Bongo Star Search 2021 Ep 04 DODOMA & ZANZIBAR FULL SHOW
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 พ.ย. 2021
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 12 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz - บันเทิง
Jamaa aliyeimba mama ni hatari vocalist wa ajabu bwana mdogo ana kipaji cha uhakika 💯mgemuacha mgebaki na bongo starsearch yenu
Huyo hellen yupo Na kipaji atafute menejimenti a rekodi ngoma atoe media zipo tutamsapoti ana kitu level za Nandy akiandikiwa ata nyimbo hit anatoboa atucheki wadau hapa
Big up judges nawapendaga bure❤️❤️❤️
Meena Ali...Unatangaza vizuri sana...I like you❤❤❤
th-cam.com/video/e0KLBS_qGoo/w-d-xo.html
Hongereni kwa kulea vipaji
SULEYAAH umeuwaaaa 😆😆😆😆👌👏👏
Ok I'm from Zanzibar, the guy who sang Ukuti Ukuti had me lol!🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Wagitaaaa plz plz
Duuuu aliemremba Madame litha yuko vizuri sanaa🙌🏿
Ms Rita umependeza sana na una roho nzuri sana MMUNGU akubariki sana
East africa and beyond madam
Aliegundua madam amepiga vyombo nani😂☝️
👆
Siku mwende iringa mjinii jaman sio mbeya tuuu
Nakubaliii saaaaana
Aya salama
Try si
Gasper 🔥🔥🔥🔥🔥
Nakupenda sana meena from oman 🇴🇲
😍😍😍😍😍😍😍Yani anajua Sana
Mina mashallah 😍 ❤
Salam i like it
Ameweza
Nice e
Mimi kwa kweli huyu kijana mwenye kasi ya 4G amenivunja mbavu tangu nianze kuona Bss sijawahi ona kituko kama hichi
Alieimba nyimbo ya mama ni fire 🔥🔥
Salama una nini lakini😂😂😂viatu ni vyake jamani🤣😅
Rasta katudhalilisha wenye ndevu aiseeee!
Hellen nmekupenda hauna moyo wa kukata tamaa....fighting girl!!!
Kitaa la jamiii ni 💥💥💥💥💥
Suleya I like her energy 💖💞
Am enjoying from Kenya
th-cam.com/video/e0KLBS_qGoo/w-d-xo.html
Tatizo lenu majaji mnajichanganya mnachagua wasiojua kuimba ndio mnawapa Yes mnawaacha wanaojua
Nice ❤️❤️❤️❤️❤️❤️you boyyyyyyyyyyyyyyyyy
Mutaniua nyinyi😂😂😹😹😹😹
..khaa yaan wa guitar mmemuacha
nimependa introduction.....
Ndio maana ben pol anaonekana icon... Vipaji Dodoma kwa nadra sana...
Gasper
amechua tension zetu ni nzuri iyo music ni feeling iko poa sana
Nampenda madam umefanya vzr
,😂😂😂😂😂Alie sifiwa kidevu mbavu zangu 😂😂😂😂😂
Kalii
I like you salam from 250
Aky apa master j,,,mnaua,,,watuh hawa n funny,,,
Tumuogope tu mungu jaman uyo dada anajua sana ila kila akijalibu munamrudisha anajua sana na saut anayo sijui hata munamuonaje
Wooooooyo
Safiiiiiii, umeaibika huna salio 🤣🤣🤣🤣🤣
Rita on heat
Gita la jamii ana hatarii..
