JE! NAWEZA KUZALISHA NYANYA KWA KUTUMIA SAMADI PEKE YAKE?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • Samadi ni kiungo muhimu sana katika uzalishaji WA MAZAO mbalimbali lakini pia katika urekebishaji wa afya ya udongo . pamoja na UMUHIMU WA samadi lakini ni lazima kutumia mbolea za viwandani kwa uzalishaji wenye tija.

ความคิดเห็น • 18

  • @TheAlman
    @TheAlman 9 หลายเดือนก่อน +2

    Jamani nani kaona ndugu yetu ananenepa hahahahahahahaaaaaaas😂😂😂😂😂😂😂😂
    Safi sana broo

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂❤️ Siri napenda ninachokifanya kinanipa uhuru wa moyo 😂😂😂😂😂😂🙏

  • @boazgodfrey865
    @boazgodfrey865 3 หลายเดือนก่อน

    Nmekuelewa sana kaka

  • @Thabitilubunani
    @Thabitilubunani 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mwalimu mzuri good teacher

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  9 หลายเดือนก่อน

      Asante sana endelea kubarikiwa 😀🙏

  • @hamadimziraymziray-ry4vi
    @hamadimziraymziray-ry4vi 9 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤nakusomaaa minja kilimo❤❤❤❤

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  9 หลายเดือนก่อน

      ❤❤🙏😂😂 endelea kubarikiwa ndugu yangu na mwanafunzi wangu Bora

  • @JumaLaiza
    @JumaLaiza 6 หลายเดือนก่อน +1

    Aisee nilichelewa sana

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  6 หลายเดือนก่อน

      Pole sana na karibu darasani uendelee kujifunza

  • @jameskapesa9699
    @jameskapesa9699 4 หลายเดือนก่อน

    Asante

  • @rachidenamicano5950
    @rachidenamicano5950 9 หลายเดือนก่อน

    ❤Unanisaidia sana kaka.

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  9 หลายเดือนก่อน

      Nashukuru kama nagusa maisha yako 🙏❤️

  • @alexjoseph6967
    @alexjoseph6967 9 หลายเดือนก่อน +1

    Uko sawa san

  • @cornelphilipo2976
    @cornelphilipo2976 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kaka je kuna tofauti ya mavuno kwa atakayetumia mbolea ya viwandani tu bila kutumia samadi

    • @emanuelminja2023
      @emanuelminja2023  9 หลายเดือนก่อน

      Hakuna tofauti wote watavuna sawa ila atakae tumia samadi faida yake ni kwamba atalinda afya ya udongo wake usichoke mapema

  • @RoseFute
    @RoseFute 7 หลายเดือนก่อน

    Mawazo mazuri nikikuzia mbolea ya kuku haitasaidia virutubisho vyote ?