MTOTO AONGEA BABA YAKE ALIVYOKATWA MAPANGA ARUSHA NA VIJANA TISA WALIOVAMIA SHEREHE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 4

  • @safiaothman5175
    @safiaothman5175 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mwenyezi Mungu Subhaanahu Wata'ala awaangamize hao maadui,Aamiin Yaa Rabbal Alaamiin

  • @neemagreyson1943
    @neemagreyson1943 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mungu atusaidie .mambo mengi yanatokea ya ajabu sana vijana wadogo ni wanavuta bangi hata hawajali

  • @fatmaathumani7116
    @fatmaathumani7116 16 นาทีที่ผ่านมา

    Ila majirani walitushtua si walisema wamekata mkono kabisa umetoka 😢 Mungu ni mwema sana

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pole sana arusha kunatatizo aisee