SNAKE BOY | ep 30 | SEASON TWO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Join me at Pocket Broker:
    clcr.me/SZ2F8V
    Enter promo code CLAM100 at registration and get a special bonus from me!
    Jisajili kwa kuingiza code clam100 na uweze kupata bonasi kutoka kwangu
    Follow Me On Instagram
    / clamcris_
    Tiktok:
    / clam_cris
    Facebook:
    www.facebook.c...
    #clamvevo

ความคิดเห็น • 2.6K

  • @clamvevo6472
    @clamvevo6472  12 วันที่ผ่านมา +6

    Jiunge nami katika Pocket Broker: clcr.me/CLAM2024
    Tumia Promo Code CLAM2024 wakati wa kujiandikisha na upate bonasi maalum kutoka kwangu - +100% hadi amana!

    • @Riziki2Mbogo-p8d
      @Riziki2Mbogo-p8d วันที่ผ่านมา +1

      jambo

    • @yoshbabababa7507
      @yoshbabababa7507 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Brother mimi nisha jiunga Ila sijuwi jisi yaku tumiya

  • @mansoursabri4398
    @mansoursabri4398 หลายเดือนก่อน +77

    Ewe mwenyezi mungu wajaalie afya njema wanao soma text hii

  • @user-ec6ow2cx7c
    @user-ec6ow2cx7c หลายเดือนก่อน +192

    Yaaani tangu nianze kukoment na kuifuatilia hii snakeboy sijai pata ata like Moja si leo muamue jameni anyway good work tunawapenda kutoka Kenya 🎉🎉🎉❤❤

    • @BsbBsb-o5s
      @BsbBsb-o5s หลายเดือนก่อน

      Tangu nianze kufuata snake boy sija Pata hâta liké moja

    • @MusaMsagati-s1o
      @MusaMsagati-s1o หลายเดือนก่อน

      naipenda xan sneack boy

    • @nicolauslukindo
      @nicolauslukindo 29 วันที่ผ่านมา

      Sio mambo yetu tusha achag izo

  • @judithpendo9985
    @judithpendo9985 หลายเดือนก่อน +671

    Oya waliowahi wapitie apa jmn 😢😢😢msinioite bila like nawapenda nikiwa team strong and Genz 👊🇰🇪🇸🇦🥰🥰 team clam vevo mko wapi 😢

    • @SusanNeema-re3hr
      @SusanNeema-re3hr หลายเดือนก่อน +17

      Nimekupea 👊

    • @judithpendo9985
      @judithpendo9985 หลายเดือนก่อน +11

      @@SusanNeema-re3hr ♥️♥️♥️♥️🥰 Asante

    • @MwendaDeor
      @MwendaDeor หลายเดือนก่อน +5

      wa Ooooo Safi sana

    • @Sempai_Adui
      @Sempai_Adui หลายเดือนก่อน +6

      Genz struggle for u'r country not for likes😅😅

    • @mcmangethia5360
      @mcmangethia5360 หลายเดือนก่อน +7

      Anguka nayo

  • @mussazully9786
    @mussazully9786 หลายเดือนก่อน +11

    Hatimae nime muona mwanang mwenyewe mzee WA kwio 😂😂 kaja na kikongo asee 😂😂

  • @OmariKayembeBavon
    @OmariKayembeBavon หลายเดือนก่อน +12

    Wandugu zangu kila mara naona watu wa naeneza like 500 lakini mimi ata 10 sijawai eneza .
    Nisaidie nitambe .
    From kindu Maniema.

