MAJUMUISHO NASAHA ZA MWISHO KWA NABII FEKI..NA MASWAHABA FEKI WAKE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 507

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 6 ปีที่แล้ว +11

    Asante Shekh Jalala kwa nasaha nzuri kwa Ustaadhi Hamza,uislam ni Bahari kubwa anatakiwa asipime kina kwa macho.
    suala la Kumsomesha zaidi ni jambo la hekima.na la msingi!!
    Suala jingine ni kuhusu Watu wanaoweka maoni yao hapa.Hawazingatii maneno ya viongozi hawa wa dini. hivyo wao kujikuta wakitoa kauli zinazokinzana na matamko ya mashekh na wanazuoni waliopo katika jopo hili.
    Nimefuatilia kwa kina mjadala huu.hakuna kiongozi hata mmoja aliyemuita Hamza Kafirii.
    masheikh wote wameendesha mjadala pasipo neno kama hilo.sasa hawa wanaoandika huyu ni kafiri elimu zao zimewazidi viongozi hawa waliofanya kazi hii kwa hekima kubwa au?
    Nadhani tunatakiwa kuheshimu kauli za viongozi wetu,na kauli ya Muumin haiwezi kuwa ya mbele kisha ikafuata ya kiongozi.
    Tuheshimu na kutanguliza hekima hizi.
    na pia tujifunze ustaarabu huu wa kuheshimu hata watu wenye mwelekeo wa aina hii wa imani.wanachohitaji ni kuelimishwa na sio kutukanwa,au kubaguliwa.
    Hongera shekh Jallala kwa Hekima Nzuri sana.Mwenyezi Mungu akuongezee Busara na hekima.

  • @salimmauly1307
    @salimmauly1307 2 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante Sheikh Basaleh Allah akugifadhi

  • @harrishussein6992
    @harrishussein6992 4 ปีที่แล้ว +2

    Shekhe jalala nimekupenda kwa ajili ya Allah uko vizuri sana alhamndulillah

  • @mwenemaseko4921
    @mwenemaseko4921 6 ปีที่แล้ว +1

    angalia matusi ya waislam, wakristo hata umtukane yesu wala hawatukani au kukuombea mabaya wao wanaamini mungu ndiyo mwenye nguvu ya kuadhibu wenye kukufuru,hou ndo ucha Mungu,Mungu wabariki wakristo.

  • @salumuhafidhimtabe
    @salumuhafidhimtabe 4 ปีที่แล้ว +3

    Masheikh wetu wote mlioshughulikia jambo hili, nawapenda kwaajili ya Allah nimejifunza dini inahitaji kusoma kwanza. Allah atuongoze katika kheri In sha Allah

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 6 ปีที่แล้ว +4

    ATI YEYE NI NABII. HIYO NI ALAMA MOJA WAPO ALLAH ALOKUFEDHEHI.

  • @MbusaRayvanny
    @MbusaRayvanny หลายเดือนก่อน

    Asante kwamajibu nabii

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 4 ปีที่แล้ว +1

    MashaAllah barakat

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 7 ปีที่แล้ว +13

    Huyu hamza yupo katika walio teuliwa katika kusambaza dini mseto. Kufuru ni tendo mtendandaji ni kafiri

  • @drimazonechoice9822
    @drimazonechoice9822 6 ปีที่แล้ว +10

    Bangi na iman ukiviweka pamoja hilo ndo jibu lake huyo amekula dawa yaan bangiiiiii ni bangue mara paaa mimi nabiii...weee unabii na utume uko hukooo sio kwa waislam

    • @aminmohammed4249
      @aminmohammed4249 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyu inatakiwa apigwe kichapo cha mbwa mwizi kumfanya ubongo ukae sawa😂

    • @shahidhassani5986
      @shahidhassani5986 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @dulaabdallah6127
    @dulaabdallah6127 8 หลายเดือนก่อน

    Aliyedai kasoma sayansi hajui kuwa mwanzo wa nambari kihesabu ni sufuri ( zero-0) na SI moja😂😂😂😂

  • @salmafaraj9293
    @salmafaraj9293 6 ปีที่แล้ว +2

    Kwa mtizamo wangu hamza atakua amejisahau km kuna majini yanajua dini kwelkwel na yanasoma quran hasa mpk unashangaa na yakamvaa mtu yakamsemesha asiyoyajua mpk akaamini kua anachoambiwa ni wahi kumbe ni majini tu..wangapi wanaenda kwa waganga wanaambiwa unahv unavile na mtu akijitizama akamini ni kwel anavo hv vitu kwaivo huenda na yy akawa ana jini linampa hy maneno..maskini akajua ni wahi ktk kwa Allah kumbe ni majini..Allah anajua zaidi..kwa shauri tu akubali ende akasome kwa wasomi khasa..ili anusurike na hasira za Allah.

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 ปีที่แล้ว

    Elimu ya mungu si sawa na elimu ya kusoma. Ni vitu viwili tofauti

  • @allyabdallaally6853
    @allyabdallaally6853 6 ปีที่แล้ว +1

    Haa, sikusoma ila kwa elimu yangu ndogo najua katika uislamu mfumo wa maisha ya mwaadamu ulikamilika na Qur ani ilishaweka wazi kila kitu. Maoni yangu waislam tusome tusibabaishwe na wapuuzi hawa wanaohadaliwa na maisha ya dunia. Ndoto ni msitu wao tu. Lakini ukifuatilia vizuri maelezo ya ndoto zao ni uongo tu na zina mtiririko wa kishetani naomba sana tuwe makini hii ni dunia ya mwisho.

