Jionee Bonge la MELI IKIINGIZWA Ziwa Nyasa
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ก.ย. 2024
- Jionee Bonge la MELI IKIINGIZWA Ziwa Nyasa
Serikali ya awamu ya Tano chini ya Rais Dkt Magufuli imedhamiria kweli kuleta mapinduzi katika sekta zote nchini. Leo Disemba 26, 2019 serikali imeamua kuwapa wananchi wake zawadi ya Krismass kwa kuingisa Meli mpya kabisa ziwa Nyasa.
GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982)
HABARI MPYA DAILY:
www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:
www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEW:
www.youtube.co...
Kazi nzuri
Hongereni jamani,Mungu ibariki nchi yetuTanzania ,sasa basi tuvitunze ili vitutunze!...huu ni mwanzo,tunatarajia nyingine kubwa zaidi,na pia ikiwezekana hata za utalii kwani Nina imani kuna vivutio vingi katika miambao ya maziwa yote nchini kwetu,basi uchumi zaidi upatikane kupitia humo,....
Wow hongera walio rekebesha wafanya kazi nzuri hii sio kuacha kupanda kweli nchi inazidi kunoga tz e rais makufuli sasa ili jina naona kama alikufai maana wewe unafungua kila mahali yaani ilishatupwa huko ufugua kila sekta unafungua makufuli yote safi sana ni kujiamini tu kila kitu kinawezekana hii nchi tunakupenda kura yangu nishawela tiki tayari ubarikiwe
Hongera ccm kwa kutimiza ilani ya uchaguzi, Hongera Rais wetu Samia. Jamani hayupo mtamgazaji?
Tanzania Kwanzaa Mengine Baadae JPM Nambari1
asante san mwenyez MUNGU kwa muongozo wako mwema kwa viongozi wetu
Jamn huyu rais ni noma
Keep it up 💪💪 ihve to come to Tanzania
Good job
Ahsante serikali yetu kwa kuthubutu
Hii melii Leo, bado inafanyakaziii MV Mbeya II , Itungi Port
Nice
viva Songoro marine viva President wetu
Oyoooooo👏👏👏👏👏
Jamanii hii October kwa nn isiwe kesho tu nimalizane na Dr MAGU hii kura yake japo ni 1..niwe huruu na hili deni analonidaii!!! Magufuli Oyeeeee!!!
Umebarikiwa Rais wangu John Joseph Pombe Magufuli,Tumebarikiwa Watanzania,Tanzania Imebarikiwa Nchi yangu nzuri AMEN
Tanzania umoja ninguvu tushikamane
Nafurahi kuona kodi yangu inafanya kazi ipasavyo na macho yanguni shuhuda,anko Magu huna mpinzani 2020 kura yangu we chukua tu
Yote ayo ni mapinduzi makubwa ya kiongozi mzalendo rais John Joseph pombe magufuri mpenda maendeleo ya nchi na watu wake sio tumbo lake abarikiwe sana kiongozi wetu jjpm wasiopenda wabane choo
Good Job Mr Presdaa na wasaidizi wake wa Roho na Kweli
Ni meli kubwa ...ukilinganisha na zile Mv Songea.. Na Mv Iringa.. Zote nimezipanda.. ILa hii aise ni ukombozi kwa watu wa mwambao wa ziwa Nyasa ..Halafu ni ya kisasa.. Maana ziwa Nyasa ni korofi sana kwa dhoruba
Wananyasa tupoo ongera jaman
Da kumbe cjawah ona et ndo kwa mala yakwanza
Nadhan vision ya Rais wetu ni kuona nchi inafunguka kila upande haya ndio maendeleo tunayoyataka
muhidin said linaweza kana hilo ni mikakati ndo inaitajika! Ukusanyaji wa mapato ___ hususan ushuru ndo vizuri ndo kila kitu katika taifa lolote ile duniani! Embu imagine kama watanzania milioni 20 wakiwa nalipia kodi ipasavyo duh mbona NAIROBI itakuwa down!
Kuna watu wanawaza siasa tuu, na sio maendeleo ya nchi
Haya tuvihujumu tena
Dr Maguful
HONGERA RAISI WANGU MAGUFULI, KWELI NCHI UNAIJENGA
Ila mbona Plimsoll imeisha gota na haina mzigo. Mtaalam utufafanulie
Adjustment nyingine hufanyika ikiwa majini. Huwezi kupata kila kitu clear ikiwa nje
Mnaboa sana hata mwanzo hatuja ona
mwanzo walianza kutunga vyuma
Sina maana hiyo ya kutunga vyuma lazima kuna hatua ilikuwepo baada ya kutunga vyuma na kabla ya kuruhusu kuingia majini ndy nataka nionee mm hapo ilikuwaje hadi izame majini vile
Toa maoni yako kuhusu Tanzania inavyosonga mbele kwa kiongozi wetu JPM
Na nyie Grobal tv mshakuwa watu wa kutuma habari zilizopitwa na wakati nashangaa taarifa hii ina siku kama tatu nashangaa ndo mnaiposti saivi. Acheni kuniangusha waga nawaamini sana
Nawaombea msamaha Mm ndo wamenijuza first time Bro...So Global uko sahihi wapo tofauti na hizi Media zetu nyingine za mbili mbili kutwa mara3...
Sasa hii meli au kivuko wewe vip
Huo ubonge upo wapi sasa jamani
Safiri ukaipande sasa kwenye picha unaonaje acha ushamba basi
Eti bonge la meli lol! Nawapendea bure kweli! Hivi nyie meli kubwa mnazijua Kweli??? Afrika bado tunaitaji elimu ila taratibu tu tutafika tunapoelekea In Shaa Allah!
Wewe ndo unahitaji elimu kaka.
Hiyo meli ni kubwa kulingana na eneo inayofanaya kazi..
Ingekuwa baharini ingekuwa ya kawaida.
Kama unavyojiona unaakili na kujua vingi ukikutana na magwiji we panzi tu.
Akili yk bhan daah
ukubwa wa kitu unapimwa kutokana na vitu vilivyo kizunguka. sasa ktk historia ya ziwa hilo hiyo ni kubwa kuliko zote.
Think big brother
Sasa ziwani utapeleka meli kama titanic Kwa biashara ipi tengeneza yako kubwa