Kilicho nileta hapa ni ilo neno la jaivah aweeee😍😍😍 2023 ulikuwa mwaka mzuri kwa jaivah sana sio kidogo hapa ndio niwakumbushe wanadamu ukuu wa Mungu ABBAH alimleta MARIOO mjini na kumkuza kwa brand yake mpka leo naye MARIOO kamsukuma kakayake ABBAH mpka leo tumemjua JAIVAH Mungu awabariki sana wana ndugu msha kuwa familia moja ata siku mkipishana rudini msome coment hii itawakumbusha mliko toka AMINA🥰🥰.
Igama lami ngu-Jaivah wena Aweeeh..Aweeeeeh Aweeeeeh Huyo mtoto kaniona kati nimependeza Kaona dorime, hiyo mitungi juu ya meza Ananiangalia huku macho analegeza Nami nampimia, akijitusu natembeza Huyo mtoto kaniona kati nimependeza Kaona dorime, hiyo mitungi juu ya meza Ananiangalia huku macho analegeza Nami nampimia, akijitusu natembeza Nikamwambia mitungi, buruda Washa hata kitu, buruda Na kama upo fresh na kama sio kesi Hapa hata mikasi, buruda Nikamwambia mitungi, buruda Washa hata kitu, buruda Na kama upo fresh na kama sio kesi Hapa hata mikasi, buruda Nani jina lako..?!? Igama lami ngu-Jaivah Igama lami ngu-Coach Igama lami ngu-Striker Ubani igama lakho..?!? Igama lami ngu-Jaivah Igama lami ngu-Coach Igama lami ngu-Striker Si mtoto alivyoona venye nimepoa Ye akanichukulia poa Na mwanenu nnavyojua kukomoa Naweka kama natafuta ndoa Nauliza niendelee..niache (Kwanini uache, kama umelianzisha Twende mpaka asubuhi) Nauliza niendelee..niache (Kwanini uache, kama umelianzisha Twende mpaka asubuhi) Aloooooh Limenibana kojo kojo kojooo (Kojo, kojo, kojoo) Kojo, kojo, kojoo Nimelewa sioni mbele, sioni nyuma Sioni juu, sioni chini tundu liko wapi (La choo) Sioni mundu, sioni kijema Kwani njia iko wapi (Ya chooni) Kama nawakwaza semeni (Hautukwazi tajiri) Kama nawaboa semeni (Hautukwazi tajiri) Kama nina gubu semeni (Hauna gubu tajiri) Kama ninabaya semeni (Hauna baya tajiri) Shiih.. Leo dj nani, chapa ngoma ya Zuchu (honey) Anapiga nani, hebu ngoja nipokee..Aloooh (Hey baby please, come back home please, I need you now) Kumbe shemeji lenu anataka nirudi home Au ninyi mnasemaje Nauliza niendelee..niache (Kwanini uache, kama umelianzisha Twende mpaka asubuhi) Nauliza niendelee..niache (Kwanini uache, kama umelianzisha Twende mpaka asubuhi) Nauliza niendelee..niache (Kwanini uache, kama umelianzisha Twende mpaka asubuhi) Nauliza niendelee..niache (Kwanini uache, kama umelianzisha Twende mpaka asubuhi) Limenibana kojo kojo kojooo (Kojo, kojo, kojoo)
Mnaringia miziki ya watu sisi kama wakenya hatushobokei mziki wa nche zengine tutapiga hayo hayo maandazi mpaka kama Amapiano ni muziki wa southafrica watanzania hamna identity yenu kwenye mziki
Jaiva kauwa Mario ndio staa 2023 amna kama yy Ila bana wanambania sana
kama umemuona DJ Ali B miwani ikitka muanguaka piga like hapa
AWEEE.....JAIVAH 😂
Ila jaivah na marioo nawapenda bule sabufa yangu inakoma wallah majiran ndy awapumui maan nyimbo sauti adi 63 alafu buruda tu 😅😅😅💞💞
Huo ushamba
😂😂duh kumb Ayo mamb bado yapooo walaii
Hahahahha
😂😂😂me pia napenda mziki
😂😂😂😂🎉
Kilicho nileta hapa ni ilo neno la jaivah aweeee😍😍😍
2023 ulikuwa mwaka mzuri kwa jaivah sana sio kidogo hapa ndio niwakumbushe wanadamu ukuu wa Mungu ABBAH alimleta MARIOO mjini na kumkuza kwa brand yake mpka leo naye MARIOO kamsukuma kakayake ABBAH mpka leo tumemjua JAIVAH Mungu awabariki sana wana ndugu msha kuwa familia moja ata siku mkipishana rudini msome coment hii itawakumbusha mliko toka AMINA🥰🥰.
Jaiva me sauti yako tu inanikosha aweee❤❤
Dude la kufungia mwaka 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏻 gonga like
U.. can't..feel. the vibe.... without..jaivah.... voice ..jaivaaaaah
🎉sanaaa
Nakupenda sana kaka yangu mungu ukujaliye
Marioo ndiye mrithi sahihi wa diamond.Bongo flavor iko mikono salama.