  • @adijarashidi1426
    @adijarashidi1426 4 ปีที่แล้ว

    Subhana Allah Allah anakuwa mawakristo mara yesu ni mungu mara ni mtoto wa mungu mara ni mtume wa mungu

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 ปีที่แล้ว +7

    Poleni Masheikh wa Tanzania kazi mnayo ya kutosha.

    • @raziaali5337
      @raziaali5337 7 ปีที่แล้ว +1

      Rahma Shaban in Sha Allah Allah atawawezesha .

    • @alialamoudi9729
      @alialamoudi9729 4 ปีที่แล้ว

      Wa tanzania wa najua dini sana hataweza kuongopa huyo mtoto hana kitu baada ya mtume mohamed mtume amesema stop dini lmekamilika NA nimekubali kua dini yenu uslamu sisi tunafata kitab NA suna ya mtume mohamed huyo kama yule snaitwa mussilma alkthab kuna moja habo zamani alidai kwa yeye ni mtume hiyo sio mara ya kuanza tanzania wanaelewa uslamu vizuri sana sana mashallah kuna sahwa kwa kwa dini sio mbali NA mashekhe ya alazhar huko misri ou maka msehangaika naye hajui kitu basi mfahmishe pole pole madam anamjua mungu NA mtume mohamed inshalla mungu atamuokowa

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 ปีที่แล้ว

    Hili neno la mwagizwa kusema ngoja nikamulize mungu .limewakwaza mashehe. Swali langu ni hili wao wakiwa viongozi wa jamii. Wanamuuliza nani kuongoza umati. Kama sio mungu? Kichekesho. Hamza sio wakwanza kuchukia na roho ya Eliasa. Eliya alivyonyakuliwa toho yake ilimwingia Elisha. Kwahiyo mungu bado anafanya kazi zake na wanadamu. Acheni husda. Aliepewa kapewa

  • @abuutheymiin5498
    @abuutheymiin5498 7 ปีที่แล้ว +1

    Innaa lillahi wainnaa ilaihi raajiun, huu munaqasha pande zote hazijielewi, kama masheikh wanaojiita ahl Sunnah wal jamaa wanajumuika na mashia'(makafiri) kiitikadi wanakaa pamoja kama wote ni waislam, ni mtihani mkubwa kupata uongofu, nasaha zangu watu wajitahidi kuisoma elimu ya kisheria lakini pia hao masheikh wakae darasani waisome aqidah, tawhid na Sunnah kwa ufahamu wa maswahaba, Allah awaongoze hao masheikh lakini pia amwongoze Hamza na vijana wake katika njia ya sawa, Allah mustaa'nu..

    • @ramadhansuleymani2236
      @ramadhansuleymani2236 7 ปีที่แล้ว

      Duh! huyo shetani anatisha.mashekh msiendelee kukaa nae mungu anaweza kuwashushia adhabu mkiwa woote hapo.

    • @mailacamillius
      @mailacamillius 6 ปีที่แล้ว

      SOMENI DINI KWA MAPANA YAKE. BADO HAMJAWA WASOMI, USALAFI NI UGONJWA.

    • @shebyabdullahzenjibary2584
      @shebyabdullahzenjibary2584 5 ปีที่แล้ว

      @@mailacamillius saf sana

  • @yassindeffu88
    @yassindeffu88 7 ปีที่แล้ว +7

    hamza itakua alipata laana Siku ile kanisan alipo udhalilisha uislam amesahau kua kila mwenye kuichezea din ya Allah Allah hakumuacha salam

    • @davidmbilinyi4198
      @davidmbilinyi4198 6 ปีที่แล้ว +1

      Yassin Deffu hata Paulo mtume alipookoka waislamu waliona Kama ni kichaa

    • @mgeniali1768
      @mgeniali1768 5 ปีที่แล้ว

      @@davidmbilinyi4198 ww na Amza yote bangi ilo

    • @othmanmuna3115
      @othmanmuna3115 4 ปีที่แล้ว

      @@davidmbilinyi4198 we ni kafiri lazima ufikirie kikafiri

  • @peterpeterthomas156
    @peterpeterthomas156 6 ปีที่แล้ว

    uko sawa Askofu Hamza, mungu akukumbuke na simamia neno la Mungu litokalo ndani ya biblia

    • @Alkaburu
      @Alkaburu 5 ปีที่แล้ว

      Peter wewe ni mnafiki hata yesu angekuepo asinge mkubali huyu jamaa hata biblia pia haijui

    • @muhammadmuhaznun380
      @muhammadmuhaznun380 3 ปีที่แล้ว

      Nyie ndowale wale wakupelekwa na akili za watu....

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 7 ปีที่แล้ว +6

    Yaani linakera hili jibaba na ho wapumbavu wajiitao maswahaba yanachefua kama nini. Ushauri wangu wa bure yaangalieni hayo yasitoke yakaenda vijijini yakaenda kupotosha watu.

