LATRA yatangaza nauli za Treni ya Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Makutupora

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @SelinaChares
    @SelinaChares หลายเดือนก่อน

    Mbona elf31 haipo inaanzia elf40 elf80 na elf90

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 2 หลายเดือนก่อน

    Nauli kumbwa sana ni bora kupanda bas ukiwa unaenda singida kwa hiyo bei

  • @butotanto
    @butotanto 3 หลายเดือนก่อน

    Kwa sisi watu wazika ni watoto zaidi ya miaka 12?

  • @lajumaofficial521
    @lajumaofficial521 3 หลายเดือนก่อน

    Si mbaya sana lakini nauli zingepungua kwa kilometer kadri umbali unavyoongezeka.

    • @lawimanumbu5103
      @lawimanumbu5103 3 หลายเดือนก่อน

      Sawasawa na mabasi hakuna tofauti

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 3 หลายเดือนก่อน

      We mwehu kweli, DSM mpaka Dodoma Kwa basi nauli shingapu?​@@lawimanumbu5103

  • @LeocardiaNyakia
    @LeocardiaNyakia 3 หลายเดือนก่อน

    Safi Sana 😂

  • @filbertdamiani101
    @filbertdamiani101 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie latra mnamwangusha mh rais, mmeshindwa kudhibiti nauli ,mmewaachia wapiga debe wawatoze abiria Bei kubwa ,huku mkiwaadhibu wamiliki. Mnatunga kuleta mifumo isiyotekelezeka na nyie mmeshindwa kuweka utaratibu kwenye vituo vya mabasi. Nauli ya elfu 10 inatozwa 20 na mmiliki anafikishiwa elfu 7 kazi yenu ni kumbebesha mmiliki mzigo ,ndo maana sekta ya usafiri haipafom kwaajili ya mifumo mnayoleta bila kuandaa mazingira.

  • @brownjulius8514
    @brownjulius8514 3 หลายเดือนก่อน +3

    Sahihi Sana nauli ziko poa sana

    • @NM-yl2uw
      @NM-yl2uw 3 หลายเดือนก่อน

      sio nauri ni nauli

  • @ramadhanikawe7842
    @ramadhanikawe7842 3 หลายเดือนก่อน +2

    Ahsante kwa taarifa njema

  • @joachimluhamo3042
    @joachimluhamo3042 3 หลายเดือนก่อน

    Tanzania tuna wasomi wajinga sana . Hizo nauli mmewaangalia watu wa Dar na mijini tu ila wa vijijini hamjawaangalia . Kwa mtu anayetoka dodoma vijijini hyo elf31 ni nyingi sana kama dodoma tu ni elf31 hiyo kigoma si itakuwa70

  • @amanijampion3045
    @amanijampion3045 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nauli kubwa. Toka Dar mpada Dom 30. Wakati mgr ni hiyo hiyo

    • @omarybakunda2554
      @omarybakunda2554 3 หลายเดือนก่อน

      Panda baiskeli

    • @davidanselmo4041
      @davidanselmo4041 3 หลายเดือนก่อน

      Kapande mgr😅

    • @Emilykid7
      @Emilykid7 2 หลายเดือนก่อน

      Koulitaka ipungue we jau

  • @salmamohamed1506
    @salmamohamed1506 3 หลายเดือนก่อน

    Safi sana raisi wetu wa tanzania tunasema asante watanzania ote

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa leteni chombo hicho tuanze kupanda

  • @zuhuraomary2782
    @zuhuraomary2782 3 หลายเดือนก่อน

    Ziko poa ni affodable

  • @athumaniamiri880
    @athumaniamiri880 3 หลายเดือนก่อน

    Nauli iko vizur mashallah

    • @amanijampion3045
      @amanijampion3045 3 หลายเดือนก่อน

      Nzuri wakati huu ni umeme. Inaenda sawa na diesel

  • @luswagawamba2232
    @luswagawamba2232 3 หลายเดือนก่อน

    Nauli kubwa sana

    • @mimiraia2531
      @mimiraia2531 3 หลายเดือนก่อน

      Tembea kwa miguu

    • @ulimbombonaulindi5088
      @ulimbombonaulindi5088 3 หลายเดือนก่อน

      shirika linatakiwa lijiendeshe kibiashara, nauli ziko reasoble kabisa. Pia kuna option ya basi na treni ya zamani unaweza kuchagua iliyo nafuu kwako.

  • @SudyySuday
    @SudyySuday 3 หลายเดือนก่อน

    Nauli kubwa sana

    • @davidanselmo4041
      @davidanselmo4041 3 หลายเดือนก่อน

      Kapande basi nyoko 😅

    • @abelg2488
      @abelg2488 3 หลายเดือนก่อน

      Mbona bei nzuri kabisa. Ikifanya poa kwa ratiba itatufaa mno

    • @edwardmakula1797
      @edwardmakula1797 3 หลายเดือนก่อน

      Okoa muda