Tatizo la salafiya NI wao wenyewe, KWENYE DINI ya Allah hamna Mambo mengi, haki IPO wazi na batil IPO wazi utata unatoka wapi, unapochanganua DINI na MASLAHI ya dunia unategemea nn hapo.
Manhaj na maslak ya Assalaf ni manha na maslak ya kutengeneza kila palipo haribiwa, kwa hoja na dalili. Mbona maslak yenu na manhaj yenu imejengeka kwenye misingi ya kuharibu na kufitinisha baina ya waislamu na maulamaa wao na mashaayikh zao?!!! Manhaj ya Assalaf imejengeka kwenye msingi wa kuhurumiana na kusitiriana kwenye makosa binafsi, lkn kwenu hatuyaoni haya? Manhaj ya Assalaf imejengeka kwenye msingi wa kubainisha makosa ya maulamaa na kuhifadhi makaana zao, na heshma zao, lkn mbona hili kwenu halipo? Manhaj ya Assalaf haija jengeka kwenye msingi wa kupekua aibu za Mashaayikh na Maulamaa, lkn mbona kwenu hii ndio siima? Bila shaka Assalaf ni aulaa minal-khalaf.
mashaalah sheikh wangu qassim mafuta allah akubarik (inshaallah)
آمين وزيادة
Allah akuhifadhi shaykh Abul Fadhil
Mashaa-Allah aaalim.
حفضك الله شيخنا أبو فضل قاسم موت قاسم أمد لله في عمره علي عمل صالح
Daawa salafiya imeanza nwaka 2000 na lengo lake kuu ni kuua umoja wa waislamu ,kupinga jihad na mambo mengi tu
Tatizo la salafiya NI wao wenyewe, KWENYE DINI ya Allah hamna Mambo mengi, haki IPO wazi na batil IPO wazi utata unatoka wapi, unapochanganua DINI na MASLAHI ya dunia unategemea nn hapo.
Manhaj na maslak ya Assalaf ni manha na maslak ya kutengeneza kila palipo haribiwa, kwa hoja na dalili.
Mbona maslak yenu na manhaj yenu imejengeka kwenye misingi ya kuharibu na kufitinisha baina ya waislamu na maulamaa wao na mashaayikh zao?!!!
Manhaj ya Assalaf imejengeka kwenye msingi wa kuhurumiana na kusitiriana kwenye makosa binafsi, lkn kwenu hatuyaoni haya?
Manhaj ya Assalaf imejengeka kwenye msingi wa kubainisha makosa ya maulamaa na kuhifadhi makaana zao, na heshma zao, lkn mbona hili kwenu halipo?
Manhaj ya Assalaf haija jengeka kwenye msingi wa kupekua aibu za Mashaayikh na Maulamaa, lkn mbona kwenu hii ndio siima?
Bila shaka Assalaf ni aulaa minal-khalaf.
Allah akusamehe akhy nakushauli ukae na masalafi wasomi wakufundishe manhaj salafi mana maneno yako yaonyesha ivo