  • @Masebrain
    @Masebrain หลายเดือนก่อน +35

    Yaani huyu jamaa .mwenye mke Anateseka sana aisee .kuchukuliwa mke na mtoto sio kazi lahisi daah inauma mno🫡🫡

    • @DorothyMichael-lv5zm
      @DorothyMichael-lv5zm หลายเดือนก่อน

      Anabahati mbaya Kwa kweli

    • @Verohtv254
      @Verohtv254 หลายเดือนก่อน

      Edit your text sir😂😂😂

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv หลายเดือนก่อน +88

    Daah, Leo nimechelewa sana nimekuwa wa 549, Tafadhali nawaomba munipe hizo likes zenu, pia tuitazame zaidi Snake boy 🔥🔥🔥🔥🔥👹👹👹👹🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏

  • @TambweThewiz
    @TambweThewiz หลายเดือนก่อน +11

    Naipenda iyi kweli guys nibora kweli alafu wana imaya wanzoya wana balaha lingine lakimbuka. aaah director kakoso weeh smart kweli natoka DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 south kivu

  • @TumaMwinyi-sk6dw
    @TumaMwinyi-sk6dw หลายเดือนก่อน +9

    Wamwisho from oman🇴🇲 nikiwakilisha tem strong 💪 nimechelewa nilikua naosha hamam naomben ata like Moja 😢

  • @sarahnjeri-tz8eu
    @sarahnjeri-tz8eu หลายเดือนก่อน +9

    Kipara leo kapatikana 😂😂😂yaani anaona wengine wana umbea, Clamvevo 🎉🎉🎉

  • @Hamisi8465
    @Hamisi8465 หลายเดือนก่อน +90

    Naona mwakatobe anarudi kwa kishindo kama goma la komosava😂😂😂

  • @greezlyarobauz8359
    @greezlyarobauz8359 หลายเดือนก่อน +45

    Mkinipa like 10 nakuwa mtanzania maana naipenda Tanzania love from Burundi 🇧🇮

    • @user-yi6mh8kt2u
      @user-yi6mh8kt2u หลายเดือนก่อน

      Haya wamekukataa rudi kwenu Burundi rafiki

    • @rxanalluck5077
      @rxanalluck5077 หลายเดือนก่อน

      My gee😅😅😅

  • @morishoissa4155
    @morishoissa4155 หลายเดือนก่อน +204

    Jamani na mimi Leo msije mkanisahau like tu from Congo 🇨🇩 kalemie

    • @Iamjaysimple
      @Iamjaysimple หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/l98yF9k5Tec/w-d-xo.htmlsi=E8CPpv0XNchUG7tB

    • @_Wayiva_mukuta_jean
      @_Wayiva_mukuta_jean หลายเดือนก่อน +4

      Tupo wengi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩

    • @user-zc1qh6ti2p
      @user-zc1qh6ti2p หลายเดือนก่อน +1

      Mkongo kwa like kuoga aaah

    • @KHANBAHFILM
      @KHANBAHFILM หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/IWtboBgbPyQ/w-d-xo.htmlsi=m1Mozj8PP11MybHs

    • @_Wayiva_mukuta_jean
      @_Wayiva_mukuta_jean หลายเดือนก่อน

      @@user-zc1qh6ti2p 😂😂😂😂🇨🇩

  • @danielhamuli9366
    @danielhamuli9366 หลายเดือนก่อน +12

    Naikumbali snack boy,natamani kusema asante kwa Clam vevo ku kumbuka congo .mu lingala wana sema tosepeli .mu swahili tuna shukuru.twa ifatiliya tukiwa goma /drc

    • @JanethSwai-i3d
      @JanethSwai-i3d หลายเดือนก่อน

      ivi pale mwakatobe na wenzake walikua wanaongelea nini

  • @Benaty-dreadlocks
    @Benaty-dreadlocks หลายเดือนก่อน +5

    Sasa 😂😂😂 mimi nime cheka 🤣🤣 tuuu ila wa Congo tujuwane mbona lingala tena zinga kime mukuta nini Mupaka aka ondoka Congo ita kuwa kimbunga icho ni cha wa Congolese wadaa😅😅🇨🇩🇨🇩🇿🇦🍾🥂

