Alhamdulillah🤲, Mwalimu Salim, Allah akujalie kila la heri Inshallah. Wallah, asiyekuelewa mafundisho yako na ufafanuzi unaoutoa. "Asubiri tu janga la moto🔥🔥 siku ya Kiyama"
Mashaallah! Ila Wakristo kiukweli hawana elimu, sema tusikate tamaa maana hii ni sababu tumeitwa UMMA BORA- Tunakumbushana mema na kukatazana mabaya) Wakristo wakiisoma Quran sjui wanafikiri ni maneno ya hadithi au ni mtu tu kaandika hawaelewi kuwa ni maneno ya MWENYEZI MUNGU Direct kabisa, Siku moja wakiwa na hii mentality ya kuwa ni Maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyoshushwa na Gibril (AS) kwa Rasulullah (saw) nahisi watachange polepole… Quran sio kitabu cha kawaida, na wengi wetu hasa waislam ukijihisi upo na uzito kutekeleza amri au ibada za Allah usiwaste time, Just Open Quran tafsiri afu isome pole pole utanishukuru. Asalam aleykum
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh Mr. Wilberforce anazidi kufilisika ... Allah amsaidie aione haki..( Hata kama ana rudia maswali 😂 ) Ame improve So far so good 👍 Barakallahu feekum nyote
Asalam aleykum.. Wacha lugha tu kuna ile imani walifunzwa ambao haiambatani na maandiko so wakiona maandiko wanaona hawakubali... Lkn mungu atamuongoza anaemtaka
Hapana ndugu mwache aje tu huezi kujua deep kw moyo wake anajiuliza mengi na myb yuko kwenye ku adjust imani yake to imani navmafundisho ya kiislam.. Wajua kubadili imani yako ambao ulifunzwa utotoni kuja kubadilisha lazma upate masomo yakuingie moyoni
Mifano ya kupinga kila kitu, hata kilicho cha ukweli, nitangia zama za kale. Sawa na Wapinzani ktk. Siasa;-WANAWEZA KUYAONA MAENDELEO, KAMA BARABARA, MADARAJA, MASHULE, MAHOSPITALI, NK. LAKINI WATASEMA HAWAVIONI😂😂😂 Mpingaji yeyote ndiyo maana anaitwa Kafiri ktk Biblia. SOMA: 1:4 YUDA Wanaokataa Mungu kwamba si mmoja peke yake. (Wanaodai ni Utatu) 😂😂😂
Huyo mchungaji ame kuja kupoteza wakati yafaa awekewe limit yakuuliza maswali yaani akiuliza maswali mawili au matatu asiulize tena mpaka siku ya pili ili watu wengine waweza kuuliza
Hapana kaka tuwaombee tu mungu awaongoze kubadilisha imani ambao umefunzwa kuanzia utotoni ni process mpk maneno ya sink kw moyo na awe na ufahamu salama
@@MwangiMuhammad😂😅 nimejaribu sana kulibadilisha kuweka la kupendeza lakini nasumbuka mno. Hata nimeangalia kwa video za TH-cam namna yakubadilisha lakini sijafaulu. Wallahi hata leo asubuhi pia nimejaribu.
Alhamdulillah🤲, Mwalimu Salim, Allah akujalie kila la heri Inshallah. Wallah, asiyekuelewa mafundisho yako na ufafanuzi unaoutoa. "Asubiri tu janga la moto🔥🔥 siku ya Kiyama"
Allahamdhulla kwa neema ya uislamu
Alhamdulillah tunashukuru
MASHA ALLAH mungu awabariki
Aameen ameen ameen
Allah amuogoze Mch. aone haki nakuifuata
Aameen ameen ameen
Leo abdi ame jitahidi Yuko chap hakosei kosei kusoma Yuko vzr mpk shekhe suleimani kaona apumzimke. Maashallah
Mazbut
Yeah kabisa
Mashaallah!
