Ibraah - Nitachelewa (Official Music Video) SMS SKIZA 5702757 To 811

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 7K

  • @benardbenboy6366
    @benardbenboy6366 4 ปีที่แล้ว +60

    Like kwa ibrah jamn ngoma kali saana konde gang tunaisubilia👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾

    • @PureVibes_254
      @PureVibes_254 4 ปีที่แล้ว

      Naomba subscribe kwa channel yangu wadau 🔔🤗 shukran

  • @abbatv5939
    @abbatv5939 4 ปีที่แล้ว +78

    Video iko safi sana team ibrah gonga like twende sawa

  • @abeltuyisenge4794
    @abeltuyisenge4794 4 ปีที่แล้ว +410

    Wenye wanampenda Ibraah jameni naomba likes ata 100 zinanitosha #Nitachelewa 🇦🇺🇦🇺🇦🇺💥💣💪💥

    • @omarsharifa5606
      @omarsharifa5606 4 ปีที่แล้ว +1

      Ukanunulie nini

    • @Christechsa
      @Christechsa 4 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/cPjQN1YfZ9E/w-d-xo.html

    • @PureVibes_254
      @PureVibes_254 4 ปีที่แล้ว +1

      Naomba subscribe kwa channel yangu wadau 🔔🤗 shukran

    • @abeltuyisenge4794
      @abeltuyisenge4794 4 ปีที่แล้ว +1

      @@omarsharifa5606 chakula babu 😂😂💪

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว

      Pamoja

  • @Rashidi-vi7hh
    @Rashidi-vi7hh ปีที่แล้ว +420

    walio tazama mwaka 2024 tujuane like ❤

    • @yusuphahmad7827
      @yusuphahmad7827 10 หลายเดือนก่อน +4

      🎉

    • @kingrabi5118
      @kingrabi5118 10 หลายเดือนก่อน +4

      😂😂😂😂Tuko hapa

    • @WanjalaJoxeph-ys1xk
      @WanjalaJoxeph-ys1xk 10 หลายเดือนก่อน +3

      Chingaa❤🔥🇰🇪

    • @SanuniMajid-sc4ff
      @SanuniMajid-sc4ff 10 หลายเดือนก่อน +2

      Together the day of super woman

    • @BlessJames-p3t
      @BlessJames-p3t 10 หลายเดือนก่อน +2

      Pamoja sana🎉🎉🎉

  • @jumakimaro4295
    @jumakimaro4295 4 ปีที่แล้ว +38

    Mzee unaimba sana aisee
    Aloona Ibra fund gonga like twende sawa

  • @charlessway8226
    @charlessway8226 4 ปีที่แล้ว +106

    Nilijua nime wahi kumbe nime chelewaa lakini nisikose like ata 10 kwa ibrah

  • @zephaniatvnews2025
    @zephaniatvnews2025 4 ปีที่แล้ว +85

    Toka nianzee kuskiliza nyimbo zenye ujumbe mkarii basi hii ndo no 1 na sizan Kama itatokea kw mwaka huu chinga Kama chinga worldwide nakupa💯✍️✍️

  • @raymondfrank2739
    @raymondfrank2739 ปีที่แล้ว +73

    Kama una mkubali Chinga tujuane kwa likes❤

  • @ibrahimusuleimani3238
    @ibrahimusuleimani3238 4 ปีที่แล้ว +25

    Aisee hili ngoma nahisi sio ya mchezo mchezo karibu Ibrah bando lipo full

  • @mongoboy6065
    @mongoboy6065 4 ปีที่แล้ว +20

    Leo nmewai koz nilkua naisubir hi ngoma

  • @edwingwesso6818
    @edwingwesso6818 4 ปีที่แล้ว +42

    Nyimbo yangu pendwa nlikua naisubir sanaa kwa hamu hii video naomben like japo kua mm ni mwana WCB

  • @PriscahGikundi-x2c
    @PriscahGikundi-x2c 10 วันที่ผ่านมา +11

    Wanao skiza huu wimbo 2025 gonga like tukisonga🎉

  • @midodzinukunu2105
    @midodzinukunu2105 4 ปีที่แล้ว +26

    Mi baba yangu sio Magufuli
    Ama Kenyatta wa Kenya
    Nikudanganye Mugabe
    Ni uongo sio sawa

  • @michaelmwasenga8265
    @michaelmwasenga8265 4 ปีที่แล้ว +63

    kinachoniboa nikwanini hamrekebishi akaunti iwe inaingizwa kwenye trending za youtube..

