MCH HANANJA ACHUKIZWA NA USHOGA, AGEUKA MBOGO, NI LAANA KUBWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 102

  • @davidmnyela2459
    @davidmnyela2459 ปีที่แล้ว +19

    Bwana Yesu asifiwe Kwa Kumjalia huyu baba hekima na maarifa(IQ).🙏🙏🙏🙏

  • @kaimasawe1919
    @kaimasawe1919 ปีที่แล้ว +10

    Huyu mchungaji ni zaidi ya mchungaji.. Mungu akubariki Sana

  • @danielshonde5497
    @danielshonde5497 ปีที่แล้ว +18

    Huyuu mchungaji ananimaliziaga mb aisee yaan hata kama clip ina lisa a lazima nimalize yote

  • @kalfanabasi4703
    @kalfanabasi4703 ปีที่แล้ว +4

    Huyu mzee nampenda sana anasema ukweli katka Kila jambo hongera mzee

  • @emmanuelmsangi7793
    @emmanuelmsangi7793 ปีที่แล้ว +6

    HATUKO SALAMA! HANANJAA tumekusikia Mlezi wetu

  • @timotheontibayaga-lq2xx
    @timotheontibayaga-lq2xx ปีที่แล้ว +75

    namkubali sana uyu mtumishi wanao mkubali kama mimi like zunu nahitaji na ekuwa wa kwanza weka like acha wivu

    • @roseyohana3500
      @roseyohana3500 ปีที่แล้ว

      Huyu baba ni.mchumgaji.wa pekee kweli sasa mafundisho ni.yakupakea nyba. Mahali mume mke pesa hivi anavyosa ma ni.wachache sana wanaoogea tena.soo.kwa msisitzo

    • @nativeGold.10
      @nativeGold.10 ปีที่แล้ว +1

      Mzee yupo na busara saana uyuu Tena saana..mungu amjalie miaka 1000😂😂🙌🙌

    • @michaelbengesi9838
      @michaelbengesi9838 ปีที่แล้ว

      weka like

    • @esturidaruvanda758
      @esturidaruvanda758 ปีที่แล้ว +1

      Asante baba ongea kwa kadili mungu anavyokuongoza

    • @mariakinga1125
      @mariakinga1125 ปีที่แล้ว +1

      @@roseyohana3500 hhh

  • @rosembwambo6079
    @rosembwambo6079 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki sana Mtumishi mwema wa Mungu....hakika unaihubiri injili kama ilivyo wala huhubiri kwa kumfurshisha mtu bali kutulisha neno la Mungu....Mungu yu nawe...

  • @hansisimion2538
    @hansisimion2538 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana mtumishi mungu akupe nguvu

  • @matrida.lunyilija5196
    @matrida.lunyilija5196 ปีที่แล้ว

    Amina baba mchungaji ni jukumu letu sote kusema sasa maana hali sio nzuri kwa kweli watoto wetu wanaharibika sana tunakoelekea tutakosa matunda yatokanayo na watoto wetu,Ee Mungu tuondolee janga hili

  • @matumokimatumoki6424
    @matumokimatumoki6424 ปีที่แล้ว +6

    MUNGU Akubariki sana mtumishi wa MUNGU 🙏

  • @sebastianharun800
    @sebastianharun800 ปีที่แล้ว

    Mchungaji mm nakukubari Mungu akubariki

  • @asteddomician9468
    @asteddomician9468 ปีที่แล้ว +2

    Sema Baba tupone... ,,,, Hatutakiii.... Tamaduni za kigeni.. 😭😭

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubali sana mzee wangu

  • @AlexKaaya-i6d
    @AlexKaaya-i6d ปีที่แล้ว

    Mungu akutunze baba msema keli

  • @amirigogolo6004
    @amirigogolo6004 ปีที่แล้ว +2

    Hakika hongera pr hananja Mungu awe nawe

  • @bedamnamalalikonda1124
    @bedamnamalalikonda1124 ปีที่แล้ว +3

    Umezungumza vema mchungaji Hananja, ubarikiwe kwa hekima na busara zaidi, Amen.

  • @SamwelSauzande-yz6we
    @SamwelSauzande-yz6we ปีที่แล้ว

    Hongera mtumishi Kwa kusema ukweli juu ya hili la ushoga,ambalo limekuwa taabu sana duniani.

  • @mosesgasana7109
    @mosesgasana7109 ปีที่แล้ว +1

    Asante mchungaji🙏ushoga TZ upo kabla ya uhuru. Na tafsiri sahihi ya ushoga/usenge ( gays) ni kwa wanaolawiti na kulawitiwa. TZ inasifika sana kwa ushoga tangu kitambo hasa ukanda wa Pwani na sasa umesambaa ukanda wa bara. Utandawazi pia umechangia sana kuhamasisha ushoga nchini.

