SEHEMU YA PILI YA SINGLE MAMA CLUB - KUTANA NA MARIAH MAMA WA WATOTO WA WILI AKIELEZEA HISTORIA YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 43

  • @mariamkibindo1741
    @mariamkibindo1741 10 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana dada 😢😢ni mitihan TU yataisha yote haya MUNGU akujalie rizki uzid kuwalea watoto wako🥹mim mwenyewe Niko na langu ROHONI namuomba MUNGU Afya njema na uhai nizid kumlea mtoto Wang 🥹 alhamdulillah

  • @AdelaAsagwile
    @AdelaAsagwile 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nikupe pole na hongera pia kwa kuvuka changamoto zako nyingi mpaka Leo umeonana na doctor huyu Mungu amtunze kwa ajili ya singles mom wengi ,nimejifunza sana coz hata mm I'm single mom nimepata hope sana ,nimeandika nilikuwa siyajui yanisaidie ,kikubwa my dear yafuate ulipewa na doctor unaenda kuwa mama imara na Bora ,utawasaidia na wengine,Dada zamaradi hongera kwa kuwa na maono haya tunafikiwa watu wengi,Mungu akutunze na committee Yako yote,

  • @violetcyrillo1945
    @violetcyrillo1945 4 หลายเดือนก่อน +1

    You are wonderful Dr Ellie. Umemsaidia huyo dada na sisi pia kwa asilimia kubwa. Barikiwa sana

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 10 หลายเดือนก่อน +1

    Daaaaa nimelia kwa uchungu sana pole snaa masingle mother wote wallah kiatu chako kinanibana mim jamn

  • @KharinaYasser
    @KharinaYasser 4 หลายเดือนก่อน +2

    Pole mamy Mimi piya nimuhanga nimama wa watoto wa3 mtoto wangu wakwanza niachia akiwa nasiku 40 Sina msaada wa baba yake ninamreya mwenyewe babaake Yuko bize anakura maisha mtoto sasa ivi anamjuwa baba na anampenda Sana baba yake rakini baba ana msaada wowote zaidi ya kujigamba tu mtoto wangu mzuri rakini nimemreya mwenyewe katika misingi bola mtoto wangu kuanzia mchanga nimemsimesha mwenyewe nasasaivi Yuko from five tena kafaulu kipaji zote izo nijuhudi zangu na mungu tu kwaiyo piga moyo konde acha kuliya simama mungu ata kuwa pamoja nawewe

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pole dear,mkabizi Mungu,Sali sana muulize Mungu maswali yako,atakupa jibu,yako ndiyo ya kwangu,Mimi nilifishwa mme kaniachia watoto sita wadogo Ila napambana,sisi Ma single Mother hatuna hata support popote pia tunazarauliwa sana ,Ila mpambanaji wetu ni Mungu peke🙏🙏🙏

    • @pulikisia7963
      @pulikisia7963 4 หลายเดือนก่อน

      Kabisa dear,Mungu ndio anamajibu yote.Nawaombea Masingle Mothers wote Mungu awafanyie wepesi.❤🙏🏿

  • @angelmayegar8723
    @angelmayegar8723 10 หลายเดือนก่อน +2

    Mwanamke jasiri sana huyo, ningekua mimi neno moja kilio saa zima

  • @MonadiNadi-j6s
    @MonadiNadi-j6s 4 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana wazur ukijifunika nao shuka tu hao tuishi nao kimtindo

  • @mwanamnyika4085
    @mwanamnyika4085 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana tuko nyuma Yako mbona change moto tunazo wengi pole single Mather mwezangu bola wewe umerea miaka mitatu Mimi nalea watoto wa tatu peke yangu Sasa miaka 9 😢 lakini sijawai kumusisha na kitu chochote na yupo na mtoto mdogo kamkataa kabisa 😢 na Mimi sikujari kwa sababu najua ndio baba Yao watoto wangu sio kama najiweza sana hapana najaribu kujikaza na kuzarau na kuyatoa maumivu hili niweze kuishi na kuwatunza watoto wangu

    • @sarahkundy9411
      @sarahkundy9411 10 หลายเดือนก่อน +1

      Polee sana ila hili janga la kulea mtoto Peke yetu ni janga la Taifa Mungu atusaidie mm nalea mtoto pia Peke yangu

  • @lydiakyalo4750
    @lydiakyalo4750 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dr Ellie has very good advise tips,thanks to him
    For Single mams take heart si rahsi, my prayers Mungu atutangulie

  • @rosemanase9663
    @rosemanase9663 4 หลายเดือนก่อน

    Pole dear. Mungu atutetee jamani. Nimelia sana kwa sababu nimejikumbuka. Tunaomba na mimi nisikilizwe labda tutapona

  • @BimHamdi
    @BimHamdi 4 หลายเดือนก่อน

    Dr ellie namkubali sana yaani napenda kusikiliza miongozo ya video zake

  • @husaynjibreel3605
    @husaynjibreel3605 4 หลายเดือนก่อน

    Pole san dada na hongera mwamini sana mungu na ninaimani mungu atakufanyia wepesi san mmy

  • @AminaJuma-z2c
    @AminaJuma-z2c 4 หลายเดือนก่อน

    Pole sana usijar pambana mungu yupo tupo weng wenye izo changamoto mapito tuy ayo watakua