    • @alexjackson9236
      @alexjackson9236 5 ปีที่แล้ว

      Matusi siyo hekima.....kasome adabu

  • @munguaibarikitanzanianawat9254
    @munguaibarikitanzanianawat9254 5 ปีที่แล้ว

    Asante kumpa kukweli

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 7 ปีที่แล้ว +1

    Akapimwe mwehu huyu jamaani nilikuwa nasikia jamani kuna nabii loo akapimwee huyu sie yule aliye shikishwa adabu huyu a si danganya watu eee fanyeni mpigeni mawe asijeakatuletea nakama ya allah subhanallah

  • @massawejacob
    @massawejacob 5 ปีที่แล้ว

    Mashekh kweli kweli mmechambua na kupata majibu toka kwa mwenye we. ....haya mim mtazamji na msikilizaji ..

  • @fatmashabani6628
    @fatmashabani6628 6 ปีที่แล้ว

    Jamani polen sana mashekh wetu mmechoshwa na kiumbe kisicho jitambua namuona kwanza asilimu upya alafu ndo aingie kuswali

  • @hassanilaki6899
    @hassanilaki6899 7 ปีที่แล้ว +4

    Imani bila elimu in hatari sana, huyu kazoea utabiri wa hali ya hewa sasa anavamia anga zisizomuhusu, yeye na swahaba zake wote wana asili ya ubishi, nyoyo zao zimejaa kutu. Kutubu si ujinga, watubu kabla saa haijafika.

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 6 ปีที่แล้ว

    Ww unajifananisha na nabii ilyas duh shetani mbaya kweli mwisho atasema yy ni mungu

    • @devidmagigejoseph385
      @devidmagigejoseph385 6 ปีที่แล้ว

      Ludacriss Rangi Ya Bank amini anayo sema yuko sawa na yatawahukumu ninyi wenyewe

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 ปีที่แล้ว

    Mungu anampa neno lake ampendae

  • @hawawezidianakukushusha756
    @hawawezidianakukushusha756 7 ปีที่แล้ว +10

    Mimi kwa jikivomuelewa huyu jamaa anatumika na dini nyingne ili alete mambo ambayo hatuna ktk uislam huko alikotumwa ndio kuna mitume na manabii kibao sio huku aache kupotosha umma wa waislam

    • @enockkaitila4681
      @enockkaitila4681 6 ปีที่แล้ว

      she he uko vzuri songambele mwenyez mungu you pamoja nawe, usiogope mwanadamu. (Amza)she he.

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 ปีที่แล้ว

      Umeona eee
      Mitume na manabii kibao kanisani huko na nguvu za giza

  • @mirajisalehe270
    @mirajisalehe270 6 ปีที่แล้ว

    Eliya Na Elisha .ila wao walifanya miujiza mikuu toka kwa Yehova mungu wa Mungu wa mbinguni .

  • @imamumponda276
    @imamumponda276 7 ปีที่แล้ว +12

    ndugu zangu mm nawaomba tuwe na subra huyu ana matatizo ya kishetani wa kijinni akisomewa ruqya atapona in shaa allah

    • @mumewangu7162
      @mumewangu7162 6 ปีที่แล้ว +1

      imamu mponda ana akili zake ni mpotoshaji tu huyu.

    • @furahinimbise1804
      @furahinimbise1804 5 ปีที่แล้ว

      Waislam mnakwama wapii? Quran 4;171, na 43;61...63, hii Quran ina wachanganya, Quran ni kitabu cha uongo.

    • @thamiyuucute7098
      @thamiyuucute7098 5 ปีที่แล้ว

      @@furahinimbise1804 jamaza kimyaa kitabu chenu mnoshika huku mnauchafu ndo kiongoo

    • @aishaothmanothman9486
      @aishaothmanothman9486 5 ปีที่แล้ว

      @@furahinimbise1804 muokope mungu wewe Bible nikitabu chauongo kabisa niliwahi kukichukuwa nikakikanyaga nasikudhurika wewe subutu sasa ukikanyage kitabu chamwenyezimungu ambacho niqur'an alafu uwone matukioyake

    • @furahinimbise1804
      @furahinimbise1804 5 ปีที่แล้ว

      @@aishaothmanothman9486 Quran ni kitabu cha Majini, huwazi kukilinganisha na Bible ambavyo ni Thorat Injili na Zaburi haya ndio maandiko Matakatifu hakijawepo kaajili ya kuwaletea wana wa Mungu mathara, Kama Quran

  • @rodagop9180
    @rodagop9180 6 ปีที่แล้ว

    Waislamu mpaka lini nyinyi ubishi tu,Yesu ndiye njia na kweli na uzima.

    • @tysonsamamba1593
      @tysonsamamba1593 6 ปีที่แล้ว

      Kama yesu amekufa wew uzima unautowa wapi

  • @govinsonlugano9226
    @govinsonlugano9226 6 ปีที่แล้ว

    Mungu ni Roho.mko mwilini sana ndiposa hamwezi kumwelewa Nabii Hamza amepewa unabii wa nyakati za Mwisho.na akili ya dunia kwa Mungu ni ujinga acheni mambo yakusoma sijui nini.Mungu anauwezo wakutumia hata mawe! Miti,samaki...Mungu mwenyewe akikuchagua ni Mwalimu atakufunza.Mnazingatia Dini dini.ubishi hamtaki kufanya utafiti.pia mjue utafiti bila Neema ni Bure.uyo ndugu Hamza Mtu wa Mungu amepata Neema kubwa.na hata tishika sababu amepewa Nguvu ambayo hamna macho yakuona.vitisho vyenu havita mgeuza msimamo anayo apo sababu ni Mungu amemchagua.