  • @robertsilington-cu4dz
    @robertsilington-cu4dz ปีที่แล้ว

    Amen ubarikiw sann

  • @MichaelMathew-ke6bi
    @MichaelMathew-ke6bi ปีที่แล้ว

    Amen!! Nimekuelewa kwelikweli. Ubarikiwe sana boss hahahahahaha😂😂😂😂 serikali haina matiti serikali haijabeba mimba. Unanichekesha kwelikweli hahahahahaha aise raha kukaa na huyu mtu wa Bwana. Amen.

  • @BM_Smart2-6
    @BM_Smart2-6 ปีที่แล้ว

    Very true.

  • @monikamadahamasanja2868
    @monikamadahamasanja2868 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe bb

  • @dankhany3385
    @dankhany3385 ปีที่แล้ว +1

    hananja you are best

  • @imanimwandosya370
    @imanimwandosya370 ปีที่แล้ว

    Mchungaji Richard hananja, wewe ni mchungaji mzuri sana, unajua kuitafsi biblia.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว +1

    Mwizi akipigiwa kelele hata na MTOTO mdogo atakimbia tu. MZEE HANANJA UNATIBU UBAYA WA KILA AINA. NENO LA MUNGU UNALIJUA KINDAKINDAKI. ASANTE MTU WA MUNGU. BARIKIWA BABA KUHANI UWE NA MAISHA MAZURI MAREFU. USHOGA NI MBAYA.

  • @laurentmyeule859
    @laurentmyeule859 ปีที่แล้ว

    Amina baba mchungaji

  • @stevenmbonaga8306
    @stevenmbonaga8306 ปีที่แล้ว

    Mzee huyu ni sawa na jiwe kuna wakati Yesu alisema "ninyi mkinyamaza mawe haya yataongea"

  • @mucochanella1672
    @mucochanella1672 ปีที่แล้ว

    Mungu akubaliki pasta

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 ปีที่แล้ว +1

    Le Profecel Hananja

  • @donathakimaro5276
    @donathakimaro5276 ปีที่แล้ว

    Jamani mchungaji umenisaidia kila siku nasikia shoga lkn anafanya naye hasemwi kwa kweli inashangaza

  • @jessewilson4183
    @jessewilson4183 ปีที่แล้ว

    Brilliant hananja

  • @celifpower4993
    @celifpower4993 ปีที่แล้ว

    Nimependa alipo uliza Kuna nini kuna nini jogo akawika jamani amkeni tukemee haya mambo.

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 ปีที่แล้ว +1

    ASANTE KWA HANANJA.MUNGU AWE NAWE

  • @mosobatv
    @mosobatv ปีที่แล้ว

    Amen

  • @ruhigomayala443
    @ruhigomayala443 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mchungaji anafundisha sana

  • @JosephShija-no8cs
    @JosephShija-no8cs ปีที่แล้ว

    Sass mzee kwenye mashule zinapelekwa misada, zenye madawa ndani ake, zinazo asili ushoga.vp hilo unalizungumziaje

  • @ts9dna862
    @ts9dna862 ปีที่แล้ว +1

    We dem nakukubali

  • @dankhany3385
    @dankhany3385 ปีที่แล้ว +2

    hivi kwanini hananja awakuelewi

  • @hadija846
    @hadija846 ปีที่แล้ว +1

    🙏😍💯

  • @MarandaIhonde-qe6df
    @MarandaIhonde-qe6df ปีที่แล้ว

    mngu akupe maono hananja

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว +1

    UNYUMBU! UNYENYEKEZI! HAKI INADAIWA. UBARIKIWE MTU WA MUNGU.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Ni kwa sababu kuna baadhi ya wakubwa wanaopewa mamilioni ktka kundeleza biashara hiyo.Bila kumsahau Tundu Lissu na Fatma Karume na wenzao😢

  • @myself4128
    @myself4128 ปีที่แล้ว

    Tatizo la hapa Tanzania Tunasifia wafiraji na kuwadharau wafirwaji wakati wote ni Mashoga tuu!! hiwezi kufanya tendo la ndoa Na mtu wa Jinsia moja ukawa tofauti nae woote mpo sawa!kundi moja!!!!motoni

  • @honestmsigwa920
    @honestmsigwa920 ปีที่แล้ว +3

    Hili tatizo inatakiwa rais atoe tamuko haraka sana mbona Yuko kimya Kuna nini au serikari inafaidika na nini.

    • @prosperkisama655
      @prosperkisama655 ปีที่แล้ว +2

      Tayari ina semekana kuwa wamepitisha ndio maana wako kimya kwann Kenya wanajadili bungeni, na Uganda wamekataa kabisa hadi wamefungiwa misaada na walisema Kama hamkubali hakuna misaada Sasa sisi hii misaada kwann ipo?