  • @ibrahimmnenwa9919
    @ibrahimmnenwa9919 4 ปีที่แล้ว +206

    Tulio ludia hi ngoma zaid ya mala moja tujuane kwa like jaman 😍😍😍

  • @elizabethnyaboke8309
    @elizabethnyaboke8309 3 ปีที่แล้ว +39

    One of my best Swahili song Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪wapi like za ibraah

  • @salehesalmn4845
    @salehesalmn4845 4 ปีที่แล้ว +18

    Upo vzr, yaaan hii nyimbo kama kuna fany wa konde gang amerudia rudia kama mimi like nyingii plz.

  • @seraphinepaultine1679
    @seraphinepaultine1679 4 ปีที่แล้ว +15

    Ooohhhw Ngoma Kali kinoma jmn like za chingaaa wap🙏🙏🙏???

  • @fisjaykitamuliko1183
    @fisjaykitamuliko1183 4 ปีที่แล้ว +21

    Tunalisubiri kwahamu king of news school

  • @officialssimba2181
    @officialssimba2181 3 ปีที่แล้ว +32

    Young ibrah kama uta like comment zangu basi young bro

  • @emflashtv6211
    @emflashtv6211 4 ปีที่แล้ว +26

    *sijui hata nifanyeje hii ngoma ifike on rending kule kwa ............hizi like naomba tuifanikishe ndo ntaamin **#kondemusicworldwide** is a hastles lebel for a short period*

  • @kamisskamimamaketoto8987
    @kamisskamimamaketoto8987 4 ปีที่แล้ว +34

    Mimi ndo na mark register ya both Kenya 🇰🇪 na Tz🇹🇿🔥🔥

  • @kabaly18
    @kabaly18 4 ปีที่แล้ว +21

    Ivan umemtendea haki huyu Mtoto.... Kali sana hii🔥🔥

  • @MoreenKariuki-m9x
    @MoreenKariuki-m9x 11 หลายเดือนก่อน +42

    Tofauti ya Chinga Na Omaly ni lugha tuu ❤
    ......

    • @kingrabi5118
      @kingrabi5118 10 หลายเดือนก่อน

      Ndio kbs

  • @ROSEROBERTROBART
    @ROSEROBERTROBART 4 ปีที่แล้ว +27

    Wana kondegang kumekucha 🏃‍♀️🏃‍♀️💪

    • @PureVibes_254
      @PureVibes_254 4 ปีที่แล้ว

      Naomba subscribe kwa channel yangu wadau 🔔🤗 shukran

  • @zainabubakari7159
    @zainabubakari7159 4 ปีที่แล้ว +31

    Dah yaan ibrah mi nashindwaa hata cha kucommnt but Jah bless you 🙏💋💋💋💋❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว +1

      Jitahidi tuu coment tuongeze view

    • @zainabubakari7159
      @zainabubakari7159 4 ปีที่แล้ว +1

      @@WaridawaridaWarida 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Yaaan Itabidi tu.. tufanye hivyo maaana ibraah anaimbaa buanaa

  • @victorkondegang7653
    @victorkondegang7653 4 ปีที่แล้ว +81

    Nakubli San chinga 👑👑

  • @donaldogango840
    @donaldogango840 3 ปีที่แล้ว +48

    "Na nina imani nitajijengea nisikuwaze kwa ubaya" that hit differently. Big up bro

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 4 ปีที่แล้ว +79

    Niliisubiri Sana, Now Imefikaaa, Pongezi sana Ibraaah na Konde Music World wide

  • @shomarimwinjuma8193
    @shomarimwinjuma8193 4 ปีที่แล้ว +13

    Oyaaaa ibraaa toa dude bas wajuba bando litakata

  • @malembwemuwawa4902
    @malembwemuwawa4902 4 ปีที่แล้ว +45

    Kaingia mwenye mziki wake, ni unyama mwingi sana kafanya ibra humu ndani🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥likes nyingi nami nijione nimesapotiwa baada ya kuangalia kwa mara ya kwanza chupaaaaa qaliii🔥🔥🔥🔥

  • @samsonphilip8125
    @samsonphilip8125 2 ปีที่แล้ว +4

    Kali sana nitachelewa by ibraah

  • @calvindeguize3363
    @calvindeguize3363 4 ปีที่แล้ว +24

    daahh kwel we mtoto ni fundi sijutii kuwa shabiki yako.

