Nilikua Mrembo Sana Lakini Nitazame Nilivyo Kwa Sasa,Wazazi Wangu Wameniacha Hospitali Ili Nife

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2024
  • ili Kumsaidia Unaweza Kuwasiliana Nae Moja Kwa Moja Kwa Namba #anet_+250 787 188 481
    Hii ni Historia Ya Binti Alieachwa Na Ndugu Zake Hospital Bila Msaada Wowote
    Kumbuka :Asili ya Video Hii Iliundwa Kwa KISWAHILI&KIFARANSA Chini Ya Afrimax Ltd,Ikimaanisha Tunamiliki Haki Yake kwa 100%,Hili Ni Toleo La Kiswahili,
    #afrimaxswahili #truly #historiaisiyoyakawaida #trending #tanzania #rwanda
    Usisahau Kubonyeza Alama Nyekundu (Subscribe)kisha Alama Ya Kengele ili Uwe Wa Kwanza Kupata Video Zetu AFRIMAX SWAHILI

ความคิดเห็น • 976

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 5 หลายเดือนก่อน +9

    Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema msaidie nakushukuru kwa uhai wa binti huyu naamini utamponya, Amen.

  • @emmaculatekarembogarama6709
    @emmaculatekarembogarama6709 10 หลายเดือนก่อน +9

    Pole sana dadangu wewe ni mabaki ya Yesu, hutakufa bali utaishi uyasimulie matendo makuu ya Mungu, amini hapo ulipo Mungu anakuandalia ushuhuda mkubwa sana kwa sababu ungekuwa umeenda kitambo lkn kwakuwa bado ungali na pumzi Mungu anampango nawewe dadangu 😭😭🙏

  • @agnesjohn9382
    @agnesjohn9382 11 หลายเดือนก่อน +58

    😭😭😭 ee mwenyezi Mungu usiyeshindwa na chochote kwa jina lako msaidie huyu dada nimelia jamani pole sana mdogo wangu Mungu atatenda muujiza juu yako najua unayopitia Mungu mponye mwanao mrudishie afya yake nakuomba Mungu wangu nakuomba baba yangu mponye mwanao kwa jina lako apone sasa😢😢

    • @OnkyMike-km3jk
      @OnkyMike-km3jk 9 หลายเดือนก่อน

      Hakika Mungu atamtendea

    • @fatumaisiaka2926
      @fatumaisiaka2926 8 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @christianmusa3265
      @christianmusa3265 5 หลายเดือนก่อน

      Amin Mungun amponye tuu haki

    • @Johnpaulotobiko
      @Johnpaulotobiko 4 หลายเดือนก่อน

      Mungu akuponye Dada angu mungu yuko

  • @Juliana-fx8tr
    @Juliana-fx8tr 11 หลายเดือนก่อน +14

    Mwanangu samehe ndugu zako achilia usiweke kitu moyoni mungu atakufungulia njia kuugua siyo kufa nenda kwa maoni kwa Kakande ministry Uganda

  • @anwaradam1794
    @anwaradam1794 11 หลายเดือนก่อน +9

    Upone nakuombea kwa jina la Yesu
    More love be strong❤😢

  • @rahelihamisi7888
    @rahelihamisi7888 10 หลายเดือนก่อน +13

    😢😢😢😢binadamu wanaweza kukuwacha lakini Mungu hawezi kukuacha.....dadangu AMINI umepona na uzidi kuwa na matumaini ya kuishi miaka na miaka in future ❤❤much love from kenya

  • @ammydaniel8947
    @ammydaniel8947 11 หลายเดือนก่อน +109

    Natamani ungekuwa Tanzania , ningekuwa namtembea kumfariji! Ila nakuombe Mungu akuponye ! Pokea uponyaji kuanzia sasa.Amen

    • @sultansallah8772
      @sultansallah8772 10 หลายเดือนก่อน +2

      Ukituma pesa inamfikia

    • @bennagemeestate820
      @bennagemeestate820 10 หลายเดือนก่อน +4

      Sijui kama niko sawa ilamambo kama haya huw yanatokea pale ambapo mgonjwa anakuwa na kauli mbaya au hakuwa mtu mwema ila anyway mara ngapi tunamkosea Mungu anatusamehe tuvue ubinadamu tuvae uungu na Misingi halisi ya rohoni MUNGU ni mkuu kuliko kila hali mbaya ambayo ingeweza kutukosesha raha na amani