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 ปีที่แล้ว

    Mungu kamchagua Hamza mnaemuita haelewi ili awaibishe nyinyi mnaeelewa. Mungu hampi mjuaji neno lake(. Mafalisayo

  • @shabanigwasa55
    @shabanigwasa55 6 ปีที่แล้ว +1

    mashekhe hamza ni mwehu ,tena halimashauri take kichwa haiko sawa.

  • @halimahalim3816
    @halimahalim3816 7 ปีที่แล้ว +12

    Hiyo ni nabii wa manaswala na makafiri

    • @wechemakambo2182
      @wechemakambo2182 7 ปีที่แล้ว +2

      Kasema yeye ni Nabii wa Waislam na maagizo aliyopewa ni kuwaleta Tanzania Waislam wanaouana ili waje kwenye Amani kwa mujibu wa Dini yake na siyo Manaswara..Ikumbukwe hata Muislam asiyeswali swala 5,na kutofuata mafundisho ya Mtume wake kama kuzini,kuzaa nje ya ndoa nk ni Kafiri pia.

    • @zahaljamal4520
      @zahaljamal4520 6 ปีที่แล้ว

      Ww ndio kafiri mkubwa yesu ndiye mungu wa kweli kwa taarifa yenu waislam

    • @mussajangwa9106
      @mussajangwa9106 6 ปีที่แล้ว

      Kichwa chake ni muhimu sana
      Why mnakichelewesha??????

    • @mfaumejuma84
      @mfaumejuma84 6 ปีที่แล้ว +1

      Ww Hamza kaa chini fikiria Tena Hilo Jambo Kisha ufanye toba Mimi kwa upande wangu naona unakufu na sikushangai kwa kujipa wadhfa huo maana hata firauun alijipa wadhfa na mwisho wake unaujua ushauri wangu kwako fanya toba ama hamis upande was pili maana usiwe mafik Leo kanisani kesho mskitin ama hakika utakua unapata dhambi kwa kupunguza imani ambazo waumini wamezipigania wahadhaa salaam aleykum

    • @lusekelomwinsasu318
      @lusekelomwinsasu318 5 ปีที่แล้ว

      @@mussajangwa9106 je huyo wamuue kwa kutenda hayo je wewe ni mwema sana kuliko huyo unayetaka auwawe?

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 ปีที่แล้ว

    Huyo muulize maswali ana hasira ya kutekwa yesu hatutoboi shehe

  • @ukhtyheriethsylvester2044
    @ukhtyheriethsylvester2044 7 ปีที่แล้ว +9

    Unataka dunia nzima waje waiishi Tz una chakula cha kuwapa sisi wenyewe maisha magumu vichwa vina moto kutafuta pesa ya kukidhi mahitaji yetu ya kila cku. Naomba apelekwe hospital hana akili timamu huyu jamani msaidieni tafadhali.

    • @ramadhanishaibu96
      @ramadhanishaibu96 7 ปีที่แล้ว

      hahahaa

    • @aishadamla1822
      @aishadamla1822 6 ปีที่แล้ว

      UKHTY HERIETH SYLVESTER mshenzi mmoja anawaumiza vichwa sana wana wa zuoni mkateni kichwa !huyo

    • @mgeniali1768
      @mgeniali1768 5 ปีที่แล้ว

      @@aishadamla1822 😅😅

    • @demankidu_0093
      @demankidu_0093 5 ปีที่แล้ว

      @@aishadamla1822 aloh wanamuachaje uyuu

  • @hassanmohdallyally9552
    @hassanmohdallyally9552 7 ปีที่แล้ว +11

    Sisi wenyewe hatunaa sehemu yakukaaa halafu yeye anatakaa watu wote wajee hapaa tz watakaa wapi unaletaa ujingaa hapaa

    • @raziaali5337
      @raziaali5337 7 ปีที่แล้ว

      Hassan Mohd Ally Ally wengine twajiandaa kuja Tz😂😂😂😂😂

    • @fatmaally714
      @fatmaally714 7 ปีที่แล้ว +3

      kweli jamani mambo mengine sio yakumaliza miaka angepigwa angalau bakora 50 ngekua na adabu huyu shenzi.

    • @hassanmohdallyally9552
      @hassanmohdallyally9552 7 ปีที่แล้ว +2

      Fatma Ally hahahaha kibisaa maana fedhuli kwelikweli nabii anajazbaa uliona wapi mm ningekuwepo kweny hicho kikaoo nishampigaa makofii pumbavu huyo

    • @mwaijaelias4446
      @mwaijaelias4446 7 ปีที่แล้ว

      wewe kweli nitatizo hunasehem yakukaa wapi?wewe nafasi zipo kibao tutoke mjini!!!

    • @issaabdi9129
      @issaabdi9129 6 ปีที่แล้ว

      Wachina peke yao ALLAH atuepushe wakimiminika Tz sisi ndio tutakuwa wachache na tutaonekana wageni.

  • @saidmajeba9791
    @saidmajeba9791 6 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa,mleteni hospitali apumzike.Si njaa tu,bali njaa hii imeingia kwenye ubongo.

