Je na mtu mzima anae kojoa kitandani itakuaje, au atatumia dawa gani? Twatarajia jawabu tafadhali. Maana imekua ni kero mpaka mtu hana raha ya maisha tena. Astaghfirullah
Sheikh tafadhali nauliza ivi...iyo dua ya haqka unaweza mfanyia mtoto wa miaka 3 ju mtoto wngu anapata shida usiku akilala anashtuka kpiga kelele na kuongea
Dawa hii haipo kwenye uislam Tusichanganye haki na batili, Tumuogope Allah Kifuu dume? Kitambaa cheusi? Mkojo? Chini ya kitandana? Why Sheikh ittakillah
Mashallah
Jazzaka Allah khair
Masha alla sheikh napenda Sana kwa ajili ya alla
Unaweza tuandikia hiyo aya
Ma sha Allah sheikh nampenda sana Kwa ajili ya Allah
Juzi aliahidi kutoa dua ya uchwawi
Mie ata cjaona😅
Nashukuru docrter nimekusikiliza
Shukran
Shukran Shukran sheikh wetu mungu akupe afya njema
Allahamdulillah
Shukrani sasa hicho kifuu kitupwe hivohivo kimefungwaa au
Masha Allah tabarakallah shukran
MashaAllah shukran sheikh
Shukraan sheikh Allah akulipe
Mashaallah shukrani sana
Shukran Sheikh kwa kutupa izo faida
Maashaallah
Sisi wengi wengine kiswali kibovo sheih
Assalaam aleikum warahmatullah wabarakatuh dawa tatu ndo ipi naomba kujua
Jazzaka llahu kheir ustadh
Je na mtu mzima anae kojoa kitandani itakuaje, au atatumia dawa gani?
Twatarajia jawabu tafadhali. Maana imekua ni kero mpaka mtu hana raha ya maisha tena. Astaghfirullah
Sheikh naomba namba zako
Naomba namba yako
🙏🙏🙏😭😭☝️☝️☝️
shkh mbona sijaona ulilotuahidi ulisema utatujuza mwisho
Naomba namba ya simu ya Sheikh huyu kwa mwenyenayo
Dawa tatu jina lengine Nini tafadhal
Kaulizie Duka la dawa,inaitwa hivyo hivyo
Samahani naomba kujua kama sitakuwa nakera hizo chelewa za mnazi ndo zipi eti
Kama unaujua mnazi huwa una majani Yale majan huwa yana chelewa wengne wanatumia kutengezea mafagio ndio hizoo..🤗
Mfangio
MashaAllah
mashallah
Tuandikie iyo aya ya mayai tafadhal kwenye coment
Mm nataka namba zako shekh please
23:15
Naomba kujua dawa yatu ni zipi kama Zina jinalengine tafadhali
Nenda tu dukani waambie DAWA 3 Watakupa
Sheikh tafadhali nauliza ivi...iyo dua ya haqka unaweza mfanyia mtoto wa miaka 3 ju mtoto wngu anapata shida usiku akilala anashtuka kpiga kelele na kuongea
Ndy waweza mfanyia ni haqqi kisheria
@@shinenishineni1797 mwanangu hakufanyiwa ya kchinja ndo amaana
Ndy bado hujachewa waweza mfanyia kama upo na uwezo huo inshallah
@@shinenishineni1797 innshAllah
Toeni number ya mpesa tutume
+255 787 467 706 Jina Ally Mpendu
Jazakalu khaira
Chelsea za nazi ndio zipi?
Iyo dawa 3 inaitwa nini kwenye English
inaitwa hivyo hivyo dawa tatu ndo jina lake
Ukenda duka la dawa watakupatia we waeleze tu dawa tatu..
Dawa hii haipo kwenye uislam Tusichanganye haki na batili, Tumuogope Allah
Kifuu dume?
Kitambaa cheusi?
Mkojo?
Chini ya kitandana? Why Sheikh ittakillah
Unajua hizo dawa kazijulia wapi
Asalam alaikum shehe utuwekee number yako ya whatsapp
Mashaallah