  • @JoycePius-ob7lj
    @JoycePius-ob7lj หลายเดือนก่อน +254

    Snake boy ni moto anaemkubal clam twende sawa Kwa like

    • @KHANBAHFILM
      @KHANBAHFILM หลายเดือนก่อน +1

      th-cam.com/video/IWtboBgbPyQ/w-d-xo.htmlsi=m1Mozj8PP11MybHs

    • @user-nl7jm2mt5g
      @user-nl7jm2mt5g หลายเดือนก่อน

      umetisha mdogo angu

    • @user-nl7jm2mt5g
      @user-nl7jm2mt5g หลายเดือนก่อน +1

      tunaendelea pazuri

    • @numpefikimwaipopo
      @numpefikimwaipopo หลายเดือนก่อน

      ​@@user-nl7jm2mt5ggjwwqwertuiuoiop

    • @numpefikimwaipopo
      @numpefikimwaipopo หลายเดือนก่อน

      ​@@user-nl7jm2mt5gtyhjjkkkuzxcvvhnnmm. B nnqnnbbvbbbbjhhhbpofsaàddffgbhgwfcnnnnmjkkkokrefghgewcmjhvookkjjmmvvvvhhhjnnnzZzxxcxzzaaahhjjjhrrghhhhhlloo9ooorthllttnkkttyyvjjyyyiu7uuu88i8uiuuu799012é556888879008ú990hyjjjtt4uhrrttuokjlopooiyykllkkiuj

  • @abubakarnassor8280
    @abubakarnassor8280 หลายเดือนก่อน +30

    shida ya kuwa na mke mzuri sana heheh kila mtu atamuhitaji awe nae

    • @DorothyMichael-lv5zm
      @DorothyMichael-lv5zm หลายเดือนก่อน

      Na mbona kama mfaume amemtamani Yule mwanamke mwengine aliemkuta Kwa Yule jamaa

  • @user-wp2fr3si8v
    @user-wp2fr3si8v หลายเดือนก่อน +19

    Jaman mbona mwanga mdogo sana yaan mwanga nikama mmetengeneza usiku naomba mjaribu kuongeza mwanga kidg ❤❤❤❤❤

  • @Pierjmkakule
    @Pierjmkakule หลายเดือนก่อน +1

    Mkongo wee, umesikiya iyo lingala apo mwishoni, I say akumbe wakongo tunatamaniwa, 🎉. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩Oyee

  • @Daniel_kimambo
    @Daniel_kimambo หลายเดือนก่อน +8

    Mapenzi ya huyu idoza na mwanji kweli nimeyapenda jamani 😂😂 idoza ana upendo jamani 😂😂😂

  • @Ussmanbalume
    @Ussmanbalume หลายเดือนก่อน +329

    Mimi ni wakwanza from Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 naomba like zangu wa nduku

    • @halimahnakshi22
      @halimahnakshi22 หลายเดือนก่อน +2

      Hapana wewe ni mtz tu

    • @susanachieng6966
      @susanachieng6966 หลายเดือนก่อน +4

      Naomba unipitie ndugu yangu 😊

    • @mwanyawajunior2949
      @mwanyawajunior2949 หลายเดือนก่อน +3

      Congo waelewa kiswahili

    • @user-cc2ci9ns3p
      @user-cc2ci9ns3p หลายเดือนก่อน

      Sana tu​@@mwanyawajunior2949

    • @_Wayiva_mukuta_jean
      @_Wayiva_mukuta_jean หลายเดือนก่อน +3

      Tupo wengi🇨🇩🇨🇩toza ebele.

