Kayumba nakukuba sana yaani zaidi ya sana nyimbo zako. Yaani nazikubal mno yaani kwanyu kila mda ni nyimbo zako tu duuuu hongera sana maana ujumbe mzuri kwenye nyimbo zako
Huu wimbo Nilikua Nausikia Sana ikabidi niutafute maana it's a Beautiful Song Especially kwa Wanaoumizwa na Mapenzii Ngoma Kalii Sana Ujumbe mzuri sana
My dearest kayumba hapa ndio sisemi kitu unakipaji dogo utani kando hongera kwakazi nzuri, napenda nyimbo zako Yani hazini choshi kuzkiliza congratulation
Vita Vya Mondi na Kiba vime harib Bongo Flava vyafanya mpaka misiki mizuri kama hii yakosa Views na likes zinazo Stahiki.. Big Up Kayumba,,, Hujanbwaga kabisa.. Keep Going Strong
Such a beautiful tune, I have been playing ever since i discovered it even though i don’t understand the language, a fan from Ghana 🇬🇭, you nailed it ✌️
nakubali kaka unajuwa kwenda na wakat kwa sasa mapenzi yanawaliza weng kwahyo maumvu imekuwa kama tulizo na kujpa iman pamoja mzee hongera utunz mwema kaka one love
Nakumbuka nilikesha kuangalia mashindano ya biss mwaka ule na hakuna kingine nilikuwa nakuangalia ww kayumba naleo bado unahaso hongera sana mwanangu pambana kama ulivyo pambana mwaka ule ulivyo kuwa unaki pigania kipaji chako unaweza kayumba walah
Sema hizo rasta ndo umengoma kutoa Kayumba hapo kwenye rasta unayumba kweli sasa. kama umekubali hii ngoma sema huzikubali hizo rasta kichwani hapo gonga like hapa 🚵. 🚵. 🚵. 🚵
Nmeamini maisha ni sapoti za watu kuna wasanii hapo town wanachoimba akuna k2 lkn wako juu ila uyu dogo ni fundi sana ila naona kama watu wanajifanya hawaoni ivi ila ipo siku watajuwa kuwa kumbe kuna wasanii wakubwa 2 wanabebwa lkn akuna kitu kbc big up dogo kayumba kaza buti dogo
AMBAO MMEUMIZWA 2024 MJE APA MUWEKE LIKE ZENU😪😪
Mimi nimeumizwa na mke wangu kipenzi mwezi huu wa November taree 30/2024 😭😭😭😭🤲
Kayumba nimeanza kua shabiki ake kwanzia ngoma ya katoto 🔥🔥🔥
Yani kayumba kaimba huu wimbo umeniguza sana mm like zenu kama unaukubari wimbo wa maumivu
Nazipenda kazi zako mung akusaidie
Oi napenda mdada nataka nixhee naee life
Unaimba kama wao tu ila wanajifanya wanakukazia hakuna kukata tamaa mwanangu endelea kuangusha mawe wataelewa tu one day
Nikweli kabisaaaaa
Kabisaaa
Umenena k2
🔥👊💯
Ngoma nzur
*Kuimba mziki sio mpaka uwe na sauti nzuri hapana, mashairi na ujumbe unatakiwa ufike kwa watu,kayumba nakuelewa Sana Kaka!*
Kayumba nakukuba sana yaani zaidi ya sana nyimbo zako. Yaani nazikubal mno yaani kwanyu kila mda ni nyimbo zako tu duuuu hongera sana maana ujumbe mzuri kwenye nyimbo zako
Dogo Kayumba Wewe ulikuwa Mkali Toka Bongo Star Search!! huku unaendeleza tu!!! Uko poa sana Kayumba Big up sana!!
