SIRI ZA ERIC SHIGONGO - PART 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 27

  • @kingmichael1234
    @kingmichael1234 2 ปีที่แล้ว

    Absolutely uko sahihi kabisa

  • @ismailhussein1936
    @ismailhussein1936 5 ปีที่แล้ว +3

    Habar kaka Erick..naitwa Ismail Hussein nasoma St. Augustine university of Tanzania main cumpus Mwanza. Napenda sana speech zako ambazo kwa kiasi kikubwa zimenibadilisha mindset yangu...ila lengo la kukutumia ujumbe huu ni maombi ya kuja kufanya semina ya ujasiriamali katika chuo chetu ...na nimepata wazo hili baada ya chuo chetu kuanzisha club ya entrepreneurship na wewe ndo mtu sahihi ...mimi kama katibu wa club nimependa kukualika wewe kama role mode wangu uje utusaidie kututoa katika fikra za kufikiria kuajiriwa ...tafadhali kaka kama utaisoma text plz nijib kupitia ismailhussein150@gmail.com or 0768436289/0717815862

  • @davidbrahi1485
    @davidbrahi1485 5 ปีที่แล้ว

    Shigongo n mwandishi mzr kaka piga kazi ww n special sana

  • @salummohdnyiga9760
    @salummohdnyiga9760 7 ปีที่แล้ว +2

    toka siku niliyonunua kitabu chako kimenibadilisha sana na naamini nitafika mbali,na kimeniongezea hamasa ya kupenda kusoma vitabu vya inspiration na ujasiriamali .asante sana Shigogo!

  • @bilalibilali1321
    @bilalibilali1321 5 ปีที่แล้ว

    Asante sana Kk ERIC kwa ujumbe wako mzuri

  • @chumutalakabembo4078
    @chumutalakabembo4078 7 ปีที่แล้ว +1

    nmeelewa.mungu awalipe kwa elmu mtoayo.

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 6 ปีที่แล้ว

    Kanisani awwww to God be the glory hii story imeniumiza mimi nakumbuka nilikotoka tulikua tunatembea Peku Mungu ni Mwema jamani eh

  • @marthaaugust4439
    @marthaaugust4439 6 ปีที่แล้ว +2

    ooohh , so sad and motivation

  • @haddgome4682
    @haddgome4682 9 ปีที่แล้ว

    safi sana mungu atakulipa hapahapa duniani kwa wema unaoufanya

  • @mrbensonbabatz8218
    @mrbensonbabatz8218 4 ปีที่แล้ว

    Balikiwa elick bado inatazamwa mpaka mwishon mwa mwaka 2019 tuko pamoja

  • @hemedkimbewele8012
    @hemedkimbewele8012 7 ปีที่แล้ว +1

    thanks 4 ur advice

  • @johnorinda8195
    @johnorinda8195 ปีที่แล้ว

    Ukimsaidia mtu kusimama Mungu atakusaidia kusimama

  • @luganomwakibole2759
    @luganomwakibole2759 9 ปีที่แล้ว +1

    OOOh friend think beyond the world

  • @bensonmoye9846
    @bensonmoye9846 7 ปีที่แล้ว +1

    nakukubar xana

  • @magdalenaedward6828
    @magdalenaedward6828 7 ปีที่แล้ว +2

    MI nataka cd zako kama zipo na zinapatikana wap?

  • @allyismail6002
    @allyismail6002 8 ปีที่แล้ว +6

    kama unataka kuruka kama tai basi jumuika na tai na tabia zako ziwe kitaitai.

  • @albeleenalberto158
    @albeleenalberto158 4 ปีที่แล้ว

    Lazima kuna changamoto ulipitia je ni zipi?

  • @pastorulenjeonline1745
    @pastorulenjeonline1745 6 ปีที่แล้ว

    Nzuri

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 6 ปีที่แล้ว

    Kama sisi walikua wanatucheka wanatuita wamakonde hao wamevaa maplastic shoes hao jamani tumetoka mbali sisi asante kwa hii story

  • @jacksonemily6552
    @jacksonemily6552 9 ปีที่แล้ว +1

    Am Jackson emily, love you.

  • @luganomwakibole2759
    @luganomwakibole2759 9 ปีที่แล้ว +1

    complain less and give more

  • @frankgeorge3632
    @frankgeorge3632 7 ปีที่แล้ว

    Karibu kwenye fulsa itakayo badilisha maisha yako kwa muda mfupi BONYEZA link goo.gl/7Z4mju

  • @ericjonstz3120
    @ericjonstz3120 4 ปีที่แล้ว

    Unaitwa lkulu sababu ushakua maarufu,,,, vp fungu lakumi LA maskini linafika wap

  • @atoshalyimo2759
    @atoshalyimo2759 8 ปีที่แล้ว

    Taarifa kwa Wakazi wa Dar es salaam
    Kutakuwa na mkutano wa TREVO TANZANIA Ltd utakaofanyika katika Ofisi za trevo Moroco kwenye jengo lililoandikwa Baypot siku ya Jumamosi ijayo tarehe 05/03/2016 kuanzia saa tisa alasiri unaoelezea kuhusu wajasiliamali watakavyoweza kunufaika kwa kufanya biashara hii ya mtandao kwa kutumia trevo kwa kupata vipato vya wiki na vya mwezi na jinsi gani vipato hivyo vinaweza kuzidi milioni 10 kwa mwezi kwa mtaji mdogo tu wa TZS 466700
    Kiingilio kwenye mkutano huo ni Jina na namba ya mdhamini wako ambaye utakayetumia namba yake ya udhamini wakati unajiunga na biashara hii
    WATAKAO HUDHURIA NI WHATSAPP 0714303409 ILI NIKUPE JINA LANGU NA NAMBA YA UDHAMINI
    Kwa habari zaidi kuhusu fursa hii ya TREVO pamoja na majibu ya maswali yanayoulizwa na watu kuhusu biashara hii ni whatsapp nikupe maelezo zaid 0714303409
    MAFANIKIO NI HAKI YA WALE TUNWANAYOYATAFUTA KWA JASHO LAO KILA SIKU
    USIDANGANYIKE HAKUNA KIZURI CHA KUPEWA BUREE

  • @mfaumejohn4445
    @mfaumejohn4445 7 ปีที่แล้ว

    nahitaj kitab nakptaje