ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
nalipenda sana hiili kundi kama n.a. ww unalipenda gonga like
I miss Yamoto Band saaaaaaaaana in 2020 April these boys were amazing
Ne
They hv to come back together they were very amazing
Nawakubari saaan na nshawamisssssss
🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
Hapo sasa m'me wafunga vinwa waliokuwa wana sema mnaugonvi, safi sana vijana kazi njema, always comment from USA north Carolina.
chibaaaaaaa hongera sana mkali daah mungu fundi ama kweli yake maajabu asly tupe hara
Woow...!!!!???? Vitu zirudiswe kama kawaida #asly #beka #enock we miss u in Kenya
Thanks guys 4 coming 2gether again,this is what hv being longing 4,Thanx again
Santhaa nwapenda sana nsamani mutoe ngoma jaman ntafurh nwapenda sana ♥️♥️♥️♥️💕💕💕💕
I wish kweli inarudi mm naipendaaaa ya moto band mnooooo
Ukisemea pembeni kwa kusikia kwa watu pasipo shuhudia mwenyewe utapata aibu! walionielewa usemi huu piga Like.
Roma
Kwakweli mnanifurahisha sanaaaaaaaaaaa mboss fanya uje bana apo patamu nawenda sana
Jamani mwenyeezi mungu mkubwa huyo dogo mguu mmoja lakini anacheza kweli.jamani sounds imewaangusha kweli clouds
Asilay piga mzigooo baba washabikiiii zakooo tupo nyumaa yakooo twakupendaaaaaa piga keleleeeeeeee kwaa yamoto band
Wapi likes za Beka flavor KENYA TWAWAPENDA SANA YAMOTO BENDI
huyu chiba ana mguu mmoja lakini anacheza kama ana miguu 3
umekosea kama ana miguu 4
Aslay punguza pombe ukitaka kujua utamu na ugumu muulize Mr nice
TIM MAMU TV zari
Moja sio mbaya kwa ajili ya kupata mzuka
hii ni achievement Moja ya mwaka congratulations
Thank you Yamamoto band
Ktk fiesta iliyokuwa na amsha amsha n ya mwanza sio hii watu wamepoooooooooowa
Big up Sana wanaume washokaa nakukubali Sana Kama au sioo jammaangu mguu mmoja lakini song linabamba
Yes like it10000000000/=
Dar mlipoa sana aise hata ladha hakuna hamkuwapa ushirikiano kbx!!
hata hawajapoa inatakiwa ujue musk upo dar na wasanii tshazoe kupishana nao mala kwa mala ko tnaona kawaida tofaut na mkoan kama hivo kesho yake unaktana nao Asbuh tena ko hata ile useme unaende kumuona sanii Fran apana
Mbona mashabiki wamepooza, halafu aslay anaonekana kalewa
👏👏👏👏👏 congratulations yamoto thanks 2022
This group was nd is still the best
Kwann Mboso hakuattend,,
Chezea yamoto ww mnatisha jomon
Jamani aslay ajitokeze rohozetu zirudie nafasiyake kwaizotaarifa. Tunaskia
aslay kalewa kamammegundua
Dickens Akelo kwel bhn jamaa kalewa hahaha
Dickens Akelo afu kwel nilikuwa najiuliza 🤣🤣🤣
waona zako weee
Asley umelewa baba ilame nakukubari sana love you mwaaah
Kwanini msirudie bend yenu mmepooza sana
Nice for you guys
Beka good sana
Fanyeni mrudi pamoja tumewamiss mkiwa pamoja jmn
Nilichogundua dar wamezoe burudan ndo maana hamna shangwe kam mikoani
Ledas Josseph I love u aslay
umeonaeeeeeh
Nmefurahi bure
Timu haijakamilika sijamuona mbosso
Can this group come together once again pls pls we are missing your vibes and hit songs
Amna amsha amsha... Kama mcban jiaman!!!
