"AFANDE MIMI NI MTANZANIA, SIJATEMBEA TU NA KITAMBULISHO, NIMESOMA TABORA, NIMEPATA DIVISHENI 3"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2022
  • "AFANDE MIMI NI MTANZANIA, SIJATEMBEA TU NA KITAMBULISHO, NIMESOMA TABORA, NIMEPATA DIVISHENI 3"
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • บันเทิง

ความคิดเห็น • 88

  • @frola5323
    @frola5323 ปีที่แล้ว +13

    Wa kwaza leo😂😂😂😂 nipate na mchumba sasa😂😂

  • @jazilambaji2789
    @jazilambaji2789 ปีที่แล้ว +9

    Wasafi msaidien huyo kijana aendeleze masomo yake'mtalipwa na mungu

  • @noxlosingida2369
    @noxlosingida2369 ปีที่แล้ว +7

    Huyu Mwanafunzi kaniumiza jamani, ningeomba tumsaidie sisi sote, tumeni namba yake tmlipie ada arudi shuleni, ni meumia sana wenye Ada hatawaki shule wanaotaka shule hawana Ada.

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 ปีที่แล้ว +3

    Ichi kipindi hua napenda sanaa hua kinanichekesha na kuniudhunisha kama huyu mwanafunzi mungu amjalie bila yakipindi hiki asinge onekana nahisi atapata msaada mosanya nakukubali sanaaa

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 ปีที่แล้ว +2

    Kasi nzur sana mwanangu unyama sanaana Motown SONYA+61

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu1403 ปีที่แล้ว +2

    Sema We Muongoza Kipindi Kidogo Auko Sawa Kwasababu Unaingilia Sana Mazungumzo Ya Afande Na Muulizwa Maswali Tuone Mtetemo

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 ปีที่แล้ว +2

    huy mwanafunz yupo vzr San

  • @suleimanrashid3918
    @suleimanrashid3918 ปีที่แล้ว +4

    Nimesikia kulia kwa huyu kijana kumbe hawa wamachinga wengi ni changamoto tofauti za maisha kisha migambo wanawazalilisha mwengne daah inauma wanyonge ndio tunaonewa kweli wtt wa wenye pesa haziwakuti aibu hizi 😭😭

  • @pdwanakaza2411
    @pdwanakaza2411 ปีที่แล้ว +5

    Huyu jamaa anaejifanya Askari ananifurahisha anavyojifanya Yuko serious 😂😂😂😂😂

  • @dottosamwel5760
    @dottosamwel5760 ปีที่แล้ว +2

    Vitambulisho mpaka nitoke kijijini niende nauli sina yakufika mkoani 2leteeni nass vijini kweli maojiano ya kweli

  • @jumajumma1930
    @jumajumma1930 ปีที่แล้ว +1

    Pole sana kijana imenigusa

  • @suncheofficial5827
    @suncheofficial5827 ปีที่แล้ว +1

    Iinabd muwe na washauri kuwapa Faida ya kutembea na Vitambulish Next kipind swala linalozungumzia mamb ya kijamii jitaidin muw na washauri

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 ปีที่แล้ว +2

    Masikini. Ana juu ya kusoma. Alafu pesa ndogo kbs. Inakisesha masomo

  • @amanishiughaaa6345
    @amanishiughaaa6345 ปีที่แล้ว +3

    Mshone nguo za kipolice kabisa ili kipindi ninoge vizuri

  • @minihajmdoe9671
    @minihajmdoe9671 ปีที่แล้ว +3

    Hii kweli miyeyusho

  • @kingamydee5909
    @kingamydee5909 ปีที่แล้ว +4

    Na D ya history C ya civics😂😂😂😂

  • @manuelamahwera6090
    @manuelamahwera6090 ปีที่แล้ว

    Well created

  • @hamismwinyimkuu2892
    @hamismwinyimkuu2892 ปีที่แล้ว +3

    Kazi ipo elewa swali jibu swali

  • @johnkasambula345
    @johnkasambula345 ปีที่แล้ว +1

    Iki kipindi uwa nakielewa sana yan ata kama una stress unakaa poa

  • @collinndabi1914
    @collinndabi1914 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahahah sasa mambo ya kwenda nyumbani yanatoka wapi hahahahah

  • @zabronadamsony870
    @zabronadamsony870 ปีที่แล้ว

    😢😢 daaaa

  • @simongalahenga6858
    @simongalahenga6858 ปีที่แล้ว +1

    Ukimaliza ajira mtihani tena

  • @zakayodonati8593
    @zakayodonati8593 ปีที่แล้ว

    🔑

  • @jumasoli7818
    @jumasoli7818 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi kizur lakin kunasku atakuja kukurupuka mbio mtu na agongwe na gar barabaran hapo🤣🤣🤣

  • @josephattz2003
    @josephattz2003 ปีที่แล้ว

    Daaah uyo w redio nae "huyo ni wa Malawi kamataaaa"

  • @williamnguta6226
    @williamnguta6226 ปีที่แล้ว +3

    Nilichogundua kuwa watz atuna destuli ya kutembea na kitambulisho.