  • @jumakimaro4295
    @jumakimaro4295 4 ปีที่แล้ว +68

    Utachelewa lakini lazima uingie Namba 1 trending, You deserve Ibrah, Tangu Tanzania iumbwe hakuna aaliyewah kutoa Song kali kama Hili, hayupo msanii aliyewahi kuimba vizuri km hivi wala Tungo kali km hii

  • @collinmorgan1429
    @collinmorgan1429 4 ปีที่แล้ว +84

    All De way from Sweden guys give me like of De future superstar

  • @Vincent-gp4jo
    @Vincent-gp4jo ปีที่แล้ว +14

    wangapi wanakubali ibra niakikishie na like

    • @LucyPaul-rr3bj
      @LucyPaul-rr3bj 9 หลายเดือนก่อน

      Mimiiiiih❤❤❤❤

  • @eliaspius4949
    @eliaspius4949 4 ปีที่แล้ว +19

    Wee boya😄😄 unaimba yaani hutumii nguvu quality vocal

    • @mariamselemani5208
      @mariamselemani5208 4 ปีที่แล้ว +2

      Umeona yaan km hataki kumbe anataka 😀💪

    • @eliaspius4949
      @eliaspius4949 4 ปีที่แล้ว

      @@mariamselemani5208 hadi anakera ujue😀😀

  • @mkalilabson6914
    @mkalilabson6914 4 ปีที่แล้ว +12

    Oooooh jaman nimechelewa Mimi lakni haipngwi like Kwa chinga

  • @mohammedchangwe
    @mohammedchangwe 4 ปีที่แล้ว +35

    Kama unamkubali Ibraah gonga like twende pamoja
    Ibraah ndio msanii bora chipukizi Tz

  • @imaadabdulwarith6867
    @imaadabdulwarith6867 ปีที่แล้ว +2

    Maze kakangu ibraaah nakuenzisana big fan mi huimba hiii Ngoma mpaka mathangu hulia naitoa kwenye roho

  • @jumakimaro4295
    @jumakimaro4295 4 ปีที่แล้ว +208

    Watanzania wenzangu tumpe IBRAH heshima yake tuache u team usiokuwa na maana, hatuwezi entertain nyimbo mbovu ikae namba 1 na wakati hii ndo song la Taifa

    • @mu-crzymahez9229
      @mu-crzymahez9229 4 ปีที่แล้ว +7

      kwel kabsa mm from chibu dee ila
      Mshikaj anajuaa

    • @jumakimaro4295
      @jumakimaro4295 4 ปีที่แล้ว +4

      Bora umeongea ukweli team yako Ijue sio tubebe ngoma mbovu na wakati ngoma kali zipo

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว +5

      Safi sana yani huu uteam unaua vipaji kiukweli

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว +2

      @@mu-crzymahez9229 pamoja

    • @kezziathadeo1414
      @kezziathadeo1414 4 ปีที่แล้ว +3

      Mtoto amemzd baba 😂ibra ongera sana toto

  • @ndolthuakapol5798
    @ndolthuakapol5798 4 ปีที่แล้ว +37

    From Kenya n mm wa kwanza wapy Lyke's za wakenya wenzangu,👇

  • @jumakimaro4295
    @jumakimaro4295 4 ปีที่แล้ว +36

    Ibrah kwa mziki huu unastahili kutrend na kushika namba 1, umeimba Sana humu ndani, umeandika vizuri sana 100%

    • @mu-crzymahez9229
      @mu-crzymahez9229 4 ปีที่แล้ว +1

      kabisa kabisa ttzo menagement haitoi push ya nGuvu

    • @zakariamachibula488
      @zakariamachibula488 4 ปีที่แล้ว +1

      Mtasubiri Sana huyo makonde wenu anakoelekewa pambaya

    • @hansramadhan8945
      @hansramadhan8945 4 ปีที่แล้ว +2

      Kijana anajitahidi kuimba kwa vizuri lakin huku alipo,sio pa kumpa hayo unayoyafikiliaaaaaaaa

