Matangazo ya Dira ya Dunia TV Alhamisi 06/02/2025

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
  • Kundi la waasi la M23 limeandaa mkutano wa kisiasa katika mji wa Goma waliouteka wiki jana.
    Na taarifa nyingine nyingi.

ความคิดเห็น • 9

  • @BarakaKusalula
    @BarakaKusalula 54 นาทีที่ผ่านมา +3

    Kwa ninavyoona wauaji wa raia ni wanajeshi wa Congo wala siyo waasi ni watu wazuri na wanapenda sana watu wao

  • @husseinpatel2956
    @husseinpatel2956 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hawa ni wanaarakati nasi waasi kama wanavyo chukuliwa 🌙🧐🧐

  • @bagumaisaac4220
    @bagumaisaac4220 32 นาทีที่ผ่านมา +1

    Tume hitaji m23 itawale congo nzima kwani utawala waupaguzi tumeichoka mungu ulibariki m23

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    HAWA SIO WAASI HAWA NI WAPIGANIA HAKKI

  • @BONIFACEPETER-p5e
    @BONIFACEPETER-p5e 27 นาทีที่ผ่านมา

    Africa must collaborate together to search for peace and security

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 8 นาทีที่ผ่านมา

    Tulio ona mbali, tuka waunga mkono m23 na Paul kagame, watu waka tutukana sana, usipo watendea haki WATU, wataitafuta haki kwa njia yeyote ile, watu wanachoshwa na dhulma, na mambo ya ufisadi uliokithili nk.

  • @frankbrandan5127
    @frankbrandan5127 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna haja ya africa kutawaliwa upya kwakwel yan hawa jamaaa wana watu nyuma yao sio kawaida

  • @KisakaShimbo
    @KisakaShimbo ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acha kuropoka nani ka kuambia niwa as wakiisilmu acha chuki na usilamu