Jinsi ya kuondoa CHUNUSI Usoni | kuwa na ngozi ya kung’aa na laini | Clear skin

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 66

  • @DonnyBega
    @DonnyBega 3 หลายเดือนก่อน

    Nashukuru sana dadaaa

  • @mbipiweja
    @mbipiweja 3 ปีที่แล้ว +2

    Thank you and keep it.

  • @AishaKarima-b2c
    @AishaKarima-b2c 29 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤❤

  • @justineurio3455
    @justineurio3455 2 ปีที่แล้ว

    Enx Dr

  • @rlenytrendy4954
    @rlenytrendy4954 3 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru Kwa hii napenda Sana video zako zote ni za manufaa

  • @mwanautwashaniva7766
    @mwanautwashaniva7766 2 ปีที่แล้ว

    Thanks

  • @NancyReuben-b6u
    @NancyReuben-b6u หลายเดือนก่อน

    Sii chungu

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  หลายเดือนก่อน

      @@NancyReuben-b6u ni chungu 😀

  • @aminaabduly7514
    @aminaabduly7514 2 ปีที่แล้ว +2

    Mimi sjawahi kutumia lotion ya aina yoyote ilq nnachunus

  • @NiceCharlse
    @NiceCharlse 4 หลายเดือนก่อน

    Kwa mda gan

  • @FrolaLeonard-jz5wv
    @FrolaLeonard-jz5wv 2 หลายเดือนก่อน

    Tuoneshe yakung'ala mwili mzima kua nalangi moja

  • @aishaabedabed4134
    @aishaabedabed4134 2 ปีที่แล้ว

    Marangap kwa siku

  • @sarananyaro9089
    @sarananyaro9089 ปีที่แล้ว

    Dad joan naitaji kuondoa makovu minguuni

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  ปีที่แล้ว

      Ni makovu yaliyosababishwa na nini dear wangu

  • @evatarimo9034
    @evatarimo9034 ปีที่แล้ว

    Dada mm nashida yangozi naomba nisaidie

  • @NiceCharlse
    @NiceCharlse 4 หลายเดือนก่อน

    Inaitwaje

  • @mdainamiminatakakuongezaha2383
    @mdainamiminatakakuongezaha2383 3 ปีที่แล้ว +2

    Asante sana dada tusayidiye njinsi yakutowa weusi kumagoti na unisayidiye njinsi yakuondowa makovu pls

  • @marrytanzania9035
    @marrytanzania9035 3 ปีที่แล้ว +6

    Hii Alovera ni nzuri sana mwaka 2018 chunisi zilinitoka mpk nilikuwa najiongopa, uso wangu sio wa chunusi kbs, lakin kutokana na mawazo na jambo lililonikumba ikapelekea kupatwa na chunusi uso mzima nilikuwa natisha jaman, baada ya chunusi kwisha makovu sasa uwiii ilikuwa ni balaa bahati nilipokuwa na kaa kulikuwa na Alovera ilikuwa nasugua uso asbh na jion ndani ya miez miwili makovu yaliisha kabisa uso ukawa soft kbs kwa kweli Alovera ni nzuri sanaa

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  3 ปีที่แล้ว

      Asante Marry kwa kushare nasi💕💕

    • @aristaricknimpha9086
      @aristaricknimpha9086 2 ปีที่แล้ว

      Uso wangu unamakovu itabidi nianze leo kutumia

    • @shamilanamkubarisanasultan1018
      @shamilanamkubarisanasultan1018 ปีที่แล้ว +1

      kweli usemayo kipenz mm Alihamdulillah nilikuwa na rangi nzuri weusi wakungaa asaiv mpaka nauchukia uso wangu machunusi mabaka kibao ngoja nijarib namm

  • @neemamathiasmagise5667
    @neemamathiasmagise5667 ปีที่แล้ว +1

    Unipe jibu na mimi

  • @HappySamwel-m8u
    @HappySamwel-m8u หลายเดือนก่อน

    Nikwaware wenye chunusi tu

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  หลายเดือนก่อน

      @@HappySamwel-m8u Hapana, kwa wote wanaohitaji kutunza ngozi na kuzuia isiharibike

  • @lydialucas4744
    @lydialucas4744 2 ปีที่แล้ว

    Dr ukipaka mbona inawasha

  • @HappynessHongela
    @HappynessHongela 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi imenisaidia wk moja wameanza kuniuriza natumia rosheni gani

  • @julitherfelix3124
    @julitherfelix3124 2 ปีที่แล้ว

    hello dear nimeifanya hii kitu.but uso unawasha je ni kawaida au niaje?

  • @ireneisaac6896
    @ireneisaac6896 3 ปีที่แล้ว +1

    Mm nahitaji kitoa weusi mapajani dr nifanyaje??