Ila Wakristo kiukweli hawana elimu, sema tusikate tamaa maana hii ni sababu tumeitwa UMMA BORA- Tunakumbushana mema na kukatazana mabaya)
Wakristo wakiisoma Quran sjui wanafikiri ni maneno ya hadithi au ni mtu tu kaandika hawaelewi kuwa ni maneno ya MWENYEZI MUNGU Direct kabisa, Siku moja wakiwa na hii mentality ya kuwa ni Maneno ya Mwenyezi Mungu yaliyoshushwa na Gibril (AS) kwa Rasulullah (saw) nahisi watachange polepole…
Quran sio kitabu cha kawaida, na wengi wetu hasa waislam ukijihisi upo na uzito kutekeleza amri au ibada za Allah usiwaste time, Just Open Quran tafsiri afu isome pole pole utanishukuru.
Asalam aleykum
Asant
Shukran jazaka llah kheir
MASHALLAH KAKA SALIM BARRAKALLAHUFIQ
Aameen ameen ameen
Barakallah fiih yaani leo da'awa moto moto
Yeah ujumbe unafika pole pole tu inn shaa Allah
Sheikh Salim Allah akulipe kheri..
Vijana tunajinoa kwa Video zako, nasi huku tulipo tunaendelea na Daawah.. 🎉 🇹🇿
Maa Shaa Allah
@@swafiirbulbul819 kbx
Masha Allah tunawapenda sana kwa ajili ya Allah
🙏🏿
@@salimdaawah123 Awapendeni pia yule mnaetupeñdà kwa ajili yake
Mazbut Maa Shaa Allah mkiwa na mzee wa kanisa, Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuhu,,,Allah awahifadhi na awalipe Jannatul Firdaus
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote
MASHALLAH KAKA SALIM KAKA ABDI NA NYOTE KAZI IKO FAIN THENKYUUUU BARRAKALLAHUFIQUM
Aameen ameen ameen
Laailaha illAllah Muhammadun Rasulullah. Alhamdulillah
All the time, Assalam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuhu
Waalequm salam warahmatullahi wabaraqatuh❤❤ tabbassam 2jannah😊😊
Maa Shaa Allah
MashAllah MashAllah sheikh Salim Allah akuzindishieni mema
Aameen ameen ameen sote
Asaalam Aleikum warahmathu Allah wa barakatu, ALLAH awalipe malipo makubwa sana duniani na Akhera🤲,, Jamaa asema yuaitwa Wilbaforce doo jina hilo😂
Wa Alaykum Salaam Warahmatullahi Wabarakatuhu, nawe pia
Naam, Wilberforce mchungaji ako na kanisa lake la mabati
@@MwangiMuhammad-q8r 🤣🤣🤣🤣 yuko kazini, Alhamdulillah kwa Neema ya uislamu
@@MwangiMuhammad-q8r😂mbona lamabati
@@ZayyanaBamuni at least ni kiosk ndogo 😄
Assalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh
Mr. Wilberforce anazidi kufilisika ... Allah amsaidie aione haki..( Hata kama ana rudia maswali 😂 ) Ame improve So far so good 👍
Barakallahu feekum nyote
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin
Sheiqh huyu Dogo mwenye alifuta mchunge aliuliza maswali mzauri sana
Allah amuongoze aione haki na aifuate
@salimdaawah123 ameeen
tatizo lugha pia inawasumbua sana...asilimia kubwa hawazingatii lugha inayotumika
Asalam aleykum.. Wacha lugha tu kuna ile imani walifunzwa ambao haiambatani na maandiko so wakiona maandiko wanaona hawakubali... Lkn mungu atamuongoza anaemtaka
Wataelewa tu inn shaa Allah kazi yetu ni kufikisha ujumbe tu Allah awaongoze waione haki na waifuate watoke katika giza
Huyo mchingaji kakengeuka . Elimu yote aliyopata siku zote bado anarudi humo humo tu .
Mushkilat huyo
Sheek waache watafasiri ayo maidiko tujue kama wanaelewa
Mtanisamehe na sio chuki i had to forward to the next person 😊😊😊
Dawah inashika
😂😂😂😂
Aiwa, shukran jazeelan
Masha Allah share kwa wingi Allah atakulipa hapa na kesho akhera
Sjachelewa saaana but siwezi kosa kuingia
Masha Allah tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
MashaAllah Asalam aleikum warahmatullahi wabarakatuh
Wa Alaykum Salaam Warahmatullahi Wabarakatuhu
ALLAHU AKBAR ♥️
Takbir
BISMILAH MASHALLAH. NIMEWASUBIRIA MNOOO❤❤❤
Tumefika Masha Allah tunakupenda sana kwa ajili ya Allah
@@salimdaawah123 Alhamdulillah 😍 ndugu zangu nasubir ya leo
BarakaAllah fiii mafundisho mazuri
Mpaka kieleweke inn shaa Allah
Waaleykum salaam warahmatulahi wabarakatuhu
Peace!