    • @user-cr1nk1zc5s
      @user-cr1nk1zc5s 10 หลายเดือนก่อน +4

      @@bennagemeestate820sasa wewe unaamini kua kila mtu ambae anapitia magumu ni kwasababu kamkosea Mungu? Sasa wewe mtu mwema hauumwagi? Na siku ukiumwa nikwasababu umemkosea Mungu? Embu Naomba unijibu

    • @allyharuna2220
      @allyharuna2220 10 หลายเดือนก่อน +1

      Pole sana nasena tena pole sana mungu akuponye amen

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 9 หลายเดือนก่อน

      Nakwerii ulivyo muuliza nA pia atayeye kasema Kwer vyote vipo ​@@user-cr1nk1zc5s

  • @creo.
    @creo. 11 หลายเดือนก่อน +47

    This video is so touching....only God can stand with us when everyone is gone ...quick recovery mamaa

    • @blessingfavour3198
      @blessingfavour3198 10 หลายเดือนก่อน +1

      So true, he's the only one who can never let us down

  • @CarolMwende-ub2ie
    @CarolMwende-ub2ie 10 หลายเดือนก่อน +18

    There's a big reason from God as to why you're still able to walk and to talk after all that,, keep on praying and God of the healers will hear your voice,, nmelia adi sina lingine la kuongezea,, maombi unayo yaomba na mungu hayasikike in the name of Jesus Christ

  • @ConjetaMhagama-di4lv
    @ConjetaMhagama-di4lv 8 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akurejeshee afya yako kwa uweza na nguvu sake.

  • @lilianmsimbi4205
    @lilianmsimbi4205 10 หลายเดือนก่อน +13

    This lady will be a testimony to many...wanadamu wajapokutenga Mungu hajakutenga mama God has a reason and He just want to prove to u the kind of people we are living with... Receive your healing in Jesus might name Amen 🙏 ..Amini Mungu tu kwa hii Dunia weh.

    • @OnkyMike-km3jk
      @OnkyMike-km3jk 9 หลายเดือนก่อน

      Ni kweli, wakati wa kuinuliwa kwake kwaja

  • @josejosia3024
    @josejosia3024 11 หลายเดือนก่อน +21

    "Nakuomba kwa msaada ninao utoa mimi kwako mpokee yesu wakweli mpigigie sim mchungaji akuogoze maombi ya kumpokea yesu kristo mungu utamwona anavyo kubadilisha amini sikudangani niwengi wangekufa pasipo yesu kristo maana niwengi tulikata tamaaa kabisa niko Tanzania mwamini yesu

    • @mwanzajosephine468
      @mwanzajosephine468 10 หลายเดือนก่อน +1

      Hakika yote yanawezekana ukimwamini Yesu anaweza kukuponya usikate tamaa Mungu anaweza anaweza anaweza .

    • @baaliyanuun416
      @baaliyanuun416 9 หลายเดือนก่อน +1

      Yesu ni binaadam Kama yeye hawez kumsaidia fala ww

    • @EasterEmanuel-wh9dz
      @EasterEmanuel-wh9dz 9 หลายเดือนก่อน

      Hakika

    • @user-wo7rv2py9d
      @user-wo7rv2py9d 4 หลายเดือนก่อน

      Ewe mwenyezimungu mponye mujawake huu

  • @annenaliaka2879
    @annenaliaka2879 11 หลายเดือนก่อน +4

    Pole sana dadangu. Ila jua kwamba yupo mungu anaeponya. Usikate tamaa ndugu jamaa na marafiki wanaeza kukuacha ila mungu hatokuacha kamwe. Nakuombea kwa mungu upone katika jina la Yesu

  • @qatarworls1902
    @qatarworls1902 11 หลายเดือนก่อน +9

    Mungu yuko huezi kufa lazima upone ili..Mungu awahaibishe utalegejewa mwili wako kama ayubu

