Ester Nyanda - Asante (Live Music Video)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 5 ก.พ. 2025
- Maisha hutupa nyakati tofauti tofauti.Nyakati za furaha na nyakati za huzuni pia..Ni rahisi kulaumu na kunung'unika wakati wa huzuni na kusahau mambo makubwa aliyoyatenda Mungu.Yeye husema tushukuru kwa kila jambo. Katika nyakati zote,vinywani mwetu halipaswi kukosekana neno ASANTE
Zaburi 100:4
"Ingieni malangoni mwake kwa kushukuru;
Nyuani mwake kwa kusifu;
Mshukuruni, lihimidini jina lake"
Ni maombi yangu kuwa wimbo huu utainua kiu na shauku yako ya kumshukuru Mungu katika jina la YESU UMEBARIKIWA!
❤❤❤❤Aiysee hiii siku ya live recording huuu wimbo niliupenda sanaaa sanaa had leo hautok akilini🙌🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Utukufu kwake aliye juu MUNGU muumbaji, kazi nzuri hiyo
Emmanuel peter kwenye bass hatari Sana 🔥🔥 huku Kenya 🇰🇪 Moore love
HONGERA SANA DADAANGU KWA KAZI KUBWA HII YA IBADA KWA MUNGU...MUNGU AKUZIDISHE MARA ELFU MIA ELFU.
Haleluya sana brother..utukufu kwa Mungu
Yes.nimebarikiwa na huduma hiyo..keep soaring
Emmanuel Peter yuko hatari Sana kwenye bass...❤🔥 MD ameguswa Hadi ana sing a long... more love from Kenya 🇰🇪 watu wa mungu God bless you
Kama wewe 😢😢
Pambana dada yangu asante haija kosewa ubarikiwe
🙌🙌🙌🙌Dada anaimba vizuri mno sanaaaa
Hongera sana dada Esther kwa wimbo wenye uvuvio wa Roho Mtakatifu. Nakumbuka uliuimba wimbo huu BMCC wakati wa Live recording ya Mariam. Tangu siku ile wimbo huu umekuwa ukiimba moyoni mwangu. Nilikuwa nausubiria kwa hamu sana. Mungu aendelee kukuinua zaidi dada.
Hongera broo MD safi kk angu na dada angu mzr
Asante Yesu 🙏😔🙏
Hakika hakuna kama wew BWANA❤❤❤
Amen🙏.....siku hiyo nilibarikiw sana
Powerful Asante sana YESU Mungu akuinue zaidi Ester
Ameeen sana sana.utukufu kwa Kristo Baba
Sister ubarikiwe sana Mungu azidi kukutumia apendavyo
Kwakweli hiyo siku ya live recording pale new vine church tulibarikiwa sana she is talented.... Itoshe kusema anajua anapumzi ya kupanda na kushuka....any way naisubiri ile upo na john lisu pamoja na gwamaka mlifanya vema sana
Kimberly na ww ulikuwepo?
🙌🏼🙌🏼🙌🏼 utukufu kwa Mungu
Amen🙌more favor,be blessed more abundantly
Wooow Asante Yesu 🙌🙌🙌🙌
Ubarikiwe San dadaa unanibariki sana na huu wimbo
Mungu azidi kuinua viwango vyako. Hongera Sana mama❤
Nasikia kuinuliwa sana, kila ninapo sikia huu wimbo!! Una nguvu sana. Barikiwa sana Ester
Kazi nzur barikiwa san
Safi sanaa
Am blessed Easter nyanda
Ameeeeen
Keep going
Umebarikiwa sana
Hongera mungu amekutoa mbali🤲
Iam really blessed with this song esta ,Niko nakutazama hapa upendo saa hii hapa bwiru girls,be blessed alot
We thank God, non like Him😢😢
🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tunamtuza Mungu kwa ajili yako, Mungu azidi kuinua viwango vyako vya kumtumikia.