  • @mtanzaniahalisivideo2463
    @mtanzaniahalisivideo2463 5 ปีที่แล้ว

    SHIA SIO WAISLAM

  • @pettermasika9120
    @pettermasika9120 6 ปีที่แล้ว

    Mungu amekujalia kusema Ukweli usio pingika, kipaji ulicho pewa kimetoka kwa baba Mbinguni Shehe Hamza, haki ya Mwenyezi Mungu ambaye amini ulicho sema huyo ni wa shetani, Natambuwa Mungu muweza wa kila kitu yuko Ndani yako

    • @yahayasaidi3951
      @yahayasaidi3951 2 ปีที่แล้ว

      Mitume wengi wapo kwenye ukirto uku mtume mmoja tu mohamad

  • @aishaabubakary3271
    @aishaabubakary3271 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm naangalia hii mwaka 2021tangu2017 mbn hatujaangamizwa

  • @demankidu_0093
    @demankidu_0093 5 ปีที่แล้ว +1

    Watu woote duniani waje Tz kwel we fara rafk yangu,,, uyu ni wa kutoa kichwa tu tuzike

    • @pilimusa3217
      @pilimusa3217 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @shahidhassani5986
    @shahidhassani5986 4 ปีที่แล้ว +1

    Aende akawambie waarabu aone😂😂😂😂ww kama hatujakusahau...

  • @dismassamwel7130
    @dismassamwel7130 4 ปีที่แล้ว

    Amza amekuwa shujaa kukaa mbele ya wengi wanazuoni wasio amini ila ukweli kwa mimi Amza mimi nimemuelewa na nakubali kuwa yeye ni nabii ila kwa kuwa neno Nabii ndani ya uislamu ulifungwa mjadala waka kwa kujua kuwa Mohamad ndio Nabii wa mwisho kwa hiyo ni kazi ngumu sana waislamu kumuelewa Amza ila nawasifu kwa mjadala mzuri wa utulivu kwa kweli kwa ustaarabu nawasifu

  • @josephkiswili1955
    @josephkiswili1955 6 ปีที่แล้ว +3

    Mtume Mohammed alipo waendea wayahudi,wayahudi walimwambia .ututhibitishie.utume wako.Mohammed hakuthibitisha .

    • @عبداللهعليالبيتيسلفي
      @عبداللهعليالبيتيسلفي 6 ปีที่แล้ว

      Alithubitisha kupitia mti.alipoulizwa mti ukitembea na mizizi yake hadi sehemu nyingine.

    • @tysonsamamba1593
      @tysonsamamba1593 6 ปีที่แล้ว

      Soma kwanza kaka

    • @lusekelomwinsasu318
      @lusekelomwinsasu318 5 ปีที่แล้ว

      @@عبداللهعليالبيتيسلفي haahaaaa mti ulikuwa ukitembea na mizizi yake Kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine aya gani inasema hilo katika quran naomba andiko

  • @domykimata5768
    @domykimata5768 4 ปีที่แล้ว

    Nabii hamza aisee katisha sana inabidi ageuze mawe yawe mikate maana unabii sio mchezo sema hamza kwa uo unabii wako wa ulongo Allah anakuona

  • @kinyagajr2399
    @kinyagajr2399 5 ปีที่แล้ว

    uchache wa elimu unachangia sana kwa wengi ila ijulikane kwamba Mungu hufanya jambo kubwa mbele ya wanadamu kwa kutumia kitu kidogo sana.......

  • @laythatoman3945
    @laythatoman3945 7 ปีที่แล้ว +2

    Wew ayo yote unayo sema yalisha sema tangu mwanzo kur-ani haijaaacha kitu wew unaungaunga vipande vya maneno tu nenda uko kwaiyo

  • @absameosman9113
    @absameosman9113 3 ปีที่แล้ว

    ManshaAllah hyu sheikh alinifurahisha saxa mungu awalinde ma ustadhi wetu.... Bila nynyi kila mtu angekuja na ujinga wake.... Eti nn hukumu ya mtu anayepinga utume wako? Eti Hamza anasema Allahu Akbar nn unacheka sasa

  • @geraldluiso6792
    @geraldluiso6792 5 ปีที่แล้ว

    Aliyekufa kimwili hata rudi na mwili kwa sababu mwili ni materialistic ila roho haifi unaitwa existence. Na ndio ya chanzo ya kila kitu. Spiritual or soul or Existence is equal to GOD, more than everything than universe, Education is acquired knowledge and skills through study

  • @davidmbilinyi4198
    @davidmbilinyi4198 6 ปีที่แล้ว

    Mungu hawezi kuwahukumu kwanza mpaka awaambie kweli huyu kweli katumwa. imeandikwa kila goti litapigwa kwa Yesu

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 3 ปีที่แล้ว +1

    Fisi amevaa ngozi ya kondoo. Yafaa avae msalaba.

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 6 ปีที่แล้ว +6

    Mimi sitaki kuukumu lakini ni vyema mkasawazishana kupitia maandiko yanasema nini na yanataka nini.
    mnatakiwa kujua nani yuko sahii?
    maana Mungu ndie anajua kilicho chema maana kila Mmoja atapata hukumu yake siku ya mwisho.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 6 ปีที่แล้ว

      Frank Gamanueli, Qur-an na sunna imeshaeka sawa kwa dalili zilizowazi. Hana elm na hataki kusoma. Mtu anaesoma Qur-an km anasoma nn sijui hana hukm yeyote anaeitumia ktk usomaji wake. Vp ataeza kuitafsir kwa tafsir fasaha.