  • @user-if6kd2gy9d
    @user-if6kd2gy9d หลายเดือนก่อน +155

    Mimi siombi like kilicho nisukuma ku comment ni kwa sababu zinga kaongea luga yetu sisi wa Congo 🇨🇩 lingala meilleur langue du monde

    • @KHANBAHFILM
      @KHANBAHFILM หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/IWtboBgbPyQ/w-d-xo.htmlsi=m1Mozj8PP11MybHs

    • @KHANBAHFILM
      @KHANBAHFILM หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/IWtboBgbPyQ/w-d-xo.htmlsi=m1Mozj8PP11MybHs

    • @user-lc8kt6sk8x
      @user-lc8kt6sk8x หลายเดือนก่อน +4

      FUND WAMAIGIZO TANZANIA HAKUNA KAMA WW TZ CLAM NOMAAAAAA

    • @user-cq9ib5ev7f
      @user-cq9ib5ev7f หลายเดือนก่อน +3

      Uyo jamaa nampendaaa sana anachekeshaa sana

    • @johnrogeo2161
      @johnrogeo2161 หลายเดือนก่อน +1

      Zinga amesema nn kwasababu sikuelewa

  • @NiskaJohnKizonzaJohn
    @NiskaJohnKizonzaJohn หลายเดือนก่อน +61

    Tokeni hapo Like like like like like kitu gani achane ushamba

    • @KhadijaNgoda
      @KhadijaNgoda หลายเดือนก่อน +1

      Na wewe pia tuna kulike🤣

    • @MtuporiMpori
      @MtuporiMpori หลายเดือนก่อน

      Aaa❤😂

  • @mahramarswad6041
    @mahramarswad6041 หลายเดือนก่อน +12

    Hamani hii lugha kiboko mchezo mtamu vigoma ka vyote raha wallahi tunawapenda from uk

  • @ChrisBoycobra
    @ChrisBoycobra หลายเดือนก่อน +3

    Kaka Clam mzee umeuwa mwishoni lingala 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 welcome Drc

  • @richardbizera2225
    @richardbizera2225 หลายเดือนก่อน +9

    😂😂😂jmn leo zinga amekua mkongo😅 wakongo🇨🇩🇨🇩 mupowapi mmepata mwenyeji mpya😂😂

  • @MauriceAbushinani
    @MauriceAbushinani หลายเดือนก่อน +19

    Kama kuna wakongomani umu ndani tujuane ❤
    Mwakatobe kazungumuza lingala 😂😂😂

  • @Kjleprof
    @Kjleprof หลายเดือนก่อน +20

    N'a ngonga oyo ezo ya makambo nyoso eko zala bien😁😁😁🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @Grafchris
    @Grafchris หลายเดือนก่อน +2

    Hatimae wa Congo 🇨🇩🇨🇩 tume jipata ndani ya snake boy... Ndani ya imaya ya nzoya Mambo yatakuwa Salama,... Bata kiona cha motema kuni😂😂😂

  • @Kalifraofficiel
    @Kalifraofficiel หลายเดือนก่อน +2

    N'a fata snake boy
    From Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 n'a penda sana wa Tanzania

  • @Fabrice_zefs
    @Fabrice_zefs หลายเดือนก่อน +7

    Na ngoga oyo ekoya banto bakolela 😂 ce sa mon seigneur 😅......
    Rj kanierra Lela🇨🇩😢😢

  • @FelisterDanda
    @FelisterDanda หลายเดือนก่อน +22

    From Tanzania elibariki apa pia nimewahi naombeni za kwangu🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @swafiirbulbul819
    @swafiirbulbul819 หลายเดือนก่อน +48

    IBADA tukumbuke .. ❤ .. 🇰🇪 🇹🇿 🇧🇮 🇷🇼 🇺🇬 🇨🇩

  • @saumbliz8983
    @saumbliz8983 หลายเดือนก่อน +13

    Clam makumaza naomba like leo acheni uchoyo mushindwe mapepo ya wivu😂😂😂

  • @nawezapascalinebahaya2167
    @nawezapascalinebahaya2167 หลายเดือนก่อน +9

    Les congolais vous êtes là ? Manifestez vous. Lingala la plus belle langue du monde 🫡

  • @abdirahimjamal7696
    @abdirahimjamal7696 หลายเดือนก่อน +24

    My artist ever Love❤️ in bongo flavour cloud vivo you are the best and you are the king of new generation bigger and keep rolling and rocking all over Love❤️ from South Africa

