MASANJA NIMEFUNGUA KANISA WAMENUNA WALITAKA NIFUNGUE DANGULO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 มิ.ย. 2021
  • MASANJA NIMEFUNGUA KANISA WAMENUNA WALITAKA NIFUNGUE DANGULO
  • เพลง

ความคิดเห็น • 37

  • @vumiliailomo5949
    @vumiliailomo5949 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Pastor .Ushauri wangu uachane na uigizaji

  • @fredricjames774
    @fredricjames774 2 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana bro

  • @mamastellar6841
    @mamastellar6841 2 ปีที่แล้ว

    We mtumikie Mungu wako hata Yesu walimsema we songa mbele

  • @millicentakinyi5504
    @millicentakinyi5504 ปีที่แล้ว

    Amina😅😅😅🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥weweeeeeeeewoooooooo🙋🙋🙋🙋🙋💪💪💪

  • @salomeomashibo1971
    @salomeomashibo1971 3 ปีที่แล้ว +1

    Muchungaji Masanja uwa una nifurahisha kweli
    Yani walisema ya mwisho bado maswali haishii💪💪🙏🙏

  • @dickson6684
    @dickson6684 3 ปีที่แล้ว +1

    Huduma ukiwa umeitwa ni rahisi kweli pastor Emmanuel mgaya Mungu azidi kukupandisha viwango hakika nabarikiwa sema vijana wa leo ukimtumikia Mungu unaonekana upo nje na wakati hata haina haja ya kuwambia wakuelewe acha Mungu azidi kuwaonesha ukuu wako wandishi umewambia ukweli 🙏🙏

  • @fanuelburra5664
    @fanuelburra5664 2 ปีที่แล้ว +1

    Ubarikiwe Sana bishop watakuelewa tu

  • @celinekenedy870
    @celinekenedy870 3 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂 eti kwani ubishop ni wako? Heleluya!! 😂😂😂 soo funny masanja.

  • @annambezi6226
    @annambezi6226 3 ปีที่แล้ว +2

    Stay blessed son if God. Pigania ulichopewa na Mungu na wito wako utimize. Binadamu huwa hawaachi kusema siku zote

  • @rumb5876
    @rumb5876 3 ปีที่แล้ว +1

    Sifa na utukufu kwa Mungu, hongera Masanja kwa kutoa huduma ya neno la Mungu

  • @susankasyoka853
    @susankasyoka853 2 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mtumishi

  • @jovithajovinary9305
    @jovithajovinary9305 3 ปีที่แล้ว +1

    Songa mbere na kazi ya MUNGU, MUNGU yupo nawe karibu saana uku kagera mleba

  • @besttrendingcovers1838
    @besttrendingcovers1838 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakuelew san bro one day lazma nfike kanisani kwako nabarikiw san

  • @Canndyg-kt9
    @Canndyg-kt9 3 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana mtumishi. Papa Masanja Mkandamizaji. Nimecheka sana

  • @amockkalinga1520
    @amockkalinga1520 3 ปีที่แล้ว

    Mtumishi hainaja yakuwasikiliza wanadamu mwangalie mungu aliyekuita wanadamu wapo kwa ajiri ya kukatisha tamaa ubarikiwe sana

  • @mabondolawrence1812
    @mabondolawrence1812 7 หลายเดือนก่อน

    Msanii mwingine huyo bingwa wa kudhihaki

  • @johnshija2271
    @johnshija2271 3 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @maryndalu2236
    @maryndalu2236 3 ปีที่แล้ว

    Mungu aliye mbinguni azidi kukufunulia maono ya kulitangaza neno lake kwetu.

  • @esthersalum2119
    @esthersalum2119 3 ปีที่แล้ว +1

    Hahahah haha we mwandishi umesema la mwisho sisi tunaupako naweza kukuombea likatokea yoyote hahahah nimecheka Sana uko vizuli mwinjilist mchungaji naona injili imeanzia hapo hapo kwa waandishi ubarikiwe Sana mtumishi songa mbele achana na maneno yao huwa wito wa kweli unavita hivyo maneno yao yasikuvunje moyo

  • @hobokelajackson1947
    @hobokelajackson1947 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana

  • @tulizomwinuka8503
    @tulizomwinuka8503 3 ปีที่แล้ว

    ubarikiwe Sana mtumishi kijana ,watakuelewa tu, sifa na utukufu kwa bwana

  • @neemajulius1256
    @neemajulius1256 3 ปีที่แล้ว

    Hongera ssna

  • @VinceJoyn
    @VinceJoyn 3 ปีที่แล้ว

    Nimefurahia hii kaka. Uzidi kubarikiwa sana. Huduma ni njema sana.

  • @josephgerald5540
    @josephgerald5540 3 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mungu ni mwema

  • @emmanuelteemba8288
    @emmanuelteemba8288 3 ปีที่แล้ว

    Hongera Sana mpendwa kwa ibada yako

  • @luganomwakasole4063
    @luganomwakasole4063 3 ปีที่แล้ว +1

    Hakika nimekuelewa

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 3 ปีที่แล้ว +1

    Sadaka siyo lazima

  • @elieneaezekiel5102
    @elieneaezekiel5102 3 ปีที่แล้ว

    Nabarikiwa sana na mtumishi masanja. Watakuelewa taratibu tuu

    • @scolapius1884
      @scolapius1884 3 ปีที่แล้ว

      Songa mbele mtumishi wa Mungu achana na wanadamu, Yesu alisema nataka mkajifunze neno hili nataka rehema na wala si sadaka,songa songa mbele nyuma mwiko.

  • @jovithajovinary9305
    @jovithajovinary9305 3 ปีที่แล้ว

    Songa mbere na kazi ya MUNGU, MUNGU yupo nawe, karibu saana uko kagera mleba,

  • @sarahisaack9674
    @sarahisaack9674 3 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 hongera saana Beshop

  • @fredgasper7578
    @fredgasper7578 3 ปีที่แล้ว

    Uyu masanja ana akili nyingi hivyo kama hauna akili ni vigumu kumuelewa

  • @nelsabugo3613
    @nelsabugo3613 3 ปีที่แล้ว +1

    Masanja amehama Eagt au?

  • @fridalyanguka1733
    @fridalyanguka1733 7 หลายเดือนก่อน

    Hakuna kanisa hapo ni biashara ya wajinga ndio waliwao.

  • @joshuahamuriofficial9487
    @joshuahamuriofficial9487 3 ปีที่แล้ว

    Utukufu kwa God

    • @ednamwashilo6515
      @ednamwashilo6515 3 ปีที่แล้ว

      Ubarkiwe paster Mungu azid kukuinua

    • @ednamwashilo6515
      @ednamwashilo6515 3 ปีที่แล้ว

      Mimi binafsi nakuelewa sana Mungu azid kukutumia paster