Neema Gospel Choir, AIC Chang'ombe - Muumba wa Miisho (Official Video) 4K

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ก.พ. 2025
  • Bali wao wamngojeao BWANA watapata nguvu mpya; watapanda juu kwa mbawa kama tai; watapiga mbio, wala hawatachoka; watakwenda kwa miguu, wala hawatazimia.
    ISA. 40:31
    But they that wait upon the Lord shall renew their strength; they shall mount up with wings as eagles; they shall run, and not be weary; and they shall walk, and not faint.
    Isaiah 40:31
    Song Lyrics:
    Muumba wa miisho ya dunia,
    creator of the ends of the earth
    Bwana wa mabwana
    The Lord of lords
    Hazimii,
    faintenth not
    hachoki
    neither is weary
    Hodari kwa nguvu,
    He is powerful
    Hakuna wa kufanana naye Yesu
    there is none like Jesus
    Wamngojeao Bwana
    they that wait upon the Lord
    Watapata nguvu mpya,
    shall renew their strength
    Watapanda juu kama tai,
    they shall mount up with wings like eagles
    Nami Bwana nakungoja.
    and i am waiting upon you Lord
    Bwana naomba unipe nguvu mpya
    Lord renew my strength I pray
    Nisichoke kupiga mbio katika wokovu
    so I wont tire out in the race of salvation
    Sitachoka,
    i will never go weary
    sitazimia,
    i won't faint
    Yesu yupo, Yesu yupo
    Jesus is here with me
    Sitakata tamaa,
    i will never give up
    Sitarudi nyuma,
    i won't turn back
    Yesu yupo, Yesu yupo
    Jesus is here with me
    Audio Recorded by: Frester's Record
    Video Directed by: Cylivester
    Graphics By: Titus Alfred
    Contacts:
    Email: neemagospelchoir@gmail.com
    Phone: +255 (0) 766 777 288
    Instagram: neema_gospel_choir
    Facebook: Neema Gospel Choir
    Twitter: Neema Gospel Choir
    Telegram: Neema Gospel Choir

ความคิดเห็น • 115

  • @vickykisanga363
    @vickykisanga363 2 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe mno... 🤍

  • @marthathomas1478
    @marthathomas1478 3 ปีที่แล้ว +1

    🥰🥰🥰🥰👊👊👊🌹🌹🌹good NGS GOD BLESS 👊👊😍😍😍💖💖💖

  • @enosmussa3581
    @enosmussa3581 4 ปีที่แล้ว +25

    Jamani Naombeni Like tu hata 💯 100 kama na wewe umekubali kazi ya NGC gonga like

  • @ngassajuliusmussachallya
    @ngassajuliusmussachallya 3 ปีที่แล้ว

    Amen watu wa Mungu Music team imetimia qulilian miongoni na solo mkongwe Tabitha. Mbarikiwe toka Bangkok Thailand

  • @jescakitinga4393
    @jescakitinga4393 3 ปีที่แล้ว +1

    Neema ya MUNGU iwatangulie kila mahali mnapo itenda kaz yake

  • @willstankibyalabilu1939
    @willstankibyalabilu1939 4 ปีที่แล้ว +1

    Mlichelewa sana nilikua nimeusubili kwa ham huu wimbo

  • @jescacheyo1329
    @jescacheyo1329 4 ปีที่แล้ว +4

    Kila wimbo unabariki, kijana wangu anamiaka 3 nkiwa naenda kazin akinililia huwa namuekea burudan moyon anaacha kulia anatulia kuangalia na kuaniambia kazi njema. Hongeren kwa huduma ya Bwana🙏

  • @cephawambua1430
    @cephawambua1430 4 ปีที่แล้ว +1

    Asanteni sana na Mungu awabariki.Mnatubariki sana.ninzuri sana.