    • @BigZhumbe
      @BigZhumbe ปีที่แล้ว

      Watu wanaibiwa sana na ikipotea kupata nyingine sio rahisi

    • @catherineswai5900
      @catherineswai5900 ปีที่แล้ว

      Kwa sababu ya kupoteza na pia kukipata tena mtihani...why inakuwa ngumu na pia inategemea na kazi unayofanya ndg

  • @gaspeldaniel1140
    @gaspeldaniel1140 ปีที่แล้ว +2

    Nimeamini wa Tz bado hatuna elim ya Kujua Haki Raiya na haki yake na haulizi kabisa maswali ya msingi

  • @waynejoree4039
    @waynejoree4039 ปีที่แล้ว +1

    Kuna mzee kakimbia polee kwenye tank

  • @aishamsofe3274
    @aishamsofe3274 ปีที่แล้ว +3

    Wabongo tuna shida saana 😜 kitu kama hukijui sema tu hujui Sasa mrisho kawa Mbunge linii😅😅😅

  • @g_eazmusic1329
    @g_eazmusic1329 ปีที่แล้ว +4

    Mii kazi zangu zaa.... Zaa.. ndoivo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @robertabel6984
    @robertabel6984 ปีที่แล้ว +1

    Ni kweli we sanya hukutakiwa kumsaidia kipindi anahojiwa sasa inakuwa haina maana ya msg iliyotakiwakufikishwa.....alafu mwisho wa kipindi ulitakiwa mumwambie mtu umuhimu wa kutembea na kitambukisho na hasara zake pia..sasa wewe umemaliza kienyeji sana haieleweki nini anatakiwa kufanya ...na kwamba kweli huyo askari ni feki sio askari official. Yangu ni hayo tu

  • @afandebrighttz2887
    @afandebrighttz2887 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaaaa jamaniiiiiii jamniiiii sanya utakujakutuuua wew

  • @siddytv_online
    @siddytv_online ปีที่แล้ว

    Hoja Sio Ya Msingi Couse Nida Wenyewe Awatowi Vitambulisho

  • @pdwanakaza2411
    @pdwanakaza2411 ปีที่แล้ว +2

    Hahahahhaa wabongo bwanaa

  • @ramadhanikibenga4284
    @ramadhanikibenga4284 ปีที่แล้ว +1

    Dah jamaa wa kidato cha sita amenitia huruma sana

    • @jocyjocy3050
      @jocyjocy3050 ปีที่แล้ว

      Hii episode ya 3 inaniliza😢

  • @iddikimia4951
    @iddikimia4951 ปีที่แล้ว +1

    mnafanya kitu kizuri kwakweli elimu inahitajika,nitajitahidi nifanye iyo kazi

  • @enickosanga4921
    @enickosanga4921 ปีที่แล้ว

    Dah ninacheka sana isee

  • @mjataponda4050
    @mjataponda4050 ปีที่แล้ว

    Wabongooo tuache uongo

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 ปีที่แล้ว

    Watanzania baadhi yao bd kbs hawja elimika. Kbs. Kitambulisho. Chanulaiya lzim. Utembee nacho mana Kuna hajal. Kuna matatizo. Kinawza kukudaidia kukutambulisha ww ni Nani. Na ukajukikana na ndugu Zako

  • @omaryjumashaban4818
    @omaryjumashaban4818 ปีที่แล้ว

    Hacha mtuu ajibu mwenyewe

  • @issamagabiro3162
    @issamagabiro3162 ปีที่แล้ว

    Askari mjingamjiga kama huyo,,namtoa pua , maa a hajitambui

  • @kakaibrah5925
    @kakaibrah5925 ปีที่แล้ว +1

    🤔🤔pumbavu San

  • @revocatusrenatus8256
    @revocatusrenatus8256 ปีที่แล้ว

    Nilichogundua watu wako busy na kutafuta Hela

  • @omaryjumashaban4818
    @omaryjumashaban4818 ปีที่แล้ว +1

    Hapo wewe unakuwa unaharibu kipindi

  • @omaryjumashaban4818
    @omaryjumashaban4818 ปีที่แล้ว

    Moosanyaa una zinguwa

  • @fadhiliadam5582
    @fadhiliadam5582 ปีที่แล้ว

    Hahahah inapendeza saaana

  • @officialherobaba3686
    @officialherobaba3686 ปีที่แล้ว

    Fanya ivi kila Siku kabla ya kulala 👉👉th-cam.com/video/LG3o1_NO6m0/w-d-xo.html

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣🤣🤣

  • @omaryjumashaban4818
    @omaryjumashaban4818 ปีที่แล้ว

    Moosanya wewe upaswi kuingiriya maxungumzo

  • @zwinaalhabsi664
    @zwinaalhabsi664 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @ruwaidaal-ismaily9099
    @ruwaidaal-ismaily9099 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣

    • @Bettingwinner1
      @Bettingwinner1 ปีที่แล้ว

      Nifanyie nije kutoa posa Sasa 😁

  • @nacebamr4722
    @nacebamr4722 ปีที่แล้ว +2

    Achen sumbua wapambanaj mnaznguA

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 ปีที่แล้ว

      Nyie ndo msie elewa hp. Wenzako wmaelimisha mtanzania lzm utembee na kitambulisho Kuna hajal naajanga. Kila. Cku. Kinakudaidia eti ss kinaka ndani ilo. Iweje

    • @richardmkombe123
      @richardmkombe123 ปีที่แล้ว

      Kama hana kitambulisho huyo sio mtanzania kamataa

    • @rajah9328
      @rajah9328 ปีที่แล้ว

      Sio Tz tu ID lazima uwe nacho mfukoni ndio kinakueleza ukiwa n shida yyte