Kikwete, Lowassa Walivyozifinyanga Siasa za Tanzania

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024
  • Mwandishi mkongwe nchini Luqman Maloto ameandika kitabu kuhusu safari ya kiasiasa ya Rais mstaafu wa Tanzania Jakaya Kikwete na aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wake Hayati Edward Lowasa chenye jina la “Kikwete Lowassa; Urafiki, Ndoa yao ya Kisiasa, Uadui.”
    Katika mazungumzo haya na The Chanzo, Maloto anaelezea kwa undani sababu zilizomsukuma kuandika kitabu hiki.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo Initiative, 2024 © All Rights Reserved.

ความคิดเห็น • 3

  • @aeshitoyota2499
    @aeshitoyota2499 3 หลายเดือนก่อน

    Nimejielimisha sana juu ya siasa zetu

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 หลายเดือนก่อน

    👊✌👍.

  • @mahmoudsaid4134
    @mahmoudsaid4134 3 หลายเดือนก่อน

    Shukran, kitabu kinapatikana wapi?