    • @lusekelomwinsasu318
      @lusekelomwinsasu318 5 ปีที่แล้ว

      @@alhamdulillah5796 waislamu jitathiminini sana msiwe wenye matusi tu huyo anasoma aya za quran bado mnampinga na kumtukana dini ya Mungu haiko hivyo kama unaijua kweli mfundishe maandiko ya quran au ndo dini kutukana matusi

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว

      @@lusekelomwinsasu318, Acha kujitia wazim ww kafiri mkubwa huyajui matusi nn? Au ulikua unataka asome anavyojua yy na afanye anavyotaka yy mitandaoni atizamwe tu asikosolewe? Na pia huyo kishaitwa mpaka na masheikh kufahamishwa na kuongozwa kwa dalili.
      Nyinyi makafiri mnaojitathmini mbona mlishindwa kumuita Mfalme Zumaridi na kumueka sawa mlipopaona anakosea na baada yake matusi haswa yalikua yakikutokeni mitandaoni na kumtukana na huku wakuu wenu pamoja na nyie mkiililia serikali imchukulie hatua za kumfungia?

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว

      @@lusekelomwinsasu318, Na nyie km mnaijua kweli hiyo dini yenu mlishindiwa nn kumfahamisha Mfalme Zumaridi akafaham yy na wafuasi wake wote wanaomsikiliza mitandaoni na kanisani kwake ili wakaujua ukweli na uongo. Ikiwa Mungu wenu ni mtu na yy Mfalme Zumaridi ni mtu vile vile. Kaa mbali na uisilam ww na kama unataka cha ku deal nacho kwa wakati huu basi deal na mfalme Zumaridi na sio yenu muyazime mbio mbio kwa mkono wa serikali na sio kiungu na busara halafu mtafute ya waisilam muanze kuyapigia kelele na kujifanya wasafi kwenye imani yenu.

    • @alhamdulillah5796
      @alhamdulillah5796 5 ปีที่แล้ว

      @@lusekelomwinsasu318, Au na nyinyi dini yenu ni kutukana matusi (mana na nyinyi hayo matusi mnatukana muangalie mfalme zumaridi, Nabii Tito, yule pastor alooa wake 3 nawengineo walivyotukanwa) na mnatukana na huku mkiililia Serikali kumfungia baada ya kumwita na kumueka sawa.

  • @vanlago7580
    @vanlago7580 5 ปีที่แล้ว

    Jamani nduguzanguni dini isambazwe vijijini maake watapotoshwa na huyu hamza issa mimi siwezi kumuita nabii kabisa maake huko vijijini kuna wengine hawajasoma dini mskini ya mungu

  • @danpalmer3650
    @danpalmer3650 4 ปีที่แล้ว +1

    Asulubishwe uyu ni Crazy

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa nichizi yaani vichwa vyote hivyo bado halielewi, halafu hako kajamaa kengine ndo kamenikosha ety kamempokea Hamza kisayansi nanamba 😂😂

  • @athumanisuleiman686
    @athumanisuleiman686 4 ปีที่แล้ว +1

    Dunia inamambo jamaani mungu atupe mwisho mwema

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 ปีที่แล้ว

    Ana hasira ya kutajwa yesu.kila got litapigwa mbele ya Yesu

  • @oscarharagakiza3922
    @oscarharagakiza3922 3 ปีที่แล้ว

    Asalam alaikum!inamaa askof hamza ,anajifanya anajua coraon,je?anajua tafsri ya kul ya hayul hayul kafirini?

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 ปีที่แล้ว

    Mungu huchagua vile

  • @abdallaaly1546
    @abdallaaly1546 4 ปีที่แล้ว

    yan ww ukija Zanzibar wa wallah me nakuuwa tu moja kwa moja paka wee kafiri ww mungu akuuwe uko uko kwenye upotofu asikuongowe

  • @halimahalim3816
    @halimahalim3816 7 ปีที่แล้ว +9

    Huyo bwana hamza mumpige marufuku asije haribu vizazi vyetu maana hajui chochote anabwabwaja akasome

  • @jadilaraphael3668
    @jadilaraphael3668 6 ปีที่แล้ว

    asanten masheikhhhhhhhh 😘😘😘🙌🙌🙌🙌🙌🙌 love you kwa xanaaaaa

  • @fatumashabanfatumawawapimy1157
    @fatumashabanfatumawawapimy1157 4 ปีที่แล้ว

    Mtihan kweli mwisho wa Dunia huu

  • @seifmatimbwa4379
    @seifmatimbwa4379 7 ปีที่แล้ว +6

    Viongozi wetu wa dini msaidieni huyu jamaa ana matatizo ya kisaikolojia

    • @raziaali5337
      @raziaali5337 7 ปีที่แล้ว +1

      Seif Matimbwa mwenyewe mkaidi atasaidiwa vipi😢😢😢

  • @hatibuulotu1918
    @hatibuulotu1918 7 ปีที่แล้ว +2

    We acha ujinga bwana,ww hujui dini,masheikh wanakufundisha unabishana, unajua mtume alisema utume umekoma ila munashiratun.....

  • @wechemakambo2182
    @wechemakambo2182 7 ปีที่แล้ว +6

    Nabii Ilyasa kajibu Swali kuwa je,ni nini hukumu yetu tunaokukataa juu ya unabii wako?
    Jibu lake limeniacha hoi kwamba "Nitaenda kuongea na Allah naye atanipa majibu juu yenu"...masheikh wakacheka.

