SOMO : MAONO NA NDOTO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ส.ค. 2024
  • NAMBA ZA WATUMISHI +2557885920, +255684380949, +255786730894. KANISA TAKATIFU LA YESU KRISTO CHAMAZI - DAR ES SALAAM TANZANIA KARIBUNI SANA.

ความคิดเห็น • 12

  • @neemapetro6168
    @neemapetro6168 หลายเดือนก่อน +1

    Ninazidi kukutukuza BWANA YESU Kwa kutufundisha kweli ya Neno lako,Nimejengwa Sana.

  • @emmanueltilya7738
    @emmanueltilya7738 หลายเดือนก่อน

    Amen sana , ubarikiwe Mchungaji kwa somo Zuri

  • @GRACEOFJESUSCHANNEL357
    @GRACEOFJESUSCHANNEL357 หลายเดือนก่อน

    Hallelujah hallelujah ameeen

  • @user-ny8dy7rd1l
    @user-ny8dy7rd1l หลายเดือนก่อน

    Ameeeen

  • @sarahmdindile4301
    @sarahmdindile4301 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu amekuwa akisema sana nami kupitia ndoto , kuna siku niliota niniataka kuibiwa kwenye kazi yangu ya uwakala wa M-Pesa hazikupita siku mbili nilitaja kutapeliwa kweli yani ilibaki tu kidogo nitapeliwe milion 2 Mungu ni mwema sana kabla kitu kibaya hakija tupata anatuonyesha kwanza

  • @catherineawinja7417
    @catherineawinja7417 หลายเดือนก่อน

    Amina

  • @happynesjohn9005
    @happynesjohn9005 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa MTUMISHI WA MUNGU

  • @GacoboAdolph
    @GacoboAdolph หลายเดือนก่อน

    Asant San YESU KIRSTO

  • @neemapetro6168
    @neemapetro6168 หลายเดือนก่อน +1

    Kweli ukiona watumishi wanazuia maono au ndoto ujue hapo ni mawakala wa shetani wanaogopa watafunuliwa na kuwekwa wazi, maono na ndoto NI Neno la MUNGU, huu ni ukweli sitapuuzia maono au ndoto.

  • @user-sd4yc7gb8c
    @user-sd4yc7gb8c หลายเดือนก่อน +1

    Unapata wengine wanasema wao hawaamini wala kufuata ndoto na maono eti wanaofuata n wajinga wao wanafuata maandiko.Ili hali nusu ya biblia n ndoto na maono,agano la kale hadi jipya

    • @sarahmdindile4301
      @sarahmdindile4301 หลายเดือนก่อน +1

      Hizo ndoto na maono pia vimeandikwa ndani ya Neno

    • @user-sd4yc7gb8c
      @user-sd4yc7gb8c หลายเดือนก่อน

      ​@@sarahmdindile4301Yes,halafu unashindwa n neno gani wanalodai kwamba wanalisoma?hivi kweli n neno la mungu ama hadi mtu anatukanana(wanaofuata maono na ndoto n wajinga)Hii ndio sababu iliyomfanya Paulo kusema wanawake wakae kimya kanisani,maanake wako na kiburi,husifikiri eti kuna dhambi anafanya au itakayo tokea yeye kusimama kuubiri au kunena kanisani,la, wao hukosa nidhamu n kutawaliwa na kiburi mungu atusaidie