    • @malimadtv
      @malimadtv หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/fW8EvWYjRrY/w-d-xo.htmlsi=XWbgTtOlrTEvo5gb

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean หลายเดือนก่อน +21

    Wa Congo 🇨🇩 njoeni basi hili tumupongeze clam pamoja na team yake yote ❤❤❤ Congo Lubumbashi🇨🇩🇨🇩🌍🌍🌍🙏🫡💪

  • @babitomchezo2531
    @babitomchezo2531 หลายเดือนก่อน +13

    FAZA CLAM JITAHID UWE UTOE MIENDELEZO KILA BAADA YA SIKU 2 ITAPENDEZA...FANYA UWE KAZI ZAKO UNAZIMALIZA MANA MTAA WETU WANASEMA KUA HUMALIZI MOVIE ...❤❤❤

  • @zakikaitiisaac4903
    @zakikaitiisaac4903 หลายเดือนก่อน +2

    Aksanti saana kwa Clam na sikiya luga ta kwetu lingala
    Thanks you 🇨🇩🇨🇩🇨🇩👍

  • @alexisnzisabira1370
    @alexisnzisabira1370 หลายเดือนก่อน +5

    From Burundi 🇧🇮,snake boy juu kwa juu💪❤️

  • @FatmakhamisHamad-pj6bm
    @FatmakhamisHamad-pj6bm หลายเดือนก่อน +69

    Naombi like japo kumi jmn mm ni WA kwnz

  • @elizabethraymond6388
    @elizabethraymond6388 หลายเดือนก่อน +12

    Kwakwel hii movie uhalisia 100 napenda vinyimbo vyen😊😊🥰

  • @HatungimanaRahma-r7l
    @HatungimanaRahma-r7l หลายเดือนก่อน +60

    Tunao mpenda clam na directer kakosa gongeni like hapa ❤❤

  • @husseinamri6219
    @husseinamri6219 หลายเดือนก่อน +5

    Da kaka unatisha sana kwa move yako inshaallah mwenyez mungu akusimamie uendeleze kipaji chako nakiwe Kikubwa zaidi inshaallah nakuona mbali 👊👊

  • @worksmart1023
    @worksmart1023 หลายเดือนก่อน +2

    Ntiba ni mkali kuigiza watching live from Uruguay

  • @ronzevannyboychui1661
    @ronzevannyboychui1661 หลายเดือนก่อน +14

    ila namie sija chelewa sana nipo kabisa kama unamkubali Calm vevo weka likes hapo 15th 😂🎉 jaman kitu kizuri kabisa jaman nawapongaza sana ❤🎉❤ naijua hiyo naongea na wewe ao naongea na huyu sija penda ❤

  • @MussaIbrahim-xz8mr
    @MussaIbrahim-xz8mr หลายเดือนก่อน +39

    Dah hata kumi bora simo naombeni like zen mm wa mwishoo Kwa mdaa huuu

  • @KaisiMwakyusa
    @KaisiMwakyusa หลายเดือนก่อน +60

    Jamani kimbuka kinawachukua waliowazuli kinamuacha kipala mzee wa umbea umbea gonga like

    • @BrunojnrMz
      @BrunojnrMz 9 วันที่ผ่านมา

      Sasa akichukuliwa kipala habari tutapataje? 😂😂

  • @DesireNamugenda
    @DesireNamugenda หลายเดือนก่อน +1

    Vraiment ça me fait plaisir d'entendre le lingala insiqué les français je suis heureux 👉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @PerfectGirl-dj7zq
    @PerfectGirl-dj7zq หลายเดือนก่อน +3

    Yaan kwenye kikao wa mwisho kuondoka ni kipara baada ya kuhakikisha amekusanya umbea wote😂😂😂

