SHUHUDIA MELI YA MV MWANZA IKISHUSHWA NDANI YA ZIWA VICTORIA JIJINI MWANZA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
  • Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
    BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp....
    Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
    Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
    Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

ความคิดเห็น • 122

  • @bakariamour1024
    @bakariamour1024 ปีที่แล้ว +6

    Sio pongezi kwa jpm tuu na kwa mama vilevile Mungu amjalie maisha marefu kwa kuisimamia vyema mpaka kumalizika kwakwe

  • @barakamwakapoma2702
    @barakamwakapoma2702 ปีที่แล้ว +12

    Hongera sana baba JPM Mungu akupe pumziko la milele

  • @shukranimpomwa7460
    @shukranimpomwa7460 ปีที่แล้ว +18

    Tuliokuwa tunamkubari John pombe magufuri basi niunge mkono kwa ku like

  • @shukranimpomwa7460
    @shukranimpomwa7460 ปีที่แล้ว +8

    Tunaionaiona kazi ya Jemedari wetu JPM

  • @josephmsengi762
    @josephmsengi762 ปีที่แล้ว +5

    Hongera sana serikali yetu ya mama Samia Kwa kazi nzuri sana ya meli hapa kazi tu

  • @peternyagonde5524
    @peternyagonde5524 ปีที่แล้ว +6

    Hongera sa Raisi wetu mpendwa Mama Samia,kwa kumalizia kazi nzuri ya hayati Mh.Magufuli,Safi Sana twakupongeza.

  • @samuelmwaikambo5691
    @samuelmwaikambo5691 ปีที่แล้ว +15

    Legend Vision never die! Continue RIP best leader ever JPM!

    • @duvaboy
      @duvaboy ปีที่แล้ว

      🤚🤚

  • @Neemamakeresu-ui7cf
    @Neemamakeresu-ui7cf 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera mama samia kwa kuiendeleza kazi hiyo pia hayati mh. Jpm mwenyez azid kuijaz roho yako 🙏🙏🙏.

  • @paulkimbulu6709
    @paulkimbulu6709 ปีที่แล้ว +9

    Hongera Serikali ya Mama Samia kwa kazi hii kubwa🙌🙌

    • @barakaothumani6421
      @barakaothumani6421 ปีที่แล้ว +1

      Samia kafanya nin nawakati Magufuli alishalipia kabla hajafa,

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 ปีที่แล้ว +1

      @@barakaothumani6421 Akakulipie na PEPON Huko c ametangulia!.

    • @Worldunite
      @Worldunite ปีที่แล้ว +2

      hutendi haki ukimtaja rais Samia peke yake, bali sema hongera hayati JPM kwa kuanzisha mradi huu na tumshukuru pia rais SAMIA kwa kuendeleza na kumalizia mradi huu

    • @samwa9496
      @samwa9496 ปีที่แล้ว

      @@barakaothumani6421 kafanya kwa wakati wake alianzisha kaanzisha angeweza acha na yeye pia aneliona acheni mbambamba na mti nyongo

    • @barakaothumani6421
      @barakaothumani6421 ปีที่แล้ว

      Rajabu wew si zezeta la kuzimu ndomana

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad1802 ปีที่แล้ว +5

    hongereni wa tz wenzetu. kwa hakika mmeweza

  • @raymondmasanja600
    @raymondmasanja600 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana watanzania tunaweza ni uamuzi tu.

  • @japhetdaudmaneno8440
    @japhetdaudmaneno8440 ปีที่แล้ว +7

    JEMBEE JEMBEE JEMBEE JEMBEE JEMBEE JEMBEE JEMBEE JEMBEE JEMBEE JEMBEE JEMBEE JEMBEE JEMBEE JEMBEE JEMBEE JEMBEE JEMBEE JPM mzalendo mwana wa Africa 🇹🇿💪 lala salama

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 ปีที่แล้ว +9

    RIP JPM.

  • @rafaelpaschal2245
    @rafaelpaschal2245 ปีที่แล้ว +4

    Hongera sn viongozi waamu ya5nasita RIP MAGU

  • @mercypeter162
    @mercypeter162 ปีที่แล้ว +3

    MUNGU akupe kazi ya kusifu Na malaika mbinguni JPM

  • @ibrakikome9163
    @ibrakikome9163 ปีที่แล้ว +4

    Baazi ndani ya Selekali wanamtukana Magu naomba mungu awashugulikie pumbavu zao, RIP Magu

  • @marystambuli8045
    @marystambuli8045 ปีที่แล้ว +7

    Pongezi kubwa kwa marehemu JPM. Tutakukumbuka daima R.I.P. umevipiga vita vizuri mwendo umeumaliza na Sasa utavikwa taji.

