MAYASA (FULL MOVIE)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
- MAYASA NI story iliokuwa inamuhusu binti mmoja alie Dharau wazaz na kukataa shule na kukimbilia KUOLEWA alipo ingia kwenye ndoa alikutana na mateso makubwa mpaka alikumbuka wazaz wake ..Mayasa alipoona mateso yamezidi aliamuwa kumuuwa mumewe MAYASA AKAFUNGWA JELA
Hii imeenda Sana
Sana big mbwela
Kazi nzuri Sana Mr Tanu, hii movie inastory nzuri Sana congratulations alot❤
Kazi nzuri sana kaka
ahsante kwa kutuwekea full 👌
Safi sana❤❤❤❤❤
Davo a.k.a stanley hoñgera kwa kazi nzuri
Kaka kubwa Sana Inafundisha jmn Daaaa hongera sengo toka TZ
Yajayo nimakuba zaid
Makuba@@tanuplus
Mbwela big up 🔥🔥🔥🔥🔥🌹🌹🌹💐💐💐💐 team furus nawasalimu mpo
Umenitouch saana nice movie keep it up
KAZI nzuri broo stani
Nilidunde dadalako😂
Nice movie imenitouch
Mwendelezo plz
😢😢hii yaaani acha tuu nimekumbuka 😢😢
Ok
😢😢😢hadi huzuni
😢😢😢
Mayasa 😢😢😢