    • @Jojohkatoto
      @Jojohkatoto หลายเดือนก่อน

      Kaakikisha ad njia walizo pita wenzke😂😂😂

  • @WendeMposola
    @WendeMposola หลายเดือนก่อน +15

    Simba nguvu moja pongez kwa Clam kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @thomaspendeza854
    @thomaspendeza854 หลายเดือนก่อน +20

    Mimi uyooo wa kwanza

  • @filexingutia3620
    @filexingutia3620 หลายเดือนก่อน +16

    Nikiwakilisha mji wa Kakamega 🇰🇪 KE 🇰🇪 NYA 🇰🇪... Niko nayo namba eeeh!! Watu mnawai😂😂😂

    • @MiishHassan-qm1et
      @MiishHassan-qm1et หลายเดือนก่อน

      😂😂

    • @filexingutia3620
      @filexingutia3620 หลายเดือนก่อน

      @@MiishHassan-qm1et watu wako chap Sana ukidhani we wa Kwanza unapata watu wame-tie position one ka 1,500😅😅

  • @AlexandreCikara
    @AlexandreCikara หลายเดือนก่อน +3

    Bien vraiment mutoshe zamingi Niko kwanjili yakuangaliya et

  • @user-cq1ci2br1p
    @user-cq1ci2br1p หลายเดือนก่อน +4

    Kipara mnafiki utafikiri kweli amekava nafasi vzuri hongera yako

  • @tobweson8961
    @tobweson8961 หลายเดือนก่อน +18

    Game bado ya moto sana wanangu Kanumba karudi tena

  • @vallesndayishimiye2396
    @vallesndayishimiye2396 หลายเดือนก่อน +82

    From Burundi nimekuwa wa kwanza ❤❤🇧🇮🇧🇮🇹🇿 naombeni like

    • @vallesndayishimiye2396
      @vallesndayishimiye2396 หลายเดือนก่อน +4

      Nashukuruni sana katika like mlizonigeia ni inshara ya upendo mlionayo juu yangu na series hii basi nawapenda sana .na tukutane series ijao❤❤❤❤❤
      Burundi turabakunda cane❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @malimadtv
      @malimadtv หลายเดือนก่อน

      th-cam.com/video/fW8EvWYjRrY/w-d-xo.htmlsi=XWbgTtOlrTEvo5gb
      Gusa 👆👆👆👆👆

  • @deoslucasNkoko
    @deoslucasNkoko หลายเดือนก่อน +30

    Mapema nimewah naomba like watz moja

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 หลายเดือนก่อน +3

    Lingala mpe ekoti?😂 bakosabwa 😂. very soon, mutafunika Nigerians vilage movies

  • @EricDaniel-do5rw
    @EricDaniel-do5rw หลายเดือนก่อน +1

    Mwakatobe unaniuwa na Cheko kkkk 😅 @ clam VEVO viva🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 uvira

  • @Deadskytz
    @Deadskytz หลายเดือนก่อน +16

    Clam tangazo lako weka mwisho kabisa

  • @Blacksontigre25
    @Blacksontigre25 หลายเดือนก่อน +32

    Mimi wakwanza kutoka Congo DRC naomba sapoty yako kwa TH-cam Yang

  • @nationaltrendingmedia4603
    @nationaltrendingmedia4603 หลายเดือนก่อน +15

    MOTOO.. movie ipewe award huu mwaka.. Nani amependa matangazo ya CLAM

  • @Maysam470
    @Maysam470 หลายเดือนก่อน +3

    Haya mm siombi like...nani anafurahia mwakatobe a.k zinga kurudi...acheni ubahili wa likes nyinyi😂😂😂😅

  • @factmedia254
    @factmedia254 หลายเดือนก่อน +1

    karibu tusahau inachukua muda saana

  • @obedbytecno
    @obedbytecno หลายเดือนก่อน +10

    Bamutu bata nikuta benyewe ku nyau🤣🤣🤣🤣 huyo ndo mwakatobe

  • @user-nk7vn9qe7x
    @user-nk7vn9qe7x หลายเดือนก่อน +14

    From Kenya first to view nipeni Likes 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @fundiseif1096
    @fundiseif1096 หลายเดือนก่อน +7

