Amebugi - Simon Chibalen (Official Video) 4k - 2160p
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
- Mtunzi wa wimbo huu ni Mtumishi na Mwalimu Saimon Chibalen. Huu ni wimbo wa mahadhi ya Kigogo wenye ujumbe shetani amebugi (shetani amekosea). Kazi hii imetengenezwa na B1 Records na Video imeandaliwa na K V & Media's wanaopatikana katika Jengo la Capital City Mall Jijini Dodoma.
Daaaa jamaa anajuwa sana kiukweri nimebarikiwasana hongela sana mtumishi wa mungu
Upo vzr sana daa mungu akubariki viwango vya juu
Naameshindwa kabisa
Nyimbo mbna nzuri Ivo dodoma mnapatikana sehem gani
Hata hili lakazi atafanya mwenyewe,mbarikiwe Sana kwahuduma
Hongereniiii mpooo vizuriiii ataaa piaaa kudumishaaaa lughaaa yetuuu ya kigogoo na kumsifuuu munguuu🙋♀️🙋♀️🙋♀️
Asante mdogo angu Saimoni karibu mkoka nyumbani frida kindimba dada ako nasema usisahau kuja kutupa burudani unafanya vzur mungu akubarik uje umwage injiri kupitia njimbo
Nakupenda sana kaka angu muwaha yalumbwe mgogo og
MUNGU akupe NEEMA zaidi mdogo wangu
Nimeupenda upo vizuri sana, hongereni
All in all MUNGU akubariki Sana kwautume wake siku moja nitakuja kutembelea kanisa lenu napenda sana tamaduni za kigogo
Mgogo OG ,Hapa mipango walioipanga Kwetu imeshindikana 🇹🇿🔥
Mimi nimsukuma kijana upo vizuri sana nyimbo zako ninazipenda cana mwanangu lakini ane yosogo
Ila jitaidi kubadilisha maIngira namavazi ili kuvutia dunia nzima uko vizuri sana naupenda sna hu wimbo ❤❤❤❤
Jaman raha sanaaa mbarikiwe sana Simon ubarikiwe sana
Wagogo wanasauti nzr Sana,hongera san kalumbu
Mtafute Ben pol mtoe nyimbo pamoja itakua kali sana
Mungu akuinue zaidi kaka viwango na viwango barikiwa sana napenda sana nyimbo zako muwaha yalumbwe
Noma sana barikiwa chbalen
Kazi nzuri sana kwa utukufu wa Mungu.
Baraka za Bwana ziwe juu yako mtumwa wa Bwana.
Ameni sanaaaa amebugiii sanaaa
Mugogo kutoka dodoma kongwaa nime balikuwa sana
You always make gogo hood pride 🔥🔥🔥🔥🔥😋😋😋😋🔥🙏
Hujawahi kuniagusha Simon nakupenda sana huwa natamani nikuone uso
Mungu aibarik kazi yako kalumbu
Safi sanaaaa kalumbu kazana
Safi sana binafisi nakuelewaga sana wakwetu
MUNGU akutangulie kwenye kaz yako henery masahai
Tutungie na ya harusi jamn za kigogo nyimbo
Hongera kazi nzuri
Chichochichoooo barikiwa mtumishi
Mbarikiwe sana wagogo wenzangu
Safii sanaaa hongeraaa broo sai good son masumbi maswanu
Bwana yesu asifiwe mtumishi
Itoshe tu kusema mwamba unajua
Shetani amebugi yesu kiboko yao
Pamoja
Ubarikiwe sana mdogo wangu kwa kweli huwa unanihamasisha sana niamke
Kaka asante
Barikiwa San mtumishi
Weeeeeeeeeeeee good👋👋👋👋👋
Najivunia kuwa mgogo kwakweli
Kaz nzriiiiiii sanaaaa.unaipeperusha bendelA ya tx na dodom a kwa ujumla hakika tunajivunia sna
mulungu akulugute vilo vibite❤❤❤
Huu wimbo unanibariki sana! Hongera sana kijana uliyetunga , Hongera pia kwa kidumisha Mila.
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
Oooooooh hallelujah hallelujah keshabugii💥💥💥💥💥
Safisana ndugu mungu akubaliki
Nimeupenda mzuri sana
Mungu akubariki sana
Kaz nzur san
noma sana kaka
Proud of Dodoma
Penda sana mimi sana, asante sana kaka mungu akujalie
Ameeeen
Moto wasonga mlulu
unabalik kwakwel
Barikiwa Sana
kazi ya Mungu isonge mbele
nice
Safi sana kazi nzur Mung azidi kukupa kipawa zaid
Ubarikiwe
Jamani wagogo mupo
Hiyohiyo kalumbu
Hii ni moto brother
Barikiwa kaka
Kwetu sasa wee
Mwene jama agwe ulimlume mbeka
Aminaaaa
Kazi nzuli ilaongezeni ubola wa vdeo
❤❤❤❤❤❤❤❤
Lugutweee
Amen
Amen amen
Arabaa
Ayo nkhani ya nyemo
Wagogo mpo wapi 1:58 ❤❤
Momumodu muwaha
❤️❤️❤️
jaman mawimbi ule uliou simba imis s you unaitwa je?
No
❤️❤️❤️
Amen