  • @robardmutisarobard4605
    @robardmutisarobard4605 11 หลายเดือนก่อน +5

    MUNGU wa Ibrahim hakika yuko pamoja nawe nmekuombea kwa Imani kubwa umepona.Amen

  • @sein.208
    @sein.208 ปีที่แล้ว +22

    Subhana Allah 😭
    Hakika Allah hajamaliza kutuumba . Tupendane sana na tuhurumiane jamani leo kwake kesho kwetu 😢 Yaa Allah twakuomba umjaalie shifaa dada huyu🤲😭

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 11 หลายเดือนก่อน +2

      😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @othmanali7408
      @othmanali7408 11 หลายเดือนก่อน +2

      Amin Amin Amin

    • @kofd5991
      @kofd5991 11 หลายเดือนก่อน +2

      Amiin yarrab 🙏

    • @aflahabdula4084
      @aflahabdula4084 11 หลายเดือนก่อน +1

      Ameen

    • @MrOmarmack
      @MrOmarmack 10 หลายเดือนก่อน

      aamiyn

  • @mirriamboit2270
    @mirriamboit2270 10 หลายเดือนก่อน +20

    So sad, May Almighty Father heal her in Jesus name so she may be a Testimony.
    People are so wicked 😡

  • @liliankimario2325
    @liliankimario2325 11 หลายเดือนก่อน +8

    Ukaponywe kwa jina la Yesu, hakuna gumu linaloshindikana kwa Mungu, Nakuombea upone kwa jina la Yesu.

  • @AngelRupia-od2gu
    @AngelRupia-od2gu 11 หลายเดือนก่อน +8

    Eh MUNGU mponye dada huyu katika jina lako kuu Ameen...

  • @maswaiann805
    @maswaiann805 9 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana mtoto wetu Mungu yuko na wewe anakuona yote unayopitia hakika kama familia walikuacha ati kwa kua utakufa nawashangaa usijali Mungu ndio kila kitu kwa jina la yesu Cristo mwana wa Mungu hauta kufa atakuponya Mungu anaweza yote Ameen

  • @cecilendayishimiye8548
    @cecilendayishimiye8548 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu yupamoja na wewe dear ❤ ..jipe moyo tu .hua unafuatilia watumishi w mungu wakiwa wanaombea wagonjwa mitandaoni . Utapona tu

  • @fredrickkevogo
    @fredrickkevogo 8 หลายเดือนก่อน +1

    The lady is soo beautiful afarijiwe tu na atakua salama

  • @zipporaomare5183
    @zipporaomare5183 10 หลายเดือนก่อน +5

    Mungu yuko pamoja nawe dada..hara ndugu, marafiki wakikuacha aliye juu yuko pamoja nawe

  • @magdalenantare1652
    @magdalenantare1652 10 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dada naomba uwasamehe waliokutelekeza ukifanya hivyo utauona mkono wa Mungu wauponyaji juu yako naye atakupndolea ugonjwa utakuwa mzima kwa jina la Yesu

  • @janetdundul3858
    @janetdundul3858 11 หลายเดือนก่อน +4

    Oh pole mwajina mungu ni mwema,,,namuomba mungu akuponye na family yk hikueshimu 🙏🙏👏👏👏👏👏

  • @mercymayane4948
    @mercymayane4948 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mdg wangu Amini jina la YESU linaweza kuponya magonjwa yote hata yawe magumu kiasi Gani ila kwake Inawezekana hata ndugu jamaa au marafik wakuache Ile YESU hawezi kukuacha hata kdg yeye ni rafik wa kweli

  • @abdallahsalum9316
    @abdallahsalum9316 11 หลายเดือนก่อน +3

    Pole sana dada watu wa sasa binadamu ni wachache mno.usife moyo katika binadamu hao wachache yupo mmojawapo atakaeletwa na mungu kwako kwa ajili ya kukusaidia. Kwani kama mungu alitoa mwanzo wa tatizo lako amini kuwa na mwisho wake upo tena ni mwisho mzuri tu.mungu azidi kukupatia subra na moyo wa uvumilivu.