Huyu jamaa wa guitar anajuaaa
th-cam.com/video/e0KLBS_qGoo/w-d-xo.html
Bangi ya dodoma noma
Madam Rita is very humble
Mshindi wa BSS ni Huyu wa Mwisho anayetaja mama mzazi. Haimbi Bali ana flavour flani ambani haiwezi kupatikana Kwa Mtu Ila Kwa kuzaliwa nayo
nmekuelewa bro baada ya kumfikia huyu mwamba
Huyo anafika top 10 ila hashindi mana uimbaj wake wapo wengi ambao washapita mikoani
Salama zuchu 2anaweza
Suchscribe,,,, hahahahahaahhahahah madam umetishaaaaa
I love mena ally
Sema mwenye gita anastahili sana
Yan kumuacha uyujamaa wagitaa mmezingua sana jamaa kawapigia gitaa wezie lakin yeye ndoanajua kuliko wote apo
Alikuja dar kapita
Napenda mum Rita
Mbona kila Leo mna upload vile vile tuu
zuch new
Guitar boy was really great , why kakosa ndio sijaelewa vizuri
Guiter la jamii mm sina mbavu jamani😂😂😂😂😂jamaa ni mkali wa Guiter
Usifanye hivyooo
Suleyah energy sawa
His good just give it to him
th-cam.com/video/e0KLBS_qGoo/w-d-xo.html
huyo dada salama ana mwabia msichana kuwa kesho ukija uvaevizuri upedeze yeye alivyova hastahili kuwa jaji siyo yeyetu wote watatu hawa stahilikuwa majaji kwa sababu hawana sifa wote watatu au kwasababu wanaonekana kweye tv hakuna hata moja abaye alikuwa mwanamuziki star
Salama tom boy huyo hapo ndio kavaa kamaliza😂😂
Madam lita kagonga vyombo, ana Wenge hatari 🤣
Suleyaah 😂😂😂😂😂😂
Kukataliwa bss ni baraka... Waulizeni
Harmonize
K2ga
Cheed
K2ga na Cheed walikataliwa bss ya miaka ipi
Kweli
@@bilha_nyawera search k2ga bss na cheed bss
Hata ndugu yangu darasa walimwambia sauti ina kwaruza
57:22 amna kitu special chochote apo...madam aache huruma za ajabu...huruma zake kwa hamis zikaja kuzaa dhambi...madam aache kuendekeza emotions...huyo kaka hayupo vibaya kwenye kuimba lakini sio mkali kiivo adi apewe chance....emotions zitatupeeleka pabaya wanawake
True
Ommy kaaibika😂😂hana salio
Magic vipi tena kwenye ndondo
Salama rohombaya
"Come here give me a kiss" at 38:0 he is a good singer❤
th-cam.com/video/e0KLBS_qGoo/w-d-xo.html
umenote hadi dakika 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Meena Ally is a good presenter lakini katika kipindi hiki kapwaya. Ana force sana kuchekesha kiasi ana haribu.
Kabisa
You were in my mind
Nakukubal San Salam pamoj san
Hahaha awiiiiiii
Mnachelewa kufanya uploading
This episode is so good n funny . Madam Rita you killed Salama with laughter
Dodoma oyeeeeee
Salama bhana eti hmn k2 apo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu hakupi kila kitu 😂😂😂 Rita jamani
Suleiya 😂😂😂😂😂
Suleya fayaaaaa
Idris sultan...... Hapa anafaa sana huyu anafeli
Z'bar hamna kitu yankeeee😂, acheni wale orojoo😂
Kudadeki Gaspa mpiga gitaa anajua sana ajabu sana mmemkosesha nafasi ana deserve kwenda Dar es salaam mmezingua booooo kwa majaji 😡
Naomba kuutambua huo wimbo aliouimba huyu jamaa aliemkiss Madam
18:00....0214 anaweza saaaaaaaaaaanaaaaaa
Gaspard mutoto muzuri sanaaaaa
Suu is best
Msimamizi mkuu wa shuguli hizi huwa ni shetani naye huchagua washiriki wake wakipita huko nahuko kuangamizi kizazi ktk laana ya miziki ibada ya shetani alie laaniwa nao walaaniwe kila wapitapo kuangamiza kizazi.
Mh😮😮😮
Duh umefika mbali sana baki na iman yako mkuu hii ni kazi ya watu hata mm kwa imani yangu muziki ni haramu lkn sijawai kaa na kumlaani mtu kias hiko umefika mbali sana
Yani hili Taifa kila mtu Nabii khaa! jamani kwanini lakini ndio maana Taifa linazidi kuzorota kwasababu kila kinachokuja kipya kwenu hamjawahi kukisapot kila kitu mnakosoa😏😏 tufikie mahala tubadilike jmn 😅
Sasa umekuja kusikiliza nini shetan mdogo
@@jwisetv4833 usipo wasikia mashetani kama nyie hatuwezi kuwakemea yatupasa tusikilize uchetani wenu halafu tukemee. Hata Mungu kabla ya kumlani Shetani alimsikiliza madai yake
jamani mbavuzangu😁😁😁mwenyendevu
Wa kwaza ana juw number one 🥺❤️
Kasi ya 4G drrrrrrrrr 😂😂😂
😍😍😍😍😍
Jamani mimi nataka majani ya zabibu
salama upo
Jamani huyo aloimba ukutiukuti😂😂😂😂
Hii nyimbo kaimba mpiga guitar inaitwaje jamani