Ester Nyanda ft Naomi Wasonga - Enzini Pako ( Official Music Video )
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 10 ก.พ. 2025
- Enzini pako"is a song that glorifies God for who He is,what he has done and what He will always do in our lives.
It is a song that tells God of how we humbly bow down before His throne,poclaiming His Mighty deeds and wonderous works,as we join the angels to sing and bow before His throne.
It is my prayer that as you sing and meditate the words of this song,the spirit of praise arise in you, and that it changes your life and fill your mouth with his Praises
Music arrangement and Directory:Justin Rider
Audio production:Rider Music
Video production:Syberpic
Back vocals:The Real Worshippers
Ester Nyanda Mungu anaendelea kukutumia na anakutoa utukufu Hadi utukufu ninamtukuza Mungu kwa ajili ya huduma aliyoweka ndani yako.sifa na utukufu ni kwake yeye aketiye mahali pa juu.🙏🙏🙏
Waooo mom it's good song
Nimebarikiwa kupitia wimbo huu❤❤❤
be blessed dada
Mungu akupe neema zaidi ya kumtumikia yeye, na uzidi kuinuliwa zaidi na zaidi....🙏
That's my Twin❤
🙌🙌🔥🔥🔥
Ila malema bhana 😂🔥🔥
Huu mziki uliopigwa hapa jamani❤... congratulations to music director..na wapiga vyombo woteee ...hii Iko safi sana❤
Hongera sana
❤️❤️❤️✊🏽✊🏽✊🏽
Utukufu Kwa Mungu pekee
Twainama, twainuka Enzini pako.
Tunasema wastahili Eeh Baba🙌
Asante sana Pastor Ester na timu ya Real Worship kwa kutuandalia ibada hii iliyotukuka mno. More Grace, More blessings.
🙏🙌🙌🙌🔥🔥🔥
Ila miziki imelia Sana Bwana😂😂🎉🎉
Hii imeenda🎉🎉
Anointed song....🎉🎉🎉❤
🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌
Glory to God
Hongera sana rafiki yangu kwa hatua hii
Mbingu na nchi zimejaa utukufu wako Bwana.
Wastahili utukufu Bwana
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Wastahili ee baba,,,,hongera sana best Mungu akuinue mara dufu
💥💥💥💥
❤❤❤
Napenda sana ujumbe wa nam a hii,, anastahili sana Mungu apewe sifa kila sekunde🙏🙏🙏 Mungu aibariki kazi hii
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 powerful!
Mama mchungaji huduma yako ni njema sana,mwaka 2024 ikaongezeke maradufu.
Unatubariki sana.
#mwakawanguwakumirikimaradufu#
Kaka mizìkiii
Hongera kwa kazi nzuri Keep the good work 👏🏼👏🏼
A new song we will sing at your throne
Nimerudisha hapo mara ten times😅
ERUPRADI ALEPA KELUU
GLORY TO JESUS CHRIST 🎉🎉
Asante Kwa Wimbo Huu wa Nguvu KWA MFALME YESU KRISTO ❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Niatarii nilikuwa naisubiria sanaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wimbo unabariki mnoooo. Hongera sana Essy
To God be the Glory.....hongera sana mtumishiii wa Mungu dada Ester ..nimebarikiwa sana
Music arrangements pokeen maua yenu,,🌹🌹🌹🌹
Aah weeeeee, Enzini pako .
Ni raha rohoni🙏
❤❤
Blessed dear dada angu kipenzi
Glory be to God 🔥🔥🔥🙌🙌🙌we worship him in his presence. Hongera my young, once again another step ahead my AIS Sister ❤️❤️❤️🎊
🔥🔥🔥🔥 throne 🔥🔥
Enzini Pako such a wonderful songs and blessing one ❤❤❤❤❤
Huu wimbo umenikumbusha mbali sana🙌🙌🙌🙌
Ooh yes..mbalii 😊
Wonderful song, Lord we bow before you
Wooow❤glory to God🙌.
You are worthy of being praised Lord Jesus.
Wonderful
Wow 🙌
To God be the Glory🔥
💞💞💞💞💞💞