  • @amenaallahawazidishieumrin6235
    @amenaallahawazidishieumrin6235 3 ปีที่แล้ว

    Ina lilahi wa Ina alai rajiun Yarabb tuepushe na ushawishi wa shetani

  • @jadilaraphael3668
    @jadilaraphael3668 6 ปีที่แล้ว

    hajui na hayo meno kam ngili, hv ww kaffir unatak kumkasrish Allah , hujui kun wauwaj tupo hap hatutak din ipoteeee

  • @لهيهالحكماني-ل8ن
    @لهيهالحكماني-ل8ن 4 ปีที่แล้ว

    😂😂saswahabazake wote wamechanamyikiwa

  • @jumaomarjumaomar2252
    @jumaomarjumaomar2252 5 ปีที่แล้ว +1

    Wallai huyu akiniubiria namjibu kwa mangumi👊👊👊 tu hiyo ndio lugha ataelewa yeye sio Nabii

  • @fatmaally714
    @fatmaally714 7 ปีที่แล้ว +6

    yaani ww hamza Issa nnahsira na ww kwanidhalilishia dini yangu na kunichelewesha kulala half umeshinda kutoa ushahid wa madai yako

    • @mtanzaniamzalendo7001
      @mtanzaniamzalendo7001 7 ปีที่แล้ว

      Fatma Ally jamani mwacheni amesema yeye ni nabii,

    • @zahaljamal4520
      @zahaljamal4520 6 ปีที่แล้ว

      Nenda huko na ww kafiri usiyemtambua yesu

  • @jimmyhabarugira4232
    @jimmyhabarugira4232 7 ปีที่แล้ว +6

    Huyu jama wakampime inawezekana anamatatizo ya akili

    • @salimakida95
      @salimakida95 6 ปีที่แล้ว

      Jimmy Habarugira nakuunga mkono kabisa ..simzima

  • @SaliminSwalehe
    @SaliminSwalehe 3 หลายเดือนก่อน

    Maswahba feeekiiiiiiiiiiiiiii namtume wao

  • @nooor1120
    @nooor1120 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwetu waislam hakuna mtume wala nabii mambo hayo yako kanisani manabii wa uongo na nguvu za kiza.
    Kwa waislam mtume wa mwisho ni Muhammad ndio maana hukuti waislam wanajiita mtume wala nabii km umetumwa kutuletea unabii na sisi waislam basi wambie hao walokutuma wambie wamechelewa.uislam Allah anaulinda na kitabu chake anakilinda

  • @khudheifamohamad1475
    @khudheifamohamad1475 7 ปีที่แล้ว +1

    Subhanallah mungu ainusuru dini yake ya uisilamu na waislamu wote kwa jumla, nawasihi waislamu wenzangu tujichungeni kwa mtu huyu asije kuwapotosha vizazi vyetu.SUBHANALLAH SUBHANALLAH SUBHANALLAH

  • @ellydarasy2060
    @ellydarasy2060 4 ปีที่แล้ว

    Hawa watu chimbuko lao ni uislam wote hawa ama inakuaje. Mtihani.

  • @stevenkayumbo7883
    @stevenkayumbo7883 3 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @victoradrian6907
    @victoradrian6907 5 ปีที่แล้ว +1

    Science haiwezi kutafsiri Biblia kwa wewe jamaa unayetoa tafsiri ya Luka 1:17, tambua maelezo yako yamejawana ufahamu mdogo sana, mambo ya Rohoni hayatafsiriwi na mtu wa mwilini, Pia kujua hesabu siyo kujua maandiko.... nimekusikiliza kwa makini sana naona majivuno tu ndani yako na ufahamu mdogo sana wa Biblia.....
    Mimi ni Mkristo lakini nasaha alizozitoa huyo Shehe kwa Hamza nimejifunza jambo, ana hekima sana. Ipo hatari kuzungumzia dini ya mtu kama huijui. hata mimi siwezi ongelea uislamu kwa sababu tu naweza kusoma tafsiri.

    • @namwanjafakii8156
      @namwanjafakii8156 4 ปีที่แล้ว

      Ww waislam wanajua biblia kuliko huyo papa wako, mbwa ww!!!

  • @yasmensalko7535
    @yasmensalko7535 7 ปีที่แล้ว +4

    ukapimwe mbwa wew unanichefua

    • @hajimohamed9711
      @hajimohamed9711 4 ปีที่แล้ว

      Yasmen Salko 😂kweli kabisa wakuchinjwa huyu kama kuku hii zaidi ya shirk

    • @shahidhassani5986
      @shahidhassani5986 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂litakupa tuh kesi achana nalo Allah atajua chakulifanya

  • @mgeniali1768
    @mgeniali1768 5 ปีที่แล้ว +3

    Ww kama Nabii kweli njoo Kenya mombasa ndio utajuwa Ww kama unabii au ni Ibilsi

  • @tracykibetjames7120
    @tracykibetjames7120 4 ปีที่แล้ว

    Unanishana na wayaudi

  • @deathrow8004
    @deathrow8004 5 ปีที่แล้ว

    YALE YALE YA PAULO KAWAUA WANAFUNZI WA IYSA IBN MARIAM KAKIMBIA MJI KISHA KADONDOKA KUTOKA JUU YA KIPANDO CHAKE ..AKADAI IYSA KAMTOKEA KTK NDOTO NA KAMPA UTUME..NDIO ALIYEKUA WA KWANZA KUIHARIBU INJIYL YA IYSA ALEYHI SALAM...