Huu wimbo Nilikua Nausikia Sana ikabidi niutafute maana it's a Beautiful Song Especially kwa Wanaoumizwa na Mapenzii
Ngoma Kalii Sana Ujumbe mzuri sana
JAMAN KAYUMBA ANAJUA AISE
Kama umeikubali Gonga like aisee kwa support
Big up broo
Nimeisikiliza wakati wake asante kwa maumivu😭😭
Karibu kings music watufaa xna gonga like kma we n King's family
Kali kayumba
cide da cruiz kwaya ya mtakatifu kibaaa
Kabsa anafaa
Cide da cruiz umeona eeee alafu tutampa na mo fire ashushie
Acha kumpoteza
Wa kwanza.....kama ume kubali. Hii ngoma piga like yako hapo
Uko vzul
Yuko vzr sana namkubali sana toka bss
gudi
Ngoma ime gongaaa kongaaa
Nice
This boy will kill us with awesome melodious songs 💓💓🇰🇪
Songs is good
Kabisa kushea siyo vizuli kabisa unajuwa kuimba kayumba nyimbo zako zote nzuli hakuna nyimbo mbaya yakwako 💓💓💓💓💓💓💓💓 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏💞
kayumba wew ni msanii. ila utakamilika endapo ukikalibia king music. kalibu sana king music
My dearest kayumba hapa ndio sisemi kitu unakipaji dogo utani kando hongera kwakazi nzuri, napenda nyimbo zako Yani hazini choshi kuzkiliza congratulation
Vita Vya Mondi na Kiba vime harib Bongo Flava vyafanya mpaka misiki mizuri kama hii yakosa Views na likes zinazo Stahiki.. Big Up Kayumba,,, Hujanbwaga kabisa.. Keep Going Strong
Yes is true
well said
Sana
Kweli kabisa kijana waabie kabisa
❤nazikubari, sana
🙏🙏🙏🙏 Imenigusa wallahi ahsant Kayumba
Such a beautiful tune, I have been playing ever since i discovered it even though i don’t understand the language, a fan from Ghana 🇬🇭, you nailed it ✌️
Good song
Hapa umepiga na ukaua.huwezi toa kichupa zaidi ya hiki.umetugusa wengi big up
Usipocheza utatikisa japo kichwa ama mmguu kayumba ni🔥🔥🔥
Napenda kaz zake kayumba anaiba sana
Kama umeielewa hii ngoma kama mm gonga like twende sawa
Kushare sio lengo languu nisamehe ..... Natetea hisiaa.zanguu... good point
Nakubali kayumba umenkiumbusha mbalii saaanaaa 🙏🙏🙏🙏 ilove this song
Uko vizr kayumba
Maumivu umebamba sana big up kayumba kaza man like nyingi kwako.
Very nice song kayumba😍😍love kutok kwang kam zote zikufikiee
Looking into my eye
nice broo kwa ngoma hii umetisha
Wow kayumba you kill it boy keep it up 😍❤
My best singer so far🇰🇪
Kayumba useme uko bali tu na mimi lakini tugekuwa p1 nigekupa zawadi kbs kwa songs zako love u more kayumba niko🇺🇸🇺🇸🇺🇸
Aroni Kashindi nice music jmn
Aki this guy has nice voice man big up broo💪💪💪💪
The definition of good music 🔥🔥😍
nakubali kaka unajuwa kwenda na wakat kwa sasa mapenzi yanawaliza weng kwahyo maumvu imekuwa kama tulizo na kujpa iman pamoja mzee hongera utunz mwema kaka one love
Kalisana bro kamavipi njoo King's music man
Ahsante kwa maumivu ni lengo la mungu kukuweka dunia ili Chaka ze Don nijione Kama naishi kwenye nchi yenye wasanii
Hongera dogo,,hii Kali zuri,, kama mnamkubali huyu gonga like, twende pamoja adi king music
Kaka unaweza saaanaa vizuli mtangulize MUNGU tuu kW kazi zako
da hongera dogo lang good music flavour komaaaa unaweza
Gooo masta
❤❤❤❤❤love sana kaka yangu mungu akulinde milele nakuja mwaka kesho nikuone
KAYUMBA ni real voice of LOVE WE NI FUNDI WA NYIMBO ZA MAHABA!!!
Kweli kayumba ndo umekamilika kuwa msanii wa BONGO flava kaka kaza kamba utafika waliko mbosso na ata zaidi yao .Inshallah.
Nice one keep it up Kayumba love you so much
Ngoma Kali sanaaa 👊 👊🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wonderful song good work kayumba
Pp
ngomaaa tamu sanaa jamonii hongeraaa
Muziki mzuri, sauti nzuri!!! Love u kayumba
Huyu dogo anajua sema tanzania hatuna kitu cha kupeana nafasi🙌🙌🙌 yaan walio juu wanataka wawe wao tu
Baba nilikuwa nasbiria hiki chombo gud sana
Iko poa
Sana
Kayumba unaweza wasafi nimekaribia kuhama
Nice
Sana mdau kayumba unajua
Nakumbuka nilikesha kuangalia mashindano ya biss mwaka ule na hakuna kingine nilikuwa nakuangalia ww kayumba naleo bado unahaso hongera sana mwanangu pambana kama ulivyo pambana mwaka ule ulivyo kuwa unaki pigania kipaji chako unaweza kayumba walah
Keep it up bro I love it so much
Huu mziki kila siku lazima niusikilize kayumba big up🎉
kayumba kazi nzuri like tu hap
Daaaa yaan kayumba uwiii sijui hata nisemaje anaimba had sio pw 😘😘😘
Kayumba we kaza mwenyewe tu,achana na makundi,Mara king musc, achana nayo, asikushike mtu ao wanga tu
Kayumba we ni shida kinyama unajua mpaka unakera kama unamkubali
Walaupun tdk tau artinya tapi cumn senang lagu dan nadanya...