    • @jumakimaro4295
      @jumakimaro4295 4 ปีที่แล้ว +3

      Karibu Konde gang bwege wewe

    • @jumakimaro4295
      @jumakimaro4295 4 ปีที่แล้ว +3

      Sisi mashabiki wa konde gang ndo inatakiwa tutoe support ya nguvu, tu push kazi zote zinazotoka ndani ya Konde Gang, Tukiamua mashabiki tutafikisha Team yetu juu mpk ulaya

  • @nishimwefrolance2949
    @nishimwefrolance2949 3 ปีที่แล้ว +2

    Hakika mungu akubarik
    Maana kama vir unatoka hisia

  • @Lazaro_kibukira
    @Lazaro_kibukira 4 ปีที่แล้ว +97

    *SIOMBI LIKE ILA UKITAZAMA HIII VIDEO UTAONA TU ÏBRÂH ANAENDA LEVO NYINGINE MZIKI UKO SAFI*

  • @jayclassic5164
    @jayclassic5164 4 ปีที่แล้ว +13

    Hii ndo product original ya bwana tembo🔥🔥🔥🙌🙌

  • @abajgasavage2381
    @abajgasavage2381 4 ปีที่แล้ว +31

    Wapi likes za ibraaah 💪💪 nipeni na mm likes konde gang for everybody💯 hatuna bifu huwa

  • @vj39500
    @vj39500 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kipindi hiki Chinga anapotoka hii ndio ilikuwa nyimbo yangu pendwa yaani ningeirudia mara ishirini kwa siku. Sasa ni miaka mitatu imepita huu wimbo bado ni mkubwa 2024. Nafarijika saana ninapouskia much love @Ibraah #Nitachelewa❤ ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ommyjtz1108
    @ommyjtz1108 4 ปีที่แล้ว +10

    Chinga ujawai kukosea. I proud of youu

  • @mwendwamjukuu0027
    @mwendwamjukuu0027 4 ปีที่แล้ว +18

    Bongo nimegundua huu uteam unauwa vipaji .....ngoma Kali Kama hii unakuta ata trending haiwezi ingia na kuna wengine wanaimba utumbo na wako ontreanding ......+254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 let's support this talent

    • @mariamselemani5208
      @mariamselemani5208 4 ปีที่แล้ว +1

      Tatizo majungu mengi

    • @aliboss2736
      @aliboss2736 4 ปีที่แล้ว +1

      Wabongo awapendani wana wivu chuki na ujinga hahaha

    • @petersopi1180
      @petersopi1180 4 ปีที่แล้ว +1

      Makin san men kwa hyo point umeua

  • @budigabirdman4558
    @budigabirdman4558 4 ปีที่แล้ว +25

    CHINGA NOMA SANAA VIDEO IKO JUU TU SANAA BRATHEE,HIVO HIVO STRONG BRO IBRAAH.VIDEO NA LYRICS YA HII NGOMA ZIMERYME SANA ILUV IT.WAPI LIKE ZA AFRICA JAMENII

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว

      Sanaa

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว

      Ila huu mtindo wa views inarudisha nyuma kimziki

    • @elizaedgar711
      @elizaedgar711 4 ปีที่แล้ว

      @@WaridawaridaWarida sanaaa hlf ni Tz tu ndo tunao huu ushamba

    • @Ashley_family123
      @Ashley_family123 4 ปีที่แล้ว

      @@WaridawaridaWarida but naona support ya kenyans imekua juu sana but haiko trending

  • @ISBLion
    @ISBLion 10 หลายเดือนก่อน +30

    Na omba mungu azidi kuni tiya pumzi iyi nita replay 2030

  • @chazyteshakimaro4659
    @chazyteshakimaro4659 4 ปีที่แล้ว +87

    Me naombeni like 10 tu jamani sijawahi kupata hata 5😭

  • @officialmkatamkaa3477
    @officialmkatamkaa3477 4 ปีที่แล้ว +12

    Daaaah unagusa nyoyo za kila binadam wenye akiri timamu kijana wangu,.