Kweli hakuna kama Mungu
🥳🥳🥳🙌
Asante Yesu😢
Kuna oboe voice kwenye lead nimekapenda
MZIKI UMETULIA
Hauna mambo mengi
Hii ndo miziki sasa raha ukisikiliza
Thank you Father 🙏
Nzuri sana Mtumishi. Barikiwaa
🔥🔥🔥
Amen. Hakuna kama wewe mungu wetu
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hongera sana Da Ester, keep excelling higher, blessed by the song
Your voice carries the authority of the Holy Ghost
@@evebahatimusic Glory to God
More grace
The POWER OF ASANTEE💪🏾💪🏾💪🏾🔥🔥🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️
Hallelujah Hallelujah. Hongera sana dada. Wimbo huu ni mzuri sana. Nilimsikia moyo wangu unamuazimisha Bwana. Ni wimbo wa Yesu, unaozungumzia Yesu. Nimebarikiwa mno. Kaka Rider kazi ya mikono yako imebarikiwa mno.
Utukufu kwa Yesu mdogo wangu Mwalimu Judith..thanks a lot
This is very powerful song
MUNGU azidi kukuinua dada angu mzuri.
Oooh Amina mdogo angu ..ameeen
Thank you god for giving us this instrument from mwanza
YES. It's wonderful, powerful and excellent song. My confident, my friend, my father... Cheers 👍👍👏👏🙏
Wimbo wa shukrani!
Asante sana kutusogezea ibada hii viganjani mwetu tuwe nayo kila wakati
Powerful thanksgiving song 🙌🙌🙌
🥹❤️🙏🏻 blessed 🙌 with song. HAKUNA KAMA YESU
Hallelujah hongera sana dada Mtumishi wa Bwana
WHAT A BLESSING ,,,,,,,,,,,,,,HAKUNA KAMA WEWE MUNGU WANGU
Mungu muumba mbingu na nchi azidi kukuinua zaidi na zaidi katika utumishi huu,,, nimebarikiwa sana na wimbo huu. Mwana NVC!!!!!
Powerful song
Hongera sana my friend Ester
Ameeen Love..glory to God
It's blessed my soul ever... congratulations Mom🙌🙌
Those day yatukio nilibarikiwa sana .NYIMBO zilijaaa uwepo mungu azid kukutumia dada esta . Kijana kutoka casfeta tayomi saut mwanza.
Bless you 🙏
Father I say thank you, Kwakweli HAKUNA KAMA YESU 😭😭😭😭😭😭😭🙏
🙌🙌🙌🙌
Wow haya Ni maombi ya Shukurani
Ester Nyanda-Asante Song Lyrics
Hakuna mwingine kama wewe kama wewe
Hayupo mwingine kama wewe kama wewe
Unaeweza ni weeeeee
Unaeponya ni weeeeee
Unaetosha ni weeeeeee
Unatupenda
Ni weweeee bwana
Asante baba
Ni mengi umenivusha milima na mabonde asante baba
Ninakurudishia heshima shukrani asante asante asante
Kwa wema wako asante
Fadhili zako asante
Matendo yako asante
Asante babaaaa
Kwa upendo wako asante
Kwa ukuu wako asante
Uweza wako asante
Asante Yesu asante
Asante babaaaaa
Ni weweeee babaaaaa ni weweee baba ni weeeeee
Mfariji wangu ni weeeeeee
Rafiki yangu ni weeeeee
Baba yangu ni weeeee baba
Msaada wangu ni weeee
Tegemeo langu ni weeeee
Wewe bwana ni weweee babaaaa
By Melick Lutta
Great ..and thank you so much
Ha-Hakuna mwingine kama Wewe Bwana 🙌🙌🙌💖💖💖💖💖🔥🔥🔥🔥
Mungu akubariki na azidi kukuinua..wimbo Mzuri Sana 🔥🔥🔥
Ameeen utukufu kwa Mungu atupae kushinda 😊😊😊
Mungu azidi kubariki huduma yako. 🙏
Ameeeeen
Wimbo mzuri sana
Blessed mom❤
One among the Blessed and anointed song 🙌....,,@Asante YESU🙏🙇
Mungu akubariki sana my favourite song yaani ubarikiwe sana kwa wimbo mzuri.