Masha Allah tabaraka Allah
Nyumba, thayu wa Mutumbi ukoro hamwe nawe
Walaikum salam warhmatillah wabarakat
Alhamdulillah
Shekh Saloum Allah Akupe Afya Njema
Walykum msalam warahmatullah wabarakatuh aamiin amiin amiin sote
MASHA ALLAH SHEIKH SALIM
Alhamdulillah tunashukuru
BarakaAllah fiii walimu ujumbe umefika
Alhamdulillah
Mikanisa😂😂😂. Ni sifa😂😂ni ukubwa😂
Mashallah mashallah
Huyu pasta hana masuwali , akija mara nyengine usimkubali tushachoka naye
Kaishiwa na pumzi siyo?
Hapana ndugu mwache aje tu huezi kujua deep kw moyo wake anajiuliza mengi na myb yuko kwenye ku adjust imani yake to imani navmafundisho ya kiislam.. Wajua kubadili imani yako ambao ulifunzwa utotoni kuja kubadilisha lazma upate masomo yakuingie moyoni
Mifano ya kupinga kila kitu, hata kilicho cha ukweli, nitangia zama za kale. Sawa na Wapinzani ktk. Siasa;-WANAWEZA KUYAONA MAENDELEO, KAMA BARABARA, MADARAJA, MASHULE, MAHOSPITALI, NK. LAKINI WATASEMA HAWAVIONI😂😂😂 Mpingaji yeyote ndiyo maana anaitwa Kafiri ktk Biblia. SOMA: 1:4 YUDA Wanaokataa Mungu kwamba si mmoja peke yake. (Wanaodai ni Utatu) 😂😂😂
Huyo mchungaji ame kuja kupoteza wakati yafaa awekewe limit yakuuliza maswali yaani akiuliza maswali mawili au matatu asiulize tena mpaka siku ya pili ili watu wengine waweza kuuliza
Atetea kondoo, ajaribu kuwanusuru, zizini
Sawa
Kwani wakristo tuwaulize mnadhani hawa majini wameumbwa na mungu aje awaingize motoni tu hakuna watakao ingia paradise ama mnawachukuliaje
scw
Jaman mchungaji bado atafuta haki Allah amongoze
Aameen ameen ameen
Kwanini asiwaunge mkono makafiri na ni wenzake?
Noma sana
Hapana kaka tuwaombee tu mungu awaongoze kubadilisha imani ambao umefunzwa kuanzia utotoni ni process mpk maneno ya sink kw moyo na awe na ufahamu salama
@@F.j84 ni process kwa hakika
Walid akisema hio kauli Allah alimjibu na sura nuun walqalami wamaa yasturuun maa anta biniimati rabbika bimajnuun...
Maa Shaa Allah, Tabaarakallah
Masha Allah kwa ukumbusho huo
Sikiza habari 😅
Jina tata
@@MwangiMuhammad😂😅 nimejaribu sana kulibadilisha kuweka la kupendeza lakini nasumbuka mno. Hata nimeangalia kwa video za TH-cam namna yakubadilisha lakini sijafaulu. Wallahi hata leo asubuhi pia nimejaribu.
Alha mndulilahi
Leo dawaaa imeengia aswa
Sheikh Salim sio kua haelewi bali nimpotezaji wakati na hio ndio hila njama za wapotovu,ili wanao taka kujifunza wasipate wakati
huyu mchungaji anarudia rudia same same questions. ustad usipoteze time na huyu kama haleti swali mpya.
Ajaribu kupumua, pumzi zimekatika
@@MwangiMuhammad😂
Wambieni lugaha nyepesi
Kila la kheri anakulipeni Alla pia azishie nguvu na afya mimiiliyenu na mioyoyenu a
MiiN
Aameen ameen ameen sote
Mwalimu anasema kuna waarabu mpaka Leo wanaabudu masanamu. Wako wapi. Hapa ameteleza
Wako waarabu wakristo na wakristo wanaabudu masanamu waarabu ni kabila sio dini
Makanisa yako uarabuni