  • @petropaul_tz3007
    @petropaul_tz3007 4 ปีที่แล้ว +1

    Jaman nipo nasoma coment tu, huku naendelea kubarikiwa

  • @majuttoking5463
    @majuttoking5463 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyimbo safi sana amina

  • @benmwega2904
    @benmwega2904 4 ปีที่แล้ว +7

    Hakika Yesu yupo...Hongera sana Neeme Gospel. Blessings

  • @mkumbosamson7981
    @mkumbosamson7981 4 ปีที่แล้ว +1

    Neema gospel choir,barikiwa sana,napenda sana wimbo wa nikubali

  • @zephanialukumay3036
    @zephanialukumay3036 4 ปีที่แล้ว +2

    Kiukweli toka niwajue,hamjawahi kuharibu,nyimbo zenu hadi nazitumia kwenye gym kufanyia mazoezi,nawakubali mno,nikitembelea dar niatakuja kanisani kwenu!!

  • @elishamagige3113
    @elishamagige3113 4 ปีที่แล้ว

    Kwakweli nimebarikiwa sana na wimbo na pia mavazi ya kinamama pia yamenibariki lakini kwa vijana hizo pec walizovaa hazijanibariki nyie ni watumishi wa Mungu mavazi mengine tuwaachie hao wa dunia

  • @phoryoctovian764
    @phoryoctovian764 4 ปีที่แล้ว +4

    Mko vzur sana Mungu awabariki! Nelly nmekuona rafiki angu Mungu akubarik

  • @josephinedward8886
    @josephinedward8886 4 ปีที่แล้ว

    Mungu awabariki sana...nabarikiwa na nyimbo zenu sana,,,Mungu awapaishe kwa viwango vingine vya juuu sana

  • @anastaziansangalufu9877
    @anastaziansangalufu9877 ปีที่แล้ว

    Kweli Mungu anajua kukutana na watu wake, kwel namuona Mungu kupitia huduma hii, Utukufu wote ni kwake

  • @neemaezekiel4856
    @neemaezekiel4856 4 ปีที่แล้ว

    Hakika niliusubiri mno huu wimbo Mungu ndiyo anajua. Nabarikiwa sana

  • @joycembalwa2934
    @joycembalwa2934 4 ปีที่แล้ว

    Vizuri xaaana

  • @selemankaunda4439
    @selemankaunda4439 4 ปีที่แล้ว

    nabalikiwa nanyimbo zenu mungu andelee kuwataa nguvu musichoke kutuhubilia

  • @neemaezekiel4856
    @neemaezekiel4856 4 ปีที่แล้ว +1

    Najisikia tofauti kabisa moyoni jamani Mungu awabariki sana sana huu wimbo niliutafuta sana maana nilikuwa nausikia tuu clouds anapenda sana kuupiga Mtumishi Harris Kapiga nilikuwa nikiingia mtandaoni hakuna. Hakika mmejua kunisuuza moyo wangu Mungu awatangulie na kuwabariki katika kazi hii. Nawapenda 😘💪

  • @priscadanny7805
    @priscadanny7805 4 ปีที่แล้ว +4

    Yan nasubiri kwa hamu mungu aendelee kuwatumia neema gospel

  • @anointed115
    @anointed115 4 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda sana..... Mbarikiwe pamoja na frester's record 🙏☺️

  • @neemamagembe5741
    @neemamagembe5741 4 ปีที่แล้ว +1

    Ujumbe uko poa sana, barikiweni.
    Ila naona kma video imepoa sana, haijachangamka kma wimbo wenyewe....ila hongereni.

  • @jamesjohn2601
    @jamesjohn2601 4 ปีที่แล้ว

    KAZI NJEMA SANA, MBARIKIWE SANA WATUMISHI WA MUNGU

  • @kulwacharles2314
    @kulwacharles2314 4 ปีที่แล้ว +1

    Sitachoka, sitazimia, Yesu ypo. Sitokata tamaa Yesu ypo, kazi nzuri sana Mungu azidi kuwapigania zaidi ktk viwango vngne vya juu.

  • @neymarj4udie662
    @neymarj4udie662 4 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri sana naupenda unaujumbe mzur sana mungu atupe nguvu tumngoje

  • @quillianpro
    @quillianpro 4 ปีที่แล้ว +10

    Eagerly waiting...

  • @florencekato3631
    @florencekato3631 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa uwezo wa Mungu hamjawai kufeli, Ni wimbo mzuri sana.