  • @innocentmassaga
    @innocentmassaga ปีที่แล้ว +5

    Well deserve Mama tunakushuru Kwa kutekeleza na kusimamia, ilani za chama

  • @Worldunite
    @Worldunite ปีที่แล้ว +6

    Rip JPM

  • @lutegobusweru5949
    @lutegobusweru5949 ปีที่แล้ว +6

    Hakika JPM UMENITOA MACHOZI LIVE mbele ya watu😭😭😭😭😭

  • @nicekirway1126
    @nicekirway1126 ปีที่แล้ว +9

    Rp Magufuli nitakukumbuka daima

  • @nissanmarch656
    @nissanmarch656 ปีที่แล้ว +5

    Mama samia nguvumoja🙏🙏🙏

  • @boniphacelusato
    @boniphacelusato ปีที่แล้ว +2

    Magufuli hawezi kusahaulika kamwe kwa wapenda maendeleo. Hata kama kuna watu hawapendi kusikia jina hilo , ukweli ni kwamba ukweli utabaki kuwa ukweli tu siku zote. Kifo chake ilikuwa ni pigo kubwa sana Kwa Taifa hili. Mwisho nimshukuru Rais wa sasa kwa kusimamia vyema miradi yote iliyoachwa na serikali ya awamu iliyopita.

  • @leonardmasanja4047
    @leonardmasanja4047 ปีที่แล้ว +10

    RIP MAGUFULI

  • @tycoon9540
    @tycoon9540 ปีที่แล้ว +13

    Tutakukumbuka daima Hayati Magufuli kwa kuasisi ujenzi wa meli hii, tunakupongeza Mamá Samia kwa kusimamia miradi iliyoasisiwa na mwendazake
    Sasa tunasubiri kwa hamu kubwa ukamilikaji wa daraja la Kigongo to Busisi

  • @abdallahselemani6423
    @abdallahselemani6423 ปีที่แล้ว +1

    Jamani na Alie hakikisha miradi yote ya mwendazake inakamilika mbona hamumpongezi??!! Na je kama asingekamilisha?? Watanzania tuache roho mbaya!!!!!

  • @stephenndagalla8183
    @stephenndagalla8183 ปีที่แล้ว +3

    Hivi Bwn. Chunga Lwiza, somo la Jiografia hakulisoma labisa!!! Meli ndani ya ziwa Viktoria itafika mikoa ya Kigoma, Tabora na Rukwa, hata Nchi za Congo na Burundi!!. Hii inaashiria ubovu wa Elimu ulivyo Tz.

    • @rosemuhandoofficial5676
      @rosemuhandoofficial5676 ปีที่แล้ว

      Heheheeeeee!! Hata mi nimeshangaa, yaani itoke kwenye maji iingie kwenye lami ,,woooiiiiyeee

    • @bonagainndimbo4468
      @bonagainndimbo4468 ปีที่แล้ว

      Huyo mtangazaji yupo sawa.

    • @mariamhussein8536
      @mariamhussein8536 ปีที่แล้ว

      Hongera sana Rais wetu mama Samia kwa moyo mwema mama ungekuwa na ubinafsi usinge lisimamia jambo hili likakamilika. Hakika ALLAH hakukosea kuliweka jina lako kinywani mwa Hayati MAGUFULI MUNGU Akupe pumziko la amani mwana chato. Hongera pia zikufikie waziri mkuu MAJALIWA KASSIM MAJALIWA maana wachina walisha itelekeza hii meli bila mkwala wako leo tusinge shuhudia tunacho kishuhudia. Yote kwa yote hongera ziwafikie viongozi wote wa awamu ya sita chini ya usimamizi wa mama mwema kipenz cha ALLAH bi SAMIA naamini kabsa miradi yote itakwisha na nchi itasonga mbele zaidi hakika wanawake tunaweza

    • @boniphacelusato
      @boniphacelusato ปีที่แล้ว

      Siyo ubovu wa elimu wa Tz. Sema ni uelewa duni wa Mtu mwenyewe. Hivi kweli ziwa Victoria linafika mkoani Tabora, Rukwa na Kigoma?