🎉Qqqxq q 11qqq
🎉Qqqxq q 11qqq
X Xzibit Xzibit❤,
Q
Rfr
Now this is what we approve as South Africans ❤
👍👏👏👏
Welcome to tanzania
love
chuma cha baridi like hapo na Qumban sapoti zenu jaman naombeni fungua hapo kwenye hiyoo picha hapo
🎉🎉
Jaivah took this personal
Tukachkueni OB jamaa Jaivah kauwa!🇰🇪❤️
Wow
ok@@SalmaSharriff-fx9mg
🎉🎉nyimbo nzuri sana
Unyama. Sana wanangu. Nimetokea. South Africa ❤🎉nipeni. Like
pamojaaaaaaaaa
Marioo pongez kwako❤❤
Hii chemistry ya Marioo na Jaivah … ni sio poaaa 🔥🔥🔥🔥
❤❤❤❤😂😂
Everything Marioo touches turns to a gem this brother is super talented
o
Showing love from 🇰🇪🇰🇪
Kama kuna kenyans munapenda muziki ya wabongo na sio ya kenya like hapa
I love bongo songs and Kenya songs
Mariooooooooooooooooo!!!!!!!baaaaaaaaaaade!!!you never disapoint my guy🔥🔥🔥🔥🔥emoji nd BIGup Jaivah skilled n unique voice#Buruda
This Swahili Piano always hits different 💥
Ikrr😊😂
Wallah
I love Jaivah's voice,like damn daddy's home
You is the king jaivah
Hi
Soon you'll be divorced
The voice is so cute😅😅
The voice is mwaaah 😂😂I always listen to jaivah song before I go to bed
This combo should just do an album already
Well enough talented
This year ilikua ya mariooo❤
Like❤❤❤❤
Oya mnajua knm dash!!!!!!!!!!!!!!❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🕺
Umeweza kijana baddy
Huyo kaka anaeendesha gari anavibe hatar😂😂😂
Achana na bad nation Yani on top juu ya mezaaaa halloooo🥶🔥🔥🔥
Love ur voice Jaivah big up msalimie Chino
Jaivah umetuharibia wake zetu, sa hivi wanautaka tu.
😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 mwaka huu inatosha daah mtatuua sio kwa hizi ngoma kali sana daah 🎶🎶🎶 jaivah na marioo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Jaivah una sauti nzuri
Usiacheee
Watu wa Mombasa tupo ndaaaaniiii, Marioo hi😍
Jaivah your voice is killing me always❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Uhh
nimeipenda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉😂😂😂😂😂😂😅😅😊😢
UtgUbcghfdf❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ziko wapi likes kwa jaivah na marioo👍👍👍👍👍
Marioo killing all this piano beats no doubt he is number one in Tz right now 💯
His good but not number 1, No No
@@nzurisanatv2285 to me bro no one is killing piano like him no one
@@nzurisanatv2285he’s no1 in bongo piano no fvckin cap 🧢
🔥🔥🔥🔥🔥
Number one there's simba lama simba dangote
naukubali huu mziki sana
Hii sauti ya j ni balaa itaniletea shida kwa nyumba😊
Kweli ety😂
Nice work nice creative 😁😁👏👏👏👏 vibes on
I Swear This Is Another Banger Mario Keep It Up🎉🎉🎉
Napendaa ❤❤❤saan sauti ya jaivah yan inanifurahishag kinom yan
Jaivaaah 🔥and marioo nailed this song its lite aiseee keeep going🗣🔥mwaka huu lazma wawarogeeeee😎hawawaeziiiiiiii 👏
Kings of swahili amapiano ❤☝️
The resounding Jaivah Roar! 🔥
Igama lamii ngu - Striker!
Igama lami ngu-Jaivah wena
Aweeeh..Aweeeeeh
Aweeeeeh
Huyo mtoto kaniona kati nimependeza
Kaona dorime, hiyo mitungi juu ya meza
Ananiangalia huku macho analegeza
Nami nampimia, akijitusu natembeza
Huyo mtoto kaniona kati nimependeza
Kaona dorime, hiyo mitungi juu ya meza
Ananiangalia huku macho analegeza
Nami nampimia, akijitusu natembeza
Nikamwambia mitungi, buruda
Washa hata kitu, buruda
Na kama upo fresh na kama sio kesi
Hapa hata mikasi, buruda
Nikamwambia mitungi, buruda
Washa hata kitu, buruda
Na kama upo fresh na kama sio kesi
Hapa hata mikasi, buruda
Nani jina lako..?!?
Igama lami ngu-Jaivah
Igama lami ngu-Coach
Igama lami ngu-Striker
Ubani igama lakho..?!?