    • @moddobilityworldwide5192
      @moddobilityworldwide5192 4 ปีที่แล้ว

      Nyimbo Haina ata maudhui ya kueleweka wamezingua

    • @officialmkatamkaa3477
      @officialmkatamkaa3477 4 ปีที่แล้ว

      @@moddobilityworldwide5192 amna mkali ndo ngoma zetu za bongo ila bro kajitahd

  • @youngchella4322
    @youngchella4322 4 ปีที่แล้ว +48

    Kama unamkubali Ibrah Gonga like 👍twende sawa tuliokaa online kusibiri nyimbo

  • @hanningtonouma7415
    @hanningtonouma7415 3 ปีที่แล้ว +74

    Ngoma Kali sana Chinga,,Nyati anatesa sana,,,much love from Kenya

  • @muhaliyustin8809
    @muhaliyustin8809 4 ปีที่แล้ว +19

    Daaa mbona ngoma zako kali ila haziingii trending ujue inatuumiza sana sisi mashabiki zako

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว

      Unajua tatizo hatutoi coment za kutosha

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว

      Tukionesha umoja wa coment views zitafika number one

    • @Ashley_family123
      @Ashley_family123 4 ปีที่แล้ว

      @@WaridawaridaWarida kwani comments ndio huingza trending ama ata mie sioni vizuri kutoingia trending like seriously

  • @vonramar7410
    @vonramar7410 4 ปีที่แล้ว +13

    Tutazidiwa subscribers tu ila ukweli hata upande wa pili wanatambua kuwa msanii kwel yupo Konde gang.... Ibraah u kill it. Bravoo!!!!

  • @eddytzonlinetvTallMan
    @eddytzonlinetvTallMan 4 ปีที่แล้ว +30

    Aah JAMANI IBRA FUNDIII EBUU TUKUBALI LIKE ZIJAE HAPA

  • @mikejack1030
    @mikejack1030 3 ปีที่แล้ว +3

    Ibrah mdogo wang you are simply amazing sijui nikupe nini

  • @salomembelle1649
    @salomembelle1649 4 ปีที่แล้ว +24

    Kaka nyimbo zako Zina nipoza stress zangu,,big up🔥🔥🔥

  • @hanclove7631
    @hanclove7631 4 ปีที่แล้ว +82

    Watanzania bc msichelewe kunipa like zang❤👌🏿

  • @daviebaba_lao7219
    @daviebaba_lao7219 4 ปีที่แล้ว +13

    Naomba like za ibraah 254 🇰🇪 🇰🇪 hapa sote

  • @stennynyoro
    @stennynyoro 2 ปีที่แล้ว +150

    I lost a close friend some few months ago, she loved this song and listened to it almost daily. I'm yet to accept the reality. This song calms me down whenever I'm over thinking.

    • @Dennis_Okelo
      @Dennis_Okelo 2 ปีที่แล้ว +10

      All shall be well. Love hurts at times

    • @maskap7934
      @maskap7934 2 ปีที่แล้ว +4

      God is with you

    • @mueketv7512
      @mueketv7512 2 ปีที่แล้ว +4

      do him/or her justice by listerning to this song once a week

    • @EusebiusSoita-kk6mx
      @EusebiusSoita-kk6mx ปีที่แล้ว

      I equally love this song it's such a vibe and reminds me of the dark past that I eventually conquered.

    • @heldinwanjiku-tv6hb
      @heldinwanjiku-tv6hb ปีที่แล้ว

      May his soul rest in peace

  • @seydrama9496
    @seydrama9496 4 ปีที่แล้ว +36

    This song is much crazy men! Dogo anajua kumamake mpka anaboa khaaaaaaaaaaaaa jamaniiiiiiiiiiiii😪😪😪😪, what the kind of talent is this guys huuuuuuuuuuu.this dude is going miles jombaaaa namuona mbali sanaaaa safi sana Konde Gang💯💯💯🔄

  • @jumakimaro4295
    @jumakimaro4295 4 ปีที่แล้ว +47

    KARIBUNI KONDE GANG kwa Vijana wasiotumia Mafundo ku trend, Team W, na Team K karibun Sana

    • @mariamselemani5208
      @mariamselemani5208 4 ปีที่แล้ว

      Weweeee umeonaee

    • @kryorte___michelle1645
      @kryorte___michelle1645 4 ปีที่แล้ว +1

      😅😅huku stress sanaa wcb ndo chama la wana no stress kbsaa kila cku vitu vipyaa

    • @issamohammed3493
      @issamohammed3493 4 ปีที่แล้ว

      Give credit we it lies his dope

    • @mariamselemani5208
      @mariamselemani5208 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kryorte___michelle1645 sasa mbona umekuja kwenye stress