    Snake boy 🐍 inazidi kua hatariii sana 🔥🔥🔥umetisha clam vevo 💪

  • @hassankalu540
    @hassankalu540 หลายเดือนก่อน +2

    Waaah another banger I've been waiting for long alfu mwakatobe hio nxt episode ni moto wa kuote mbali sana,am watching this from Mombasa kenya, guy's let gather here and support our boy clam vevo by subscribe and like ❤❤❤

  • @officialchui5653
    @officialchui5653 หลายเดือนก่อน +2

    Wanaokelwa na Ka tangazo kaliko wekwa na clam TUJUANE APA 😂😂

  • @aganzeroger
    @aganzeroger หลายเดือนก่อน +8

    Bokomi kaka ba congole 😂😂😂🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏👏👏

  • @MsomaliBeka
    @MsomaliBeka หลายเดือนก่อน +71

    Tulio furahia kwa kutochelewexha goga like na wale wanao shawixhiwa huko fb wajiunge na ANZALEO AFRICA goga like ila nahisi ni uongo gonga like 😅😅😅😅

    • @Mulokozi-Films
      @Mulokozi-Films หลายเดือนก่อน +1

      th-cam.com/video/R_r158N9BEo/w-d-xo.htmlsi=OEQJi2zoLn8jqgYM

    • @DaudiEmanuel-yv3jt
      @DaudiEmanuel-yv3jt หลายเดือนก่อน +1

      M sijafirahi nilitk achelewexhe unaekaj Kwa mfano 😅😅

    • @MsomaliBeka
      @MsomaliBeka หลายเดือนก่อน

      @@DaudiEmanuel-yv3jt 😆😆

    • @batridapaul92
      @batridapaul92 หลายเดือนก่อน +1

      Me nafurahi

  • @SaynB_official
    @SaynB_official หลายเดือนก่อน +25

    Wakwanza leo tu support kaz clam vevo tufike top ten 😊😊 🎉🎉

  • @jr.thunderofgod3646
    @jr.thunderofgod3646 หลายเดือนก่อน +3

    Mume sikiya ruga ya Congo 🇨🇩 😅😅😅 weweeeeeeee Lingala safi sana , Bana Congo 🇨🇩 munipe like 👍 zangu wa Congo oyeeeeeee , Clam Vevo mutafute Pacho Mwamba 😅😅😅😊😊😊😊

  • @MalikiMtenda
    @MalikiMtenda หลายเดือนก่อน +1

    clam actor from kenya 🇰🇪 tanzania an shot tuu😢mjue hilo clam lud kenya 🇰🇪 kwenu😅😊

  • @dollar105
    @dollar105 หลายเดือนก่อน +48

    Leo nimewahi nipeeni hata likes wanaomkubali clam kuwahisha ii episode🎉🎉

  • @JacksonKasemengo-t6x
    @JacksonKasemengo-t6x หลายเดือนก่อน +4

    Na ngonga ozo ezoya eza ngonga yabango Yako lela bako santire 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @_Wayiva_mukuta_jean
    @_Wayiva_mukuta_jean หลายเดือนก่อน +5

    Zinga kaongea kwenye luga ya kwetu 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @user-el6ev9dt5k
    @user-el6ev9dt5k หลายเดือนก่อน +3

    Haha kadada ake Odama sikapendi kana roho mbaya ,naombeni like namimi

  • @enockalexjiluhya5483
    @enockalexjiluhya5483 หลายเดือนก่อน +15

    Nipeni basi na mimi hizo like japo mbili tu nijue huwa mnazipeleka wapi

  • @user-ml4qw2tk8q
    @user-ml4qw2tk8q หลายเดือนก่อน +11

    Niko Congo RDC sijawayi pewa liké nipezangu hapa

  • @sabrinakassimu
    @sabrinakassimu หลายเดือนก่อน +98

    wakwaza jamn naombeni like zangu please 🙏❤❤❤🔥

  • @dreamtvkenya4096
    @dreamtvkenya4096 หลายเดือนก่อน +11

    Nice movie nice move,keep it up from Kenya we love nice content 🎉🎉🎉❤🇰🇪MAY GOD ADD MORE CONTENT

