FAHAMU NJIA RAHISI YA CONNECTION YA THREE PHASE MAIN SWITCH DISTRIBUTION..

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • 💡+++🔌+++💡
    (SUBSCRIBE)
    KARIBU SANA TUJI FUNZE UMEME KATIKA VIPINDI VYETU VINAVYO ENDELEA KUPITIA CHANNEL YENU PENDWA YA TH-cam👉( ODESSA ELECTRICAL_INSTALLATION)+🔌+💡, PIA
    KAMA WEWE NI MWANAFUNZI UNAE JIFUNZA UMEME AU UNA TAMANI KUFAMU UMEME KUPITIA VIPINDI HIVI VYA PRACTICAL NA THEORY VITA KUSAIDIA SANA KU UELEWA KWA HARAKA UMEME UKIWA NI MFATILIAJI NA MUUDHURIAJI MZURII KATIKA VIPINDI VINAVYO ENDELEA.
    💡+++🔌++💡
    1:UNAWEZA KUTUPATA WHATSAPP KWA NAMBA 👉0713973162 NIKUUNGE KATIKA GROUP LETU LA WHATSAPP KUCHANGIA MAMBO MBALI MBALI YANAYO HUSIANA NA ELIMU KUHUSU UMENE.
    ODESSA ELECTRICAL INSTALLATION TOGETHER WE CAN 💡+++🔌+++💡💪.
    👇.....on TH-cam.....👇
    / @odessaelectricaltechn...

ความคิดเห็น • 21

  • @livingdavid
    @livingdavid 4 วันที่ผ่านมา

    Njia ngapi

  • @ILYASAMUHAMMEDBAKAR
    @ILYASAMUHAMMEDBAKAR 5 หลายเดือนก่อน +2

    Samahni fundi apo naomb nikulize kwaiy apo kuna fezi moja tu ndy umefanyia lupingi au vipi maan ndy iloingia kwenye breka nwaya moja tu iloleta moto

    • @Odessaelectricaltechnology
      @Odessaelectricaltechnology  5 หลายเดือนก่อน

      D.B ni ya Three phase installation line ni single phase tumefanya hivyo mteja wetu baadae tutamuekea three phases ukianza kuwa na uhitaji nao

  • @Keentorino-q3m
    @Keentorino-q3m หลายเดือนก่อน +1

    Vizur kk

  • @OmaryElkana
    @OmaryElkana 28 วันที่ผ่านมา

    Hizo phases 3 umeungaje kwenye mcb

  • @bidabidatz
    @bidabidatz 2 ปีที่แล้ว

    BABRA WA MCHONGO AOMBA KUINGIZIWA NA BIDA BIDA
    👇_____👇😂😂😂😂😂
    th-cam.com/video/9BgGyArqxcQ/w-d-xo.html

  • @NganziJasho
    @NganziJasho 3 หลายเดือนก่อน

    Sasa injinia mbona nyaya moja kama singo phase

  • @Michael-t6q
    @Michael-t6q 2 หลายเดือนก่อน

    Wapi phases zingine

  • @listermunjile2958
    @listermunjile2958 2 ปีที่แล้ว +1

    Sijakuelewa mwalimu 3fez ni nyaya nne sasa mbona ni mbili au 3fez ya kutengeneza wewe

    • @Odessaelectricaltechnology
      @Odessaelectricaltechnology  ปีที่แล้ว

      Ok swali zuri, Kwenye MITA ni umeme wa single phase lakini destrubution board ilio tumika ni ya Three phase it means imeshuka Kama kawaida single phase.

  • @roseshirima6320
    @roseshirima6320 ปีที่แล้ว +1

    Ongeraaaa fundi umemeeeew

  • @juliuschagama7304
    @juliuschagama7304 10 หลายเดือนก่อน +1

    Napata wapi hiyo main switch,Mimi nipo Tanga,Muheza.

  • @hassanally4960
    @hassanally4960 2 ปีที่แล้ว +1

    Shukran sana mwalimu

  • @conkfabrimendaking7093
    @conkfabrimendaking7093 ปีที่แล้ว

    Unakigugumizi sana aaaaa aa aaa a, zimekuwa nyingi sana lakini ninakuelewa!

  • @galaxywilliam3918
    @galaxywilliam3918 ปีที่แล้ว

    kaka sijaelewa mm hiyo ni 3fez apo kwenye kuingiza fez mbona imeeingia moja tu

    • @Odessaelectricaltechnology
      @Odessaelectricaltechnology  ปีที่แล้ว

      Laini ya tanesco ni ya single phase, na main switch ni ya three phase Wapi hujaelewa..?

    • @adelinibrahim9283
      @adelinibrahim9283 8 หลายเดือนก่อน +1

      Alijichanganya alitumia phase 1 na socket/breaker ya single

    • @Michael-t6q
      @Michael-t6q 2 หลายเดือนก่อน

      Sawa hiyo pengine ni sample

    • @Michael-t6q
      @Michael-t6q 2 หลายเดือนก่อน

      Inafaa iwe mccb