    • @jeanmuzaliwa9023
      @jeanmuzaliwa9023 ปีที่แล้ว +1

      raïs wenu kasha sainii kitambo mbona yy ni kibaraka cha wazungu!

  • @GasperJoseph-qd3mj
    @GasperJoseph-qd3mj ปีที่แล้ว

    Nimekubali chifu

  • @safiam5338
    @safiam5338 ปีที่แล้ว +1

    Binadam ajitayarishe kwa pigo la Mungu nakma zinakuja

  • @suzanamwangingo2995
    @suzanamwangingo2995 ปีที่แล้ว

    HANANJA MDOMO UNAGOMA

  • @shukurumgimba4884
    @shukurumgimba4884 ปีที่แล้ว

    kuna mambo yakishazoeleka kwenye midomo na masikio ya watu ni hali ya hatari sana. Imeandikwa uasherati usitajwe kamwe

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 ปีที่แล้ว

    Kusema sema kuhusu ushoga haitasaidia vyo vyote. Weka sheria kama Uganda.!!!! Mambo kwisha!!! Acheni usenge wa kuongea ongea.

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 ปีที่แล้ว

    Aisee🙌🏽

  • @rashidkihunga2938
    @rashidkihunga2938 ปีที่แล้ว +1

    memory card isio chuja hananja oyeeeee.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 ปีที่แล้ว

    Watendao makosa haya, kamwe hawauona UFALME wa MUNGU unashughulisha MWILI KIPEPO na kishetani. TOBA tu hapa ilipofikia.

  • @nickmpanzi
    @nickmpanzi ปีที่แล้ว

    Mithali 1:10

  • @GasperJoseph-qd3mj
    @GasperJoseph-qd3mj ปีที่แล้ว

    Atar Sana!!

  • @nenolakristomaisha.5611
    @nenolakristomaisha.5611 ปีที่แล้ว

    NIMECHEKA MPAKA MWISHO MIMI.

  • @brycesonmswia
    @brycesonmswia ปีที่แล้ว

    yalikuwepo tangu enzi ila sasa yanatangazwa hatharani

  • @MarandaIhonde-qe6df
    @MarandaIhonde-qe6df ปีที่แล้ว +1

    hananja vipi hii 50kwa50 miaka yabadae itakua itzaa matunda

    • @musason1680
      @musason1680 ปีที่แล้ว

      Hamna hata kidgo hii ndo inatupereka kubaya

  • @honestmsigwa920
    @honestmsigwa920 ปีที่แล้ว +1

    Vijana wanakula Bata mwisho we wanabatulia ,hii nimekukubali.

  • @dankhany3385
    @dankhany3385 ปีที่แล้ว

    familia zebebe majukumu yao hananja wewe ni kiongozi wa jamii

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mtumishi anaongea kweli sana

    • @nasrapaul270
      @nasrapaul270 ปีที่แล้ว +1

      Ameena baba ubarikiwe

    • @mashramadhani1989
      @mashramadhani1989 ปีที่แล้ว

      @@nasrapaul270 Amen

    • @tigerhunter4775
      @tigerhunter4775 ปีที่แล้ว

      Umesema kweli mchungaji, lakini hili tatizo ni jambo linalokumbatiwa na watu wenye nguvu za kuwanyamazisha wale wanao kemea.

  • @milliardere9177
    @milliardere9177 ปีที่แล้ว

    Kila neno na neno nakubali mzee

    • @mapiganonzwanga
      @mapiganonzwanga ปีที่แล้ว

      Hakika maneno yako ni tiba pia

    • @dingasagg5876
      @dingasagg5876 ปีที่แล้ว

      Mchungaji Mungu akubari sana jamani kwanini wengine wasifuate Injili hiii wengine tunabembeleza injili big up pastor hananja

  • @musason1680
    @musason1680 ปีที่แล้ว

    Mlezi wang wa kiroho

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 ปีที่แล้ว

    Ni n amku b ali huyu bab a.

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw ปีที่แล้ว +1

    Watu wanajificha kwenye makanisa hivi unaweza kuunga mkono ushoga watu ni mapepo wanao tembea na biblia ilisema tutawatambua Kwa matedo Yao.

    • @richardmollely2933
      @richardmollely2933 ปีที่แล้ว

      Sawa kabisa mtumishi wa Mungu kwa ujasiri mkubwa hivi ni kukataa kabisa ushoga na usagaji ni laana karibu Arusha

  • @zaitunirashidi5532
    @zaitunirashidi5532 ปีที่แล้ว

    Unyumbuuuu

  • @jasirimjasirimedia7940
    @jasirimjasirimedia7940 ปีที่แล้ว +2

    th-cam.com/video/eRkt0Da35e0/w-d-xo.html tukatae ushoga Kwa nguvu zote

  • @marcelpaulbiste5268
    @marcelpaulbiste5268 ปีที่แล้ว +1

    Amen