#Induction

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • (Faida za Jiko Janja Linalochagua sufuria ukilinganisha na Jiko la umeme la kioo lisilochagua sufuria ambalo wengi wanadanganywa kuwa ni Induction Cooker kumbe ni Infared cooker na sio Janja, Tazama video hii kupata elimu ya Bure itakusaidia kufanya maamuzi ya tija. #Induction cooker,
    #infared cooker
    #Jiko la kisasa la umeme
    #jiko Janja
    #Jiko la umeme
    #Jiko lisilochagua sufuria
    #jiko linalochagua sufuria
    #Jiko linalotumia umeme kidogo
    TUPATE: Instagram @
    #positivecooker
    #Jikojanja_dsm
    #Jikojanja_arusha
    #Jikojanja_mwanza
    #Jiko_janja_dodoma
    PIA UNAWEZAKUPIGA SIMU
    0679222923 Dsm
    0745122229 Arusha
    0673222923 Dodoma
    0746222923 Mza
    Ukijifunza kitu tujuze japo kwa ufupi.

ความคิดเห็น • 12

  • @mussasaidimussa4693
    @mussasaidimussa4693 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @Kebibiyengo
    @Kebibiyengo ปีที่แล้ว

    Ahsante kwa elimu nzuri ,kweli Jiko Janja ni Jiko zuri Sana kwa kila mtu single na mwenye familia

  • @joyce55727
    @joyce55727 ปีที่แล้ว

    Bola nimejua kabla ya kulinunua asante sana

    • @PositiveeyeColtd
      @PositiveeyeColtd  4 หลายเดือนก่อน

      *Kwa wakazi wa Dar, Arusha, Dodoma na Mwanza ambapo zipo ofisi zetu, delivery za mijini na maeneo ya Jirani kwenye mji husika, mteja utachangia Tsh 5000/= tu. Tunakufikishia ulipo.
      *Kwa wateja walioko mikoa mingine yote au kijiji chochote Tanzania tutakufikishia hapo ulipo, utachangia usafiri Tsh 10,000/= tu.
      **Usitume Pesa kwaza, Lipa ukishapokea,hivyo huna chakupoteza kabisa. Tuambie tukuletee lipi? na uko Wapi?

  • @leoniapaulo7752
    @leoniapaulo7752 ปีที่แล้ว

    Hello, asante kwa maelekezo binafsi ilikuwa nachanganyikiwa ninuue ipi, soon nitanunua hiyo ya kisasa na masufuria yake.

    • @PositiveeyeColtd
      @PositiveeyeColtd  ปีที่แล้ว

      Karibu, nafurahi kujua elimu hii imekuwa na Tija kwako pia

    • @PositiveeyeColtd
      @PositiveeyeColtd  4 หลายเดือนก่อน

      *Kwa wakazi wa Dar, Arusha, Dodoma na Mwanza ambapo zipo ofisi zetu, delivery za mijini na maeneo ya Jirani kwenye mji husika, mteja utachangia Tsh 5000/= tu. Tunakufikishia ulipo.
      *Kwa wateja walioko mikoa mingine yote au kijiji chochote Tanzania tutakufikishia hapo ulipo, utachangia usafiri Tsh 10,000/= tu.
      **Usitume Pesa kwaza, Lipa ukishapokea,hivyo huna chakupoteza kabisa. Tuambie tukuletee lipi? na uko Wapi?

  • @EstherDamian-xo2fz
    @EstherDamian-xo2fz 4 หลายเดือนก่อน

    shilingi ngapi?

    • @PositiveeyeColtd
      @PositiveeyeColtd  4 หลายเดือนก่อน

      BEI ZA MAJIKO JANJA (POSITIVE COOKERS)
      1)Single plate ndogo Tsh 120,000/
      2)Single plate kubwa Tsh 150,000/=
      3)Double plate mini Tsh 250,000/=
      4)Double plate kubwa Tsh 350,000/=

  • @elizabethjohn5442
    @elizabethjohn5442 ปีที่แล้ว

    Bei ili tufanye maamuzi au tuulize wapi

    • @PositiveeyeColtd
      @PositiveeyeColtd  4 หลายเดือนก่อน

      BEI ZA MAJIKO JANJA (POSITIVE COOKERS)
      1)Single plate ndogo Tsh 120,000/
      2)Single plate kubwa Tsh 150,000/=
      3)Double plate mini Tsh 250,000/=
      4)Double plate kubwa Tsh 350,000/=