HIGHLIGHTS: MAGOLI YOTE SIMBA SC {4} VS GEITA GOLD {1} | LIGI KUU YA NBC 2023/24
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 20 พ.ค. 2024
- SUBSCRIBE NOW:
▶
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC TH-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - กีฬา
jameni naombeni like ya ushindi
Simba naipenda hata wasipo fanya vizuri mm nawakwao tu ❤❤❤❤❤
Kwakweli hatuna namuna
Simba hata akonde vip hawezi akawa kuku asant mnyama nipo ichin kwetu burundi❤
Mmmh safi San Wana Simba
Simba ❤❤❤❤
Nalipenda sana chama langu mgunda wasimbadilishe❤❤❤
Yaani CHASAMBI ni SAKHO mtuupu😂😂😂😂❤❤❤
Ahaaaaa umeona hiro yani sako❤
Hata Mimi nilikuwa nafikiria hivyo hivyo 😅😅😅
Hapo bado hajaiva yenyewe❤ msimu huu atazid kukomaa😊
Kweli kabisa
Simba uta Baki kuwa Simba
❤❤❤❤
Sitaki mtu alike comment yangu.Ukilike nakutumia jini 😮
Wakwanza leo naomba like zangu🙏🙏🙏
Uzipeleke wapi
@@ibangyeselemani1566halaf ni mwanaume na mindevu yake anaomba like😂😂😂
Ya kwangu umeipata?
dogo chasambi ni asset! our future hero
Goood
God is good tumeeshinda
Pasi za mzamiru leo nmezielewa🤔
Walijifanya wanatuweza kilichowakuta hawatosahau#THIS IS SIMBAAAAA
Umetisha chasambi
Unyama sana
My team 💖
💯💯💯
Yaani angekuwa benchika mpaka Leo tusingeona vipaji vya vijana wetu wa kibongo.. aliwadharau sana..
Hakika mkuu
Kwakweli
benchika hakuwa kocha sahihi Kwa simba
Kweli kabisa
Jaman mashabiki wenzangu... Kama ninavyosemaga siku zote kua simba ni mgunda,,angalia leo tunapata matokeo mazuri na mashabiki tunafurahi sana,halafu nyie viongozi mjifanye kujua mumtoe halafu mumlete mwingine sasa hapo ndo mtajua hamjui!!!!
Chasambi nomaa ni moto mwingine❤❤
Mzamiru moves like matrix
Ni pasa mzuri zaid ya babakar SARR
Mgunda ni kocha na nusu mkataba ni stahiki yake
Wa kwnz unyamani
Hedden Hazard CHASAMBI..
Simba nguvu moja🎉🎉
Mgunda ndo kocha anae stair apa simba
Halafu hawa Utopolo wanaoshangaa Simba kugombania nafasi ya pili na Azam hawajui chochote kuhusu football
Saidoo kaanza kuwa mnyamaa... (yani Saidoo sio mchezaji mbaya sema inabidi acheze wing.. Sio namba 10.
kwel kbx
Hapana aondoke
Haiwezekani mwisho mwa msimu ndo akaze kiukweli tumeteseka
Muuzeni kibu mshahara aongezewe chasambi
Wa 3 leo
Kwani wakati simba anachukuwa ubingwa misimu iliyo pita nyie mlikuwa mwagombea nn huna akiliww
Ibr up
eee bas me chasambi ni mali 😂 ..simba for life🎉
Chasambi on fire
Tff wangebadili point jamani 25 wabaki ligi😢nawaonea huruma hawa na mtibwa😮
Mgunda anaiwexa simba
Simba dam dam paka kiyama ila viongozi kwangu sina imani nao
🎉
Jahahaaaaaaaaaaaaa kombe la nafasi ya tatu nakununua magoli kupitia Mzee
We naye kojoa ukalale usiku umeingia, kwamba wananunua, nyie si mmekumbatia kombe, wivu wa Nini tena? Hata kwenye nafasi ta tatu unaumia? Limwanaume ilizima akili suruali.