  • @japhetseko563
    @japhetseko563 4 ปีที่แล้ว +9

    Duh! Neema gospel wangu jamani nawapendaaaaaa hasa ule wimbo wa "macho ya bwana" mungu awabariki e

  • @shadrackwilliam8218
    @shadrackwilliam8218 4 ปีที่แล้ว

    Hallelujah neema gospel choir, kazi yenu hakika ni njema sana Ooouh, mnanibariki balaaa, nashindwa nisemej

  • @rabiamenshoo1988
    @rabiamenshoo1988 4 ปีที่แล้ว +3

    nipo nasubiria,Mungu azidi kuwainua utukufu hadi utukufu,kazi yenu si bure,kuna thawabu mbinguni

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 4 ปีที่แล้ว +2

    Bwana naomba unipe nguvu mpya, nisichoke kupiga mbio katika wokovu.

  • @priskadaisoni7000
    @priskadaisoni7000 4 ปีที่แล้ว +4

    Wow mko vizuri🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Martin-nr2xf
    @Martin-nr2xf 4 ปีที่แล้ว +4

    Glory to God our father! They that wait on the Lord… Indeed may He strengthen us as we continue in this race of salvation. God bless you

  • @glorymarlene7071
    @glorymarlene7071 4 ปีที่แล้ว +4

    NEEMA TENA!🤩🥺 this is such a beautiful song that gradually reminds us that there is none like God! MUNGU SAFI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! WEWEEEEEEE

  • @exaudkasegezya3564
    @exaudkasegezya3564 4 ปีที่แล้ว +1

    Sauti

  • @edinalihedule3421
    @edinalihedule3421 4 ปีที่แล้ว

    Nawapenda sana chama langu Mungu anajuwa❤❤❤❤😘😘😘😘😘Mungu awatunze vipenzi vyangu❤❤❤🙏🙏🙏

  • @fredrickfresters3610
    @fredrickfresters3610 4 ปีที่แล้ว +22

    Thank you for working with Frester's Records..!!

    • @isakamusic5064
      @isakamusic5064 4 ปีที่แล้ว

      Bro unaweza nisaidia namba yako kwajili ya mawasiliano ga kaz

    • @enosmussa3581
      @enosmussa3581 4 ปีที่แล้ว

      Kazi nzuri sana frester's Record

    • @marthawillium9920
      @marthawillium9920 4 ปีที่แล้ว

      Your contacts please

  • @nabosedward4836
    @nabosedward4836 4 ปีที่แล้ว +3

    Huu wimbo niliutafuta sana mbarikiwe wana watch Mungu

  • @maselemusic8657
    @maselemusic8657 4 ปีที่แล้ว

    Dah nimebarikiwa kumuona rafiki angu wa o level samson dickson

  • @eliasmakune4613
    @eliasmakune4613 4 ปีที่แล้ว

    Iko vzr hakika

  • @giftmcelija1560
    @giftmcelija1560 4 ปีที่แล้ว

    So great, barikiweni sana..

  • @jeremymaithya4038
    @jeremymaithya4038 4 ปีที่แล้ว +2

    Powerful mixing, anointed sounds. More Grace

  • @sysyirishura4023
    @sysyirishura4023 2 ปีที่แล้ว

    Nataka niulize
    Iyi NEEMA NA AIC Changombe ni choir moja Ao?

  • @ridleyabimanya6902
    @ridleyabimanya6902 4 ปีที่แล้ว +2

    This is an amazing Gospel tune. Uganda loves you.

  • @masausobanda3756
    @masausobanda3756 ปีที่แล้ว

    Zambia still enjoying this time

  • @graysonalexmalegi2340
    @graysonalexmalegi2340 4 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe nawapenda Sana

  • @jamesnteleva7073
    @jamesnteleva7073 2 ปีที่แล้ว

    Wow! Glory to our Mighty God for this choir.👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 This song is wonderful!💪🏾

  • @annaelias1250
    @annaelias1250 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awabariki Sanaa watumishi kazi yenu ni njema sanaa👏👏👏👏👏

  • @onexgozbert2554
    @onexgozbert2554 4 ปีที่แล้ว +1

    AtAriii

  • @samuelnkola9309
    @samuelnkola9309 4 ปีที่แล้ว +5

    Mungu aendelee kuwatumia

  • @sunjagady1939
    @sunjagady1939 4 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri

  • @ServantBettyG
    @ServantBettyG 4 ปีที่แล้ว +3

    A beautiful song, great arrangement and flow. Indeed those who wait on the Lord will have their strength renewed

  • @nyangacharles9007
    @nyangacharles9007 4 ปีที่แล้ว +5

    Nice Gospel performance Keep up! The shoot out is well directed too Kudos!

