania Hawa ukiwa bado upo madarakani. Wanaokushambulia Sasa hivi hawana hoja zaidi ya uchawa. Walikuwa wamekitafina chama ukawadhibiti hivyo wanakuchongea eti kwa Raisi atengue ubunge wako. Toka awali msimamo wako kuhusu wakulima wadogo

  • @ndeyeeeconomistplatform4835
    @ndeyeeeconomistplatform4835 ปีที่แล้ว +1

    Academician speech.

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 ปีที่แล้ว +4

    Sasa hapo kosa la Bashiru ni nini?
    Mbona amehamasisha kuhusu upigaji wa kura? Kwamba Watanzania waelewe umuhimu wa Uchaguzi.,Kwanini anatuhumiwa kuwa amemkashifu mwenyekiti?

    • @axmedcumar6196
      @axmedcumar6196 ปีที่แล้ว

      Ujue hii ni hotuba ya miaka minne nyuma tokea Magufuli yupo hai
      Yaani yeye BASHIRU always Anaongea ukweli tokea JPM yupo hai anawatetea wakulima wadogo
      Nashangaa Juzi wameona kama anaongea mambo mageni

  • @johnpella8703
    @johnpella8703 5 ปีที่แล้ว +1

    Hotuba nzuri sana Dr; lakini ina uhalisia wowote kwenye uwanja wa siasa? Nani anaimba 'mbele kwa mbele?' 2020 inakuja.

  • @jackobmathias8687
    @jackobmathias8687 ปีที่แล้ว +1

    Kaka tunakupenda mtetezi baba

  • @mackb44
    @mackb44 ปีที่แล้ว +2

    Hakika ulinena ukweli wenyewe

  • @shabaniathumani1789
    @shabaniathumani1789 ปีที่แล้ว +3

    Tayali mfumo wa pembejeo umefika tumeisha sisi

  • @mubarakmgunga4223
    @mubarakmgunga4223 3 ปีที่แล้ว +3

    mi5 tena

  • @martinmukude8258
    @martinmukude8258 ปีที่แล้ว +2

    Tunaomba tusaidie mashamba yaludi baba

  • @amosimwambembela4989
    @amosimwambembela4989 ปีที่แล้ว +1

    Sasa Hawa wanalalamika Nini aliongea sawa sawa na alivyoongea sasa.

  • @josephatrugaiganisa5796
    @josephatrugaiganisa5796 ปีที่แล้ว

    Sasa unaweza elewa kwa nini, wauni Na wajanja, wanampiga vita Prof. Dr. Mh. Bashiru.

  • @joshuamamuya1339
    @joshuamamuya1339 ปีที่แล้ว +4

    Mbona sijaona kauli mbaya
    Kumbukeni huyu ni mbunge na kazi ya ubunge ni kuikosoa serekali

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf ปีที่แล้ว +1

    Stephen Wasira kakupiga za usso kwa kupangua hoja zako moja baada ya nyengine hahahaa "nimecheka sana" kumbe tupo na scad za kujibu mashambulizi kwa wachokoz ! . . .

  • @geofreydulle3138
    @geofreydulle3138 ปีที่แล้ว +4

    Umenena acha manyumbu wakulaumu.

    • @abdallhamjegele5582
      @abdallhamjegele5582 ปีที่แล้ว

      Izo ndio otuba ukisikia mtu zinatija adi mioyo yetu inasisimka Alafu watu wabampiga vita nikweli mti wenye matunda unapigwa mawe

  • @didasapolo1872
    @didasapolo1872 ปีที่แล้ว

    Huwa anaongea/anahutubia UKWELI mtupu Sasa kumbe hata kipindi akiwa kiongozi alikuwa akisema vizuri. Hotuba hii akiitoa Leo watasema msaliti.

  • @maphandeahmed7732
    @maphandeahmed7732 ปีที่แล้ว

    Wewe bashir ni kiongozi muhadirifu mzalendo wakweli

  • @fackazizi2170
    @fackazizi2170 ปีที่แล้ว +1

    Akili kubwa

  • @jofreysaimoni4964
    @jofreysaimoni4964 7 หลายเดือนก่อน

    Ali bashilu hapo nilikuelewa Sana nawale walio kuwa wanakulaumu nawakataka ujiuzuru namushauri rais akutengue wote walikuwa majizi makubwa

  • @adamnashoni9425
    @adamnashoni9425 ปีที่แล้ว

    Tumuishi huyu jamaa kwa wale wanaojielewa, viongozi wenye moyo wa huruma ni wachache sana kama Dr, BASHIRU,, narudia tena kwa wale wanaojielewa tuamke .

