MR PIMBI AMEFOKA UKU AKIMTETEA HARMONIZE KUOMBEWA KANISANI IKIWA NI MUISLAM

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 38

  • @IsraelJarua
    @IsraelJarua 29 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu yuko njiani kumuokoa kamanda pimbi atakuwa mzee wakanisa mana ana maneno yabusara

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 หลายเดือนก่อน

    Kweli kbs pimbi nakubali👌

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 หลายเดือนก่อน +1

    Harmonaz anatakiwa ajewazi aseme kama amekua mkristo watu wajue maswala yakusema ni muislam hukuanaenda kanisani waisilam hawatakuacha uisilam haukubali kuchanganya imani.kazi kwako Harmonaz kusuka au kunyoa.

    • @humbleshoal
      @humbleshoal 13 วันที่ผ่านมา

      Mungu c ni1?

  • @RaulTech-pp3gc
    @RaulTech-pp3gc หลายเดือนก่อน

    Iyo ni kweli kbs❤

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 หลายเดือนก่อน +1

    Ajitambulishe dini sio nyimbo na kuchezea,sisi wengine tusha Acha kamsapoti

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 หลายเดือนก่อน

    Kamahuijui Dini sana nyama.achawanaojua waseme.shida siokuingia kanisani.shida ni kuingia kanisani kuombewa kwa imani ya Dini nyengine na bado anadai ni muislam haiendi hivyo achague Dini moja.

  • @iftikharAlly
    @iftikharAlly หลายเดือนก่อน

    Sasa jina lake anaitwa pimbi atakuwa na akili kweli😂

  • @AlexMlaba-y5j
    @AlexMlaba-y5j หลายเดือนก่อน

    Kuhusu Imani MTU hapangiwi Kwa sababu kwenye hukumu Lila MTU atahukumiwa kivyake

  • @MlimaMagulu
    @MlimaMagulu หลายเดือนก่อน

    Yote Mungu ndo anajua

  • @IsraelJarua
    @IsraelJarua 29 วันที่ผ่านมา

    Kweri huyo kaokaka yuko upande wa BWANA YESU

  • @emmanuelcharles5613
    @emmanuelcharles5613 หลายเดือนก่อน

    Kweli kabisa

  • @jumaali8596
    @jumaali8596 29 วันที่ผ่านมา

    Pimbi umekosea hujui kitu Waislam wanavyomuombea Mkristo maombi yao ni tofauti haombewi kiislam Mkristo Ndugu Pimbi acha kuongea kilevikilevi

  • @festofrank-z3m
    @festofrank-z3m หลายเดือนก่อน

    Kabisa

  • @shekhekarimu
    @shekhekarimu หลายเดือนก่อน

    Hajji uwisilam mikoyake nahukum zake

  • @AntonyManeno
    @AntonyManeno หลายเดือนก่อน +1

    MR PIMBI Uko Vizuri Waelimishe Wajue❤Hata Dini Ya Kisilam Iliandikwa Kwa Kujifunza Kwa Wakristo🎉 Mtume Mhamad Aliambiwa Kama Kuna Jambo Lolote Halijui Lamsumbua Aulize Walio Mtangulie. So Someni Vita Vyote Viwili Ndio Uta Jua Mahali Ulipo Uko Sahihi

  • @SaidMussa-k5i
    @SaidMussa-k5i หลายเดือนก่อน

    Wewe kwel boks kichwan kama hujui mambo ya ya din uliza pimbi tofautisha kubadir na Muislam kuyumba Au mkiltu kuyumba unaoneka pimbi mpuuuz kabisa kwenye din wewe unaogopa vta kwa.sababu unakitambi hapo kwa kula maharage Yako mpuuz wewe endelea na uchawa wako mambo ya din waa chie wenyewe Mungu hatak uchawa mshenz wewe hapo ulivo hata janaba hujui kuoga mbwa wewe

  • @BvvvGh-g5t
    @BvvvGh-g5t หลายเดือนก่อน

    😂😂 sikulaum ufupi wako unakusumbua soma dini unasemaje fikirazako zaujinga wenyangufi Imani yakijinga

    • @thomasnizigiyimana5122
      @thomasnizigiyimana5122 หลายเดือนก่อน +1

      Utawezaa kuwa murefu kuliko pimbi ila akakushinda kushimama mbele yawatu na kuonge point