  • @user-il6wv8uq7c
    @user-il6wv8uq7c 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pole dada usiogope Mungu wambinguni atakutendeya mujiza kunawakati Mungu anaruhusu ovyo ili ujuwe watu ambao unaishi nap ndugu na Rafiki WA kweli na muzazi muzuri ni Mungu pekee

  • @user-uz5jz9mi7m
    @user-uz5jz9mi7m ปีที่แล้ว +38

    Mungu yuko nawe dada usife moyo ata wanao kutenga Iko siku watakuhitaji to amini mwenye

    • @tiarareigns8547
      @tiarareigns8547 11 หลายเดือนก่อน

      I have a testimony for your comment. Saa hii wananyenyekea kunyenyekea after kuniacha nikufe na leukemia 😭😭😭😭😭😭 Mungu halali 😭😭😭😭😭😭😭

    • @WilsonEmmanuel-bs6op
      @WilsonEmmanuel-bs6op 11 หลายเดือนก่อน +1

      Pokea uponyaji kwa jinala yesu

    • @diti4899
      @diti4899 11 หลายเดือนก่อน

      Amina

    • @kipronosego549
      @kipronosego549 11 หลายเดือนก่อน

      Amen

    • @Mbilurichard-vl6bx
      @Mbilurichard-vl6bx 11 หลายเดือนก่อน

      Umeongea toka moyoni adinami imenigusa pongez zako

  • @ramadhanseif4564
    @ramadhanseif4564 11 หลายเดือนก่อน +2

    Allah atakusaidia utapona na utakufa kwa mapenzi ya allah na si mwanadamu, pole sana dada yangu

  • @terrystephens9521
    @terrystephens9521 10 หลายเดือนก่อน +7

    God you say that you never forsake us even though our father and mother leave us..please walk with this girl and heal her. May she live to tell testimonies. Amen

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dada,usikate tamaa,wewe kila leo endelea kuomba sana kwa Mwenyezi Mungu muujiza utakuja na utapata uponyaji.Hao ndugu, wazazi na rafiki waliokutenga wasamehe bure wala usiwe na kinyongo nao yeye muumba ndiye aliyeshika usukani

  • @OnkyMike-km3jk
    @OnkyMike-km3jk 9 หลายเดือนก่อน +7

    There is nothing impossible to Lord the creator of all things.. Dear Anet just keep your faith to Lord God

  • @user-nb2kh5xm4g
    @user-nb2kh5xm4g 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mtetezi wetu ajakuacha jipe moyo utapona mungu ameleta ayo yote ili akuonyeshe mtu sahihi kwako muite yesu kila wakati na mimi yalinikuta kama ayo sikumusaau yesu maana apo aupo peke yako una yesu muite yesu ndo msaada wako na auta kufa bali utaishi❤❤❤❤❤❤❤

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 11 หลายเดือนก่อน +6

    Ni mdogo jamani.mwanangu kabisa jamani😢 natamani kama.niwe hapo ulipo japo aiku 2 tu hakika.pole Mungu ataleta njia❤

  • @EmmyMrema
    @EmmyMrema 10 หลายเดือนก่อน +2

    Dah imeniuma sana jaman😢 pole dada mungu Yu pamoja nawe Kwa Iman utasimama tena❤

  • @Inukanaalmasipodcast
    @Inukanaalmasipodcast 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kuna maisha tofauti sana kati ya Tanzania na nchi nyengine za east Africa kwa hili nsimani Watanzania wangemsaidia huyu bint

    • @MarthaMlemeta-cm3xk
      @MarthaMlemeta-cm3xk 9 หลายเดือนก่อน +1

      Mungu tunaomba umponye huyu dada Kwa jina lako Yesu

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 9 หลายเดือนก่อน

      Hakika WatanzaniacTuna MOYO WA IMANI MNOO Mungu ametupa neema hii ya kujariana

  • @user-zt6ju3lv6m
    @user-zt6ju3lv6m 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu yuko Dada na akuponye inde might name of Jesus ucjali sister yangu ukiamiamini mungu kila kila kitu kitakuwa sawa

  • @clintonkhan4961
    @clintonkhan4961 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mungu uliye juu nakuomba kwa niaba ya huyu Dada, wewe ndiye tabibu Wa kweli unaelewa Yale anayopitia. Nakuomba umfanyie muujiza umuokoe Na ugonjwa anaougua. Baba sisi Ni wanao muujalie afya Na awe Na Maisha yake ya kawaida ili wanaoumdharau waiibike. Asante Baba kwa sababu unaweza. Mkumbuke huyu Dada juu unaeweza. Amina🙏🙏🙏🙏😭😭😭

    • @vibe2543
      @vibe2543 9 หลายเดือนก่อน

      Amen

  • @liliantarimo9998
    @liliantarimo9998 11 หลายเดือนก่อน

    Pole sana.Mungu akupelekee msaada kutoka patakatifu pake. Kwa kuwa hakuna jambo gumu asiliweza Mungu. Siku moja utatoa ushuhuda kwa mambo makuu aliyokutendea Mungu kwakuwa utakuwa umepona kwa jina la Yesu kristo!