  • @willybertbaraka3068
    @willybertbaraka3068 4 ปีที่แล้ว +1

    My favourite FAM......
    Be blessed

  • @viviannorbeth7830
    @viviannorbeth7830 4 ปีที่แล้ว +3

    Wakali wao

  • @neemaoscar9589
    @neemaoscar9589 4 ปีที่แล้ว +3

    Great😙😙😙

  • @webingogo3633
    @webingogo3633 4 ปีที่แล้ว

    My choir,my song,
    My'message,my answer,what a byulifu song is this!!!

  • @joe_nkwabi
    @joe_nkwabi 4 ปีที่แล้ว +8

    I love the creativity 👌👌👌of this choir. It clearly shows ownership and commitment of taking GOD's Ministry to the Next Level.
    Message behind the song is truly powerful💪💪💪, encouraging and inspiring.
    You Bless Us All.🙏🙏
    #SITARUDINYUMA.🔥🔥🔥

  • @EfraimEzekiel
    @EfraimEzekiel 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaaaa Mungu azidi kuwainua yaaani

  • @rebeccalucas6346
    @rebeccalucas6346 4 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe xan mungu awatie nguvu🙏🙏

  • @selegioelias9076
    @selegioelias9076 4 ปีที่แล้ว +3

    I can see and here the signature of you're voices guys go go go go....

  • @protas-jr1696
    @protas-jr1696 4 ปีที่แล้ว +1

    blessed

  • @shilikale
    @shilikale 4 ปีที่แล้ว +3

    Blessed arrangements hongereni sana

  • @jorampeace8897
    @jorampeace8897 4 ปีที่แล้ว +3

    Nice one

  • @estherlyuki7989
    @estherlyuki7989 4 ปีที่แล้ว +2

    Wow 👏 😮

  • @G2THEFLOW
    @G2THEFLOW 4 ปีที่แล้ว

    I love this song

  • @Alexsenyagwa-t3j
    @Alexsenyagwa-t3j 2 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @rodasamweli6850
    @rodasamweli6850 4 ปีที่แล้ว +1

    Nyth

  • @jamesjohn2601
    @jamesjohn2601 4 ปีที่แล้ว

    msalimieni sana Malobo. namtafuta video karibia zote simuoni hakurekodi? napenda mnoo huduma yake.

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 4 ปีที่แล้ว +1

    The instruments, are so beautiful.

  • @twilumbajanebalama9962
    @twilumbajanebalama9962 4 ปีที่แล้ว

    This is a wonderful song

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 4 ปีที่แล้ว +1

    Amaizing.
    Good work as usual.
    You have blessed me with this beautiful song.
    Congratulations

  • @irenemideva5797
    @irenemideva5797 4 ปีที่แล้ว

    Aww, everything organized. I like this group

  • @alinanuswemwaitebele6571
    @alinanuswemwaitebele6571 4 ปีที่แล้ว +1

    💪👏👏👏👏

  • @mariemerimuluka8096
    @mariemerimuluka8096 ปีที่แล้ว

    Glory to God

  • @victorkandonga7179
    @victorkandonga7179 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen 🔥🔥🔥

  • @ZebedayoDaniel-d4g
    @ZebedayoDaniel-d4g 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @titusalfred
    @titusalfred 4 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥 Blessed family

  • @ericspuspallelo6965
    @ericspuspallelo6965 4 ปีที่แล้ว +3

    😛😍😍😍😘😘😘

  • @worldmediapromotionemmanue6875
    @worldmediapromotionemmanue6875 4 ปีที่แล้ว +1

    Nmependa Audio tu vdeo ifikilieni kwanza muumize vichwa... Ikibidi ifuteni kwanza kwenye mitandao ya kijamii imawashusha sana

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  4 ปีที่แล้ว

      Asante kwa maoni. Yote ni kwa ajili ya kumtukuza Mungu. Ubarikiwe sana.