Jinsi ya kuishi na ugonjwa wa kisukari.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 16

  • @ramlajuma1598
    @ramlajuma1598 5 ปีที่แล้ว +4

    Nawapenda sana

    • @callankellan4955
      @callankellan4955 3 ปีที่แล้ว

      You all prolly dont give a damn but does anybody know of a method to log back into an instagram account..?
      I somehow lost the account password. I appreciate any tips you can give me

  • @daudhalima9349
    @daudhalima9349 หลายเดือนก่อน

    Jmn Mimi Nina kisukari lkn naumwa njia ya mkojo sana

  • @jumamchagi652
    @jumamchagi652 ปีที่แล้ว +1

    Tafuteni dawa ya kisukari na Wala siyo kuishi na kisukari.Kisukari kina madhara makubwa Kwa maisha ya binadamu

  • @nuruhussein1180
    @nuruhussein1180 4 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Lucy na waandaa kipindi nimejifunza sana

  • @harounnakiete7660
    @harounnakiete7660 3 ปีที่แล้ว +1

    Lucy john uko viziru.

  • @jeremiahmwalukosya8431
    @jeremiahmwalukosya8431 2 ปีที่แล้ว +1

    Ntajuaje kama kisukari kimeisha mwilini mwangu?

  • @auntdorah9141
    @auntdorah9141 2 ปีที่แล้ว +2

    Kitu Serikali inatakiwa kufanya ni kupunguza bei ya dawa ya kisukari...dawa ni ghali sana!
    Kwa nini HIV dawa ziwe bure lkn Kisukari na kansa dawa ziwe ghali? .... tunaomba Serikali iliangalie hili kwa jicho la tatu

    • @theresiapesambili
      @theresiapesambili ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa dear tunateseka mno

    • @mantriikiyondo583
      @mantriikiyondo583 ปีที่แล้ว

      Asanten kwa ushaur asante dadaz kwa kutuletea hiyo da lucy

    • @auntdorah9141
      @auntdorah9141 ปีที่แล้ว

      Unakuta kuna kidonge kinauzwa kimoja sh.1000 na unatakiwa utumie vitatu au vinne kila siku,😭 hapa nazungumzia kisukari, hapo usiseme bei ya sindano zake!😭😭 kwa mtu wa kipato cha chini kwa nini sukari isikomae hadi kuharibu vitu kama figo nk? Na matibabu ya figo gharama zake Mungu tuu atusaidie, lkn ukiwa na HIV unapeta, dawa bure na saa nyngn na vyakula wanapewa!!
      Kwani kansa kisukari na figo ni laana? Na HiV ni baraka?
      Kuna magonjwa ambayo ki ukweli Serikali yetu ingeyaangalia kwa jicho la tatu!!

  • @swaumuramathani9
    @swaumuramathani9 3 ปีที่แล้ว +1

    Uko vzuri tatizo unachanganya kiswail na kingereza ongea 2 kiswail tutakuelew

  • @BJM-j2t
    @BJM-j2t 4 หลายเดือนก่อน

    Kuji kubali ndio jambo la kwanza pia uwe kawwida na wenzako hasa kutoa mawazo chakula chochote unakula na dawa zipo utaishi milele

  • @masalusimando9448
    @masalusimando9448 3 ปีที่แล้ว

    Kuhusu pombe VP?