Nandy Na Aslay Walivyonogesha Usiku Wa Mapenzi Escape One

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ส.ค. 2024
  • SUBSCRIBE: / kidanistars
    Shoo hiyo ilifanyika katika ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam ambayo ilikuwa iliandaliwa maalum kwa ajili ya kusheherekea Siku ya Wapendanao (Valentine Day).
    Mashabiki waliburudika kwa wasanii hao kwa kila mmoja kuimba ngoma zake na baadaye wakaziamsha hisia za wapendanao waliofika ukumbini hapo kwa kuimba kwa pamoja wimbo wao yenye ujumbe mzito wa mapenzi wa ‘Subalkher’.
    SUBSCRIBE: / kidanistars
    Wakati akipafomu wimbo wake wa ‘Mama’, Aslay, alizigusa hisia za mashabiki waliofika ukumbini hapo akiwemo mama wa msanii Nandy ambaye alionekana kutamani kulia kutokana na maneno aliyokuwa akiongea Aslay ya kuelezea uchungu alionao juu ya kifo cha mama yake mzazi.SUBSCRIBE: / kidanistars
    SUBSCRIBE: / kidanistars
    SUBSCRIBE: / kidanistars
    SUBSCRIBE: / kidanistars

ความคิดเห็น • 67

  • @apansiakyabu4334
    @apansiakyabu4334 5 ปีที่แล้ว +1

    Hongereni kwa kazi nzuri

  • @noelamafish1734
    @noelamafish1734 5 ปีที่แล้ว +1

    Good

  • @vivianasiko6829
    @vivianasiko6829 5 ปีที่แล้ว +1

    They are good actor s

  • @cintijeguybelard6799
    @cintijeguybelard6799 6 ปีที่แล้ว +1

    uko sawa kabisa napenda song yako angekuona iko saw

  • @salmaabuubakar1154
    @salmaabuubakar1154 6 ปีที่แล้ว +3

    Umependeza sana Nandy ♥

    • @saidajuma327
      @saidajuma327 5 ปีที่แล้ว

      Umependeza mama maana umevaa kiheshima hongera

  • @faystellah4301
    @faystellah4301 5 ปีที่แล้ว +1

    Nandy ur so cute I lv ur awags

  • @vivaidaramsy7415
    @vivaidaramsy7415 6 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Nandy unependeza sana

  • @gracewayanga105
    @gracewayanga105 6 ปีที่แล้ว +4

    Asante watoto waziri kwann msioane

    • @doreennasike6298
      @doreennasike6298 6 ปีที่แล้ว

      grace wayanga kweli waoane ,wore wawili wapendeza

  • @khadijaaboubakary6414
    @khadijaaboubakary6414 6 ปีที่แล้ว +4

    Umependeza nady mpaka rahaa

  • @moseswaweru4140
    @moseswaweru4140 6 ปีที่แล้ว

    nice dressing
    I just like how they perform it

  • @twahayusuf492
    @twahayusuf492 6 ปีที่แล้ว

    I like it!

  • @nacreensirleem1565
    @nacreensirleem1565 6 ปีที่แล้ว +1

    star Nandy ur looking very smart with ur dress ,so I think even Aslay could have wore kanzu ya juma😷😷

