MKOBA WA MAMA Episode [ 19 ] {S2 } Tradition & Love story
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ธ.ค. 2024
- kikubwa ni kutunza UTAMADUNI watu wengi wanashindwa kurithkitui utamaduni wao kwasababu ya tamaa za kidunia fuatilia hadithi hii utajifunza kitu kikubwa sana kwenye jamii inayokuzunguka
Jaman sija chelewa sana jaman Allah ampe afya njema kila mwenye marazi na ampe kher kila mwenye kusoma comment hii 🙌❤️😥
Amin Isha Allah
Amina 🙏🙏🙏
@@hadijahamis2965 ❤️😊
@@cristaezekiel1036 🙌😊
Nawe mungu akubariki
Waaaah nimerauka jamani mm sijawah kupata likes msinibwage jamani
Kama unamkubali vaito like apa pia nakuombea kwa mungu tuvuke mwaka salama
Mhina afe kabisa,wapi likes za mganga msukuma😂😂😂😂
Akifa picha nalo laisha
Kwan uy mganga ni msukuma mbn lugh yak mie naiskia
Co msukuma MTU wa sumbawanga 😂😂@@Asina-r4r
afe kabx
Team MgangaMsukuma weka comment apaa
Haya sasa kunazidi kuchangamka muhina mara hii kimekuramba😂
Huyu mganga msukuma mbona yupo moto sanaaa😂😂😂😂
Msukuma atali na nusu
😂😂😂😂😂😂 wasukuma hawachelewesh
Namuelewa sana
Atakufa
🤣🤣 mwambie Aache 🔥
Wangapi mnamkumbuka zakayo kwenye aladini
weka tuweke episode juu y episode hakuna kuchelewa respect broo tanu
Huyu mganga ndyo anafaa sasa mzee wa kuwaua tuu
Mfipa mwenzangu huyu wa sumbawanga sijui ntampataj
Nipo @@gracekayumba-z9l
Vaito ume tisha🎉🎉
Mganga msukuma amenifuraisha sana Big up 🎉🎉🎉🎉❤kutoka kenya 🇰🇪
Vaito oyeeeeeeeeeee🎉🎉🎉 namkubali sana❤❤❤🎉🎉🎉
Vaito na kukubali sana Kaz yako nzur sana
Musukuma 🎉🎉🎉yako ayo ondowa shenzi zote we Alima mwisho wako nikifo ju we nisikiyo lakufa halisikiyi dawa we musaidiye tu uyo ndo Mhina😂utauona muziki wake
Halima bwege sana siangalii tena movie lenu
Itapendeza
Ila vaito
😂😂😂😂😂😂😂😂 et kasikari yoti, jamaa safi sana
Vaito naona wewe ni balaaa
Tunae mkubali Halima like hapa ❤❤❤
Jaman mzidole na huku umekuja aisee ahsante sana tanu ❤sasa kutachangamka zaidi😂😂🎉
Mtoto wng hasumbui
Yaani hii movei sitaki iishe kwakweli lov❤
Da mganga vava wewe kiboko umewaweza kweliii umetishaaaaaaa
Vaito unajua hadi unajua tena
Ninacho kukubali Movie hucheleweshi. Big Up tanu
Pongezi kwako kaka Vava milionea, kweli wewe ni kioo cha jamii, umeweza na umeweza tena
Vaito siwezi ishi bila wewe❤😂
Hahhaa
Mzidole umefika uku,i love you...acha vaito awashenyete watu kama mhina😂😂😂
😂😂😂
Vaito 🔥🔥🔥🔥🤣mzee wa kurahisisha kazi😂😂😂🎉
Ukizinguwa anakuzingua
Nakwambia yaaani ana baya ataki mwalimu wake asumbuliwe namkubali sanaaa 😂😂😂
😂😂😂kabisaa@LewisHamiltonGLD
Vaito ulikuwa wapi zamani jmn mbn umetuchangamsh
Halima na wewe acha ujinga, mtu mbaya auawe tena kwa mateso ajiskie uchungu kama alivyowafanyia wenzake😏😏
Kabisa
🤣🤣🤣🤣🤣😁😁uyu mganga msukuma nimependa arakayake kuondowa watu wasiyo nafaida cukuwa mauwa yako🎉🎉🎉🎉❤
asante sibomana nakupenda msimamo wako siyo huyu bwege halima
Hivi halima una nini wewe hiyo huruma itakuponza wewe hebu muache mhina afe ili movie iishe haraka mbona mwatuchelewesha ❤😂
Vaito nimependa kazi yko 🤣 ww ni mwanaume 🤝❤️
Wakumi na moja Mimi hapa namkubali Sana Tanu na team yake yote ya mkoba wa mama wapi likes 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
mapombe nzakayo siyo watu wazuri wasenge😢😢😢
Kaz mapema 🎉🎉🎉🎉
Vaito naku❤ na ukinikubali nakuffuuuuuuh😂😂😂😂 chukua 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😂😂😂❤
duh muina noma sana ana wajaza kama makambo
Yan tote 9 10 naupenda sana ushilikiano wenu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤mungu abaliki sana kazi zenu
Mhina afe tuzike😂😂😂😂 mashuja mupooooo😂 Dubeeeee kajaaaa kivingine🎉🎉
Wakwanza kutoka Turkey 🔥🔥
funga funga tuondoke mama mchawi anauruma dirongo eee dirongo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Halima unafeli wap ww eeee au ushasahau eee ule msemo wetu kuwa uruma sio malez 😂😂😂😂😂😂😂😅
Wapi halimaa weka like zote😅😅😅😅
Wa kwanza kutoka Congo🇨🇩 nawomba like zangu asheni ushoyo tanu🎉🎉🎉
Safi🔥🇹🇿
Nina wasawas na huyu msukuma jamani😢naomba usiwe hivyo
Afeee tuu uyoo muhina ana maana
Halima unakera na iyo huruma yako juu ya mhina
Muhina afe kabisaa tangu episode 1 mpaka sasa hivi inaniuma Sana kuona muhina anaishi anafaa kifo kama samiri .....nawe bi Halima Wacha kujifanya Malaika mbaya siku zote Ni mbaya tu Bahati nzuri muhina apone Leo ataitoa roho yako ....just put that into your mind
Kaka Tanu ninachoomba SALHA afe haraka iwezkanavyo asituletee ujinga anaharibu mambo sasa, naombo afe plz.
