Alihamdurillah amakweli subira inavuta kheri, na nivyema sana ili kupata kutafakari ili kutafuta muhafaka na huo ndio Uislamu mzuri na hatimaye utafiti wa ndugu Hamza ataeleweka nayeye atapata muda wa kujielewa yuko wapi na anafanya nini na nini kinaendelea kwa faida ya wote.Mungu anajuwa ni nini kinaendelea na tuombe atupe Ufahamu na suruhisho Amin.

Shukran kaka
Umeitengeneza vizuri sana
Ningekuwa na ruhusa ningei-upload kwa TH-cam yangu
Tunakupa ruhusa, malengo yetu ni ujumbe na sii vingine!
Shukran