Igama lami ngu-Jaivah
Igama lami ngu-Coach
Igama lami ngu-Striker
Si mtoto alivyoona venye nimepoa
Ye akanichukulia poa
Na mwanenu nnavyojua kukomoa
Naweka kama natafuta ndoa
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Aloooooh
Limenibana kojo kojo kojooo
(Kojo, kojo, kojoo)
Kojo, kojo, kojoo
Nimelewa sioni mbele, sioni nyuma
Sioni juu, sioni chini tundu liko wapi
(La choo)
Sioni mundu, sioni kijema
Kwani njia iko wapi
(Ya chooni)
Kama nawakwaza semeni
(Hautukwazi tajiri)
Kama nawaboa semeni
(Hautukwazi tajiri)
Kama nina gubu semeni
(Hauna gubu tajiri)
Kama ninabaya semeni
(Hauna baya tajiri)
Shiih..
Leo dj nani, chapa ngoma ya Zuchu (honey)
Anapiga nani, hebu ngoja nipokee..Aloooh
(Hey baby please, come back home please, I need you now)
Kumbe shemeji lenu anataka nirudi home
Au ninyi mnasemaje
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Nauliza niendelee..niache
(Kwanini uache, kama umelianzisha
Twende mpaka asubuhi)
Limenibana kojo kojo kojooo
(Kojo, kojo, kojoo)
Marioo,Jahiva ft chino saluti 💯❤💙💜
I swear this is fire ❤ Mario keep it up
Hot piano
Nimekujuwa kupitia mpemba comedy kutoka zamy
Irudiwe jmn nawakubl sana❤❤❤❤ jaivah awee umeuwa mwanang
Jaivaah is my favorite ❤❤
Hana baya 😂
🎉🎉🎉
Sawa😂
Voice jamanii ni 🔥🔥 wametishaaa
The combination of Jaivah & Bad has never left us fans. Complaining these people are a disaster"🎉🎉
Anajichezesha kama mtu msenge sana uyo mtoto chino, show zenyew hapigi bila verse za watu
Best 🔥🔥🔥🔥🔥 likes from Kenya one love ❤️🇰🇪🇹🇿
Marioo Bad Nation congrats bro❤❤ Jaivah love your voice 🎉🎉
🇳🇬🇳🇬🇳🇬🇳🇬 gather here🔥🔥
Jaiva. 💝💝 Na Mario Nawakubali sana 🌹🌹🎵🎵🔊🔊❤❤❤❤❤❤
i like the beat♥️🔥🔥🔥🔥jaivah and mario this shud be a hit song
This song is a big vibe. Enjoying it hapa 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪.shootout Jaiva and Marioo
Swahili
The only one that is the best way for you are doing well and that is you
Mega Beat!
This banger is a hit song already
u kill it jaivaaah💯
It's another banger🔥🔥🔥💯
Sana marioo na jaivah ...marioo Ni wakati wako ..
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿👊💪😁jaivah marioo 2 th wrld🎉🎉
Kali 💥💥💥💥
Hatari sanaaa❤
aweeeeee jaivah una hatariiiiiiiiiii😘😘😘😃🤣😃😄😅😅😁😂
I thought it's pop smoke jamming on Amapiano vibez🎉😂😂❤❤
I still.miss that soul 😢😢😢
You nailed it my gee
Hiyo nyimbo imeniingia Kwa moyo
Marioo baddie the king of amapiano in East Africa 🔥🔥🔥
Nimetokea bongo trending ❤️😌
#Jaivah ni fund maan Hilo li bass kweny amapiano Ndo zury aseee😮🎉🎉
Waaa.....this song is on fire...number one big fan 🔥🔥🔥
Song of the year❤
Big firee 😅😅😅 noma sana simba la simba dangote unatisha sana jaivah.100%
Buruda is on fire always
Wa kenya hawana ngoma km hizi ngoma zao utaskia maandazi
Mimi kama mkenya nitakupikia hayo mandazi😅😅
Mimi kama mkenya nitakupikia hayo mandazi😅😅
Mkunduo kenya miziki upo mzee saidi
Mnaringia miziki ya watu sisi kama wakenya hatushobokei mziki wa nche zengine tutapiga hayo hayo maandazi mpaka kama Amapiano ni muziki wa southafrica watanzania hamna identity yenu kwenye mziki
Watching from Capetown city magnificent piano
Daaaah hizi nyimbo bn
JAIVAH is Mohbad inTz 🥰🥰🥰🤣
My bro cool vibe 🔥🔥🔥🔥
Uzuri hii nyimbo kila baada ya 5 yrs inaweza kuboreshwa kwa kuifanyia update ya majina ya machinga wote waliotawala humo
Kumbe dishi 📡imeyumba bana khaaa zuchu umeuaaaaa👌👌👌❤❤❤
JAIVAH FT MARIOO = HITS🔥🔥🔥
good😂
Good song 💯
Anyone here in September😊❤
Hereree
Me
Nyimbo nzuri sana Ila Video mmeifanya rahisi sana
Yaan
Jaivaa vybz danger hatari big shout to jaiva ,marioo and chino from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Hit of hits🎉
Fresh air 🤩
Thank you for bringing this to the world!
The vibe is 💥💥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🤗😜
Such a world class banger
Buruda liiit🔥🔥🔥🔥
Respect guys goma lakubang kali saaaaanaaaaaa😅
hii ngoma ni banger, tamu sana....inaguza sehemu fulani kwa mwili unasikia raha....washa kitu buruda...Much love from Kenya