Na hii ndio injili ya kristo ya kweli mungu Naomba umponye mama yangu uinue uchumi wa family yangu uwasaidie watoto wangu ktk elimu zao nione wakipata kazi nzuri ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Achilia neema na kibali juu ya maisha yangu, baraka ,rehema na fadhili zako zitue juu yangu, niponye kifua,mifupa,tumbo ,sehemu zote za maisha yangu in Jesus's name
Napokea nikiwa mombasa,nami pia mtuzi naomba utawale maisha yangu siku xote popote natembea pia family yangu ipate nyota ya kufanikiwa shuleni ndoto mbaya spiritual woman iniachilie na umasikini iishe kwangu na watoto wangu wafunguliwe wapate nyota ya kufanikiwa shuleni ndoto mbaya spiritual woman iniachilie na umasikini iishe kwangu na naomba ukae ndani yangu baba,
Na hii ndio injili ya kristo ya kweli mungu Naomba umponye mama yangu uinue uchumi wa family yangu uwasaidie watoto wangu ktk elimu zao nione wakipata kazi nzuri ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Naomba MUNGU anifanikishe katika matamanio yote ya MOYO wangu yaliyoyahaki mbele za YESU!!AMINA!
Hata Mimi sitski kionea haya injili yà Yesu. Amina.
Pastor pray for mbithe to pass her nursing exam 😊
Wonderful, praise God,
Yesu.naomba uponyaji wa ndoa za watoto wangu kupitia haya madhabahu haya waoleke ndoa za heshima kwa jina la yesu kristo
Ameen
Amen sitaionea haya injili ya Bwana hata maadui wanicheke niko na Yesu ❤❤
Paster na Mimi mungu ataniponya in the might name of Jesus
Baba ezekiel niombee nitokekwenye ufukala Sina uwezo wa kufika kwenye mkutano wako amina
Bwana yesu asifiwe tunabarikiwa
Pastor uniombee kwa ndoa yangu iwe na Amani na familia yangu nipate baraka mungu wangu anijalie furaha kwa maishani mwangu milele
Amin sana mtumishi wa MUNGU akubariki sana mtumishi
Hallelujah
AMEN. Ninaomba Nyota yangu iregeshwe
Amen Amen naomba nyota yangu ya ndoa ya uchumi ujenzi mtaji irudishwe Kwa mamlaka ya jina la yesu
Amina 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Pastor you really touch my heart may the Almighty God add you more years of your life Amen
I want my master to lift me up so that I can worship him in truth
Amina🙏🙏🙏🙏
Naomba nyota ya masomo kwa watoto wangu wafunguliwe ktk jina la yesu
Amen 🙏🙏🙏🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬
Amina baba
Amen Amen Amen
Pray for me pastor to get star of success
Amen mungu nilinde na ulinde familia yangu na unilinde apa kazini
Mungu naomba nami unikumbuke kwa huruma zako....amen.
Naomba nyota yangu ingaee katika jina la yesu amen
Mm pastor Ezekiel naomba Nyota ya ndoa
Naomba nyota ya ndoa na nipate biashara,,.
Ameeni baba 🥰🥰🙏🏽🙏🏽
Achilia neema na kibali juu ya maisha yangu, baraka ,rehema na fadhili zako zitue juu yangu, niponye kifua,mifupa,tumbo ,sehemu zote za maisha yangu in Jesus's name
Ameeeeen
Amen Amen
Mungu Ezekiel naomba uniguse na Mimi bless me God remember me Lord I will follow you always Mungu wangu
Ukiomba jipatanishe na madhabau yake mara Saba,,,utapokea nguvu Kila wakati ukiomba.
Napokea nikiwa mombasa,nami pia mtuzi naomba utawale maisha yangu siku xote popote natembea pia family yangu ipate nyota ya kufanikiwa shuleni ndoto mbaya spiritual woman iniachilie na umasikini iishe kwangu na watoto wangu wafunguliwe wapate nyota ya kufanikiwa shuleni ndoto mbaya spiritual woman iniachilie na umasikini iishe kwangu na naomba ukae ndani yangu baba,
Napokea hiyo baraka.amen
Mungu nisaidie nifanikiwe mambo yangu ya academics na kazi
Ameeeeen yesu ⭐🙏👍👍❤️
Ndoa yangu ipone Leo na ifunguliwe leo katika jina la yesu amen
AMEN AMEN
Rita amen amen God bless you amen pastor Sarah amen amen God bless you amen pastor
Pray for my family
Amen 🙏
Pastor niombe kijana wangu shinda vita na maisha yeke ibatilike abate kasi inje ya Kenya na hafaulu
AMEN
Amen amen
Mungu niwezeshe nifanikishe mambo yangu mungu fungua njia zangu
AMEN!AEN!AMEN!