  • @marykmbogo7589
    @marykmbogo7589 ปีที่แล้ว +4

    Mungu atakuponya, na ndugu watashangazwa na ukuu wa Mungu. Hakuna lisilowezekana Kwa Mungu

  • @MagrethTafuna-yd2gd
    @MagrethTafuna-yd2gd 11 หลายเดือนก่อน +2

    Pole sana binti yangu,
    Familia wamekukataa na kukuacha lakini BWANA hajakuacha! Na kwake hakuna lisilowezekana, mtumaini Yeye nae atafanya, Endelea kukiri Neno hili " sitakufa Bali nitaishi nipate kuyasimulia matendo makuu ya BWANA.

  • @issambonde1469
    @issambonde1469 11 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu ni mwema atafanya njia pasipo njia pasipo njia🙏

  • @rachelmurianga7261
    @rachelmurianga7261 9 หลายเดือนก่อน +1

    Pole dada Mungu yupo atakuponya....tafuta huduma ya maombii

  • @eunicecherono8729
    @eunicecherono8729 10 หลายเดือนก่อน +3

    So touching may God remember mercies and heal you, dont listen to what people says just have faith God is all powerful

  • @rayjohnerasto6198
    @rayjohnerasto6198 9 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dadangu, mungu ni mwema wakati wote. Amini haya ninayokwambia, kama unaweza kufika Tanzania mapema, mimi nakuhakikishia utapona hiyo saratani. Njoo wewe kama wewe pesa yako ya kuendesha maisha tu, gharama za matibabu utatoa mungu akitenda muujiza wake. Saratani inatibika kabisa, Kuna watu walitolewa hadi viungo vya uzazi ili kuwaongezea tu siku lakini wamepona kabisa kwa dawa za asili. Mungu akusimamie. Pole sana

  • @GraceNgugi-oy4yt
    @GraceNgugi-oy4yt 11 หลายเดือนก่อน +8

    Lord have mercy on this young lady

  • @GraceFrancis-co8bs
    @GraceFrancis-co8bs 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dada angu , mungu ndiye daktari mzuri nayo maombi ndo dawa poa.. utapona katika jina la yesu

  • @sharonkimaiyo8347
    @sharonkimaiyo8347 11 หลายเดือนก่อน +10

    May God heal her completely 🙏

  • @Mar-rf6xl
    @Mar-rf6xl 10 หลายเดือนก่อน

    Dah pole sana dada Mungu huwa hamtupi mjawake kama mung amepanga ufe kwa njia hy bs utakuf kama hajpng nikuru ngumu kwa vmve utaona inshaallh isife moyo dada ang tunakusaidia kumuomba Mungu utarejea tena kama awl

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 ปีที่แล้ว +4

    Pole sana dada mungu ndie kila kitu wasamehee 🇹🇿

  • @oswardpeter6179
    @oswardpeter6179 10 หลายเดือนก่อน

    Polesanadada,Mwenyezi Mungu atakufanyia wepesi utapona,mtumainie Mungu hakuna linaloshindikana kwa Mungu. Amen.

  • @francisoino3156
    @francisoino3156 10 หลายเดือนก่อน +4

    Very Emotional Story.May God Grant You Healing

  • @marymrawa5124
    @marymrawa5124 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akuponye mdogo wangu,ni Mungu tu atakufanyia miujiza inua imani yako kwake.

