Hii media inasikitisha Sana, kwa nini msimhoji mtu ambaye ana information sahihi au anaejitambua??? Sio sifa au kitu kizuri kuhoji watu ambao hawajielewi na hawana information za kutosha. Millard Ayo amefanya kazi kubwa kutengeneza hii brand but wafanyakazi mnaenda kuiua.. I am sure you can do it better than this..
@@munirasallim6450 Millard Ayo inabidi afanye kitu kwenye office ya Arusha , we need proper information from trusted and right source.. Hilo eneo Lina balozi, mwenyekiti, mashekhe, wachungaji , na watu wazima wanaojitambua but huyu mwandishi anawatafuta vichaa akidhani ni content but anaharibu blog na office ya boss wake. Ukifuatilia habari zake nyingi anawahoji watu ambao ni wafu kimawazo na kijamii.
Arusha, Arusha Mungu atusaidie, 🙏🙏
😂😂😂😂😂hata ndege akikunyea utakufa kifo kikipangwa ni noma 😅😅😂😂😂kitu cha Arusha 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
Mapenz kama Ushaw mungu amuweke pahalipema
Huu ni msiba lkn ukisikiliza mpaka mwsho machozi hayatoki unaishia kucheka hawa wehu😂😂😂😂
Daaa, Arusha yangu vijana wanalewa asubuhi😢
Mungu wangu vijana wa Arusha jamani miaka kumi. Mbeleni kutakuwa na wazee gani Arusha ?
@@sistymbombo1616 yaani, hawatakuwa na busara hata😭
Muwe mnawahoji watu wenye utimamu😄😄😄
Ila mashahidi wa home wako kma hawako siriaz Kumbe kweli 😅
Mmmmmmh ivi ni nini lakini??mbona binadamu hivi??
Inakuwa ni bahati mbaya au mtu anakuwa amekusudia kutoa uhai wa mtu??
Jmn mungu asaidie Arusha waache bangi,pumzika kwa aman balongoo
Jamani hata sijaelewa ila kichwa cha habari ndo mauaji mungu ampumzishe
Mtihani jamani mbona kila siku mauwaji haya aliye mtanguliza na yeye iko siku yake itafika na zinaa siio nzuri
Chalaangu mnazngua kaka zangu wa chuga kuna nini mbona mnaamsha popo sana 😢😢
Aibu sana na kichefuchefu Arusha kuna nyumba nyingi za udongo mjini nenda unga limited aibu tupu
mnapenda kuwahoji wa hivi tu akati wapo wanaojielewa
So saiv mmeamua arusha kutangulizana ahera madukan sio 😢
Arusha Kuna comedy dah 😂
Huyu mmoja mbona anaongea km adamu mchomvu😂😂😂
😂😂Utakula mtama
Poleni
Unajua nn jombaa languuu😂😂😂😂 watu wa arushaa wana elewanaga wenyew kwa wenyew😂😂😂 all in all INNALILLAH WAINALILLAH RAJ'UN 🙏😭
Jaman hivi taarifa za kuripoti hamna
Ila Arusha jamani mashuhuda mpaka uwaelewe utateseka sana
Kwakweli
Nimecheka 🤣🤣🤣 wakat msiba daaah mashuhuda shikamoni🙌🙌🥺
Kabisaaaa
Mi nacheka tu jaman sicheki kwa kifo ila nacheka kwa hyo ngeli, kavuta mbele na mambo ake, chalii ya R
Ivo vijumba sasa ni aibu masifa mengi vimtu vimechoka
Uko harusha sasa imekua shida kubwa
Chugastan Bagumu Sanaaa.....
Arusha mmmmm sio sehemu ya kuishi kabisa
Njoo uishi bhana 😮😮
Hahaaa inaitwa Chugastan eee baba
Hivi arusha mna nini, lakini kila siku ni matukio
Arusha arusha arusha arusha
Arusha kutakuwa na wazee wa namna gani huko tuendako jamani
Kwenye matukio serious fanyeni au mjitahidi kutafuta watu ambao wapo serious na wanajielewa sio ambao wameisha lewa,
Vijana wa arusha hacheni bangi na pombe mnaribika sana na kila leo mauwaji
😢
Mbona haieleweki
Piganeni tu msijali si ndo life mmeyachagua
vIJANA TUNAPOATEA SANA HII NI LEO AU JANA MAANA NAONA WATU WOTE HAPO WAPO HI KWEL KWEL😁😁
Arushaa jamani
maarakaat yameleta majanga
Jitoeni ufahamu apo bado amjasema kikubwa mpunguzee bangi
Hawa jamaa mnaowahoji kuna siku wanaweza kuwapora Vitendea kazi vyenu
Kweli kabisa kumbe umeona alafu mwanahari hachagu mtu wa wa kumuhoji inatia hasira sana
Nimesikiliza Mpka Mwisho Sijaelewa Kabisa Nimesikia Mkali Na Chaliii Na Amedanja 😳😳
Na Moja na mbili
Sielewi wanachoongea kwanza,
arusha ilitakiwa isiwe tanzania
Kanichomesha mafegi😊
Hao watu wanaelezea hawaeleweki
Mnahoji wavuta bangi wote , walevi tupu
Vijana wanapotea jamani mmh kazi ipo
Arusha tena
#habari
Mbona kama wote ni mateja?
Chalii zote za huko ndo ongea zao 😅 pengine unaweza actumie mabangi japo ndo asili yao
Ninoma sana
Majitu yanaongea km yanataka kujifia.
Arusha bwana sielew mashuuda wanaongea nn tatizo bangi nyingi
Ile laaana Yan akapigwa visu, pia anasema akabonga hawa jamaa bhana😂😂😂
Hivi Arusha hipo ndani ya nchi ya tz kwel?
Haipo 😂
Arusha Ni mkowa uliyeko inchi ya R Chugga ......
Hii media inasikitisha Sana, kwa nini msimhoji mtu ambaye ana information sahihi au anaejitambua??? Sio sifa au kitu kizuri kuhoji watu ambao hawajielewi na hawana information za kutosha. Millard Ayo amefanya kazi kubwa kutengeneza hii brand but wafanyakazi mnaenda kuiua.. I am sure you can do it better than this..
Wanao hojiwa hawajielewi n walevi
@@munirasallim6450 Millard Ayo inabidi afanye kitu kwenye office ya Arusha , we need proper information from trusted and right source.. Hilo eneo Lina balozi, mwenyekiti, mashekhe, wachungaji , na watu wazima wanaojitambua but huyu mwandishi anawatafuta vichaa akidhani ni content but anaharibu blog na office ya boss wake. Ukifuatilia habari zake nyingi anawahoji watu ambao ni wafu kimawazo na kijamii.
Millard ayo hyu
Arusha mmezid nanyie mnaon sif kilamedia mnatajwa nyie mfyuuu
Chuga hiyo chuga hiyo
Bangi tupu