Amina sana Boss wangu..utukufu na heshima kwa Mungu
Glory glory glory 🙏🙌🏽
AM SO BLESSED WITH THIS SPIRIT FILLED SONG,
I THANK GOD FOR THIS AMAZING TEAM , THIS IS GOD
WHAT GOD IS DOING IN TANZANIA IS UNEXPLAINABLE .
Haleluyaaa.glory to the almighty God
Hongera sana Esta wetu,Bwana Yesu aendelee kukutumia baby
Asante sana Mama..Amen and ameen
Hongera sasa Essy wimbo mzuri sana. Mungu azidi kukuinua zaidi
Thanks a lot my Mama.asanteni na Daddy kwa kulea maono haya hata yalipokuwa hayaeleweki Bado..
Amen! Hakuna mwingine kama Mungu wetu
❤❤❤❤❤❤❤
Bwana Yesu akubariki Dada Esther, wimbo wa shukrani kwa Bwana wetu.. Mziki pia umetulia sana, big up kwa #Rider, #Johnntete, #Ibra🙌🥂🥂
Yesuuuuuuuuuu 😫😫😫 Asante
ENZINI PAKO was Such a blessed Live recording Ever seen Before🎧 , Proud to be among this Service Such a Talented Woman❤️ , Congratulations Esther Mungu azidi kukuinua Zaidi Kwa Utukufu wake🙌
All the glory and honour is to God alone..be blessed man of God
Asante Baba 🙏🙌
I was waiting for this song😢😢😢🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌no Other GOD ...asiyefananishwa na yeyote/chochote..Amestahili tu shukurani wakati wote.#Asante#.wimbo wa majira 🙏🙏🙏 be blessed my Sister.#EstherNyanda# na timu Yote ilofanikisha kazi hii njema ya Ufalme
Conglatulation my sister Ester Remain Blessed
Ameeen my brother Obed..thank youuu
Be blessed ... ni ya moto sana ,🙏
Powerful Song 🔥🔥🔥
Ni baraka sana
Ni mengi umevusha. Asante Baba
Hongera sana Pastor Ester pamoja na timu nzima ya Real Worship kwa kazi hii ya baraka mno kwa mwili wa Kristo na ulimwengu kwa ujumla.
BWANA YESU ASIFIWE SANA🙌
#Asante Yesu 🙏
#Asante Yesu🙏
#Asante Yesu🙏
Glory to God Pastor..we glorify God.asante sana kwa kuwa sehemu ya kufanikiwa kwetu
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
❤❤❤❤❤ That's my Sister 🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥God bless You for this
A song is a real worship.👌🎯
Haaa hakuna mwinginee....hatimayeee....hongera sana dear....
Asante wifi angu
Amen....darling
Esther is pure talent. Top of the shelf natural singer👣👣woooote, eeeeh💗
Glory to God almighty
🙏
❤🔥🔥🔥
🔥
Wonderful, Arranged Song
Thank you Pastor
It isssss amaziiiiiing sister may God take you higheeeeeeeer
Ameeeeeen
Waoh, was waiting for this song.... finally 🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌 thank you Jesus.
The song is powerful 👏, congratulations sweetie more grace to you and Glory be to Him and Him alone JESUS 🔥🔥🔥🔥
Wooow❤Thank you Sis...glory to God
Drummer wa wapi jamani hii drum ipo Annointed sana ina nguvu ya tofauti
Huyu ni wa Mwanza hapa anaitwa Dr.Ibra.anasali House of Christ