HUU NDIO UZURI WA PEMBA NA SIFA ZA VISIWA '7' VINAVYO KODISHWA NDANI YAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 14

  • @gangmore9091
    @gangmore9091 2 ปีที่แล้ว +1

    biashara ndio maendeleo umaskini mumeleta nyinyi Ccm wahunii

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 ปีที่แล้ว +1

    MAJI HAKUNA BARABARA MBOVU.

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 2 ปีที่แล้ว

    Shida ya viongoz wakati wa kampeni wanakuja wakitupa sera nzuri kwa ajili ya kupeana matumain ili wapate kura ila wakishatimiza Yao wanatuacha mataa hivi maendeleo yatakuja hapoo

  • @rafaelmarquez9396
    @rafaelmarquez9396 2 ปีที่แล้ว +1

    Na nyinyi jitayarishe kokodishwa au kuuzwa na mkoloni ccm

  • @ameirdarueshi2593
    @ameirdarueshi2593 2 ปีที่แล้ว +1

    Hii ndo serekali ya mauzi ya Zanzibar jee ayo manotaka kufanya wananchi wenu washarizika au mkesha. Kuriziana nyinyi tu uko mafisini imetosha ila msisahau kukodisha na iyo ikulu Apo mnazi mmoja

  • @menalikechildren8836
    @menalikechildren8836 2 ปีที่แล้ว +3

    kipind cha utoto wangu tulikuwa tunakodishwa baskeli sikujua km mwishon mpaka visiwa vitakodishwa

  • @abuubakarjuma3230
    @abuubakarjuma3230 2 ปีที่แล้ว

    Mm ni Mwananchi Nadhani tungeifuwa zanzibar kibiashara tukawa na soko kuu la est Africa mashariki biashara ndio kila kitu ktk dunia kwa wakati huuu hivyo visiwa vitamaliza kwann viongozi wetu munashindwa kuifungua zanzibar kibiashara zaidi visiwa vitamaliza lkn biashara haimalizi inakuwa

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 2 ปีที่แล้ว +1

    Mwisho mtakuja kujuta.uzeni halafu baadaye mgeni ndio atakuja kupangieni mambo anayotaka yeye.hata kama pana mali au mafuta wakichimba ni yao wao waliokodi sio yenu nyie CCM.ndio nushawauzia.

    • @abrahamdula361
      @abrahamdula361 2 ปีที่แล้ว

      Sio kukodishwa nikuuuziwa

    • @rumesibarka5312
      @rumesibarka5312 2 ปีที่แล้ว +1

      Kiswahili kimekupiga chenga. Kukodisha na kuuza ni vitu tofauti.

  • @ismailjuma3692
    @ismailjuma3692 2 ปีที่แล้ว

    Kwenda zako uko.