Aisee Asante kwa mafundisho nilikuwa napata tabu kila wakati nakata alovera natumia kidogo natupa na kingine hao wanatumia mbolea gani kuwa kubwa kiasi hicho naomba msaada nimepanda lakini vimekondeana
Hizi za 100%pure. Labda uuze mmea wake. Ila hii ukishakamua hiyo gel ni kutumia hapo hapo au kuweka kwa freezer. Maana inaharibika mapema ukiweka hata kwa frigi la kawaida
You’re so creative Mpenzi n nzuri kwa hair mask
Very good kwakweli👌🏽👌🏽
Nimeipenda video Yako Asante Kwa SoMo
Nimependa sana
Aisee Asante kwa mafundisho nilikuwa napata tabu kila wakati nakata alovera natumia kidogo natupa na kingine hao wanatumia mbolea gani kuwa kubwa kiasi hicho naomba msaada nimepanda lakini vimekondeana
Ni natural baby Mboleq za kuku au ng’ombe na maji mengi inahitaji sana maji kwetu ipo nene hioo
Dada hii nzuri sana Asante 🙏🏾🙏🏾
Asante kwako
Asante sana dadaa nimejifunza kitu...ninachunusivsana
asante mimi ninamikunjo juu ya usu na kwenye pembeni mwa macho
Asante dear ntatengeza yangu ni ihifadhi.
Sawa dear 🙏🏾🥰🥰🥰
@@GlowCharls sio chungu my maan ilo brenda litafaa nauchungu wa alovera
Asante kwa somo
Asante sana kwako 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
unaweza
Mashalwhahu
Bravissima Glow Charls.
Gracie 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Asanteeeee
Naweza kutengeneza hivy alafu nikishaichuja naweza changanya na rosheni yangu plz naomba nijibu ili nijue
Asa dd nilazim kuwek mwak au miez haiwezekan kutumia pal pal najee kwenye nywel unapakaj
Nimeona hyo alovela nimesisimuka sana duh!😂😂
Je kama hauna friji unahifaz vip
Vip kuhusu uchungu ukipaka
❤❤❤
Nitatengeneza navipi kusukia inawezekana
Nimependa sana video yako, je hafai kunywa?
Unakunywa kama tiba na Kinga na Mimi ndio nakunywa sana inasaidia sana mmengenyo wa chakula,minyoo, UTI, Malaria nk
Ni aina gani ya mmea wa aloe vera?
Sasa kama nywele zako ni laini inaaja ya kutumia alovela?
Nimeoenda video yako ila swali lngu ni hili ni usipoosha baada ya kupaka kuna madhara?
Mbona mmimi nikitengeneza haiwi nzito hivoo
Mawasiliano please
Woow inaeza kaa to six months 👍
Ndio mpaka mwaka ☺️☺️☺️🥰🥰🥰
kama je nimepanda mwenyewe
Kwa chunusi matumizi yanakuaje kipenzi
Unakuusha nywere
Km uweki mwenye friji itakuwaje
Ukinunua mafuta ya olovera badae unacanganya naiyo yakutengeza inawekana ao
Km hauna friji unafanyaje kuhifadhi
Nimefulahinmaelezo yako
Habari yako Madam hivi usipo ichuja inakuaje
Kama hauna friji nafanyaje
Kanunue😂
JE UNATENGENEZA NA KUIUZA
Hizi za 100%pure. Labda uuze mmea wake. Ila hii ukishakamua hiyo gel ni kutumia hapo hapo au kuweka kwa freezer. Maana inaharibika mapema ukiweka hata kwa frigi la kawaida
@@GlowCharls habar dada nauza alovera mbichi napatika mbezi mbich kwa bei nafuu
@@GlowCharls ninaalovera nyingi nauza kwa bei nafuu Niko Tanga
@@GlowCharls ninaalovera nyingi nauza kwa bei nafuu Niko Tanga
Ya huku ni imekonda mno😩
😂😂😂😂hazina afya sio 🙈🙈🙈
@@GlowCharls nikwel za kwetu azifai
Kabsaa yaan hazina afya nyembamba mno sjui zao wanatoa wap jmn 🤣🤣