  • @fredyringo99
    @fredyringo99 5 ปีที่แล้ว

    Makinii

  • @emmanuelysimion5795
    @emmanuelysimion5795 6 ปีที่แล้ว

    Ikopoa sana

  • @luchypamasai3978
    @luchypamasai3978 5 ปีที่แล้ว

    Nawapenda saaana mnapendeza pia

  • @rameabudallah2723
    @rameabudallah2723 6 ปีที่แล้ว

    iko juu sana

    • @shabanamos4057
      @shabanamos4057 6 ปีที่แล้ว

      Asrei uyo saizi yako owanen Tu mungu atawasaidia

  • @latb2747
    @latb2747 6 ปีที่แล้ว

    mambo ni fire deeyra tu

  • @ivanmsafi6023
    @ivanmsafi6023 6 ปีที่แล้ว

    nice

  • @megimeg8118
    @megimeg8118 6 ปีที่แล้ว +1

    Sauti zaendana wow

  • @dommymgeni369
    @dommymgeni369 6 ปีที่แล้ว

    gud

  • @doreennasike6298
    @doreennasike6298 6 ปีที่แล้ว +3

    Umependeza Nandy duh😍😍😍😍😘😘😘

    • @elizabethmichael4015
      @elizabethmichael4015 6 ปีที่แล้ว +1

      Doreen Nasike kapendeza sana naiv miss hatar

    • @doreennasike6298
      @doreennasike6298 6 ปีที่แล้ว

      Elizabeth Michael avae dera au nguo fupi bado mzuri

  • @mohammedaltoobi4303
    @mohammedaltoobi4303 6 ปีที่แล้ว +1

    Nandy iyo maik ya moto mbona vidole havituliii kwenye maik

  • @stevejohn3017
    @stevejohn3017 6 ปีที่แล้ว

    Hatari sanaaaaaaa

  • @gyakie7
    @gyakie7 6 ปีที่แล้ว

    😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍

  • @sumagasuma8204
    @sumagasuma8204 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera dada Nandy umependeza xn kwa kwl, mastaa wenzio watachkua mfano kwako

  • @mwajukaungi649
    @mwajukaungi649 6 ปีที่แล้ว +2

    Shikamoo magu

  • @lukasjuma8311
    @lukasjuma8311 6 ปีที่แล้ว

    umependeza nand

  • @ruwaidamohd1965
    @ruwaidamohd1965 6 ปีที่แล้ว +3

    Iyo ndo fashion sikuhiz kuvaa madira juu ya stage kwa mastaa wakike wote au

  • @aminahassan1546
    @aminahassan1546 5 ปีที่แล้ว

    Mngeoana bas mkakamilisha ndoto zenu

  • @lazaropius4981
    @lazaropius4981 6 ปีที่แล้ว

    Ivi nandy umeamua kwel but pamoja xanaaaaa............

  • @fatmahafidh8686
    @fatmahafidh8686 6 ปีที่แล้ว

    mbona hamuoani

  • @safiaramadhan1422
    @safiaramadhan1422 6 ปีที่แล้ว

    Ilo dira vepeeee

    • @tatut3889
      @tatut3889 6 ปีที่แล้ว

      Safia Ramadhan 😀😀😀😀😀😀😀

    • @rukiamziwanda5262
      @rukiamziwanda5262 6 ปีที่แล้ว

      Dira ra bei Sana

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 ปีที่แล้ว +2

    Nandy ukivaa ivyo uko mwaa

  • @davchava1722
    @davchava1722 6 ปีที่แล้ว +1

    Maromboso shida

  • @sirajiswahibu1154
    @sirajiswahibu1154 6 ปีที่แล้ว +1

    nakukubali sana nandi mm nimoja kati yamashabiki zako hasa ilenyimbo yakivuluge naomba no yako au chukua yangu nitafute 0712080334 pendasana wewe Mandi kazabuti

  • @aminamjili9931
    @aminamjili9931 5 ปีที่แล้ว

    mashallh.wamependeza.hayo.ndomavazi.bwana.sovichup.kamakina.zari.na.tanasha.

    • @issahabineza399
      @issahabineza399 5 ปีที่แล้ว

      Dagupeda sana nayimbo zawewe

    • @issahabineza399
      @issahabineza399 5 ปีที่แล้ว

      Mugu akongezeye furaha zote agufunguliye jiya zote

  • @ramazaniomary9300
    @ramazaniomary9300 6 ปีที่แล้ว +1

    ilo gauni mama kam jini mhhhhhh

    • @felixfelixmillanzi7091
      @felixfelixmillanzi7091 6 ปีที่แล้ว

      Ramazani Omary umpndz

    • @twahanassoro7610
      @twahanassoro7610 6 ปีที่แล้ว

      Daaahhh wallah kwakweli nyi watt mnatisha sjawahi onaaaaaa

    • @priscillaluzuga8157
      @priscillaluzuga8157 6 ปีที่แล้ว

      nandy u luk so gud ccy kwa hilo vazi

    • @saudahabibu7963
      @saudahabibu7963 6 ปีที่แล้ว

      vazi Ilo zuri sana

    • @saudahabibu7963
      @saudahabibu7963 6 ปีที่แล้ว

      mkivaa ivyo mtafanya tasinia ya music iwe inaheshimika kuangaliwa na kila rika