😂😂😂😂😂😂😂😂
Nilikuwa tuu mhina afe 😂😂😂 anaroho saba huyo na qkifa mhina bas movie imeisha😂😂😂
Mzee ngayai yupo na huku
Haahaaaaa nipo
Shedafa et kama una maongezi tuinge ndani 😂😂😂😂😂 acha umalaya
Kaz safi sana
Hivi movie director nan jaman anajuaa anajuaaa saanaa❤❤❤🎉
Asante sana
@@tanuplusbarikiwa sana kaka ukweli usemwe unajua brother daaah 🎉🎉🎉🎉 nomaah
Shedafa nae mbea mpaka watu wakitiana mimba anajua😅😅😅yani amejua kabla hata mwenye kubeba hio mimba hajajua😂😂
Kweli mwisho wa ubaya ubwela
Mganga msukuma nakupenda sana 😂😂😂😂 mhina afe tu
yan muhina ni muti wa muhogo kil fasi unaend unapaac mimba 😂😂😂😂❤❤❤🎉
Kwan hamna namna ya harima kufa
😂😂😂😂😂Vaitooooooo et unataka kua yuda utubusu 😂😂😂😂😂😂
😅😅😅😅😅😅😅we falaa sanaaa mjinga wewe 😂😂😂😂😂😂😂
asante sana jamani leo muhina kapatikana hapo vema, maana mutenda maovu ina bidi atambue kua maovu huwa yana uma🤔🤔
Nice work,,,,,best upload
sema Halima anaboa sana huyu sister
Funga funga tuondoke😂
Ila Shedafa umbeya we Kaka eh iyo mimba imekua la mgambo😂😂😂😂
Funga funga tuondoje, mhina zamu yako sasa mana umewauwa wenzio sana
Naona samiri alitangulia kunataka kutokea msaliti mwengne
siyo mmoja tena wasaliti wengii humu
Uyo paca wa Tano mpaka waje kumupata itakua kazi sana naona
pia mmi Naona hvyo😂😂
@@RizikiZikifact yaani itakua ni kipengele sana daah ila ndo movie dadeck zetuuu 😂😂😂😂😂😂😂😂
Akamenyero kishe inkware 😂😂 Ikirundi hejuru
Wanajitaidi sikuhizi kazi kwa wakati❤❤
Mzidole mzidole mzidole❤❤❤❤❤❤❤
Tupo na mzidole
@@tanuplus ako wapi kicheko 😂
Alima ndio mguu chini uwe mchafu
Huyu salah alinsinya balaaa
Kazi nzuri sana from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Nafrahi saana kuona kaz nzur kama izi coz sanaa ya film iko damun
Asante
Mganga vava katisha sanaa da
Kaka Tanu hongera sna unanifrahisha sna unawahi sana hongera san yan dahhhhh❤
Asante
akamenyero kishe inkware pe 😂
😂😂😂😂 napeda huyu MGANGA musukuma😂😂😂😂
mhina asisaidiwe akufe tu. 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nilisblia kwa hamu San ❤❤
Wanaosema muhina akifa movie nalo litaisha mmemsahau huyo Msukuma mwenye motooo humo ndani yaani anauwa huku akijigamba anamrahisishia kazi mkuu Afu safii tu na hawazii Na huyo ndo atarithi utamu anaouleta muhina ko hata akifa muhina huyo jamaa atakua kasha take over gape la muhina watu wanaakili nyie 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Halima na huruma yako ,muhina akiamka sijui kama utapona aise
Kaz nxuur tunaikubaliii
halima sasa unaanza kuosa mashabiki kwa huruma zako mpyuuuu😢😢😢
Hii nayo imekuwa ndefu sana hadi inapoteza story
Ata Mimi naonaona ilo
Jamani mhina amekuwa mondi anadunga mimba kila mahali😅😅😅
Mganga kutoka sumbawanga😂😂😂😂😂hatumtaki muhina.
Ok tunamuuwa
@tanuplus utatufurahisha sana
Mimba sio ya tofali 😂😂😂shidafa jinga sana
Halima unampa dawa ya nn huyo mganga nani yule kasema bora afe tu
Sasa Halima ww ni mganga gani usiyekundua kilichomsibu Muhina!?
Huyu mbwa wa kubeba mimba ya muhina sarah ananiudhi 😏😏😏😏mimba ubebe wewe uje usumbue watu et wanataka kumuua mumeo 😂😂😂😂😂fyuuuuuuu
Wewe naona hajakuudhii yaani natamani Nikamlambe vibaooo mbwa huyooo 😂😂😂😂😂😂😂😂
Kazi nzuli tanu wewe ni msanii mzuli pia ni mwandishi mzuli, ila nina swali kwenye tim ya clam wote nawaona ila tete yuko wapi? Mimi shabiki wake
Anataka kuwa uda chinja yy
Kumbe sijachelewa
Salafu ❤salha usiseme mime wangu