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  3 ปีที่แล้ว +3

      Nitaweka video Irene💕

    • @sarastephano3409
      @sarastephano3409 3 ปีที่แล้ว

      Tupo wengi dear nausubiri kwa hamu hiyo video

  • @khadijaamryyahaya3894
    @khadijaamryyahaya3894 3 ปีที่แล้ว

    Asante dada Joan ila mie Nina weusi tumboni pia na michilizi je wanisaidiaje

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Nitajitaidi kuweka video inayohusu ngozi mwili mzima💕

    • @khadijaamryyahaya3894
      @khadijaamryyahaya3894 3 ปีที่แล้ว

      @@JoanfitnessTv itakuwa vizuri sanaaa

  • @AminaSapar
    @AminaSapar 6 หลายเดือนก่อน

    Nifanya hivyo kwa mda gani

  • @neemamathiasmagise5667
    @neemamathiasmagise5667 ปีที่แล้ว

    Nina michirizcnimeugua na krim na chunusi huwa zinaniachia alama nyeus dada nisaidie

  • @ESTAMSANGI
    @ESTAMSANGI 3 หลายเดือนก่อน

    Ni chunus tu au hata Yale mabaka meusi pia inaondoa

  • @ashurakibindo7671
    @ashurakibindo7671 2 ปีที่แล้ว

    Unapaka lotion gani tafadhali

  • @aishahasan327
    @aishahasan327 3 ปีที่แล้ว

    Asante nashukur sana ila mm nina makovu ya chunusi yaan sipend hali hii sas nitafanyaj

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  3 ปีที่แล้ว

      Fanya hivi kwa wiki nzima na kabla chukua video kabisa ili uje utofautishe

  • @KanadeMrangu
    @KanadeMrangu 10 หลายเดือนก่อน

    Kama natumia jamaa sabuni

  • @sarastephano3409
    @sarastephano3409 3 ปีที่แล้ว +2

    Happy ikiingia mdomoni bahati mbaya utajuta kuzaliwa😂😂

  • @husnamaiko6948
    @husnamaiko6948 2 ปีที่แล้ว +1

    Joan mi naomba ushauri ngozi yangu nimeichukua kwa mikorogo chunusi nazo zimeibuka, natamani kuacha kupaka hiyo mikorogo lakini naogopa kuwa mweusi nifanye je ili nibakie kuwa mweupe na laini kama wewe?

  • @jacklinemuhenga7543
    @jacklinemuhenga7543 3 ปีที่แล้ว

    Ivi alover ni chungu vipi ikiingia machoni

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  3 ปีที่แล้ว

      Sijawahi jaribu😆🙌

    • @KanadeMrangu
      @KanadeMrangu 10 หลายเดือนก่อน

      Nichungu ndio sana kuwa makini na macho isiingie machoni😂😂😂😂😂

  • @mwalimuhamisi9524
    @mwalimuhamisi9524 3 ปีที่แล้ว

    Natumia sabuni ya dove my dear sio mbaya nikiosha uso baada ya hapo na sabuni hiyo

  • @officialzu3772
    @officialzu3772 3 ปีที่แล้ว +1

    Mambo samahani kunavidia ya kipindi cha nyumba ulitengeneza jinsi ya kuondoa chunusi ulima mtu achukuwe yai moja ute mweupe dawa ya mswaki unga wa mahindi na panking pouwd kisha unachukuwa kiazi mviringo au mbatata unazungushia baada ya kupaka mchanganyiko lakini naomba hapa kwenye panking poowd nihii ya kutengenezea keki maandaz au kunapaking pouwd nyingine samahan naomba unijibu hii paking pouwd pls

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Ndio hiyo, tumia yai asbh kisha jioni fanya hii ya aloevera utuletee mrejesho

    • @officialzu3772
      @officialzu3772 3 ปีที่แล้ว

      Shukurani my dear❤️

  • @تبتتبت-ل4ز
    @تبتتبت-ل4ز 3 ปีที่แล้ว +1

    Na kama una io alover auna unaeza tumia mafuta yake ama lazma Iwe n io tu

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  3 ปีที่แล้ว

      Fresh isiyochanganywa na kitu ni nzuri zaidi💕

  • @janethmnyone1493
    @janethmnyone1493 2 ปีที่แล้ว

    Na huo uchungu wake hauingii mdomon kwasababu sio poa

  • @jenniferkaswii9088
    @jenniferkaswii9088 3 ปีที่แล้ว

    Niko na madodoa Kwa minguu nitaitoa je

  • @awendazayofficial1770
    @awendazayofficial1770 3 ปีที่แล้ว

    Unapaka roshen gan

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Natumia Rinju

    • @awendazayofficial1770
      @awendazayofficial1770 3 ปีที่แล้ว +2

      Samahan naomba uoneshe kopo yake au aina unayotumia Mana zpo aina nyingi❣️

    • @JoanfitnessTv
      @JoanfitnessTv  3 ปีที่แล้ว +1

      Nitatengeneza video ya vitu vyote ninavyotumia kwenye ngozi darling💕

    • @rosebeny5509
      @rosebeny5509 2 ปีที่แล้ว

      My dear joan uso wangu unatisha kabisa kwanza ninaweusi chini ya macho afu chunusi ndio usiseme so please nisaidie

    • @Nganashiai-qj6hw
      @Nganashiai-qj6hw ปีที่แล้ว

      je alvera ina faida gani kwa mtu mwenye weusi chini ya macho