  • @sebmalunde5945
    @sebmalunde5945 ปีที่แล้ว +1

    Wanufaika wa moja kwa moja
    MWANZA, MARA, GEITA, KAGERA, SIMIYU.
    Mikoa mingine ya Kigoma, Shinyanga na Katavi itapokea bidhaa au kusafirisha bidhaa pia kupitia hii meli

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 ปีที่แล้ว +2

    Mama Samia kweli ni chuma

  • @raymondolimo1326
    @raymondolimo1326 ปีที่แล้ว +4

    Congo, Zambia na Malawi itaendaje?

  • @meddymushmaz551
    @meddymushmaz551 ปีที่แล้ว

    Ahsante JPM ,kama siowewe sijui nani angekua namawazo yavitu kamahivi

  • @adamhassan4920
    @adamhassan4920 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji Anatia Aibu Haujuwi Tanzania

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 ปีที่แล้ว +1

    Hongera ccm

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 ปีที่แล้ว +3

    Baba magufuli watanzania maskini hatutakusahau kamwe tutendelea kukuombea pumuziko jema

    • @rahelimatembe8501
      @rahelimatembe8501 ปีที่แล้ว

      Hongera zake baba etu makufuli Mungu ailaze mahali pema peponi

  • @aramamisamatime3183
    @aramamisamatime3183 ปีที่แล้ว +3

    No one like Hayati rais Maguful ametuonyosha njia

  • @isaacvtv547
    @isaacvtv547 ปีที่แล้ว

    Itafikaje south Sudan 🇸🇸 au mizigo

  • @Noricssa
    @Noricssa ปีที่แล้ว +1

    Kazi zako zinaishi JPM

  • @adrianjerome6206
    @adrianjerome6206 ปีที่แล้ว

    Wahaya shida kelele zenu zatoa matunda Tz nzima ongeren saana

  • @kakosokigassu3211
    @kakosokigassu3211 ปีที่แล้ว

    Kwanza hongera sana ndugu zetu watanzania kwa hatua kubwa hiyo.
    Lakini sasa huyo muandishi wa habari amekithirisha pale aliposema kua safari za Meli hiyo zitafika hadi nchini Burundi 🤷🏾‍♀️ How ? Lac victoria haifiki Burundi jamani 🤓🤓🤓

  • @storytownTv
    @storytownTv ปีที่แล้ว +2

    Ikichukua hata mwaka ijaanza kufunguliwa vyuma.. nimekaa palee.. ✈️

    • @majigedioniz8049
      @majigedioniz8049 ปีที่แล้ว

      Niite mbwa

    • @mbaroukally8655
      @mbaroukally8655 ปีที่แล้ว +3

      Watu kama nyinyi mnaeleweka Sana,mara nyingi mnakuwa na tabia ya husda na uadui hata mitaani kwenu mnakoishi

    • @ramadhanimbulu4941
      @ramadhanimbulu4941 ปีที่แล้ว

      @@mbaroukally8655 hujamuelewa tu!ana maana kubwa sana aliposema itahujumiwa.

  • @Michael-ne6wh
    @Michael-ne6wh ปีที่แล้ว

    JPM atakumbukwa daimaa

  • @joshuamakaranga6552
    @joshuamakaranga6552 ปีที่แล้ว

    Katavi malawi kigoma meli itaenda mbona sielewi

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 ปีที่แล้ว

    RIP MAGU KWA KWELI MKOMBOZI

  • @erickmachua8829
    @erickmachua8829 ปีที่แล้ว +1

    MALAWI,BURUNDI,ZAMBIA, SUDANI KUSINI 🤔

  • @seifmketo2421
    @seifmketo2421 ปีที่แล้ว +5

    Magu kafa na mengi maana angekuepo

  • @barakakhamis2035
    @barakakhamis2035 ปีที่แล้ว

    😁😁😁

  • @George-dw7fu
    @George-dw7fu ปีที่แล้ว

    Jpm

  • @meddymushmaz551
    @meddymushmaz551 ปีที่แล้ว

    Kamasio JPM miradihii isingetekelezwa pesazote zingekuwa zinaingia kwenye mifuko yajamaa wansojiita wenyenchi,,,hatapesazetu zatozo zingekuwa zinaonekana kufanya vitu kamahivi watanzania tusingekuwa na manunguniko

  • @Amiri6Baba
    @Amiri6Baba ปีที่แล้ว +2

    Meli iende malawi tena mpk sudan kusin alafu inapita wapi 😆😆😂

  • @bonagainndimbo4468
    @bonagainndimbo4468 ปีที่แล้ว +2

    Huyo mtangazaji ana akili sana maana ameelezea kiuchumi zaidi, kwamba meli hiyo sio tu inauwezo wa kubeba abiria hata na mizigo pia, mfano wafanyabiashara wa Uganda wanaweza kupakia mizigo yao mpaka mwanza pale mwanza ikapakiwa na magari ya mizigo mpaka kongo au malawi au zambia sasa wapi mtangazaji hajaeleweka.