    • @nanahothman7507
      @nanahothman7507 4 ปีที่แล้ว

      @@mariamselemani5208 hapoo xx😂😂😂

  • @mwarahsemor6301
    @mwarahsemor6301 4 ปีที่แล้ว +85

    wangapi mnavaibu kama mimi kwa kichupa cha ibu👇👇👇

  • @fredrickmakumbi7998
    @fredrickmakumbi7998 2 ปีที่แล้ว +2

    uko sawa bro eeh imeshika💕💕💗💖💝💌👌

  • @victorkondegang7653
    @victorkondegang7653 4 ปีที่แล้ว +72

    Ilove you konde gang music WORLDWIDE JESHI the one 🇹🇿

  • @kalobetvonline3716
    @kalobetvonline3716 4 ปีที่แล้ว +186

    Naomba like za ibraah ata 40

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว +2

      Usijali

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว +4

      Mie naomben coment japo 5

    • @kelvinalfred9339
      @kelvinalfred9339 4 ปีที่แล้ว +1

      kaa ulipo na utengeze pesa na DUKAKUU, tmbelea website yetu ujue Zaidi kuhusu hili, tunajua hali halisi ya uchumi na tunajali maendeleo ya uchumi wa vijana usibaki nyuma hii ni fursa ya kipee.
      www.dukakuu.com

    • @mwijaku7268
      @mwijaku7268 4 ปีที่แล้ว +1

      Warida123warida185 Warida123 ❤️

    • @mariamselemani5208
      @mariamselemani5208 4 ปีที่แล้ว +1

      Utapata tu

  • @muimasmart7160
    @muimasmart7160 4 ปีที่แล้ว +11

    Nani anakubali kuwa hichi kichupa kwenzi tujuane kwa like hapa ndichi jamani

  • @priscillahmueni868
    @priscillahmueni868 3 ปีที่แล้ว +262

    This song is so underrated. I wish he had more airplay on Kenyan radio cause he deserves it!

  • @kondegangrwanda2742
    @kondegangrwanda2742 4 ปีที่แล้ว +29

    Konde gang for Life huku Rwanda

  • @raywilondja601
    @raywilondja601 4 ปีที่แล้ว +17

    King wa mafundo

  • @jameskimakuti3916
    @jameskimakuti3916 4 ปีที่แล้ว +15

    Siku zote hukosei broz, love it from Bungoma

  • @nado5204
    @nado5204 ปีที่แล้ว +1

    Sinashida na like ninashida na mziki mzuri nakukubali kuliko wote ulio Anza nao Natamani ufanyie ata ngoma Moja na needy music au Mr blue

  • @toastysn
    @toastysn 4 ปีที่แล้ว +16

    Kuuangalia huu wimbo mara moja au mbili ni dhambi ya kuchomwa moto kabisa. Dogoo anaJua 🔥🔥 nakuombea nendaa mdogo wangu 👊👊

  • @ericklibaba1198
    @ericklibaba1198 4 ปีที่แล้ว +8

    Huyu Dogo ni dhahabu pale konde Gang... Yaani anatulia kwenye kipaji chake afu full Burudani... 🔥

  • @wizyoung_tz784
    @wizyoung_tz784 4 ปีที่แล้ว +29

    Kupita saa moja bila kumsiliza huyu mtu n ngumu saana kwangu
    Blood unajua thaana 💪💪💪

  • @yusuphahmad7827
    @yusuphahmad7827 10 หลายเดือนก่อน +4

    Mapenzi ni kitu cha dhamani saana lakini kumbuka mara zote mapenzi huanzia machoni na huishia machoni yaani huanza kwakuona nahuishia kwa kulia😢

  • @valentineivan8381
    @valentineivan8381 4 ปีที่แล้ว +47

    Kama ingewezekana Ku like zaid ya maelufu basi ningefanya hivyo bila kuchoka

  • @laurinelorianne5459
    @laurinelorianne5459 4 ปีที่แล้ว +61

    Konde geng for everybody, your big fun from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Kenyans let's support this guy,, nipeeni likes Ata 20❤️❤️👍👍

  • @mwasimbega8712
    @mwasimbega8712 4 ปีที่แล้ว +9

    KAZA mdogo wangu MZURI....uckatishwe tamaa na yeyote!! Video 🔥🔥🥰

  • @RajabBaya-dr5cs
    @RajabBaya-dr5cs 2 หลายเดือนก่อน +3

    Love from Kenya....like zangu plz

  • @kenedykalonga9605
    @kenedykalonga9605 4 ปีที่แล้ว +25

    Kama unamkubali iblaah naunaamin mafanikio yake kwenye mziki shusha comment hapa twende mjini