mwaka huu dar hamna kitu ndo fiesta iliyo poa kuliko mikoan
safiii sanaa
Just come back to the beats men
Aslay damonod
Imepooa sana
Msitengane tena mtudishen na mboso kule kapooza kueni wte mnapendeza sana mkiwa wte
Ni noma sana
This was the only group that could challenge sauti sol back then
Very true
Mboso yukwapi timu ikamilike
anakuja NA NDEGE
Safi dogo iko pw
😂😂😂😂😂Raha jipe mwenyewe ak hii yamoto yawaka kweli hongereni sana
miss yamoto band
dar hawakuchangamka walizoea wasanii form Nigeria and Europe wakat vyuma vimekaza
Kiukweli time mesi yamoto
daah murudiane
Duh.... Asley kitambi cha nn bro
Rudini yamoto muendelee kuimba pamoja kama awali
Hongera zenu ma dogo munajua hadi basi
Kaz nzuri san
safi xanaaaaa aslay endelea kukimbiza
Umefanya vizuri kuwatambulisha washikaji zako wa ya moto band
kweli yaani waludi tena music watambe km aslay
I miss this team
Upo poa kaza buti dogo
Aslay pombe inakuharibia
jaman sku moja fanyeni nyimbo wate tumewamss
woooyoooo
Mbosso jamani yu wapi
sauti hamna...kabisa
Nimemiss ya moto
Mm nimemiss sana yamoto band
Mm nawapenda naomba mjumuike wote mpige goma moja
Broo asley kapiga maji
watu shazi lakini amsha amsha amna wapoa sana watu wa dar kwann
huyo Chiba kanikonga moyo wangu😂😂😂😂😂😂😂😂
Clouds mmeshoot vizuri but mmebana sana sauti za mashabiki hadi show inaonekana imepooza kumbe ilikua poa tu
yvan galvan 9ujl9jijjkijikkjjhoijiuiio
Dalondi
Sana wakali
Incrediblity
Imepoa kinyama
nakupenda mpaka naumwa
Habiba Mkumba kanan
Habiba Mkumba kilichobaki ni kufa tu
maromboso vip
Habiba Mkumba p
Pole baby
Chiba noma
Mbosso hawez kua na nyinyi kile kikundi cha wachafu kinamfurisha kichwa
Wapi MoromboSssO
Hussein Gwanone eeeh bana mm pia nmemtarajia Ila wapi
Safi
Kibaya unatumia mitindo wa aina moja tu kila nyimba zako ukiztasmin kama znafanana ukitaka kufika mbali lazma uwe unabadlika usikalili dogo
Nimpenda
Iko poa xan👍👍👍
Aslay beka mpendane mtafika mbali
kweli mzee umetisha
Ebwana dogo rudini az 1 mtetemeshe rhaaaa
tixha kinomanoma
very good mr pusha
Fiester mbaya sana waandaji wamezngua
Hatareee
respect mtaalam
Huyu dogo nasikia alikimbia yamoto akiwa na daftari la nyimbo
Shauri Kiyanga ndiyoooooo
Sio kweli jamani
Asiley unakwama wapi sasa ludi kwenye gemu kipaji unacho
Naona mwaka huu mmezingua! Bora hata wangakuja mastar wa nje ubunifu F! Nmemiss sana show Kali aliyofanyaga Baster lym
Mnazingua saiv
Michael jackson
Salute sana vijana
tatizo dar Wamezoe burudan
Sauti azitoki
Mmmh tena asly umepinga kichupa halihiyo
Asley umelewa punguza pombe duuuu
Jiunge ni 3 mfanye kazi jamani mtaweza tu mboso qaspt wezako wewe uko pazr
Noma sn
Asley kalewa jmn
Emmy pc asley waleo

safi xanaaaaa aslay
endelea kukimbiza
Umefanya vizuri kuwatambulisha washikaji zako wa ya moto band
kweli yaani waludi tena music
watambe km aslay