Asante Pastor kwa somo hili. Somo sio tu kwa vijana ata wanandoa ambao wanapenda kuchepuka wanajikuta wakifungamana na wengine na kusababisha ndoa kuvunjika!!
Nabarikiwa sana PR na somo lako lakini ombi langu kwako naomba SoMo ilo liongezewe muda japo iwe nusu saa badala ya robo saa!Maana nabarikiwa sana natamani iwe Ivo,🙏🙏
Huo mfano wa ubishi unachekeshaa, anae sinzia na mlevi wa pombee, Lakni hapo kwenye mapenzi kuna wakati najifunga na matamanio yana kaaa kimya kweli lakni baada ya miezi flan mwili unazidisha mihemko. Tunakatazwa ila chakula cha kuzilisha hizo hisia hakipo
Ongera Sana pastor,kwa ujumbe kwetu vijana,Mungu akutie nguvu.
Asante Pastor kwa somo hili. Somo sio tu kwa vijana ata wanandoa ambao wanapenda kuchepuka wanajikuta wakifungamana na wengine na kusababisha ndoa kuvunjika!!
Mchungaji nimebarikiwa sana na huu ujumbe, umenitoa sehemu nakunipeleka sehemu nyingine iliyo bora zaidi.
MUNGU akubariki sana
Asante sna mchngaji mimi siyo msabato ila kama ungekuw karibu haki ya Mungu ningekuwa muumini wako
Kuwa tu muumini maana umepata kitu kutoka mchungaji huyo ,chukua namba yake mtafte atakuelekeza vingi ni mchungaji mzuri sana
Ubarikiwe Pastor kwa masomo mazuri 🙏 Bwana aendelee kukuongoza katika kupambana kuliokoa taifa na ulimwengu kwa ujumla kupitia mafundisho.
0
Barikiwa sana kwa somo nzuri, Amen 🙏
To
Barikiwa sana pasteur weti kwa mahubiri mazuri sana.
Amen Amen 🙏 barikiwa sana mchungaji
Amina, barikiwa sana mtu wa Mungu
jamani vitu Kama hv ndo tunahitaji kwa Sasa mungu aendelee kukutia nguvu ya hekima na marifa utujenge zaid
Asante mtu wa Mungu, tuombee pia tuvuke salama
Ubarikiwe sana mtumishi kwa kweli somo hili linanigusa sana
Na Wasabato wengi ili waamini Mpaka unsomee Mathayo na Ufunuo,Waamke,Asante saana ,Ujumbe Mzito
Thank you for the brainstorming lessons preacher. God bless
Mungu akubariki Pastor kwa somo Nzuri
Asante xana aki hii mafunzo ni mzr MUNGU akubariki xana
Barikiwa pastar na mafunzo
Barikiwa sana Mtumishi wa Bwana
Yatosha kusema Ubarikiwe Pastor
Mungu awabariki San mutumishi wa mungu mafundisho mazuri san
Ubarikiwe Sana pastor swal langu je Kam mama ako hasali itakuaje
Umenifundisha nitabadilika nilikuwa nkali kwa binti yangu,Mungu akubariki
Hongera paster
Amen 🙏🙏 ubarikiwe Mchungaji
Amina. Asante kwa mafundisho hayo Pr.
Asanteee Pastor tumekuelewa sana
Mungu akubariki Sana , Mch. Mmbaga!
Haya,hata sikujua hata, Asante sana 🙏
Ubarikiwe
Ubarikiwe mtumishi kweli walevi ni wengi
Pastor Asante kwa maubiri but naomba advise
Ni kwel mch nimesikia ujumbe huu hadi nimekutafut kwny cm haupatkn mim cipend Mambo yang kusomek mtandaon
Barikiwa mchungaji Amen
Thank you so much for the message
“Hakuna tukio lolote ambalo Mungu hakuleta tahadhari” you said the real truth Pastor. Ila kulewa kunafanya kupuuzia!
Brawster!! Kutok Arusha 🇹🇿 Tz, nasikiliza, Barikiwa Sanaa
Nice
Nabarikiwa Sana Na hubiri lako
Asantee sana pastor
Asante sana tena kwa somo
Asante sana baba ubarikiwe sana nimepata funzo Bali tulisha aguka
As long as umejua ulipokosea hakuna kilicho haribika..
Amen pasta 👏 👏 🙌 🙌
Hope channel kizota
Amina Pastor
Mbanga hakika upo kwa sababu ya Mungu
He jmn Mungu atusaindie
Amen 🙏
asante sana mtumishi
safi sana mcungaji wetu.
Amen
Am blessed
najifunza nakuwafundisha wengne zaidi barkiwa PR.mmbaga
Ah baba ni kweli
Jaman nilikua sijui
Amina
Basi Kama ni kweli kufanya tendo la ndoa ni kufungamana basi nahitaji kutubu
Ndiyo ,uliyeanza naye Wa Kwanza ndiye uliyefungamana naye
Asante mchungaji
Mchungaj niombee
😊
🙏🙏🙏Ameni
amina
Nabarikiwa sana PR na somo lako lakini ombi langu kwako naomba SoMo ilo liongezewe muda japo iwe nusu saa badala ya robo saa!Maana nabarikiwa sana natamani iwe Ivo,🙏🙏
Amina tunabarikiwa.wengi sana.uwa tunafngwa pasipo kujitambua
Amen 🙏 pastor
J HCG🎉
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️
akimshika tumboni miezi miwili
Ninaomba kuongea na ww mchungaji. Naomba namba yakoo.
Naweza pata nakala ya kitabu cha Siri ya Maombi Yanayojibiwa
🖐️✋
Huo mfano wa ubishi unachekeshaa, anae sinzia na mlevi wa pombee,
Lakni hapo kwenye mapenzi kuna wakati najifunga na matamanio yana kaaa kimya kweli lakni baada ya miezi flan mwili unazidisha mihemko. Tunakatazwa ila chakula cha kuzilisha hizo hisia hakipo
Asantee
Nilitaman leo kuongea na mch. Mbag lakin cm yake haipatikan
+255 755 932 283 Whatspp
Wamama tunasikia hilo la kuombea
Pastor ninamaswali ya kuuliza private.
Nahitaji ushauri zaidi
Nikweli pastar unachofundisha niliona dalili lakini sikuelewa
Pole saana
Amina
Ubarikiwe mtu wa mungu
Mbanga hakika upo kwa sababu ya Mungu
Amen 🙏🙏🙏
Amen
Amina
Amen
Amen 🙏