  • @PiusJosephat-nm4wo
    @PiusJosephat-nm4wo 11 หลายเดือนก่อน +12

    May God make a way to this beautiful young lady 🙏🏾

    • @merylutengano5140
      @merylutengano5140 10 หลายเดือนก่อน

      Pole sana kipenzi changu mungu ata kuponya kuwa na imani mtafute mwa mposa watu wanaponywa magojwa sugu

  • @user-qf2xo7ln8f
    @user-qf2xo7ln8f 11 หลายเดือนก่อน +1

    Naamini utapona na mungu ataachilia uponyaji wake kwa damu ya yesu ameni my dear jipenguvu na tumaini jipya

  • @ddominicmutuku5734
    @ddominicmutuku5734 11 หลายเดือนก่อน +5

    😢😢😢naamini utatenda Mungu , mpe uponyaji katika jina kuu la Yesu Krito, Amen

  • @CephlenRobert
    @CephlenRobert 4 หลายเดือนก่อน

    Dah pole sana dada Mungu akuponye katika jina la yesu 😢😢

  • @Wilky254
    @Wilky254 11 หลายเดือนก่อน +34

    God have mercy and send your secret injection for her healing....Quick recovery to her 🙏🙏🙏

  • @christowajamathayo6972
    @christowajamathayo6972 9 หลายเดือนก่อน

    Jipe moyo mungu mungu hashindwi na chochote wewe hautakufa na huo ugojea mkabidhi Yesu maisha yako umkri yeye hakuka utapona sababa hajawahi kushidwa,damu ya Yesu ikufungue ufahamu na akili upate kumtsfuta mcjungaji akuhudumie hiyo ni roho ya ucheleweshwaji tu binti

  • @user-on3mg6it7y
    @user-on3mg6it7y 11 หลายเดือนก่อน +2

    God have mercy on her ..praying for healing from above

  • @erasmusleonidas6729
    @erasmusleonidas6729 9 หลายเดือนก่อน

    Eeewe mungu husiye shindwa tenda maajabu yako
    Wengi tujifunze naamini imekuwa kama unaungana na mimi ktk kumuombea hutu binti sema amina
    Tushirikiane kumuombe tunaoweza tufunge kwa ajili ya huyu dada mungu anaweza naamini itawezekana.

  • @morinjahkiarahu7756
    @morinjahkiarahu7756 10 หลายเดือนก่อน +2

    Oh. GOD..let this gal be a testimony. Heal her😢😢

  • @SharlotteSefania
    @SharlotteSefania 6 หลายเดือนก่อน

    Pole sana dadayangu, Ila akuna lisilo wezekana mbele zamungu, usihache kumwomba mungu dada, mahombi nisilaha kubwa sana, pia yeye nimfariji bora.
    Mungu atasahidiya dadangu❤️🙏🫡

  • @salamahamadisudi1912
    @salamahamadisudi1912 11 หลายเดือนก่อน +4

    Hata binadamu wakukatae lkn mungu hawezi kukuacha

  • @user-tf3li2kj9x
    @user-tf3li2kj9x 6 หลายเดือนก่อน

    Ee Mwenyezi Mungu🙏🙏
    Ee Damu ya Yesu
    Anet Pokea uponyaji toka Mbinguni

  • @villagebeautifulnature1843
    @villagebeautifulnature1843 11 หลายเดือนก่อน +3

    May God heal,protect and keep you.

  • @WandishaNatianota
    @WandishaNatianota 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu akupe uponyaji mdogo wangu, kila jambo linawezekana kwa Imani

  • @yusrashabani2983
    @yusrashabani2983 ปีที่แล้ว +7

    Nashangaa wanaojivunia huu mwili kwakweli kutwa kucha kutembea uchi mitandaoni , ona uyu kiumbe wa Mungu alivyokuwa mrembo sana sasa amekuwa kama mzee wa miaka 80 Pole sana mdogo wangu utapona Mungu bado hajakutupa usikate tamaa usilie sana mama 😭😭😭roho imeniuma sana kwakweli

    • @zahraamin2910
      @zahraamin2910 11 หลายเดือนก่อน +2

      Japo anaumwa mwili umekonda lakini haonekani kama mzee wa miaka 80.bado beautiful sura yake nzuri tu...allah amuondolee maradhi hayo.maskini.