  • @domykimata5768
    @domykimata5768 4 ปีที่แล้ว

    Atakuwa uyu shekh hamza kavuta bangi mbichi aisee

  • @nazonahdi9993
    @nazonahdi9993 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah mashallah nimewapenda sana MA shekh mmempa ukweli pk chizi huyo hamza lahna tula allah anababaika kuongea safi sanaaaaaaaaaaa😘😘😘😘

  • @onlyeyes5471
    @onlyeyes5471 5 ปีที่แล้ว

    Huyu akatwe kichwa wallahy Kama angekuwa enzi za Omar bin khattab kashamkata kichwa zamaniii

  • @sxmxonlysamx5036
    @sxmxonlysamx5036 7 ปีที่แล้ว +1

    Huyo nimwehu anastahiki kuchinjwa tuu na piga bangi huyo akatwe kichwa tu.

  • @hamisikulola8481
    @hamisikulola8481 6 ปีที่แล้ว +1

    quran 10:94
    yani wewe naona imetengezwa na wanasabato. aya inasema
    "na kama ewe Muhammad una shaka na haya tuliyokuteremshia basi waulize wale ahlil kitabu "
    lakini wewe elimu yako ndogo Quran yote hakuna aya Hata moja mtume kawafata ahlil kitabu kufata Ushauri nasaha wa Quran. hicho cheo cha kujibandika kwa waislamu Twakuona una mapungufu ya ilham

  • @zahaljamal4520
    @zahaljamal4520 6 ปีที่แล้ว

    Hata mukihukumu MTU duniani munajisumbua muogopeni yesu anae uwezo ukifa anauwezo wakuangamiza roho na nafsi jehanam

  • @zubedadaudi205
    @zubedadaudi205 4 ปีที่แล้ว

    Duuu jamani mpaka hapo uyo sio nabii ila tu... inawezekana aikuwa na pepo inabini tu..mmombee arudi kwenye mstali wa dini ya ukweli kwake ....🙏

  • @burhanishariff8344
    @burhanishariff8344 7 ปีที่แล้ว +2

    Nabii gani hata kusoma qoran hajui huyo ni kafili katumwa na makafili wenzie

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 2 ปีที่แล้ว

    Msikuze mambo utume ni kutumwa au kuagizwa. Nyinyi ni nani na wakati mtapiga goti mbele ya Yesu

  • @mtanzaniahalisivideo2463
    @mtanzaniahalisivideo2463 5 ปีที่แล้ว

    HAMZA AACHANE NA KAZI HII AACHE KUMSINGIZIA ALLAH KUWA KAPEWA UTUME NJAA ZAKO ZITAKUANGAMIZA ACHANA NA HIYO KAZI QURAN YENYEWE HUIJUI

  • @salimalmahrizi395
    @salimalmahrizi395 7 ปีที่แล้ว +5

    Huyu HAMZA analipwa na Makafiri KUCHAFUA uislamu.lakini kesho atakutana na Allah ajieleze.anasikitisha.

    • @mtanzaniamzalendo7001
      @mtanzaniamzalendo7001 7 ปีที่แล้ว

      Salim AlMahrizi Nani anamlipa ndgu .Hyu ni hisia zake tuu, watu km hawa watakuja wengi sanaa,ndio dalali za cku za mwisho

    • @yohanamwamkili4397
      @yohanamwamkili4397 6 ปีที่แล้ว

      Kwaio ww hautakutana na huyo allah? Na ulipo hapo hauna dhambi yoyote, unajua nyie watu wepesi sana kuwalaan wenzenu, kafir kafir sawa wao kafir nakuuliza ww sana , huyo allah hautakutana nae siku ya kiama? Ni hamza tu ndio anasubiriwa na allah au sio? Acha ujinga ww kazana kutubu dhambi ya mwingine mwachie alie muumba

    • @zainabrashid9391
      @zainabrashid9391 6 ปีที่แล้ว

      Salim AlMahrizi kweli itakuwa analipwaaa co bureee

  • @mudhihirinjonjolo5620
    @mudhihirinjonjolo5620 2 ปีที่แล้ว

    Khalafu Bwana Hamza akakosea khadithi na akakiri mwenyewe kwamba "Mimi si mjuzi sana wa Kiarabu".

  • @ibbu-tz
    @ibbu-tz 7 ปีที่แล้ว +9

    Huyu Hamza si mzima.

    • @omanfox5762
      @omanfox5762 6 ปีที่แล้ว

      The Prince Huoni hata haya kusema uongo huo ni uongo uliokidhiri

    • @davidmbilinyi4198
      @davidmbilinyi4198 6 ปีที่แล้ว

      Ibbu Daud huyu hamza waislaamu Hamna uwezo wa kumuelewa mpaka mkimkubari yesu

    • @nooor1120
      @nooor1120 3 ปีที่แล้ว

      @@davidmbilinyi4198 yesu tunamuamini km ni mtume lkn hatuwez kuamini km ni mungu
      Yeye mwenyewe kishakiri ni mja wa mungu sasa nyie mnamngangania nini lazima awe mungu?

  • @Alkaburu
    @Alkaburu 5 ปีที่แล้ว

    Hamza kazaab bora Angeanzisha dini mpya ingekua rahisi sio kudai utume kwenye dini iliyo kamilika

  • @geraldshoo290
    @geraldshoo290 5 ปีที่แล้ว

    Nyiye subirin moto kwaulongo wenu