Hichi ndicho kinachopaswa kufanywa , hakika nimependa na pia elimutosha kwa mhusika kujifunza nakupata ujuzi utakaomsaidia hata akimaliza mudawake wakifungo.👏👏, Hongereni sana TBC kwa kuielimisha jamii
Simwanamke anaye wekakiumbe kipya duniani bali ni mwanamme na mwanamke wanaokutana nakuletakiumbe kipya je aridhi usipo isipopandwa mbegu italeta mmea hayo maandiko tumeletewatu nawazungu ,Mungu aliamua iwehivo mwanamme anamajukumu yake na mwanamke anamajukumu yake wala hili lisitutie stress

Ongera uongozi wa gereza Hilo.🎉🎉🎉
Simwanamke anaye wekakiumbe kipya duniani bali ni mwanamme na mwanamke wanaokutana nakuletakiumbe kipya je aridhi usipo isipopandwa mbegu italeta mmea hayo maandiko tumeletewatu nawazungu ,Mungu aliamua iwehivo mwanamme anamajukumu yake na mwanamke anamajukumu yake wala hili lisitutie stress
Nimefurahi sana.
I wish siku moja niwatembelee ,, vipi nawapata vipi
Asa akisema alikuwa mganga ama maraya mnamtulizaje na mganga anamtibu nani Sasa umo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unapelekwa genge la kulima mpaka useme yesss 😂😂