    • @joshuamakaranga6552
      @joshuamakaranga6552 ปีที่แล้ว

      Hapo kwenye congo Malawi na Zambia

    • @theonestkibuga1900
      @theonestkibuga1900 ปีที่แล้ว

      Kigoma Katavi na Rukwa itafanya vipi safari? Yaani toka ziwa Nyanza iende ziwa Tanganyika? Su mnataka kuchimba canal?

  • @thomasgabriel588
    @thomasgabriel588 ปีที่แล้ว

    Zambia congo

  • @hassanmbaraka1059
    @hassanmbaraka1059 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji tuonee huruma watazamaji wako aisee. Meli itafikaje Zambia Malawa na Burundi?😂😂😂

    • @Worldunite
      @Worldunite ปีที่แล้ว

      Haijui jiografia ya afrika mashariki

  • @MATHIASMwasongwe
    @MATHIASMwasongwe 5 หลายเดือนก่อน

    J.p.m

  • @shebbythespyro5393
    @shebbythespyro5393 ปีที่แล้ว +1

    Kumbe tunaweza sasa tatizo ninii ?

    • @mamboshepea8888
      @mamboshepea8888 ปีที่แล้ว

      Upigaji😣😣

    • @shebbythespyro5393
      @shebbythespyro5393 ปีที่แล้ว

      Kiukweli tunaweza kufika mbali bila mikopo na nchi yetu tukajenga natamani tupate tena Raisi awe na huruma na Tanzania na watazania

  • @charlesolomi9514
    @charlesolomi9514 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi Zero kabisa 🙈 Meli itaendaje malawi zambia Congo sudan kusini wakati ipo ziwa victoria

    • @georgedaniel4962
      @georgedaniel4962 ปีที่แล้ว

      Hahahahahaha atakwambia mpaka comoro na lebanono

  • @ayubumwambene3996
    @ayubumwambene3996 ปีที่แล้ว

    Ayubu andson mwambene

  • @yudaeliud7964
    @yudaeliud7964 ปีที่แล้ว +3

    R.i.p cHuma JPM

  • @mabulajoel1967
    @mabulajoel1967 ปีที่แล้ว

    Mtangazaji jamaniiii!!🤣🤣🤣🤣, Eti inaenda Meli hii wapi, Mikoa ya Tabora, Katavi, na Nchi za Kenya, Uganda, Congo, Zambia, Malawi na wapi kweli, kuanzia sasa acha kazi ya utangazaji hii ni aibu kwa Taifa.

  • @kobajumakuziwa9976
    @kobajumakuziwa9976 ปีที่แล้ว +2

    Hivi wale wanaombeza marehemu hawamuogopi Mungu

  • @barakakhamis2035
    @barakakhamis2035 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaha

  • @eliudmkumbwa5681
    @eliudmkumbwa5681 ปีที่แล้ว

    Sawa ni jambo jema lakin viongozi wetu wanafanya mambo kwa mihemko

  • @sporttz15
    @sporttz15 ปีที่แล้ว

    Mbona hamuonyeshi ilipokua inatoka nchi kavh

  • @mwemezieladius5261
    @mwemezieladius5261 ปีที่แล้ว +1

    huyo mtangazaji kweli chizi yaani ata hajui meli ipo ziwa victoria sasa inaendaje kigoma na burundi malawi inafikaje basi itakuwa na mabawa chii kweli watangazaji wengi shule sijui walienda zipi hahahahhahah

    • @bonagainndimbo4468
      @bonagainndimbo4468 ปีที่แล้ว

      Mtangazaji yupo sawa kabisa, haja kosea mwemezi.

