SERIKALI YETU INATAKA UCHAGUZI WA AMANI NA UTULIVU - RC SENYAMULE *
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024
- “ Serikali yetu inataka uchaguzi wa Amani na utulivu Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan mmemsikia mara zote anataka haki na demokrasia sisi kama Serikali ya Mkoa wa Dodoma tumejipanga kuhakikisha uchaguzi unakuwa wa haki,amani na utulivu.Kwa kufanya hivyo, itatuongezea mshikamano,Utaifa wetu na umoja kama Watanzania”