Naupenda uuu wimbo sikujua kama kayumba ndio kaimba nimeutafuta mpkaa nimekoma
Mwamba pambana ngoma Kali Sana gonga like Kama umeielewa
Mnavyohimbanga ndo vinavyo tokeyaga tu duniani🎉🎉❤❤❤
Mi Ntakuja kufa jomonii kayumba ma love yangu kwako kama yoote😘❤❤❤
twenzetu kings kayumba nomaaaa thana hii kitu
I wish to see kayumba very far in his music career 🙏
nyimbo zako zote ni za kuvutiwaa my best artist kayumba
Ngoma Kali sana hii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nilijua wanipenda daaaah sometime mademu xio watu wazur.. kama yamekukut gonga like
Mamen ndo siy wat wazur
We boya unaweza ngoma yako iko poa sana kuliko za king music yaakubisha abishe ila ukwer ndio uo
Acha kumlevya kijana bali mpe pongezi kwa kazi yake nzuri
vzr sana
Mungu akusimamiee nakuombeaaaaa naninakupnda brothr....
Kama umeikubari ngoma gonga like za kutosha
Wawooo jaman kayumba ww mbona wani teka 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪
Duuuh ataree sana aisee 💗 umemaliza aisee
Ngoma Kali saaanaaaaaa
Kayumba ni moto wa gesi anatisha wengine ni makiki tu kuimba awajui
jmn nmekosa like 😖😖 asante kwa #maumivu
😂😂😂😂
@@rebecahagaikatuba3551 kwanini unamcheka mwenzako jamani😂😂😂😂😂
Noma
Rebeca Hagai Katuba 😂😂😂 let's give him likes 😂😂
😂🤣🤣🤣
kayumba ww unajua tangu bong starsaech naye fnya vzr kwenye game ni we tuu hongera
Sema hizo rasta ndo umengoma kutoa Kayumba hapo kwenye rasta unayumba kweli sasa. kama umekubali hii ngoma sema huzikubali hizo rasta kichwani hapo gonga like hapa
🚵. 🚵. 🚵. 🚵
kali sana
Fuatilia kazi yake mwonekano haukuusu joh wanaume hatupo ivo
Wimbo mkali sana
@@digital21.13 hiy kaz yak unayo Sam niifatilie ndo imemfany aweke hivyo
1 kijana
@@digital21.13 true
Nakupenda Sanaa kaka yangu kayumba unanikosha Sanaa na nyimbo zako sauti yako ndy nadataaa
nakukubariiii hom boy, since day one mkubwaaa tunafanya yetuuu vs chibaaaaizoo
Kayumba hauna mpinzani Mzee bba
Kayumba we mkali Mungu azidi kukusimamia
Mwanangu sana #kayumbajuma👏👏👏
Nmeamini maisha ni sapoti za watu kuna wasanii hapo town wanachoimba akuna k2 lkn wako juu ila uyu dogo ni fundi sana ila naona kama watu wanajifanya hawaoni ivi ila ipo siku watajuwa kuwa kumbe kuna wasanii wakubwa 2 wanabebwa lkn akuna kitu kbc big up dogo kayumba kaza buti dogo
Safi san kaka angu usikate tamaaaa
Mashairi mazuri sana jmn like kama unakubaliana na mm
king music siku wakitoa nyimbo Kali hivi lzm Mvua ya mawe inyeshe
Abdul Mwanga acha ushabiki ww mavi angaria Toto
Umetish kk big up saaan
puuz kwel ww, hujaon nymb y masozi?? Tim king tutakuumza
Rudia tena kusema uyo utumbu wako
Nakukubali sana
Jamaa anajua sana Asantee kwa maumivu nami nimeyakubar 🤔🤔
The boy is vert talented 👏👏
Nakubali Sana kayumb
Jomba unajua kucheza na mioyo yetu dah Ngoma Kali zinavibrate kwenye Ngoma ya sikio tuu
Massiveness 🔥🔥🔥
Its very nice song be wonderful kayumba❤❤❤❤❤❤❤❤
Wcb plz take that boy🙏🙏🙏he is talented
Nic nic
Sana baba nakubali kazi zako
Not knowing a language it's a problem on its own, been looking for this song. Thanks to Shazam app.
Inauma sana kupata asiye kupenda ila Nita sahau bei
yani adi nalia. jinsi mashairi yalivo nigusa umetisha nakubali mara miaaaaa
kaz nzur kayumba
Hadi leo nyimboo hiii hua inanikumbusha mengu snaaaa toka ilipotoka big. Up sna kayumba
I m your fan from burundi bujumbura
Woooow iko nzuri sana
yessssss LEO nimekuelewa safi sana
Ww noma
Ww unajuwa
The real singer!!!!
Kayumba aisee bana napenda nyimbo zako sana jamani Kenya twakupenda big up mungu akuinue zaidi
2020 tunao iskiliza hii nyimbo weka like tujuane
🚶❤
❤napenda sana hue wimbo
Kichupaa konkii nyimboo konkii
Naupenda sana huu wimbo napenda sana kusikiliza nyimb za kayumba
kayumba uko vzr sana yani
Uko vizuri Sana nimeioenda sana
Edward Ezekiel iko good