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 11 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@zahraamin2910Aamin yarab

  • @jamesmwendiagachoki9357
    @jamesmwendiagachoki9357 10 หลายเดือนก่อน +1

    I speak of healing to you sister in mighty name of jesus.jesus through your merciful heart heal this girls ,remember your very own words ask and it shall be given unto you,kindly i ask you heal this girl

  • @user-bn4br4jm9v
    @user-bn4br4jm9v 11 หลายเดือนก่อน +3

    God will stand with you until utapona 🙏

  • @mwanaathumani9594
    @mwanaathumani9594 11 หลายเดือนก่อน +2

    Pole mdogowangu mungu humps mtihan kila alie chin yakula hili nayeye pekee ndio wakukuponga kwauwezo wake utapona aminn🤲😭😭😭

  • @shukranjazzakhaallahukheir1897
    @shukranjazzakhaallahukheir1897 11 หลายเดือนก่อน +3

    Mungu Ni mkubwa binti Mungu akupeshifaa na kutie nguvu

  • @dottoandersonjabir
    @dottoandersonjabir 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu niwawote nakuombea ipo siku utakuwa salama na ninaiman mpk sasa Mwenyezi Mungu katenda miujiza...utapona

  • @user-kd3jr1gm6d
    @user-kd3jr1gm6d 10 หลายเดือนก่อน +2

    Be healed my sister in Jesus name

  • @violetrwechungura3657
    @violetrwechungura3657 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akufanyie wepesi mrembo upone. Hakuna linaloshindikana kwa Mungu mtumaini yeye. Dr. Naye ni binadamu ila yupo kusema huwezi pona hiyo Mungu pekee ndo anayejua. Ndugu nao wajue kuwa mabadiliko ya mwili ni wakati wowote hata huyu hakupenda kuwa hivo. Natamani ningeweza kufika hapo ukaona hata upendo wa watu baki.

  • @denismurimi6827
    @denismurimi6827 11 หลายเดือนก่อน +3

    May God make you healthy again in Jesus name

  • @Mary-qt7hm
    @Mary-qt7hm 4 หลายเดือนก่อน

    Eee MUNGU mwenye rehema katende miujiza na Dunia ikufahamu,kamponye Dada huyu in Jesus name,AMEN.

  • @maxybarasa1889
    @maxybarasa1889 11 หลายเดือนก่อน +5

    Quick recovery in Jesus name dada

  • @exportwlg5853
    @exportwlg5853 10 หลายเดือนก่อน +2

    kwa kweli imenigusa sana, Mungu akuponye nakuja kukuona

  • @amanakatala6864
    @amanakatala6864 11 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana dada mungu atakufanyia wepesi zidi kumuomba na kumshukulu kea yote maana yy ndo kila kitu kwetu. Mungu akufanyie wepesi

  • @enyonyiabemba
    @enyonyiabemba 11 หลายเดือนก่อน

    Usijihisi mpweke dada, kumbuka upo na Mungu mda wote naye ni mfariji tosha.
    Pole sana dada yangu.

  • @mbwanakibosha3967
    @mbwanakibosha3967 9 หลายเดือนก่อน

    Eeewe mwenyez mungu mtukufu ulie tukuka mwingi wa lehma na mwenyekulehemu uliye watuma mitume na manabii walio fanya makubwa kupitia uwepo wako na nguvu zako nami nakuomba nguvu au miujiza iliyo fanya kazi kipindi ambacho watu walikuwa wabishi kuamini na wakaamini na nguvu iyo iyo ikafanye kazi kwa huyu ndugu yangu binadamu mwenyenzangu mja wako aweze kupona kabisa 🙏🙏🙏Amina labilalamini

  • @upako4598
    @upako4598 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuponye kwa jina la yesu amina

  • @Espoir9535tvtx
    @Espoir9535tvtx 9 หลายเดือนก่อน +1

    Muombe mungu mimi pia niliwai kuwa mugonjwa nikiwa rwanda kisenyi 2010 nilifika mbali mwili wangu ulizurufika zaidi yahivyo ulivyo ila mungu Ali nisaidia sasa kila kitu ni historiya 🙏

    • @LucyKapinga-fg4dk
      @LucyKapinga-fg4dk 9 หลายเดือนก่อน

      Hakika mimi mwenyewe hiyo hiyo cancer ila Maombi yaka jibu yalipotea magonjwa Muujiza nilio upata MUNGU NI MKUBWA Sana