Onana control ball
kweri
Camera ziko poa sana
Asnt kwa kuwaisha kupost hii iendelee tukuze chetu
Azam nao wanazingua kwenye highlights wanatumia mda wingi kuonesha matukio yakupoteza mda tu vitu muhimu awavionesh
👆naamn me tutakuwa Bora Zaid wanalunyasi ❤ ✍️ Mabetu &Co
Kapombe hakuna kitu Sasa hivi
Kacheze wewe sasa utuonyeshe ulichonacho falawewe
Mlete mamaako ajaze nafasi hiyo
Viongozi wa simba Mgunda huwa wanamwonaje????
Mzamiru, Kapombe na Captain, walindwe sana wasiondoke, CHASAMBI na Karabaka wakiungana wana hatari, msisahau Saidoo aende, amekosa nafasi sana ndio katufikisha hapa hatujasahau
Kapombe apana kabsa
@@user-je7gr4jv8o anajituma sana ila tuu madogo wanamkazia aseee
Kapombe hapana
Husen Abel ana changamoto moja anapenda kumeza mpira badala ya kupiga uende mbali mwisho wa siku mpira unangukia sehemu hatari zaidi, mechi dhidi ya Dodoma alifanya hili kosa bahati nzuri beki alisawazisha makosa yake
Kipa mzuri bwana😢 hapo alikuwa anaudaka ukateleza ni mistake ya kawaida
@@bellenoe414 Sijasema kipa mbaya nimezungumzia hio mstake kwakua imejirudia alifanya hivo kwenye mchezo na Dodoma kidogo tufungwe kipa hashauriwi sana kudaka mpira wa juu bali anatakiwa auongezee mwendo uende mbali zaidi
@@gilbertmwakalebela2862 ni kweli apewe maelezo kidogo nadhani pia tatizo kukaa muda benchi ,,msimu mzima hii mechi ya3 ,,akiendeliea kupatapata nafasi atatusaidia mbele maana manula anaondoka
Jibe anasubiri nini Simba
Hatuoni kazi ya jobe afadhali ya onana marakumi
Afadhal hata freddy michael
Nashauri Ngoma acheze kama beki..Wachezaji wa kuanzia kati wanahitajika Wenye speed, Na Wenye chenga nyingi, na kukaba Sana. Ngoma ana speed ya Slow Sana, Ila ana kiwango cha kuzuia na ku create pasi. Hivyo nafas kama ya Kennedy huyo anaiweza
We saadun unamwambia nn refa😅
but no way
❤️❤️❤️🤍🤍🤍🦁🦁💪💪💪💪👏👏👏👏
Mgunda apewe timu
Chasambi bonge la mchezaj apewe muda
timu ni kwel ni mbovu lakini .....
Mmechanganyikiwa nyie simba,mnachogombea ni aibu tupu
Ankaliii apewe timu🎉
#mgunda anatosha
Apewe timu afu tusikie mnamsema aondoke maan bongo ni kawaida xanaa kusikia haya😂😂😂🇨🇩🇨🇩kindu
Kweli
Hahah wakubebwa
Penat ya mchongo
😂
UONGOZI WA HOVYO SANAA HUU,MISMU 3 BILAA UBINGWA LEO SIMBA HATA NAFASI YA TATU N NGUMU KWETU,KWAKWELI HUU UONGOZI HAUTUFAI
Relax kidg kizuri sifu punguza makasiriko au we mkenya
HUYU KAPOMBE NI MZEEE AACHE MPIRA
Dash…!!! Mambo mengine😂😂😂😂 th-cam.com/video/SJIIU-wrXsQ/w-d-xo.htmlsi=toeswOIm5dC0HDfs
❤❤❤❤
Pasi za mzamiru leo nmezielewa🤔
hata captain bado ana mazongi hebu wawe wanaangalia marudio
Chasambi on fire
❤❤❤❤