Mapigano ya Israel na Hamas huko Gaza

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 เม.ย. 2024
  • Siku ya Jumanne, nchi 9 zilishiriki katika muungano mkubwa zaidi wa siku moja kutoa msaada kupitia anga huko Gaza. Utoaji wa msaada huu ulipangiwa kuendana na mwisho wa Ramadhan. Ndege kumi na nne ziliwasilisha tani 10 za vyakula na misaada muhimu - katika operesheni iliyoongozwa na jeshi la anga la Jordan. Uingereza ilikuwa miongoni mwa mataifa yaliyoshiriki - na Mwandishi wa Kidiplomasia wa BBC, James Landale, alijiunga na ndege ya Royal Air Force kupeleka misaada. Taarifa yake inawasilishwa na Victor Kenani.

ความคิดเห็น •