  • @stanslausmachege2179
    @stanslausmachege2179 ปีที่แล้ว +1

    Nikuelewa

  • @bahatijulius
    @bahatijulius ปีที่แล้ว +1

    Bashilu

  • @samsonmaiko6089
    @samsonmaiko6089 ปีที่แล้ว +3

    Leo una zungumza uhalisia Kama mtazania, kwakweli sijui zamani ulikua wapi haya usiyaonee??

    • @margarethsolomon9823
      @margarethsolomon9823 ปีที่แล้ว +2

      Hivi wewe umeangalia hii habari ni ya lini! Au unajibujibu tu. Haya aliongea miaka minne iliyopita. Huyu ni msema ukweli toka enzi hata za Magufuli. Acheni uoga na kutaka kusifia hata pasipohitaji sifa. POLE SANA.

    • @musamshema7838
      @musamshema7838 ปีที่แล้ว

      Kunawatu wanasema kwa JPM asingetoa hutuba kamahizi...hii ni hutuba ya wakatigani,? Hiinchibana inawatu watia aibu......inatokeamtu anajifanya kumkosoa kuwa katoa hutuba mbaya...nahapo ndiotajua watanzani bado tupombali kifikra na tunapendasana kudanganywa

    • @UlimeA
      @UlimeA ปีที่แล้ว

      Hii ni 4yrs ago nadhan 2018 au 19

  • @oswardchisunga1118
    @oswardchisunga1118 ปีที่แล้ว

    Watanzania tunamshukulu kwa mchango wake wa kushauli selkali ila tusishabikie sana aya nimaneno tu yanaongeleka lakin yasiwe na vtendo watu tumechoka maneno jpm alikuwa ana maneno mengi

  • @suphianmasasi2836
    @suphianmasasi2836 ปีที่แล้ว

    Dr. Bashiru
    Ulikuwa KM mbona hukuyatekeleza hayo ?

  • @allymohamed2724
    @allymohamed2724 ปีที่แล้ว

    MTU AKIWA MZIMA WA AFYA, UTAMSIKIA, " WEWE NINI WEWE NTAKUVUNJA VUNJA" SASA NGOJA AUGUWE, UBABE WOTE KWIAHA.
    " MUNGU WANĢU NISAIDIE OOOOH NAPATA TABU OOOOH NIONDOSHEE" NK.
    HAWA NA HIZI KELELE ZOTE WAPO KWENYE NEEMA KISHA WANAONA HAITOSHI WAONGEZEWE WAO LAKIN KUPITIA KTK HILA KAMA HIVI.
    SASA HII NEEMA UKITOKA NDO MTU ATAJUTA NA KUMTAFUTA MUNGU KILA KONA.

  • @adamnashoni9425
    @adamnashoni9425 ปีที่แล้ว

    BASHIRU BABA GOMBEA URAIS NDIO NJIA PEKEE YA MAMLAKA MAKUBWA YA NNCHI AMBAYO UNAWEZA KUFANYA ROHO YAKO INAVYOTAKA. NARUDIA TENA BABA BASHIRU GOMBEA UWE KAMA RUTO WA KENYA. nakuona wewe sio mtu ambaye unaweza kuongoza kwa katiba mpya sio kama wale eti katiba mpya sio kipaombele chao yaaani!!

  • @justinakaronge5270
    @justinakaronge5270 ปีที่แล้ว

    Ndugu kweli unaijuaga lkn ulivyokuwa katbu wa chama Cha mapinduizi ulijifanya kutokuijua kweli! Unafki haufai!

    • @braysonkomba2436
      @braysonkomba2436 ปีที่แล้ว

      Huo ukweli unaousifia aliunena akiwa Katibu mkuu wa chama 2018

    • @martinsimon9299
      @martinsimon9299 ปีที่แล้ว

      Hapa alikuwa katibu mkuu wa CCM, aliongea Hana uoga

    • @hamoudrushenya8650
      @hamoudrushenya8650 ปีที่แล้ว

      Fara sana wewe,hata kufuatilia hujui,hii ni hotuba ya miaka mine iliyopita akiwa KM wa CCM,kwa wanaojua Yale aloongea Juzi hawakushangaa!

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 ปีที่แล้ว +1

    Wakati wa madaraka aliongea vilevile kama Sasa pasipokuwa na Madaraka....
    Bashiru yuko sawa

  • @MohammedAli-ig9gr
    @MohammedAli-ig9gr ปีที่แล้ว

    Hawa chawa wakati jeshi linakwenda kuwanyanganya wananchi korosho zao hawakusema kitu