  • @user-ci1hs5hs4p
    @user-ci1hs5hs4p หลายเดือนก่อน +2

    Ila Snake boy n moto usio zima,nimemona jama ameenda kuchukuwa uchawi wa CONGO duh situwi Chief atakimbiliya wap

  • @mussasiraju7193
    @mussasiraju7193 หลายเดือนก่อน +1

    Nzinga is back, dakika za jioooni

  • @cristaezekiel1036
    @cristaezekiel1036 หลายเดือนก่อน +5

    Aseeeee hayo matangazo ungeweka mwanzo wa episode au mwisho kabisa ,sanasana ungeweka mwisho

  • @DavidBen-ws7sy
    @DavidBen-ws7sy หลายเดือนก่อน +4

    Hawa jamaa nawakubali sana hawacheleweshi vipande kama wrong house, Snake boy on fireeeeee🔥

  • @user-el3ni3ym8j
    @user-el3ni3ym8j หลายเดือนก่อน +4

    Kipara umbea wake Leo aujafanya kazi kaumiaaaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @IsaacJustin-c8z
    @IsaacJustin-c8z หลายเดือนก่อน +1

    Doze doze doze 😂 mwakotobe mwenyewe Kwa mara nyingine camera imemfikia 👍

  • @kaka-of2oq
    @kaka-of2oq หลายเดือนก่อน +2

    Mnazingua ndani ya mchezo mnatia matangazo

  • @OmarAli-vj9kg
    @OmarAli-vj9kg หลายเดือนก่อน +61

    Wakwanza leo kama una mkubali clam acha likes 🇧🇮🇧🇯🇨🇩🇨🇦🇨🇦🇧🇮🇧🇯🇧🇹🇫🇯🇪🇸🇵🇭🇫🇮🇪🇪🇪🇪🇪🇹🇪🇹🇨🇻🇨🇺🇨🇺🇧🇫

  • @Justin-vs9wg
    @Justin-vs9wg หลายเดือนก่อน +6

    🇨🇩💪asanteni sana bosalaka bongo Kaka, toko pesa bino force

  • @nobletz
    @nobletz หลายเดือนก่อน +27

    Leo wa kwanza mm ila siitaji like mm ❤❤❤

  • @bukurufreddy28
    @bukurufreddy28 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂😂 iyo Lingala Apo Mwisho *Yere* Burundi nimekubali kabisa

  • @mercymutia99
    @mercymutia99 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera Zumba unafurahisha sana😂😂

  • @bongodata
    @bongodata หลายเดือนก่อน +12

    Miaka 100 ijayo clam vevo hata kuwepo kwenye uso wa dunia...vizazi vijavyo vitakua vinahadithiana kuhusu huyu jamaa mwenye kipaji kikubwa

  • @LysonMshan-kf7rg
    @LysonMshan-kf7rg หลายเดือนก่อน +6

    Kama unahisi kale kanyani ka zinga kanaa uhatalii bala gonga mwamba 🔥🔥🔥

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano หลายเดือนก่อน +10

    Nani anamuunga mukono sengo na kipara😂😂😂ma fans tupo pamoja tuwe tunatowa sapoti.

    • @maylucson001
      @maylucson001 หลายเดือนก่อน +1

      Nawakubalii sanaa🎉🎉

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 หลายเดือนก่อน

      Nawakubali kinoma❤🎉

  • @ElyudiTz
    @ElyudiTz หลายเดือนก่อน +6

    Oya nyie team vevo like zenu apo jamani