  • @josephjohanes9327
    @josephjohanes9327 ปีที่แล้ว +1

    Imeshushwaje wakat ilikuwa ipo hapo mwanza south

    • @emmanuelmasanja6040
      @emmanuelmasanja6040 ปีที่แล้ว

      Ilikuwa juu ya chelezo,sasa imetoka juu ya chelezo,na ilikuwa nchi kavu,sasa ipo juu ya maji

    • @josephjohanes9327
      @josephjohanes9327 ปีที่แล้ว

      @@emmanuelmasanja6040 ok nimeelewa

  • @felisterbaraka6152
    @felisterbaraka6152 ปีที่แล้ว +5

    Hivi wale wanaume wa r.i.p jpm bado wapo???

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 ปีที่แล้ว

      Nashangaaa!!!

    • @mwemezieladius5261
      @mwemezieladius5261 ปีที่แล้ว +3

      wapo wengi R.I.P JPM bila wewe tusingepata hii meli umekuta ziwa victoria halina meli ata moja mpaka unafariki tulikuwa na meli mbili na moja hii ikitengenezwa

    • @tycoon9540
      @tycoon9540 ปีที่แล้ว +5

      Kazi za Magufuli zitaishi miaka mingi sana, Kama unateseka kwa hilo,, pole sana

    • @rajabukipara3008
      @rajabukipara3008 ปีที่แล้ว +3

      Kaz itakayoish n 1 tu Ya WAZAZ WAKO Kukuleta DUNIAN!

    • @emmanuelmkama3000
      @emmanuelmkama3000 ปีที่แล้ว +1

      @@mwemezieladius5261 kabisa kila sehemu nchii hii ni miradi ya JPM tu.

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 ปีที่แล้ว +2

    Magufuli wewe ulikuwa mwamba wa Africa hata kama wanaturazimisha kukuelewa vibaya lakini utaendelea kuishi mioni mwetu hasa sisi watu masikini

  • @abdallahkhalid2191
    @abdallahkhalid2191 ปีที่แล้ว

    Chuga meli hiyo haiwezi kwwnda kata i

  • @jameskiroka2549
    @jameskiroka2549 ปีที่แล้ว

    Hongera Magufuli
    Hakika bila yeye pesa hizi zingetafunwa,
    Alaf Kuna mjinga atakuambia magu dictiteta
    Shenz kabisa

    • @chumamasunga8855
      @chumamasunga8855 ปีที่แล้ว +1

      Adolf Hitler alikuwa dictator lkn kafanya makubwa Germany. Tofautisha maendeleo na udikteta

  • @seifmketo2421
    @seifmketo2421 ปีที่แล้ว +1

    Alafu Kuna mtu hataki mkubali kwenye hotuba zake

  • @norfardyfranciss4286
    @norfardyfranciss4286 ปีที่แล้ว

    Inawezeaje kwenda Kongo na Malawi kwani ziwa Victoria linafifa Kongo na Malawi??? Jamani uongo tupunguze kazi inafanyika ila tukipamba sana tutatiliwa shaka

  • @abduragmaanisaacs427
    @abduragmaanisaacs427 ปีที่แล้ว

    JASHUSHUSHA UCHUMI ANAVURUNDA MAISHA MAGUMU BORA AJIUZURU WATANZANIA WAPUMUE

  • @abduragmaanisaacs427
    @abduragmaanisaacs427 ปีที่แล้ว

    BIBI SAMIA JIUZURU WATANZANIA WAPUMUE MAANA UMEWAZIBA PUMZI ATUKUTAKIIIII

  • @shelbykackoy5309
    @shelbykackoy5309 ปีที่แล้ว

    JPM JPM JPM JPM

  • @abduragmaanisaacs427
    @abduragmaanisaacs427 ปีที่แล้ว

    HII MELI PONGEZI KUBWA KWA JPM SIO UYU BIBI SAMIA YEYE HAKUNA LOLOTE ALILOLIFANYA ZAIDI YA ROYAL TOUR NA KUSAFIRI SAFIRI

    • @abdallahselemani6423
      @abdallahselemani6423 ปีที่แล้ว +2

      Pumbavu wewe kama asingesimamia huu mradi ungeisha??? Kuwa na shukrani wewe acha fikra mgando

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 ปีที่แล้ว +1

      Abduragmaan katika comments zako zote zinaonyesha wewe ni chokoraa,kwa maana ulipokuwa mdogo uliitia malezi mabovu ya watoto wa mitaani ndiyo maana unatukana ovyo.

    • @abduragmaanisaacs427
      @abduragmaanisaacs427 ปีที่แล้ว

      @@modestwenceslaus9 😂😂😂😂😂 NAONA ZINAKUKELA USIRIE NDUGU YANGU