  • @sarahkundy9411
    @sarahkundy9411 10 หลายเดือนก่อน

    Hii historia ni yangu kbs yaan kama umenizungumzia mimi😭😭 Mungu atusaidie kwa kweli

  • @RachelLaizer-n2p
    @RachelLaizer-n2p 4 หลายเดือนก่อน

    Dda msaada unsopata hapo sikiliza sana ila suala lako liko kiroho muimbe Mungu sana masna hayo ni matatizo yalioko kifamilia kiukoo kuna familia zina cheni ya kutokaa na wanaume au kupata wanaume sahihi wanapata mahusiano ya mateso soma ramani na uombe Mungu ulee watoto huku ukimsihi Mungu akuonekanie ila usikurupuke utajuta zaidi unaweza kuzaa watoto hata saba na baba tofauti na wakakuacha tulia omba

  • @echosoundchannel677
    @echosoundchannel677 4 หลายเดือนก่อน

    Hongera sana aisee natamani sana kupata nafasi ya kueleza yakwangu mm ni single mother wa watoto 3 lkn Mungu ananipigania sana

  • @sarahkundy9411
    @sarahkundy9411 10 หลายเดือนก่อน +1

    Aiseee Mungu akutie nguvu 😢😢

  • @pendosailo1989
    @pendosailo1989 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mjiepushe na kuzaa na waume za watu... haiwezi kuwaacha salama. Ninushauri tu kwa wanawake na wadada.

    • @limoghasia321
      @limoghasia321 3 หลายเดือนก่อน

      Msikilize vizuri kama hao aliozaa nao walikuwa wa watu

  • @nurumasha
    @nurumasha 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna hao singel mother wasio na waime halafu kuna sisi tunawaume lkn ni kama singelmother mpaka daftari unanimia mwenyewe😢

  • @Hanifa4-d4q
    @Hanifa4-d4q 4 หลายเดือนก่อน

    Namkubali sana huyu baba❤❤

  • @SiwaMudrick-ny3cc
    @SiwaMudrick-ny3cc 4 หลายเดือนก่อน

    Acha kabisa,inaumiza sana

  • @MonicaEmanuel-z7w
    @MonicaEmanuel-z7w 4 หลายเดือนก่อน

    Dada. Mungu. Nifund. Mwenyewe kajipeleka. Maakamani na mung u atasimama nawewe

  • @lucymtui8680
    @lucymtui8680 4 หลายเดือนก่อน

    Thanks Dr Elli😊

  • @Rahmapastory
    @Rahmapastory 4 หลายเดือนก่อน +2

    Hakuna atakayeelewa ,hama siyo single mother, tukipewa fursa ya kuongea ,kila mtu Ana ĺakwake .Allah awasimamaye single mother wote !

    • @rehemafeysali4444
      @rehemafeysali4444 4 หลายเดือนก่อน

      Amin insha'Allah kwa sote 😘🙏

  • @neemakawogo5479
    @neemakawogo5479 4 หลายเดือนก่อน

    Nimeteseka na mwanangu ila huyu kanizidi aisee pole sana

  • @asiamerey9081
    @asiamerey9081 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dada kwakusema huwezi kuwa na mwaume tena ni uwongo sababu bado mdogo ila nimejifunza kitu

    • @zuhuraa3301
      @zuhuraa3301 4 หลายเดือนก่อน

      Usiombe yakukute.. huwezi kuelewa

  • @YasintaMtavangu
    @YasintaMtavangu 4 หลายเดือนก่อน

    Pole Dada

  • @magrethmathayo2800
    @magrethmathayo2800 4 หลายเดือนก่อน

    mmmmm yani kuna watu wanauzi sana unaweza kuloga mtu kwa hasira pole kipenzi

  • @gambigambi7254
    @gambigambi7254 4 หลายเดือนก่อน

    Na singo babaz wapo wengi tu sema hawapewi platform changamoto ni part ya life yetu pia kina mama kuepuka kadhia nikua nakipato kuepuka utegemez na kukubali matokeo pia kukubali matokeo ku move on kutovumilia viashiria hatarish ktk mahusiano kila mtu atalaum but nasie tuna paswa kuwajibika

  • @AminaJuma-z2c
    @AminaJuma-z2c 4 หลายเดือนก่อน

    Ila nyie wanaume mungu anawaona

  • @sarahhassan1323
    @sarahhassan1323 4 หลายเดือนก่อน

    U single mother ni mgumu sana it's not getting better at all actually is getting worse nishashika sumu zaid ya mara kumi nashindwa hata kujiua kwenyewe naishia kulia tu at this point naish kwaajil ya mtoto wangu tu nalia kila siku iendayo kwa Mungu mwaka wa 14 huu basi tu namuachia Mungu

  • @salmaaman2813
    @salmaaman2813 4 หลายเดือนก่อน

    wanaume ni mashetani hakuna mfano....

  • @LilianMnyanyi-jd8ut
    @LilianMnyanyi-jd8ut 10 หลายเดือนก่อน

    ,Dada umejizila ww😂😂

  • @AminaJuma-z2c
    @AminaJuma-z2c 4 หลายเดือนก่อน

    Ila nyie wanaume mungu anawaona