  • @kondegang4247
    @kondegang4247 4 ปีที่แล้ว +23

    @ibraah go make us proud my GE
    Jaman KONDEGANG sijawahi kupata like zaidi ya 20, please nisaidieni wakuu 🙏🙏🙏

  • @anoldikiti2444
    @anoldikiti2444 4 ปีที่แล้ว +10

    Mbn sijawai ona Chinga akiwa on trending..... Like hata kama 8 zake

    • @nackymanjale2850
      @nackymanjale2850 4 ปีที่แล้ว +2

      Hata kama hayukonkwenye trend ana mziki mzuri

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว +1

      Tanzania wanauwa vipaj kwa uteam mwenye mziki mzur anaatwa chini na mwenye kuimba ujinga anawekwa juu

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว

      @@nackymanjale2850 umeonaee

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว

      @@nackymanjale2850 yani hakuna ubishi ibraah yupo juu ila uchawi unamfanya asi trend🔥❤

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว +1

      Kingine jitahidin kutoa coment kwa kila coment ya mtu ili views ziongezeke

  • @AlainNiyubahwe
    @AlainNiyubahwe 5 หลายเดือนก่อน +1

    Good music ungekua WCB ungekua msanii mkubwa sana ungekua unamshinda huyo boss wako konde boy 🎉🎉🎉

  • @alpherhaule179
    @alpherhaule179 4 ปีที่แล้ว +102

    Niazime Iikes kwa producer wa hii beat tafadhal..

  • @lawagustino1887
    @lawagustino1887 4 ปีที่แล้ว +149

    Nimechelewa ila niombe walau likes10tu.

  • @fargngener310
    @fargngener310 4 ปีที่แล้ว +51

    Jomoni nipeni ata like 10 kwa chinga ake

  • @edgarmuganda8791
    @edgarmuganda8791 2 ปีที่แล้ว +72

    Can't get enough of Ibraah's voice

  • @Boaz22
    @Boaz22 4 ปีที่แล้ว +14

    Naombeni huu wimbo tuupe 1M kwa 1 day tu..kali mnoooo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @denyoentertainmentcompany1559
    @denyoentertainmentcompany1559 4 ปีที่แล้ว +10

    Huyu jamaa anajua sana💥💥💥💥 Sema wanamchukulia poa sana🔥🔥🔥 bonge moja ya production

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว

      Sisi tunamkubali jeshi 🔥na team yake

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 4 ปีที่แล้ว

      Tatizo uteam unafanya asiwe juu ila Mungu atamfanikisha tuu ipo siku

    • @kelvinalfred9339
      @kelvinalfred9339 4 ปีที่แล้ว

      kaa ulipo na utengeze pesa na DUKAKUU, tmbelea website yetu ujue Zaidi kuhusu hili, tunajua hali halisi ya uchumi na tunajali maendeleo ya uchumi wa vijana usibaki nyuma hii ni fursa ya kipee.
      www.dukakuu.com

  • @NakflixPro
    @NakflixPro 4 ปีที่แล้ว +19

    Balaaa zitooo from 🇰 🇪 like hapa kama unamkubali ibraah

  • @gadimbajo
    @gadimbajo 3 ปีที่แล้ว +82

    Deserve to be called a masterpiece! Once upon a time Diamond knew how to sing these kind of songs, thats when music was music, this masterpiece takes us way back to the golden time

  • @idrisbely7531
    @idrisbely7531 4 ปีที่แล้ว +19

    Bless you hii kaz sn imekuja kipind husik Big 🆙 ibraah 💪✌🏻

  • @omarbrownt.v7466
    @omarbrownt.v7466 4 ปีที่แล้ว +11

    Mziki mkali video kali yani kila kitu kipo on fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @vinniebwouy2186
    @vinniebwouy2186 4 ปีที่แล้ว +108

    Jameni wenzangu mnipe likes za konde gang.

  • @FeltonOnkoba
    @FeltonOnkoba 3 หลายเดือนก่อน +2

    I dedicate the song to my Ex ...from KENYA 🇰🇪