Dubai ndio wanastali kupewa ongela kutokana na Jiji lao kuwa jangwa mpaka kuwa mji mzuli namna hii sio kitu kidogo akika Ina viongozi imala 👏👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wap hong kong ,moscow , kuaralumpar ,singapore ,vancuva,soul korea los angles , tehran ,amstadam , newdeh india islamabad ,brasil,haya ni majiji tishio kwa sasa dunian fanya researh mpya
Sahivi majiji za China inatisha kwa uzuri duniani. Kun maji mmoja inaitwa Shenzhen, aise huo mji ni mzuriii sijawahi kuona. China,,,,, boss wa ulimwengu huu kwa sasa.
I like this type of documentary
Keep going sns ❤
Journalst iko vizuri saana
Nice
Dubai ndio wanastali kupewa ongela kutokana na Jiji lao kuwa jangwa mpaka kuwa mji mzuli namna hii sio kitu kidogo akika Ina viongozi imala 👏👏👏👏👏👏👏🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mbona una chekesha mwamba 😂😂😂😂😂😂😂
Hapo majiji makubwa ni Beijing, Tokyp na Istanbul. Unatajaje miji 10 bila kuiweka Shanghai?
Miji ya wenzetu inabadilika ila yetu ibaki kizamani ili ivutie wataliii.
#UNESCO
Wap hong kong ,moscow , kuaralumpar ,singapore ,vancuva,soul korea los angles , tehran ,amstadam , newdeh india islamabad ,brasil,haya ni majiji tishio kwa sasa dunian fanya researh mpya
Bangi zinakuharibu kijana
Mbona hatelezi vyakwetu tunaeleza zawenzetutuu
Saint Petersburg au Moscow
Rome zama za zamani inaonekana walikuwA wabunifu
Ungewacha kdg mambo ya Israel kama wiki moja hivi. Tuone inakuwaje.
Inakuwaje Nini huja ereweka.
Eleweka sio ereweka @@FreedomFighter-i8o
@@FreedomFighter-i8o eleweka sio ereweka...
Hii Research haijakaa Sawa Uko wap Mji wa St Petersburg mji wa Kale Kabisa Ulaya?
Uwezi linga Nisha na roma
Sahivi majiji za China inatisha kwa uzuri duniani. Kun maji mmoja inaitwa Shenzhen, aise huo mji ni mzuriii sijawahi kuona. China,,,,, boss wa ulimwengu huu kwa sasa.
Mbona una chekesha mwamba 😂😂😂😂😂
Inaelekea warumi waitawala Europe yote miji uliotaja walinzisha wao
Nyinyi kazi yenu nikupalilia yawatu weupe yakwetu munapaka matope munauzi saana
Mbona sioni mwanza uko😂😂😂😂😂😂
Kilimanjaro itakuwa kama Kilimanjaro 😂😂😊
Mungu atusaidie hakuna City Africa? Ilioendelea?😂😂😂
Na Cairo ni wapi?
Dabui ndo wp
Ni Emirates
Hata Sisi hatujui