  • @NoorynMody
    @NoorynMody หลายเดือนก่อน

    We pimbi kaa kimya kma ujuh dini vzr kma ulivo sema unaongea maneno ya kipimbi pimbi to hpo

  • @MushiroseAlberth
    @MushiroseAlberth 20 วันที่ผ่านมา

    Kwani kanisa ni nini si huduma cha ajabu kipi,hamoniz kumkimbilia mchungaji huwezi jua xhamsibu nini pia aliona ndo kaeibu axheni udini

  • @lazamennyatega7848
    @lazamennyatega7848 หลายเดือนก่อน

    Mbona anae kuoji anajificha ni mnafik

  • @ImamAbas-f9b
    @ImamAbas-f9b หลายเดือนก่อน

    Kesi nyani upeleka kwa kima na wewe mwandishe tumbili kwa hapo mauzauza

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 หลายเดือนก่อน +3

    Kuonekana kanisani na kuonekana kwenye show za kushikana uchi wapi bora? Acheni upumbavu kila mtu ana maamuzi yake

    • @mwinyiswaleh8388
      @mwinyiswaleh8388 หลายเดือนก่อน +1

      Shida siokuingia kanisani. Shida ni kusema ni muisilam.tunamwambia uislam haukubali kuchanganya imani.achague Dini moja sisi tutaachana nae.

    • @Bilioneabichwa331
      @Bilioneabichwa331 หลายเดือนก่อน

      @@mwinyiswaleh8388 kwani we umezaliwa na mtu? Umezaliwa pekeako baki na uislamu wako, wengine wakimrudia Mungu unachukia nn? Kufa pekeako

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b หลายเดือนก่อน

    Mr. pimbi hamna shida kuombewa na pastor, shida nikueka hadharani ili kuchokoza waislamu kwa kusudi, alijua wazi kwamba atajeruhi waislamu

  • @Yangaone-h8j
    @Yangaone-h8j หลายเดือนก่อน

    Nanyiye waandishi siku singine mnazingua sana huyo mnayekwenda kumhoji maswala ya dini mna uhakika anelewa kweli maana ya itikadi za dini, huyo pimbi mfuateni kwenye mambo ya udaku tu, haya maswala ya dini nimazito sana hayataki dhihaka, hicho anachoongea KIPIMBI ni mzaha jumlisha dhihaka na dini, adhabu yake ni jahanamu

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 หลายเดือนก่อน

    Unamuhoji pimbi kwenye hili wakati mwenyewe pimbi alienda kanisani kwa nabii Jodevi lazima amtetee Harmonise

  • @mosesibmshangamshanga7885
    @mosesibmshangamshanga7885 26 วันที่ผ่านมา

    Pimbi wewe nilikuona kwa jodev..

  • @AliMohamed-w3b
    @AliMohamed-w3b หลายเดือนก่อน

    ANGETAKA KWELI MAOMBI YA YESU ASINGEPELEKA MAKAMERA ILI AWAJERUHI WAISLAMU KWA KUSUDI

  • @DaboChani
    @DaboChani หลายเดือนก่อน

    Ww unapeleka kes ya nyan Kwa kima wa kat yy mweye anaenda kanisan hyo

  • @ASHRAFUAHMAD
    @ASHRAFUAHMAD หลายเดือนก่อน

    Tunapoona wanajua kumbe ni majuha. Utawatumikiaje mabwana wawili ishu ni kwamba achague upande mmoja. Na utoe facts za elimu ya dini kama hauna elimu. Ndugu kasome hauna elimu.

  • @TibihikaGerad
    @TibihikaGerad หลายเดือนก่อน

    Nimeamin watu akir ni mbovu kwa hiyo Dr sule tiba zake zinahusu waislam peke Yao?

  • @nduhiyimanashabani
    @nduhiyimanashabani หลายเดือนก่อน

    Majibu Yako wewe bwana pimbi
    Soma surat kafiiruna.
    Mwisho wavsura hio ni
    Ayat ya mwisho
    Wa Islam wanavdini yao n'a makafiri wanavdini yao
    Mr kasome dini Yako anaongeya usicho kujuwa.

  • @shekhekarimu
    @shekhekarimu หลายเดือนก่อน

    Hilo nibwege ndomana linaitwa pimbi