  • @DaynessMwailafu
    @DaynessMwailafu 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nivile haupo tuu Tanzania 🇹🇿 huku sisi mapema tunge kuung mkono love

  • @SalhaAbdallah-hv7vs
    @SalhaAbdallah-hv7vs 6 หลายเดือนก่อน

    wallahi kama sio matibabu anazozipata hosipitalini ningemchukuwa akaishi na mimi. pole sana dadangu tunakuombea Mungu akupe afiya usiotarajia

  • @magdalenamtatiro7101
    @magdalenamtatiro7101 5 หลายเดือนก่อน

    Pole sana mwanangu haya yote mi mapito utapona tu mwanadamu anaweza kukuacha lakini Mungu hawezi kukuacha kabisa

  • @user-qz8rc7ky3z
    @user-qz8rc7ky3z 9 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika hii ndo dunia unapokuwa na matatzo wengi hukutenga watakuwa na ww unapokuwa na chako na afya njema hii ndo dunia ila mungu yupo ndohakimu wako weka iman yako kwake hakika ndo muweza wa kila jambo utasimama tena kwa jina la ALLAH 🤲🤲🤲

  • @chrispinachristopher72
    @chrispinachristopher72 6 หลายเดือนก่อน

    Ndio kawaida ya wanadamu, ila mwamini Yesu kristo, hawezi sema kwaheri kwako. Yesu kristo akuponye❤

  • @togolanimramba8360
    @togolanimramba8360 11 หลายเดือนก่อน

    Pole. Maombezi yote ee Mungu uyasikie na kutenda kupitia Bwana wetu Yesu Kristo

  • @user-bm2dc5lc9q
    @user-bm2dc5lc9q 10 หลายเดือนก่อน +1

    It's so sad wallahi.. mungu akupe uzima na afya na upoe maradhi akuondolee kabisa.. Ameen yarabb

  • @priscahmuthiani24
    @priscahmuthiani24 7 หลายเดือนก่อน +1

    Binadamu anaweza kukutenga lakini Mungu yunawe kila wakati...quick recovery dadangu

  • @anethmathayo2072
    @anethmathayo2072 11 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu atakufanyia wepesi Dada yangu hakika ndugu watakutenga ila yupo Mtetezi wetu ambaye ni Mungu!

  • @thescop1003
    @thescop1003 10 หลายเดือนก่อน

    Pole dana dada muombe mungu , hufanya visivyowezekana, mimi pia niliwahi kukatiwa tamaa lea sababu ya afya yangu utotoni ila kila anayeniona leo haamini, yalitamkwa maneno kama hayo

  • @Jumamabela
    @Jumamabela 10 หลายเดือนก่อน

    Pole Sana Dada Mungu ni mwema hashindwi na chochote atakusaidia utapona ee mwenyezi Mungo nakuomba msaidie huyu dada

  • @SurwejoMoses-hq8wf
    @SurwejoMoses-hq8wf 8 หลายเดือนก่อน

    Nakuonbea pia kwa Mungu nitalia mbele za Mungu kwa ajiri yako Mungu atafanya mapen zi yake

  • @user-zx4dz6qk9f
    @user-zx4dz6qk9f 8 หลายเดือนก่อน +1

    Pole sana mwenyez mungu atakufanyia wepesi 🙏

  • @Rangoboytz2023
    @Rangoboytz2023 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu baba uketie mahali pajuu patakatifu nakuomba unipe hekima na kiasi utakacho nipa kwaajiri ya kugawana na watu wenzangu kama Hawa naumia San kuona maisha magumu Kwa vizazi vyetu na nyuma yetu ni full majukumu DAAAH mpe wepesi dada huyu babayetu 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 tusiwanyanyapae wagonjwa na wahanga WA lolote ktk afya hizi tulizonazo imeniuma San. Machozi yamenishahili daaaaaaaaaaaaaaah inauma San binadamu tunakosa utu kbsa....da aneti mungu Yuko pmja nawe amen

  • @AlexMacki
    @AlexMacki 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu akuponye na ulud katika Hali yako nakuomba fungulia chaneli ya alaise and shine goludoza mwamposa tafuta kwenye tv mdogo wangu utapona TU hakuna kinacho shindikana kwa mungu