AHMED ALLY "SIMBA SC KUFANYA USAJILI MKUBWA" | KIBU NI MALI YA SIMBA SC TUMESHAMALIZANA.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ค. 2024
- Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika
Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv - กีฬา
Hili ndilo semaji letu la ki professional ❤️kibu ni simba na simba ni kibu 🤗
Nakukubali sana semaji letu
Ahmed ❤️❤️❤️🦁💪🤲🌹🌹🌹
Hii akili haifai kupimwa akapimwe mkojo😂😂😂😂😂
Kwenye kusifia usajili sitakuamini tena mmakonde mwenzangu.
Kabla hamjaondoa wachezaji ondoa kwanza viongozi wasiofaa.
Hapo hueleweki ulisema ubingwa ni lazima Leo tena unasema msimu ujao utachukua kumbuka Young African sport club mpaka 2035
Tumuombe mnguu
Mpango wa kudanganya mashabiki wacha ulituambia Fred funga funga leo kawa mitembwe
MBONA Kwa Aziz,Djuma SHABAAN,AUCHO,Max, mlichemka Kwa Yanga?
Ni kweli wanafanya kazi kubwa yakuishusha daraja Mtibwa Suger😅😅😅
❤❤❤❤🦁
Tumechoshwa na maneno mengi hio inajirudia
Simba usajili tuna pigwa
Huyuu professional tapeliiiiii
Kwer nimeamin semaji letu nicomedy ww upo Simba unatumia gar gan?
Ikitokea Aziz Ki kaja nitafika Dar kumpa shikamoo Mo
Kuwa mkweli Ahmed. Viongozi wako sio. Zero
Wewe unautoto kweli, umesoma chuo gani cha habari, acha commedy, speak with fact na acha kutulewesha na maneno.
Israel Wacha wivu ww 😝
da semaj inabid simb viongozi wasajil wachezaj wenye ubora
Daslamaa😂😂
Unavyompandisha huyo Kibu utadhani ni kama mchezaji wa kiwango cha juu sana,kumbe galasa tu🤣🤣🤣
Huyuu na yeye muongo sajili za simba sku zote n failure
Itapoteza mda wako hahahaha Aziz mlimshindwa kabla Sasa mnakuja kumuweza Sasa hivi jaman
Anatamani kujicheka mwenyewe,😅
Hili limekuwa jinga nalo
Semaji unajitahid kweli kuipambania Simba ipate utulivu na washabiki wasisuse kuja kiwanjani mnauwezo nyie kumsajili Azizi k mbele ya hersi said nyie?kwa uongoz gan?au unatfta kiki tu?
Hakuna uongozi hapo simba wote matapeli watupu wapi Kwa ajili ya faida Yao
Wewe Ahmed umefeli toka umeingia simba hatujafanikiwa
Semaji usijitoe ufaham mlimtaka azizi k, Max,pacome saiv wapo wap?
Realy comedian
😂😂😂😂 Ahmedy Ally Umenifurahisha Sana
Hahaha ni kweli kabisa hao wana school bus
Fanya kazi upate fedha hayo usemayo nikujimwambafai2
Aziz K au kwa Aziz Ally,harafu na yy anataka afanye kama Yanga wanavyofanya kwa Chama.Yanga huwa wanajifanya kama vile wanamtaka kweli Chama Ili wampandie dau,lakini Yanga hata hawana mpango naye🤣🤣🤣🙆
Huyu ni pakunyea
NA KWELI SIMBA SIO YA KAWAIDA INAWANIA NAFASI YA 3
Viongozi Hawa Hawa ndio unawasema wako makii
Dishi limeyumba
Simba nguvu moja
Nguvu ya uchawi siyo!!!
mashine ya kuongea 😅
Mm naona. Simba iliwapate mafanikio. Kwanza waachane na msemaji huu. Wakuropoka. Anatuumiza sana. Sisi Simba.
Anakuumiza peke yko sisi tunampenda
Binadam bhn aani akikaa kimya mnasema kapooza saiv kachangamka mnamuona jau tuwaelewejee
Joti si nafuu ---- huyu jamaa tatizo inawezekana DISHI LIMECHEZA --- yaani Yanga wahangaike na mchezaji mwenye goli moja --- atacheza wapi pale Yanga --- eti AZIZ KI ,yaani hata kama mumlipe bilioni 2 kwa wiki hachezi Simba.
Saasa ramaaa🤣🤣🤣
Daaah... Ahmed Ali hachoshi bwana...😂😂😂😂
Sifa ya,Club sio magari wala majengo bro ni ubingwa je wee ni bingwa mara 30 ?🥰🤩🥳funga 🤐 wako
Mimi naona huyu msemaji wetu ni kama joti tu
😂😂😂
Sawa
😂
Kwa loss gani
😂😂😂😂huwa ananichekesha sana huyu jamaa
Ahmed kweli akili hana
Wewe mwenye nazo nenda kamgawie ......Acha chuki za kuku tetea
Ukute wewe ndio mburula haswaa
Ko wewe chizi kumiliki gari Kari ndo kiwango chakucheza et ?
Ao viongozi wa simba fukuza wote
Fanyen yote lakin mgunda mwachen kamaalivyo msimletee mtu kabisa
Haha 😂 wew subiri yakutokee puani kwa KIBU na CHAMA
Aaa wapii
Oyaaaaa 😂😂😂hata msemejeeeee This guy is the Best spokesperson of all time ❤❤❤❤🦁🦁🦁🦁
Nakukubali sana
Hivi bado hujaacha mbwembwe za kitoto kama hizo?
SIMBA SPORT CLUB ❤❤❤❤WAKALI WA KARIAKOO, AISHII MPAKA IISHE
Shoga huyu
Mpe kitundu halafu ndio utaujuwa ushoga wake ibilisi mkubwa wewe.
Ulaniwe Kwa ujinga huo
Acha mitusi, kwanini unamtukana mtu?
Anajifurahisha eti Aziz huyu kichaa
Kwan Aziz awez kuchezea simba
Aende instagram page ya Aziz k mwenywe aona kile alichokiandika Aziz k sio anaongea tuu 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Semaji kama semaji nakubali sana
Huyu msemaji sijui ni kiongozi gani aliyependekeza jina lake.
VITA HAMUIWEXI MTAPIGWA 7-2 KWENYE USAJIRI
CHAMA MBONA MPAKA SASA MMESHINDWA KUMSAINISHA...
Maana vyote anavyosema hapo havina maana hata kidogo ndio maana try again akasema mambo ya ovyo yanasemwa na msemaji sio wao viongozi wa juu
Unakopi na kupest mlivyo chomeshwa kwa KIBU Miguvu na mabiyo tuu msim mzima goli MOJA m760 kwa miaka miwili uzwazwa uliopitiliza 😂😂😂
Hao watatu chama saido chinga hao ndio wanaalibu Simba waende zao washachoka na hao ndio wanashawishi mgomo waende zao
Huyu naye ni kikwazo kwa Simba ila wenyewe hawajui
KAWAIDA YENU KUNYAKUA WALIOHURU...
Mana sajiri Kisha utopolo Wana waroga huonelana wachezaji magarasa ndio manapo feri
semaji la msimbazi nakubli
Huyu ndio msemaji hakuna anae mfikiya ukitoa mandala anafata huyu...
NA KWELI SIMBA SIO YA KAWAIDA INAWANIA NAFASI YA 3
Simba nguvu moja
Da kispika anatengeneza majibu mepesi ya SAIDO