Amen
Amen Amen 🙏
This is a good paster
GOD IS GREAT
Amen Amen 🙏 🙌 👏
Amen 🙏 🙏 🙏, Mungu nakuomba uniponye na mm hizi magonjwa ninazo zipitia in Jesus name AMEN 🙏 🙌
Amen nahitaji nyota ya Yesu kristu mnazareth mungu aliye hai ❤
Nimefunguliwa kwa jina la yesu
Mtumishi wa Mungu naomba uniombee na mume wangu na uzao wetu
Thk you Jesus
Ameeeen
Ndoto mbaya ondoka kwangu leo leo kwa jina la Yesu Kristu mnazareth mungu aliye hai ❤❤❤❤❤❤❤
Mungu naomba family yangu ikombolewe katika madhabahu haya umaskini utowekee kwetu na tufanikiwe kwa kila jambo katika jina la Yesu kristo
Hakika sitamwonea haya Yesu wangu, napokea Nyota ya Yesu watoto wangu mume wangu,wazazi wangu na jamii,tuwe huru Adui ashuke chini .
Amen 🙏🙏🙏🙏
Leokadia A pasta kalibu Tanzania kwetu naomba mungu aikumbuke tz familia yangu mungu Atutokee Amen
May the lord always reveals true friends in you pastor
Amen talaka pia iniondokee kupitia Kwa huyo Dada
Amina nabarikiwa sana na mafundisho yako Mtumishi wa MUNGU
Amen 🙏 🙏
Mungu naomba Nyota ya kazi na ya maisha marefu na afya nzuri leo
Amen ❤❤
Amen Amen Amen 🙏 🇨🇩🙏🙏🙏🇨🇦
Amen.
Oh yes,, pastor Ezekiel you're so amazing
Amen Amen, ehee mwenyezi mungu unapobariki watu wako NAMI unibariki, usinipite mokozi
Ee baba mungu wa pasta Ezekiel najua baraka zako ni zakweli..Nahitaji ndoa, na utajiri wako. Amina.
Naomba Mungu anipiganie katika katika kubadili maisha yangu, anipiganie katika kazi yangu
Eee mungu unapowagusa wengine kwenye ibaada hii nami uniguse Amen
Naomba kupitia hii crusade nyota yangu ingaeee kungaa in mighty GOD AMEN AMEN AMEN 🇰🇪🇸🇦
Naomba Mungu anipiganie anipe uhai Na nyumba yangu awachilie pesa nimengojea for more than 6years
Nimepokea na pastor ubarikiwa na familia yako pia
Amen napokea upako na miujiza Kwa jina la yesu
Nifungulie leo mungu wangu
Amen Wacha injili ya Mungu iendelea
Nahitaji nyota ya yesu na watoto wangu waolewe
Ameeeeeeen 🔥 i receive it in the name of Jesus pophert is not my potion
Ameeeeeeen.magonjwa yanauo nitesa kwa mwili wanhu yapone leeeeeeeo in Jesus's name
Nifunguliwe Leo Kwa jina la Yesu aliye hai .Naitaji nyota ya Yesu kristo
yes
Amen mungu wa mbinguni aniponye mm na familiya yangu
Niombee baba nibadilike katika maisha yangu..
Naomba nyota ya masomo yangu ee yesu naomba nifaulu vinzuri mthiani yangu nakufanikiwa kupata 1
Amen pastor nakufatilia sana 🙏 🙌
Naomba kupitia kwa hio madhabahu nirejeshewe nyota yangu ya kupata kazi kubwa kubwa kwa jina la Yesu,
Aimeen
Ee Mungu naomba nipate mume Amen
Ee yesu wangu nikombo pia nami nipe nyota ya watoto wangu
thank you God for today
Amen past pia naomba nimetawalwa na pombe naomba unikubuke niashe pombe
Maisha yangu n ngumu naomba maombi Nyota ya ndoa pastor.bwana yangu Arudi nyumbani
Naomba nyota yangu ingae katika jina la yesu
Pastor Ezekiel ,mungu hakuongezee miaka mingi na Mimi nipalikiwe kama wewe.
Naomba pastor anirejeshee nyota ya
ndoa yangu